Nakimbizwa
Senior Member
- Jun 19, 2023
- 154
- 303
Huu uzi ni pure fiction....ila kuna maboya yameingia kingi, especialy wale wa ilm madrasat
Hayo naandika mimi, sina uwezo wa kuandika kila anachonifahamisha 100% kama alivyonambia yeye.Safi, mashirikina yajianike hapa live live kweny thread
kwamba mwamba anakuongelesha swanglish 'you are not mganga or mchawi' 😂😂😂
Wonders shall nvr cease
Yapige manyumbu aisee , yapigee tuu
Story nzuri sana ila habari ya kamba inabore sanaKikapu kikajaa kamba............
Hii stori kamba wametajwa kuliko kitu kingine chochote
Unaweza kuondoka, usiisome.Story nzuri sana ila habari ya kamba inabore sana
Mkuu simba sema Arsis anasemaje juu ya baadhi ya watu, Mimi binafsi namashaka huku kuna wachawi hawataki Arsis alete elimu alafu wanajificha kuwa ni wakristo kumbe wanajificha kwenye kivuli cha ukristo kuvuruga huu uzi, Kama mtu anafuatilia huu uzi kwa ukaribu atagundua kuna elimu kubwa Arsis kaitoa hasa ya ulinzi wa kiroho tena elimu sahihi kabisa ila kwakuwa watu wengi hawawezi ku "read between the lines" walikuwa wanataka Arsis aanze kuwatabiria mambo yao live, Aanze kuitabiria nchi kisiasa n.k lakini Arsis kasema yeye anatoa elimu hivyo wewe msome mdogomdogo elimu kashaanza itoa na kama huioni sema tukuambie ipo wapi acha ubishi sawa ?Hayo naandika mimi, sina uwezo wa kuandika kila anachonifahamisha 100% kama alivyonambia yeye.
Lakini utashangazwa na Arsis, anaweza kuja akaongea English tupu bila kutia Kiswahili hata neno moja. Kuna siku kaongea lugha siijui lakini nikawa nafahamu anachonambia, kumuu;iza akanambia hio Kimisri. ni tofauti na nijuavyo Kua kimisri ni Kiarabu. kumbe kanisemesha kimisr cha zamani sana. Kumuuliza, akanambia hio ndio lugha ya mamake Yesu na ndio ya mkewe Ibradim na mkewe Nuhu na Azizi.
Arsis anatisha kielimu. Tena kanipa ujumbe kwa baadhi ya watu humu. Mpaka nimecheka,t tutauona baadae.
Simba
Funguka mkuu..Mngejua huyu ni nani katika ulimwengu wa roho!
Jaman nilikuwa napitia maandiko ya biblia hapa,nikakuta kumbe watu walikuwa wanaenda kwa wenye mapepo na kutaka kubashiriwa mambo
Sauli baada ya kumwita bwana na hakujibiwa akaamua kwenda kwa mwanamke mwenye mapepo ili apate upembuzi wa mambo,kumbe haya mambo sio kwa arsis tu hapa
1 Samweli 28:6-8
[6]Lakini Sauli alipouliza kwa BWANA, BWANA hakumjibu, wala kwa ndoto, wala kwa Urimu, wala kwa manabii.
And when Saul enquired of the LORD, the LORD answered him not, neither by dreams, nor by Urim, nor by prophets.
[7]Ndipo Sauli akawaambia watumishi wake, Nitafutieni mwanamke mwenye pepo wa utambuzi, nipate kumwendea na kuuliza kwake. Watumishi wake wakamwambia, Tazama, yuko mwanamke mwenye pepo wa utambuzi huko Endori.
Then said Saul unto his servants, Seek me a woman that hath a familiar spirit, that I may go to her, and enquire of her. And his servants said to him, Behold, there is a woman that hath a familiar spirit at Endor.
[8]Basi Sauli akajigeuza, na kuvaa mavazi mengine, kisha akaenda, yeye na watu wawili pamoja naye, wakamfikilia yule mwanamke usiku; akasema, Tafadhali unibashirie kwa utambuzi, ukanipandishie yeye nitakayemtaja kwako.
And Saul disguised himself, and put on other raiment, and he went, and two men with him, and they came to the woman by night: and he said, I pray thee, divine unto me by the familiar spirit, and bring me him up, whom I shall name unto thee.
Wakristo naomba ufafanuzi hapa
Cc Backdoor
CC Che mittoga
Ukisoma vizuri bila kuruka ruka hiyo habari inajieleza kwani sauli alifanya kosa kwa BWANA na ndomana alipokua anauliza kwa BWANA hakujibiwa, icho kisa kipo wazi sana.Jaman nilikuwa napitia maandiko ya biblia hapa,nikakuta kumbe watu walikuwa wanaenda kwa wenye mapepo na kutaka kubashiriwa mambo
Sauli baada ya kumwita bwana na hakujibiwa akaamua kwenda kwa mwanamke mwenye mapepo ili apate upembuzi wa mambo,kumbe haya mambo sio kwa arsis tu hapa
1 Samweli 28:6-8
[6]Lakini Sauli alipouliza kwa BWANA, BWANA hakumjibu, wala kwa ndoto, wala kwa Urimu, wala kwa manabii.
And when Saul enquired of the LORD, the LORD answered him not, neither by dreams, nor by Urim, nor by prophets.
[7]Ndipo Sauli akawaambia watumishi wake, Nitafutieni mwanamke mwenye pepo wa utambuzi, nipate kumwendea na kuuliza kwake. Watumishi wake wakamwambia, Tazama, yuko mwanamke mwenye pepo wa utambuzi huko Endori.
Then said Saul unto his servants, Seek me a woman that hath a familiar spirit, that I may go to her, and enquire of her. And his servants said to him, Behold, there is a woman that hath a familiar spirit at Endor.
[8]Basi Sauli akajigeuza, na kuvaa mavazi mengine, kisha akaenda, yeye na watu wawili pamoja naye, wakamfikilia yule mwanamke usiku; akasema, Tafadhali unibashirie kwa utambuzi, ukanipandishie yeye nitakayemtaja kwako.
And Saul disguised himself, and put on other raiment, and he went, and two men with him, and they came to the woman by night: and he said, I pray thee, divine unto me by the familiar spirit, and bring me him up, whom I shall name unto thee.
Wakristo naomba ufafanuzi hapa
Cc Backdoor
CC Che mittoga
Naelewa sana,ishu kwanini alienda kupata utambuzi kwa mapepo?Ukisoma vizuri bila kuruka ruka hiyo habari inajieleza kwani sauli alifanya kosa kwa BWANA na ndomana alipokua anauliza kwa BWANA hakujibiwa, icho kisa kipo wazi sana.
BWANA alishamuacha hapo alikua anatafuta alternative kwengine sio katika utukufu wa BWANA cheo cha ufalme hakutaka kukiacha kwa gharama yoyote hata nje ya mpango wa BWANA,kwaio unaweza ukaingiza swala la Tamaa na Imani kuwa habaNaelewa sana,ishu kwanini alienda kupata utambuzi kwa mapepo?
Je ni uhaba wa imani au mapepo yanafaa kuaminiwa?
Vizur sana bossBWANA alishamuacha hapo alikua anatafuta alternative kwengine sio katika utukufu wa BWANA cheo cha ufalme hakutaka kukiacha kwa gharama yoyote hata nje ya mpango wa BWANA,kwaio unaweza ukaingiza swala la Tamaa na Imani kuwa haba
Arsis: wacha watu waongee dini, ndio ubongo unakua na maadili yanapatikana. Huyu simba alikua zamani anaongea ushetani tu wa upnade wa pili. Siku hizi anaanza kujua dini kwa sababu watu wanaongea dini. Usiogope wala usichukie kuongea dini, hakuna maadili bila dini. Zote.Alafu muda tu naona haya mabishano ya ukristo na uislamu kitu ambacho hakikuwa lengo la uzi sasa mimi na declare kuwa MIMI NI MUISLAMU sikuwa nataka kuingia kwenye mabishano ya dini ila kwakuwa tunatakiwa tupeane elimu basi nahitaji mkristo ambaye anataka kujifunza sio mabishano, nataka anayetaka elimu tu kuhusu dini yake ambaye huko kanisani hawaisemi aje nianze mjadala nae.
Nitaanza na msingi wa imani ya kikristo ipo hivi ili dini iwe dini lazima iwe na msingi wa imani sasa msingi wa imani wa uislamu ni Monotheism yaani Mwenyezimungu ni mmoja tu, naye ni ALLAH, msingi wa Ukristo ni Polytheism japo wengi huwa hawataki wakijificha katika kivuli cha Mungu mmoja katika utatu mtakatifu kwani wakikubli kuwa ukristo ni polytheism yaani kuami miungu wengi ni sawa na kusema kuwa ukristo ni upagani hivyo hawataki wanajificha kwenye mungu mmoja mwenye nafsi tatu what is this?
Sasa nijibuni haya maswali ya utatu mtakatifu
1. Je, Mungu ni watatu katika umoja na ni mmoja katika watatu kwa wakati mmoja au ni mmoja kwa wakati huohuo?
2.Ikiwa mungu ni mmoja na watatu kwa wakati mmoja, Hivyo hakuna hata mmoja kwa hao watatu ambae ni mungu kamili.Tukikubali kuwa huo ndio ukweli maana yake wakati yesu yupo duniani hakuwa mungu kamili, Na baba mbinguni hakuwa mungu kamili. Je hili halileti mkanganyiko pale yesu aliposema Baba ni mkuu kuliko yeye katika YOHANA 14:28 yesu aliposema ...kwa maana baba ni mkuu kuliko mimi, Sasa baba atakuwaje mkuu na haja kamilika?
3.Ikiwa Mungu ni mmoja na watatu kwa wakati mmoja je nani aliyekuwa mungu huko mbinguni kati ya zile siku za kusulubiwa na kufufuka?
Tuanzie hapa kwa leo.
Arsis; uhai anauchukua alietupa. Usione watu wanakufa, wengine bado sio maiti. Kufa ni tofauti na kufariki.Kuna huyu Mwanamuziki wa kisabato aliyefariki wiki iliyopita hapo JKCI anaitwa Marco, Ugonjwa unaosemekana kumuondoa ni ugonjwa ambao yeye hakuwa na risk yoyote. Muulize arsis kama ni kapewa ugonjwa wa kwa njia za kichawi au ni imetokea tu bahati mbaya?
Hiyo ipo, inatibu kila ugonjwa wa ngozi. Jana kuna mtu kaweka namba hapa kwenye uzi na kasema znamba zipo, nimesoma uzi wanaiita Zainab Clay au kitu kama hivyo, tumia search ya JF utauona na utapata namba.Mkuu Simba na Arsis hii dawa ya kutibu matatizo ya ngozi binafsi naomba kuifahamu kiundani au ni wapi niende ili niweze kuipata na kujifunza?
Haya ni mambo magumu sana na yenye vita kubwa sana, naomba tuache tu hivyo. Hii dunia ni hatari, mshukuru Mungu kwa maisha yako usipende maisha ya kufikirika ishi uhalisia wa maisha yako na ridhika na chochote upatacho baada ya kazi halali unayofanya.Funguka mkuu..
Tupe elimu.Mngejua huyu ni nani katika ulimwengu wa roho!
Arsis; Yesu ana baba, hakuna muujiza hapo, hata Adam ana baba.Kuelewa hutaweza kaka miaka yote haya mambo ni hadi revelation.. Akili zetu haziwezi kuwa comprehend..
Mimi nimekaa zaidi ya miaka 20 ukimuuliza hata Yesu kwanini hakuwa na baba nilikuwa sijui..
Ila hata hii inaweza ikawa porojo pia..