LiFe 2-point-0
JF-Expert Member
- Mar 22, 2024
- 4,253
- 11,624
Hapana, hiki siwez fanya. I like teaching the truthAnzisha usiogope! Kucheza na akili za watu siunajua
Hapana, hiki siwez fanya. I like teaching the truthAnzisha usiogope! Kucheza na akili za watu siunajua
Mungu amponye. Very sad. Moja yabkitu kinaniumiza ni kuona mtu ana matatizo na halafu sina uwezo wa kumsaidia atike kwenye hiyo shida..na hasa shida zisizohusu pesa maana matatizo yanayohusisha ujitaji wa pesa binafsi huwa naona kama sio issue criticalKuna kisa kimoja Cha kweli kabisa naomba Arsis anipe ufafanuzi na Tiba:
Baba yangu ni mgonjwa (maradhi ya akili) wa muda mrefu sana. Maradhi haya yalimpata 1996 nikiwa na umri miaka ..... Kwa kipindi hicho alikua mjasiliamali mdogo huko kijijini na alikua anamalengo ya kuamia mjini Kwa wakati huokwa ajili ya kujitanua kibiashara.
Ugonjwa ulimpata akiwa polini anapasulisha mbao Kwa ajili ya ujenzi wa nyumba mjini, ghafla akapatwa na hayo maradhi akiwa uko poloni!
Sasa huu ugonjwa una mkangnyiko kutoka na ulivyotokea tunaamini amefanyiwa ushirikina. Kwa kipindi hicho chote watitembea sehem mbalimbali walishindwa baadae wakampeleka hospital akawa anatumia Sindano Kila baadae ya miezi 3. Kuanzia 1998 Hadi 2012 hivi ikawa zile dawa hazisaidii akawa tena Yuko serious sana.
Mwaka 2020 nikazunguka nae Mimi bila mafanikio nikampeleka milembe akapatiwa dawa ambapo hizi dawa alizopewa sasa ni mtihani sana Kwa sababu anatakiwa ameze Kila siku asubihi 3na jioni 1, Hadi Maisha yake yatakapofika mwisho. Kikubwa zaidi zinaua nguvu za kiume.
Kikubwa zaidi sana ni yeye kutotumia dawa hizo na hili hata alipokua anatumia Sindano hilokua ni changamoto kubwa sana. Hii inatokana na kutojitambua kama yeye ana maradhi ya akili.
Sasa hali hapo zamani ilipokua inataka kumtokea alikua anafaham kua siku zijazo atapatwa na hilo tatizo hivyo kama anapesa alikua anampatia mama anamwambia hii ni Ada ya Chama hata kama nikikuomba vipi usinipatie na anaweza akampatia na Pesa nyingine. Sasa Ile hali ikimjia tu anakua na huruma na ukarimu mkubwa sana mtu akija dukani kununua kitu anampatia vingine zaidi au kama Kuna mtu anapita nje anmwita anampatia ama Pesa au Mali kutoka dukani ni hivyo. Ile Pesa aliyokupatia akirudi kwenye hali yake yakawaida anakumbuka vizuri ikipungua hata 100 atakuambia.
Kwa ufupi ugomvi unatokea na hasira zaidi pale anapodai zile Pesa anakua na vitisho vikali na hata kutia kukupiga au kukupiga kabisa. Nilisoma Kwa namna hyo Hadi nikamaliza.
Kwa ufupi Hadi Leo baba yupo ni mgonjwa naomba Arsisi aniambie huu ugonjwa nini chanzo chake na unatibika na kama unatibika anifahamishe wapi atapata tiba.
Nina mengi ya kuongea athari tunazozipata au tuzazopitia kutokana na huu ugonjwa wa baba kama famiia na ukoo Kwa ujumla.
Ni kwel, hapa anapiga siasa nyepesi.tena Ukatoliki ndio kama ulitaka kujimilikisha ukristo kabisaaa kama mali yake binafsiHapo unacheza na maneno tu.
Kuna ukristo upi usiotokana au usiokuwa na ukatoliki?
Labda unifundishe kuhusu ndugu zenu katika imaan (majini)mimi sifugi majini ila naweza kukupa elimu vipi nikupe elimu au unaendelea na majivuno.?
Kwani hujapata kusoma katika wafilipi 2:3 Inasema " Msitende neno lolote kwa majivuno , Bali kwa unyenyekevu, Kila mtu na amuhesabu mwenzie kuwa bora kuliko nafsi yake.
Nigawie vijiti vya sumu mkuu. Nitupie hata kimoja. Ilivyo navyo ni vingi huwezi kumaliza.Inatokea post namba 146.
Leo nitawaletea kisa cha nilivyooneshwa shemu ya kumita Arsis na kuongea nae kwa kina nikimuhoitaji.
Siku moja usiku nimevizia watu wote wamelala nyumbani, nikaiweka bakora yangu mbele yangu, nikaanza kumuita mwenye bakora kwa jina lake alilonipa, siliweki hapa. Haijapita muda nikaona ka ma kivuli, ghafla nikasikia salam nikaona mtu kakaa kwenye kiti chumani kwangu. Nikamkubuka ndio niliuonana nae mapngoni huko Duga. Tukaulizana hali, ni mtu wa kawaida tu, tena kaja kavaa kimjini kabisa, shatoi na suruali na alikua kama wa umri wa miaka 50 hivi. Akanambia unasemaje bwana mkubwa, umeniita. Nikamwabia mwenye pete yangu hii alinambia yeye hawezi kuja hapa, nikitaka wa kuja nikuite wewe. Ndio nimekuita.
Jini; Sawa, nimekuelewa, unasemaje?
Mimi: nilikua nataka kuuliza?
Jini: Mimi niulize mambo yanayohusiana na na mambo ya mitishamba na tiba zingine kwa uchache, Kuhusu mambo ya kieleimu zingine yoite muulize mwenye hiyo pete.
Mimi: Sina swali kuhusu miti shamba kwa leo.
Jini: Nilikuwekea dawa kwenye mkoba wako kule pangoni, uliiona?
Mimi: Nikamwabia niliona vipande vya vijiti vikavu vimefungwa pamoja na kamba za miti, ndio hizo?
Jini: Ndio hizo, mbona huulizi za kazi gani?
Mimi: Haikunijia kabisa kuuliza, wacha niulize sasa hivi, vijiti vya nini vile?
Jini: Vile vijiti vya zamani sana, kwanza ulle mzizi hauliwi na mdudu yoyote duniani, vile vina miaka mingi sana. Vile sio vijiti tu, ile ni dawa ina kazi kubwa sana. Kwanza wewe inatakiwa ukate kipande kidogo sana kama kucha ya kidole chako utie kwenye chai au maji ya moto, wacha mpaka chai au maji yapoe kabisa, halafu yanwe uyamalize. Hiyo itakutoa uchovu na sumu sumu zote mwilini. Fanya hivyo ukipata nafasi.
Mimi: Sawa, lakini nilisikia inatoa harufu nzuri ya manukato.
Jini: Sawa kabisa, yale sio manukato, ni harufu yake, na haiishi ile harufu hata vijiti vile vikae daima, harufu itabaki vile vile. Shani yake Mungu hio. Vijiti hivyo vile vile vinatoa uchawi wpowote mtu akilishwa na pia vinatibu matatizo ya tumbo ya kina mama, Vile vile vilivyom kama kuna mwanamke anapoteza siku zake bila mpango, zinazidi au zinapungua, au anatokwa damu kwa wingi kuliko kawaida, au anaharivu haribu uja uzito. Ukimpa kama nilivyokuelekeza Kwa idhini ya Mwenyezi Mungu anakua sawa kabisa. Imewasaidia wengi sana.
Kwa ufupi, wewe unatakiwa unywe, nyinyi mnakula kula hoivyo kwa hawa kina mama wanauza vyakula, wanaweka mamboi memngi kwenye vyakula, kila kama kuna chochote hakitabaki.
Matumizi yake mengine, ni kama nilivukueleza, lakini hauinywi, unaitia kwenye jagi hivi la maji ya moto, halagfu unaiacha ikae humo wiki moja, unakogea yale maji kwa kujipaka mwili mzima mpaka yaishe, usiyamwage chini, hayo maji yanathamni kubwa sana. Hiyo itakua ni kinga yako kwa muda mrefu sana, kwa uchache unaweza kufanya hivyo kila mika mitano, basi hakuna mchawi mchawi atakae kuona kwenye mitego yake.
Mimi; Mitego yake tena?
Jini; Ndio kijana, wachawi kabla ya kukuchawi, wanakutafuta kwa njia zao, wakisha kupata wakuwekea mtego wa kichawi, huwa wanachukua kivuli chako, wanakifanyia mambo yao halafu wanakurudishia unakua kwenye mtego wao wamekunasa, wanakufanyia wanachotaka. Lakini ukijipaka hii, hawakuoni kabisa na watakuogopa wakianza kukutafuta. Ingawa nafahamu wewe vabu yako alikukinga nayo hii kuanzia utotoni lakini si vibaya na wewe ukaijua. Na itunze sana hiyto miti, haipatikani isipokua kwangu tu.
Mimi; Sawa. Sasa mimi niliongea na mwenye pete akanambia nikitaka kuongea nae atanionesha wapi pa kukutana nae, hapo unanisaidia vipi?
Jini: hapo mpaka uongee na yeye mwenyewe, mimi siwezi kuingilia maongezi yenu kabisa, itakua namvunjia heshima, ni mkubwa wangu sana mwenye hio pete. Yeye anaweza kuongelea yangu yote na wewe. Ukitaka mimi niulize ya wale mabinti wawili, watumishi wako wa hio pete, naweza kukuitia, yule mmoja mdogo wakati wowote lakini ni vizuri nalo ukaongea yeye, wale hawatakiwi kuja bila kazi, na wapo sana na wewe huwaoni tu. Mimi sipo sana na wewe mpaka uniite au itakikane dawa, mimi ulinzi wangu kwako ni hiyo bakora na dawa ninazokupa tu. Hivi nimekuja kwa kua una bakora yangu na nimekabidhiwa kwako, lakini sio kaida yangu kuja kwa maswali yasiohusiana na mitishamba.
Mimi: Ahsante kwa kuja, kwaheri.
Jini: Usione tabu lakini kuniita, wewe ni bwana mkubwa wangu, mimi niko chini ya amri zako. Nawea kuondoka?
Mimi: sawa nenda tu, kwaheri.
Basi alipoondoka nikamuita Arsis kimoyoomoyo hajachukua hata dakika moja akaniuliza kichwani, unasemaje simba?
Mimi" Arsis wewe si ulinambia unajua nataka kukuuliza nini hata kama sijakuuliza?
Arsis: Ndio, haya kama upo tayari sasa hivi, twende nikakuoneshe. Usijali uo na mimi hakuna ataekuona. Haya twende.
Mimi; Kama mbali si nichukue gari?
Jini: Haya chukua ywende, mimi utanikuta ndani ya gari. Nikwamwambia poa ngoja niombe gari. Nikampigia simu mama, nikamwambia mama natoka gari lako.
Mama; Usiku huu mwanangu?
Mimi: mama usiwe na wasiwasi kuna kazi babu alinipa nikija niifanye, ndiuo nakwenda kuimalizia.
Mama: haya baba, huyu babu yako nae kazi za usiku, mnakwenda kuwanga?
Mimi: Huku nacheka, ndio baba mkwe wako, anaifundisha kuwanga.
Mama: Yatawashinda. Usichelewe kurudi.
Mimi; poa, nikatoka, mlinzi akanifungulia hti. Ile naingia tu ndani ya gari nilipokuwa natoka getini, Sautri ya Arsis ikanijia, Akanambia tqebde viwanja vya bunge lenu kule mjini kabisa. Nikamuuliza kule njia ya Ikulu. Akasema ndio, wewe twende, ukifika gtakwambia gari uwache wapi.
Nikaenda mpaka barabara ya bunge, sauti ikanambia usisimame twende mpaka hospita ile ya wajerumani, nyie siku hizi mnaita oshen rodi. Ingiza gari kwenye parking ushuke takuelekeza unaelekea wapi. Hakuna ataekuuliza wala kukuzuwia.
Nikaenda mpoaka oshen road kuna parking kubwa tum palikua kiya kabisa mpaka panaytisha, sijakuta hata mlinzi nikawa nasukia sauti za mawimbi tu baharini. Sauti ikaja ikanambia haya fanya kama unakwenda hiyo nyumba mbele yako lakini kabla hujafika utaona njia ndogo inaenda kulia, ifate hio mpaka utakuta mbeke huko mawe mawe ndio hapo utakua umefika, Ukifika niite tu usiogope hakuna atakae kuona wewe wala mimi. Kweli nikaenda kama alivyonielekeza nikajiona kama naenda Ikulu kwa nyuma lakini kabla sijafika nyavu za ikulum, naziona kwa mbali nikaona kuna kama mawe mawe na kiwanja kizuri, pako kimya kabisa lakini taa za mjini, naziona taa za hispita naziona kwa mabali, kama mita 200 hivi. Nikaita palem kama dakika moja tu, Arsis akaingia, simuoni kama kawaida.
aRSIS; Naam, vipi hali yako?
Mimi: Salama,huku umepajuaje?
Arsis: Hapo mbele kidogo kuna mlango wa kuendea dunia nyingine, wewe huwezi kuuona, hakuna mtu anaeuona hata akiwa mchawi vipi.
Mimi; Dunia nyingine?
Arsis: Ndio, kuna dunia saba, hii tuliopo sasa hivi ni ya kwanza, zingine zinakaa viumbe wengine, si niliwahi kukwambia?
Mimi; Kweli ulinambia lakini sikuzingatia.
Arsis: Unakumbuka nilikwambia ukiniita kuongea na mimi uchukue hizi simu uwe unarekodi kila kitu, ili ukisahau ujikumbushe?
Mimi: Nakumbuka:.
Arsis; Haya: Fanya hivyo, usiogope mimi siwezi kuonekana, itasikika sauti yangu tu, na hakuna hapa anaetusikia wala kutuona nimeweka pazia.
Nikatayarisha simu yangu nikaiweka ikawa ina rikodi na kupiga picha nikaiengesha vizuri kwenyue jiwe moja nikanza kuongea nae.
Mimi; Kila nikiongea na wewe maswali yanazidi sana, sijui nianzie wapi. Wewe si ulisema unajua mimi nataka kuuliza nini? Anza kunijibuninachotaka kuuliza.
Arsis akacheka, akasema utakomaa tu, hakuna neno. Wakati naongea na simu nikaona kama vizuli halafu simu yangu ikaanguka kwa pale pale juu ya jiwe.
Arsis; Iweke sawa tu usiogope watotowa kijini hao wanachea cheza.
Mimi; Watotto wa kijini? mbina siwaoni na mimi nimefunguliwa macho?
Arsis akacheka, akanambia hawa huwezi kuwaona upoo na mimi. Usijali tuendelee. Wewe simba unataka kuuliza kuhusu dunia saba. Nikueeleze kwa uchache?
Mimi; nieleze.
Arsis; Ondoa fikra nyingi kwa sasa hivi, usiwe na haraka ya kujua mengi kwa wakati mmoja. Dunia zipo saba, ya kwanza ni hii yetu, ya pili wanaishi juju wa majuju (Gog Magog), ya tatu wanaishi majini. Ya nne wanaishi wanyama wakubwa sana ambao hapa duniani waliondoshwa wote. Ya tano wanaishi Ramadiyin. Umewahi kuwasikia Ramadiyin?
Mimi; Hapana, nadhani niliwasikia kwako mara moja tu.
Arsis: Inawezekana, lakini mimi naamini umeshawasikia lakini hujatia maanani. Hilo la siku nyingine. Kuhusu dunia ya tano. Dunia ya sita na ya saba, sina "authoirity" ya kuziongelea, kwa hiyo usiulie chochote kuhusu hizo.
Mimi : Ya nne umesem kuna wanyama?
Arsis: ndiyo kuna wanyama, wale mnaowasoma kuwa wametoweka duniani kama kina Godzila na Mammoth na wengine kama hao. Huko ni dunia ya vitu vikubwa vikubwa tu.
Arsis; hahahahaa, uliza tu usiogope, unauliza mimi ninajuaje na vipi uamini kama ni ukweli? au sivyo ulivyotaka kuuliza?
Mimi; Ndivyo nilivyotaka kuuliza. Sasa mimi naona hakuna sababu ya kujliza, wewe unajuwa fikra zangu, sifahamu vipi?
Arsis; Ni elimu tu, utaielewa kidogo kidogo. Mimi kwa sasa nina miaka inazidi elfu tano. Si ulitaka kuuliza hivyo?
Mimi: Ndiyo, unanifanya nisiulize kitu.
Arsis; Raha ya maongezi uulize, nilikua nataka uelewe kua naelewa ninachokwambi na sina sababu kukudanganya.
Mimi: Wewe ni jini au binadam au ni kiumbe wa aina gani?
Arsis: Mimi kwa sasa hivi ni mtu, lakini chukulia vyovyote upendavyo kwa kua mimi naweza kua vyovyote vile.
Mimi: Huo uwezo wa kua chochote unautoa wapi?
Arsis: Ni elimu anayotujaalia Muumba wetu. alieniumba mimi ndiye aliyeumba kila kiumbe na kila kitu ulimwenguni.
Mimi: Dunia ipi kubwa katika ulizonitajia?
Itaendelea.
Hivi unajua kwamba majini walikiwepo kabla ya ujio wa mwanadamu?Bado unatolea mifano kwenye dini hizohizo za kuletewa! Umeambiwa kabla ya kuja hizo dini hakukuwa na habari za majini ila mizimu ya wazee tu na mambo yalienda...hizo dini zenu ndo zimetuletea majini.
Boss siogopi,mantiki yangu ni kwamba,hivyo vifungu nilivyotaja vinatoka katika qur'an au biblia?Ukweli upi? Kwamba ukristo haushikamani na majini?
Usiogope mwenye uzi wake Arsis katuruhusu tutiririke hapa.
Btw Arsis kisha kiri wazi hapa kuwa elimu yake haifungamani na dini.
Hii comment nimeipenda sana,kama kukiri Yesu ni mwokozi na kumuamini,ingetosha kwa majini kutowaingia wakristo kabisa kwakuwa wanalimdwa na damu ya yesu,ila kinyume chake wao ndio wana majini balaaImebidi nicheke. Mbona naona wengi sana wanaokwenda kutoa mapepo ni kwenye mikusanyiko ya Wakrsto kuliko misikitini? Sijaona misikiti ikatoa mapepo au majini. labda naingia misikiti sio?
Simba.
Kwani mapepo ni nini?Hapo nimesema mapepo wala majini hayakai kwa 'mkristo safi' zingatia hilo.
Ila kwa muislamu safi ni kawaida kuwa na marafiki wa kijini.
Simba nami nimeuliza huko awali sijapata majibu. Nina changamoto ya mke wangu kutopata ujauzito. Kwa maelezo yake hajawahi kubeba mimba na anakimbilia miaka 38. Kitabibu wanasema kuzaa/kubeba mimba ni afya. Mifumo yake kwa mujibu wa vipimo iko sawa kabisa na hedhi anapata kawaida. Binafsi nina mtoto (ni wangu).Nimekuelewa sana, utapata majibu. Usiwe na shaka,
Simba.
Elezea ulivyofundishwa na Arsis kuhusu aina za binadamArsis ni kiumbe wa ajabu sana. Anaweza kua anaingia humu na kujizana na watu bila sisi kujua.
Unalosema kua majini ni waongo sana ni kweli kabisa, kuna majini waongo sana. Ukifatilia uzi utajua tabia zao, wapo wa kweli, wacha Mungu, wasomi na mambo mengine mengi sana amabyo hata mimi hayaniingii akilini.
Isipokua kuna viumbe aina nyingi sana zaidi yya majinni. Ka,a n)vile binadam tupo wa aina nyingoi sana.
Ni ngumu sana kueleweka hapo, ukipenda nitajaribu kuelezea jinsi nilivyofundishwa na Arsis.
Hakuna challenge wapi? Yeye haoni au hana macho.. mbona kuna watu wanauliza hawajibiwi. Kuna member kauliza ili apate usaidizi, jambo lake linahusu baba yake ambaye ni mgonjwa.Arsis anasema hakuna chalenji humu, kunapooza.
Simba.
hoja yako nzuri sana lakini sio salama maana usisahau kuna watumia fursa humu bila shaka wataanzisha biashara ya kuuza hizo dawa au hata kufungua ofisi za uganga kisa kajua mitishamba miwili mitatu..wabongo noma unawajuaSafi, basi weka kipind au uanzishe uzi mwingine ili usiingiliane na huu uwe unaelezea Dawa na inatibu nini, ili walau huyo kiumbe wa fimbo watu wa jF wafaidike nae,
unaeza elezea ugonjwa huu na huu Dawa yake ni hii hii, au ukichukua hiki na hiki ukafanya hivi kinatibu hivi hapo kwa week mpaka mwezi utakua umefanya kazi kubwa sana na ndipo tutaona ufanisi na hakika wa habari zako
Sawa ngoja nikufundishe kuhusu majini, Hawa ni viumbe wa mungu katika quran wameitwa majini na katika biblia wameitwa mapepo wanaweza kuwa wabaya au wazuri kama tulivyo binadamu wakiwa wabaya sisi waislamu tunawaitwa mashayatwin kama vile binadamu akiwa mbaya ataitwa shetani kwa hiyo shetani ni sifa ya kiumbe kibaya aweza kuwa binadamu au jinn ndio maana katika biblia Imeeleza katika MARKO 1:23 Inasema "Na mara palikuwa ndani ya sinagogi lao mtu mwenye pepo mchafu akapaza sauti"Labda unifundishe kuhusu ndugu zenu katika imaan (majini)
Boss, umenifurahisha sana kwa masomo mazuri sanaSawa ngoja nikufundishe kuhusu majini, Hawa ni viumbe wa mungu katika quran wameitwa majini na katika biblia wameitwa mapepo wanaweza kuwa wabaya au wazuri kama tulivyo binadamu wakiwa wabaya sisi waislamu tunawaitwa mashayatwin kama vile binadamu akiwa mbaya ataitwa shetani kwa hiyo shetani ni sifa ya kiumbe kibaya aweza kuwa binadamu au jinn ndio maana katika biblia Imeeleza katika MARKO 1:23 Inasema "Na mara palikuwa ndani ya sinagogi lao mtu mwenye pepo mchafu akapaza sauti"
Sasa swali kwako biblia inavyosema pepo mchafu kwani kuna pepo msafi? jibu baki nalo, Ngoja niendelee kukupa elimu bwana kanali mjivuni usiependa ukweli au wewe ni mwanga nini?
Unamjua Mariam magdalena ? huenda humjui maana wewe ata biblia inaonekana husomi, Mariam magdalena huyu alikuwa ni mmoja wa wanawake wa karibu na yesu na alikuwa mfuasi wake mwaminifu sasa kivipi mfuasi mwaminifu na yesu aingiwe na pepo kama ilivyoandikwa katika MARKO 16:9
inasema "Naye alipofufuka alfajiri siku ya kwanza ya juma, alimtokea kwanza Mariamu magdalena , ambaye kwamba alimtoa pepo saba"
Hapo utaona ata watu wa karibu na yesu walikumbwa na pepo je kipindi hicho muhammad alikuwa kaja duniani mpaka useme uislamu na majini ni ndugu? jibu ni hapana sasa kama hapana hawa pepo walikuwa wanaushirika na kina nani hali ya kuwa uislamu haukuwepo jibu baki nalo pia.
Mwisho nikurudishe katika Mambo ya Nyakati wa pili hapo kuna kisa cha Mikaya mwana wa imla na Yehoshafati mfalme wa yuda kuwa makini hapa uchote elimu bure bwana kanali sawa?
Katika kisa hiki Mfalme Ahad wa israeli alitaka kujua kama atashinda vita dhidi ya Remoth-gileadi hivyo akataka manabii wamwambie kama ataweza shinda manabii wakasema ndio atashinda, Lakini Yehoshafati akasema yupo nabii wa kweli ambaye ndie Mikaya tumsikilize nayeye mikaya atasemaje.
Sikiliza majibu ya mikaya sasa, Katika nyakati wa pili yaani 2 Mambo ya nyakati 18:20-22 Inasema"
Akatoka pepo akasimama mbele za bwana, akasema mimi nitamdanganya, bwana akamwambia jinsi gani?akasema nitaondoka nakuwa pepo wa uongo vinywani mwa manabii wake wote,bwana akasema ondoka ukafanye hivyo, Basi sasa angalia bwana pepo wa uongo vinywani mwa manabii wako hawa, naye bwana amenena mabaya juu yako"
Sasa bwana kanali huyo pepo aliesema ataenda kuwa pepo wa uongo kwani kuna pepo wa ukweli? alafu ujue huyo pepo alikuwa mbele za BWANA yaani mungu alikusanya mapepo akayatuma ili wakamdangaje mfalme wa izraeli kupitia kinywa cha manabii wake huyo mFalme sijui unaelewa au mada imeanza kuwa ngumu kwako.?
Kwakifupi ni kuwa huyo pepo alienda kwenye kinywa cha manabii kwa amri ya mungu hiyo inaonesha pepo ni viumbe wa mungu wanaweza kuwa wabaya au wazuri ndio maana huyo pepo apo anasema yeye ataenda kuwa pepo wa uongo that means wapo wakweli. Are we travelling in the same boat?
Dah hatari Sana, kwa hiyo huwez kufafanua kwa faida ya wengi.Haya ni mambo magumu sana na yenye vita kubwa sana, naomba tuache tu hivyo. Hii dunia ni hatari, mshukuru Mungu kwa maisha yako usipende maisha ya kufikirika ishi uhalisia wa maisha yako na ridhika na chochote upatacho baada ya kazi halali unayofanya.
Asante mkuuBoss, umenifurahisha sana kwa masomo mazuri sana
Wakristo wengi huwa hamsomi biblia kabisa,au huwa mnapenda vifungu vyenu pendwa lkn mengi hamyajui kuhusu ukristo wenu,ona sasa mnavyoumbuka
Kutwa kushadadia waislamu wana majini mara majini na waislamu ni damu damu,haya aibu yenu hiyo
Kabla ya kuzungumza fanya utafiti kwanza
Utamuomba Radhi kwa Muda wako.. Rejea Enzi za Babu Nje Nje! Kilimanjafo Band..!Hapa unamaanisha ulikuwa unakula/unamtomber Mama yako kabla ya kutubu?