Uzi ushaharibika huu, na wewe unknown creature
Arsis unazingua coz Majibu yako hayapo clear na kwa aina ya majibu yako ni dhahiri upeo wako wa kufikiri ni kama binadamu wa kawaida so ni either huyo
Arsis hayupo au mtoa mada umeamua kucheza na akili za watu.
Unatoa majibu mepesi kwenye maswali magumu na mpaka sasa naona Unknown creature
Arsis amesha panick due to maswali ya shekh mmoja huko juu anaishia kutoa watu akili tu.
Unknown creature
Arsis wa mtoa mada hayupo, so ndugu mtoa mada kama unania ya kuelimisha watu just go on lakini usiseme ni
Arsis
Kama kweli una sali na unaongea uongo huu mbele za watu basi naomba acha mara moja.