Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 45,032
- 111,625
Pole mkuuYatapita mkuu japo sitokaa nisahau.
Pole mkuuYatapita mkuu japo sitokaa nisahau.
alafu kaa ukijua mwanamke sio ndugu yako.shukuru amekupa mtoto kama kweli ni wa kwakoNimeelewa mkuu.
Kwaiyo mkuu wanaume wakitoka nje ya ndoa sawa,ila wanawake ni roho mbaya si ndioHakuna hoja ya kumtetea msaliti, hapa wengi watapita kimya kimya kama wanatoa heshima za mwisho kwa marehemu.
Soma tena post yako halafu ndio jibu swali ....
""Bila hekima ya Mungu kuishi na Ke ni kujichimbia kaburi ungali huelewi chochote.""
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Ndoa ni kwaajili ya Watu wenye akili tu na "chanzo cha maarifa ni kumjua Mungu"Soma tena post yako halafu ndio jibu swali ....
""Bila hekima ya Mungu kuishi na Ke ni kujichimbia kaburi ungali huelewi chochote.""
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Hakika, ilikua mipango ya siku mbili na alipata mda wakutosha kufanya maamuzi akaamua kukitembeza.Inauma sana we fikiria kabla ajaondoka kwako akaanza kuoga na kuchagua nguo mpaka chupi ya kuvaa siku hiyo then anakuja anamsingizia shetani ina jamaa
Punguza hasira,samehe ili nawe usameheweWakuu,
Hii sio Chit Chat wala Jokes bali ni The Most painful Day of my life.
Nimechapiwa mke wangu.
Hii ni baada ya kusafiri, mshikaji kapita na mke wangu Usiku wa Mei Mosi.
Wife katoka job Bandari, kaenda kumegwa kwa mwana akarudishwa saa nne usiku kinondoni.
Picha la kwanza simu ilizimwa mda wote nikaja kuambiwa battery inasumbua baada ya show kuisha.
Nilitulia nikajiridhisha kwa 100% ni tukio la kweli, leo nimemwagia ushahidi mezani kabaki kumsingizia shetani.
Kichwa kinauma ila hatimaye nimekubali ndoa ni wizi wa mchana kweupe. Maana hela nilimpa, show za kibabe ila itoshe kusema huwezi kumridhisha kiumbe aliezaliwa na mwanadamu.
Hapa sijamtimua bado maana nafikiria namna ya ku transition na mtoto huyu wa kindergarten. Ila trust me sitaloweka tena kwake aende tu kwa bwana wake wa Impala Terminals.
Mama yetu Mlezi Mh. Dkt. Gwajima D sitakuangusha tumeaswa sana humu ndani sitanyanyua hata mkono wangu aende tu salama kama alivyokuja salama.
Kwaiyo kutafutia wenzake ndo solution au nn tofauti yake na uyo mkewe itakua ni nnalafu kaa ukijua mwanamke sio ndugu yako.shukuru amekupa mtoto kama kweli ni wa kwako
huo upumbvu wake mwingine achana nao.sasa na wewe muoneshe kwa vitendo.mtafutie wenzake
Nakubali mkuu.Just imagine uje ku-french kiss mdomo ulionyonya mashine ya mshikaji!
Anyways, mwanamke cheating ya mwanamke huwa ni premeditated, hana anachojutia, hata kama atajaribu kiasi gani kukuaminisha vinginevyo.
Kabla haujamkamata alikuwa anaficha kwasababu aliogopa utamwacha. Kama utamsamehe, utakuwa umempa uhakika wa kumsamehe tena akirudia. Kwahiyo atakuwa anagawa bila wasiwasi na kwa kujiamini zaidi.
Best option ni kumuacha, unless kama upo tayari kuchapiwa zaidi. Ndio maana Wakurya wana msemo: once a cheater, always.
Mwanamke ukishajua anatombwa nje unasamehe nini sasa, mbona unaongea kama simp fulaniMkuu b4 making hard decision.
Ebu jaribu kuangalia mtoto mtamuathiri kiasi gani baada ya kuachana,coz kama yuko chekechea bado sana ana itaji malezi ya wazazi wawili.
Ushauri.
1,Hili tukio kama ni mara ya kwanza toka muwe kwenye ndoa msamehe,then anza kusoma tabia zake na mienedo.
2,Washilikishe wazazi wenu pande zote mbili ili upate mawazo na ushauli,but ni aibu.na fedheha.
3,Endelea kumuonesha ushilikiano kama ni mzazi mwenzio ili kisudi kujenga kisaikolojia asije fanya maamuzi mabaya kama ya kuji ua au kunywa sumu,coz ni tukio la aibu.
4,Kuhusu tendo la ndoa apo sasa ni changamoto,coz lazma huna uaminifu tena.
Hii situations ni painful sana,but pole mkuu kwa majaribu ya ndoa.
We unaonaje? Sitetei usaliti na hatupo hapa kushindana, hiki unachotaka kuleta n mashindano. Kisa hapa ni usaliti wa mke, tujadili kwa hoja zinazohusiana na mada ya huu uzi sio vinginevyo.Kwaiyo mkuu wanaume wakitoka nje ya ndoa sawa,ila wanawake ni roho mbaya si ndio
Asante kwa maoni mkuu.Wanaume naona wanavojiachia na comments zao utasema malaika wagawa thawabu 😎 hakuna mkamilifu kwenye Dunia hii wangap humu mnachepuka sema hatuwajui Wala wake zenu hawajui ila mkiingia social media nyie ndie malaika wa zamu
Sijaona kipya wote ndo yaleyale
Ushauri mzuri ila haya mambo nadhani ukiamua kusamehe samehe tu hakuna ushairi wa maana utaupata kwa wazazi wa kila upande. Ushauri wa kweli uko humu jf ukisikiliza pande zote za haters na washauri wa type yako ukiunganisha notisi na kuchuja utapata pa kusimamia.Mkuu b4 making hard decision.
Ebu jaribu kuangalia mtoto mtamuathiri kiasi gani baada ya kuachana,coz kama yuko chekechea bado sana ana itaji malezi ya wazazi wawili.
Ushauri.
1,Hili tukio kama ni mara ya kwanza toka muwe kwenye ndoa msamehe,then anza kusoma tabia zake na mienedo.
2,Washilikishe wazazi wenu pande zote mbili ili upate mawazo na ushauli,but ni aibu.na fedheha.
3,Endelea kumuonesha ushilikiano kama ni mzazi mwenzio ili kisudi kujenga kisaikolojia asije fanya maamuzi mabaya kama ya kuji ua au kunywa sumu,coz ni tukio la aibu.
4,Kuhusu tendo la ndoa apo sasa ni changamoto,coz lazma huna uaminifu tena.
Hii situations ni painful sana,but pole mkuu kwa majaribu ya ndoa.
Pole Mkuu ,hawa tunaishi nao ila ni bahati hatujawakamata ,wanawake wote ni sawa kushawishika ni dakika moja ni swala la muda ,dont trust a woman /wifeVery complicated; moto umesema unapeleka vizuri,matunzo unampa,ila wapi,ama kweli kisicho riziki hakili🙌