Kanali_
JF-Expert Member
- Nov 18, 2018
- 7,507
- 11,740
ilm uipate kwa nani, si uyaulize majini!? Muulizeni arsiChano kimefanya nini na sisi tupate ilm.
Maana mambo hayo ya chano kwetu yapo mengi.

ilm uipate kwa nani, si uyaulize majini!? Muulizeni arsiChano kimefanya nini na sisi tupate ilm.
Maana mambo hayo ya chano kwetu yapo mengi.

Hajasema anawezza kuwa kitu, amesema anaweza kuwa chochote. Labda mimi ndio sijaeleza vizuri. Yaani yeye anasema anaweza kuwa chochote ukitakacho wewe, sababu kuu, haonekani, mimi sijamuona mpaka leo. Kwa hio hapo ni fikra zako tu, ukifikiria mti unaongea na wewe, kwake sawa, ukifikiria jini anaonea na wewe kwake sawa, ukifikiria mtu anaongea na wewe kwake sawa.Yeye mwenyewe majibu yake hayapo moja kwa moja anafichaficha.
Naomba anijibu kwanza yeye ni nani (ana cheo gani katika viumbe), maana huwezi kuwa kila kitu kama anavyodai yeye, kila kitu kina uhalisi wake.
Pia akiri kwamba haelewi kila kitu( jibu liwe ni NDIO au HAPANA).
Wacha kiherere mjivuni. Atajibu niliyemuuliza na Arsis akipenda atamjibu.ilm uipate kwa nani, si uyaulize majini!? Muulizeni arsi![]()
page no 78 nimeuliza maswali mawili ila hujajishughulisha kabisa, nitakumbushia mpaka ujibu maana yamekua maswali yangu 3 sasa ambayo unayapita tu.Hilo mbona limejibiwa siku mbili tatu nyuma, au kuna lingine sijaliona. Nifahamishe lipo post namba ngapi au uliza tena.
Simba.
huyo kaka yako nishjua namuonaga youtubeKweli Arsis ni kiumbe na hakuna kiumbe kinajua kila kitu isipokuwa Mwenyeezi Mungu, kwahili Arsis kaongopa au ka kuongopea kaka yangu hajawahi kusoma vitabu vya mashetani ya kipakistani kasoma kwa Sheikh mkubwa Mwanza ukifika uliza Marehemu Sheikh Yusuf ambae mwanae Sheikh Mohamed Yusuf alikuwa Sheikh wa Wilaya ya Ilemela piaalie kuwa mwalimu wa marehemu Muft wa Tanzania Sheikh Simba uliza habari zake,kina Ibni Arab ambae hata Series ya Ertugul aliigiza na Sheikh mwingine alikuwa kwenye enzi za Alparslan.elimu nyingine kasomeshwa na majinn wake kama wewe ulikuwa na jinn bakora sijui Arsis yeye alikuwa nae Jinn Al Qais na Shariff na wengineo ambao kila mmoja kamfundisha ilmu yake Sharif mambo ya Quran dua tiba Qais nyota wengine tiba za kiarabu na miti shamba hivyo elimu yake yeye haifanyi wengine kuwa na elimu sio sahihi ukiwa Bora basi yupo bora zaidi yako rejea kisa cha Hizir na Nabii Musa A. S.
Ngoja nikupe tu kisa chake kwa ufupi alikuwa na akili sana alipendwa na watu,shule ya msingi akafaulu kwenda Bwiru boys siku moja akiwa mazingira ya shule wakaja wageni waarabu mwanamke na mwanaume wamebeba sanduku wakasalimia wakamuuliza tunamtafuta mtoto wetu anaitwa fulani mama yake fulani anafanya kazi sehemu flani kaka akashangaa mbona ni mie, wakasema ana alama yetu tulimuwekea mgongoni alipozaliwa ndio tutamtambua wakamwambia embu tuone mgongo wako wakasema tumekupata ndo wewe kisha wakapotea akawa na maruwe ruwe shule akaanza kupiga kelele vurugu shule ikawa tafrani akarudishwa nyumbani ikawa akienda shule vurugu walimu wakamwambia mama chukua mwanao mpaka apone atarudi kusoma,nyumbani nako vurugu wakajua kawa mwehu akawa wanamfunga kamba kuna siku akatoroka usiku mpaka ziwani Mwaloni Kwanza, mpaka kwenye kina kikubwa cha maji hiki kisa watu wa Mwanza Kirumba wanakijua maana ni maarufu alikuwa wenyeji wanajua kisa chake Mama yake akalia sana mwanae anakufa kwenye maji lakini alitoka kuna Mama jirani wa kiarabu akamwambia Mama fulani mwanao huyu ana jinn mpeleke kwa Sheikh Yusuf akapelekwa huko akawekwa sawa ndio akawa anasoma mpaka marehemu yule mnajimu akaenda Mwanza wakaonana akamwambia kijana una watu wakubwa sana ukipata muda njoo hotel nilipofikia njoo mwenyewe akaenda wakaongea akamwambia kuna kitu nikufanyie aka chukua kama chemli akamuwekea mgongoni halafu akampa mkono kuna maneno akasema kisha akamwambia sema nimekubali ×3 akasema nimekubali akavuta mkono Asante usiku kalala anaona wale mwanamke na mwanaume wa kiarabu wanalia wakawa wanakuja ndotoni wanalia wanataka kumfikia ila kama wana kizuizi toka hapo maisha yake yakavurugika hana mwelekeo kila analofanya linaharibika.
Miaka ikapita akaja kumuota yule Sheikh amekufa siku 3 mfululizo akawa anatuambia siku ya 3 akatangazwa baada ya msiba ule ana rafiki yake akampeleka kwa Mama mtu mzima ZNZ alikuwa anakaa malindi alikuwa maarufu Mcha Mungu kwa tiba simtaji jina ila watu wa ZNZ watakua wanamjua maana viongozi walikuwa wanamtumia alifariki wakati wakati Corona,akaenda yule Mama hakumwambia chochote akamwambia kunywa maji nenda akashangaa akarudi Dar akaota kondoo mweupe na mwekundu walikuwa wamefungwa kamba akawafungua hapo sasa akawa kafunguka akaanza kutibu japo unganga hakuupenda ila Majinn wake wakawa wanamfundisha tiba anasema alikuwa akikaa anamsikia Shariff kichwani anamuelekeza tiba ya kitu flani aandike nyiradi etc kila mmoja akawa anampa elimu yake ila baadae aliukataa uganga wakamtia jela miaka 2 mpaka siku alokubali na huko jela sasa ndo wanamfundisha anasema alikuwa akilala anajiwa usingizini anaelekezwa rufaa yake ilikuwa inakataliwa ila siku akaota Sharif kamjia akamwambia atatoka akatoka kweli na akaamua kutibu, hivyo kasomeshwa na marehemu Mwalimu Yusuf na vitabu vya kina Ibni Arab etc sio Wachawi wa Ki Pakistan na kafundishwa na Majinn wake mwenyewe hata sie wanatufundisha utashangaa anaongea tiba anasema andikeni nikiwa sipo mjisaidie vile siko interest na mambo hayo hata ningeamua utapeli wa uganga kwa tiba nazo zijua ningepiga pesa hivyo kama wewe una jinn bakora una arsis yeye ana shariff ana jinn al qais ana Subian Makata wa Makatani sijui Maalim Daruwesh ana Maalim Sultan Bedui Suleiman bin Dawood yaani kibao na kila mmoja ana mkewe na tushazoea unaweza kuwa unaongea nae kumbe sio banda unamwambia anashangaa mie sikumbuki kumbe watu wake na husema kuna muda huletewa kama screen au a nasikia sauti kichwani ana shida hii hii mfanyie hiki na tiba zake ka base Dua makombe dawa za kiarabu miti hana mitunguri wala ukifika kwake huwezi sikia harufu wala alama ukajua kwa mganga kwanza hapendi ajulikane nikimtania mganga anachukia.
ndio kwanza nayaona maswali yakobaada ya kunistua. Ngoja nijibu moja moja.Uzi wako Simba toka day 1 mpaka leo umesema mengi na kiumbe wako.
ENatamani utuelezee amekufanikisha vipi kwenye maswala ya Uchumi mpaka sasa upoje na unamiliki nini?
Safi, basi weka kipind au uanzishe uzi mwingine ili usiingiliane na huu uwe unaelezea Dawa na inatibu nini, ili walau huyo kiumbe wa fimbo watu wa jF wafaidike nae,ndio kwanza nayaona maswali yakobaada kunistua. Ngoja nijibu moja moja.
AlhamduliLlah, sijawahi kufikiria kuhudsu uchumi binafsi toka zizliwe, nimekikuta kila kitu kipo kwetu.
Binafasi kwa sasa nina familia ya wake wawili na watoto sita. Kila mmoja anakaa nyumbani kwake.
Nina fanya biashara ya kutengeza magari, kwa sasa mimi naelekeza tu vijana. Nina duka la spea za magari vifaa vya umeme tu wa magari (electrical system) vipya na used. Vyote ka gari ndogo na kubwa za aina yote. kama sina spea, nakuagizia faster kutoka nje ya Tanzania. Uzoefu wa miaka mingi, kuanzia ma control bocx mpaka clips za umeme wa magari. Duka langu limezoeleka sana na wanunuzi wangu wakubwa ni mafundi umeme wa magari, hapo tabata.
Similiki gari, sijawahi kumiliki lakini ni zangu, kwa maana natumia za mama, baba na wake zangu. Sijaona umuhimu wa kumiliki gari langu binafsi.
Sina mali sina akiba benki, sijawahi kuhitaji. Mali za shamba la babu yangu, zinazomuhusu babangu mimi nnazishughulikia lakini ni zake hazihiusu, isipokua mwenyewe ananipa safdaka yake apendavyo kwa kumfanyia kazi zake.
Huwezi kuamini, sijawahi kununua chakula nyumba zangu zote mbili. Chakula mpaka leo kinatoka kwa wazazi wangu na uzee wangu. Nikinunua kitu labda ni zawadi nikisafiri. Nashukuru Mungu nimepata wazazi wema kabisa. Mwenyezi Mungu awaweke. Mimi na babangu mzazi ukituona utafikiri ni mtu na mdogo wake, mama yangu ndio kabisa, hata enzi za babu nje nje, yeye ndio nilikua naenda nae kama partner wangu. Sasa basi tena mambo hayo. Nimetubu.
Natumai nimekujibu kuhusu uchumi. Kama kuna lingine, uliza tu.
Simba.
Nimeona simba. Thanks.Nikisha sali alfajiri nakuja kulianzisha.
Simba.
Ahahah sijui itafika lini hiyo hatua.Unaonaje ukifungua kanisa ila muhasibu ni mimi
Anzisha usiogope! Kucheza na akili za watu siunajuaAhahah sijui itafika lini hiyo hatua.
Hahahaha, niuzie udongo.Wacha kiherere mjivuni. Atajibu niliyemuuliza na Arsis akipenda atamjibu.
Una mimba changa?Hahahaha, niuzie udongo.
= Arsis.ilm uipate kwa nani, si uyaulize majini!? Muulizeni arsi![]()
Hapana hayupo YouTube kabisa wala hapendi kujulikana,mmoja ndo yupo Instagram Hashlongalonga.huyo kaka yako nishjua namuonaga youtube
Hapo unacheza na maneno tu.Acha kuchanganya Ukristo na ukatoliki ni vitu viwili tofauti,
mimi sifugi majini ila naweza kukupa elimu vipi nikupe elimu au unaendelea na majivuno.?Yani elimu ya Ukristo niichukue kwa muabudu majini!? Hauwezi kuwa serious.
Tatito lako huelezei mtu akaelewa ni unaelezea unaacha mtu na maswali zaidi hakuna asie jua Umm ni Mama Mwanamke Abu Baba mwanaume ila Umm Subian na Abu Subian au kwa majina mengine Inkubi na Sakubi Arsis hakuelezea mtu akaelewa kaongea kifupi tu Subian ni Sabayin yaani hajaelezea kuhusu majini Subian kwa kina kwa upana.Mimi Simba; Habari dada. nilikua nimelala usingizi mzito nimestuka nikaona ujumbe wako. Arsis kajibu mwenyewe, hivi:
Hilo sio jambo la kubishana. Ibn Arabi sio Arab. Aidha pokea elimu au kataa. Elimu hailazimishwi.
Haina haja ya kumuita mwengine, mimi simba nakujibu.
Ibn Subian na Umm Subian ni lugha tu kutofautisha mwanamke na mwanamme. Kuhusu Subian nilishaeleza maana yake nini juu huko, kama hamjaelew hilo, ulizeni.
Simba.
Haijuwi hiyo mistari huyo mjivuni.mimi sifugi majini ila naweza kukupa elimu vipi nikupe elimu au unaendelea na majivuno.?
Kwani hujapata kusoma katika wafilipi 2:3 Inasema " Msitende neno lolote kwa majivuno , Bali kwa unyenyekevu, Kila mtu na amuhesabu mwenzie kuwa bora kuliko nafsi yake.