- Thread starter
- #1,681
Mimi Simba; Habari dada. nilikua nimelala usingizi mzito nimestuka nikaona ujumbe wako. Arsis kajibu mwenyewe, hivi:Elimu zimetofautiana elimu yako haifanyi mwingine asiwe na elimu ya kutosha.
ulisema hivi nanukuu Mimi nasema hivi; Huyu kaka yako anajua majini kupitia vitabu vya kichawi na masheikh wasio na elimu. Huyu ana kichwa kizuri cha kusoma lakini amesoma elimu sio sahihi. Arsis, Waongo sana alicheka akasema anasoma vitabu vya mashetani wa kipakistani, waongo sana.
Ndipo nikakupinga sababu hajawahi kusoma vitabu vya kichawi kuhusu Majinn na ma sheikh wa ki Pakistan nikakueleza Mwalimu wake ambae alikuwa mkubwa kasomeshwa wengi including marehemu Mufti Simba na alikuwa mwamba nae kwa elimu ya majinn, kisha nikakuelezea kasoma vitabu vya kina Ibni Arab etc
Kuhusu Qareen na Arsh hata mie nisie na elimu ningejibu ila kwakua yeye alete majibu basi nitampigia InShaa
Hilo sio jambo la kubishana. Ibn Arabi sio Arab. aisha pokea elimu au kataa. Elimu hailazimishwi
Simba; Samahani nilikua nimelala usingizi mzito, nimeamka sasa hivi. Masha allah, nakusifu umeandika kirefu sana na kwa kina sana. Binafsi naweza kukujibu lakini Arsis hayuipo mbali nahisi yeye ndio kaniamsha, anajibu mwenyewe.Kweli Arsis ni kiumbe na hakuna kiumbe kinajua kila kitu isipokuwa Mwenyeezi Mungu, kwahili Arsis kaongopa au ka kuongopea kaka yangu hajawahi kusoma vitabu vya mashetani ya kipakistani kasoma kwa Sheikh mkubwa Mwanza ukifika uliza Marehemu Sheikh Yusuf ambae mwanae Sheikh Mohamed Yusuf alikuwa Sheikh wa Wilaya ya Ilemela piaalie kuwa mwalimu wa marehemu Muft wa Tanzania Sheikh Simba uliza habari zake,kina Ibni Arab ambae hata Series ya Ertugul aliigiza na Sheikh mwingine alikuwa kwenye enzi za Alparslan.elimu nyingine kasomeshwa na majinn wake kama wewe ulikuwa na jinn bakora sijui Arsis yeye alikuwa nae Jinn Al Qais na Shariff na wengineo ambao kila mmoja kamfundisha ilmu yake Sharif mambo ya Quran dua tiba Qais nyota wengine tiba za kiarabu na miti shamba hivyo elimu yake yeye haifanyi wengine kuwa na elimu sio sahihi ukiwa Bora basi yupo bora zaidi yako rejea kisa cha Hizir na Nabii Musa A. S.
Ngoja nikupe tu kisa chake kwa ufupi alikuwa na akili sana alipendwa na watu,shule ya msingi akafaulu kwenda Bwiru boys siku moja akiwa mazingira ya shule wakaja wageni waarabu mwanamke na mwanaume wamebeba sanduku wakasalimia wakamuuliza tunamtafuta mtoto wetu anaitwa fulani mama yake fulani anafanya kazi sehemu flani kaka akashangaa mbona ni mie, wakasema ana alama yetu tulimuwekea mgongoni alipozaliwa ndio tutamtambua wakamwambia embu tuone mgongo wako wakasema tumekupata ndo wewe kisha wakapotea akawa na maruwe ruwe shule akaanza kupiga kelele vurugu shule ikawa tafrani akarudishwa nyumbani ikawa akienda shule vurugu walimu wakamwambia mama chukua mwanao mpaka apone atarudi kusoma,nyumbani nako vurugu wakajua kawa mwehu akawa wanamfunga kamba kuna siku akatoroka usiku mpaka ziwani Mwaloni Kwanza, mpaka kwenye kina kikubwa cha maji hiki kisa watu wa Mwanza Kirumba wanakijua maana ni maarufu alikuwa wenyeji wanajua kisa chake Mama yake akalia sana mwanae anakufa kwenye maji lakini alitoka kuna Mama jirani wa kiarabu akamwambia Mama fulani mwanao huyu ana jinn mpeleke kwa Sheikh Yusuf akapelekwa huko akawekwa sawa ndio akawa anasoma mpaka marehemu yule mnajimu akaenda Mwanza wakaonana akamwambia kijana una watu wakubwa sana ukipata muda njoo hotel nilipofikia njoo mwenyewe akaenda wakaongea akamwambia kuna kitu nikufanyie aka chukua kama chemli akamuwekea mgongoni halafu akampa mkono kuna maneno akasema kisha akamwambia sema nimekubali ×3 akasema nimekubali akavuta mkono Asante usiku kalala anaona wale mwanamke na mwanaume wa kiarabu wanalia wakawa wanakuja ndotoni wanalia wanataka kumfikia ila kama wana kizuizi toka hapo maisha yake yakavurugika hana mwelekeo kila analofanya linaharibika.
Miaka ikapita akaja kumuota yule Sheikh amekufa siku 3 mfululizo akawa anatuambia siku ya 3 akatangazwa baada ya msiba ule ana rafiki yake akampeleka kwa Mama mtu mzima ZNZ alikuwa anakaa malindi alikuwa maarufu Mcha Mungu kwa tiba simtaji jina ila watu wa ZNZ watakua wanamjua maana viongozi walikuwa wanamtumia alifariki wakati wakati Corona,akaenda yule Mama hakumwambia chochote akamwambia kunywa maji nenda akashangaa akarudi Dar akaota kondoo mweupe na mwekundu walikuwa wamefungwa kamba akawafungua hapo sasa akawa kafunguka akaanza kutibu japo unganga hakuupenda ila Majinn wake wakawa wanamfundisha tiba anasema alikuwa akikaa anamsikia Shariff kichwani anamuelekeza tiba ya kitu flani aandike nyiradi etc kila mmoja akawa anampa elimu yake ila baadae aliukataa uganga wakamtia jela miaka 2 mpaka siku alokubali na huko jela sasa ndo wanamfundisha anasema alikuwa akilala anajiwa usingizini anaelekezwa rufaa yake ilikuwa inakataliwa ila siku akaota Sharif kamjia akamwambia atatoka akatoka kweli na akaamua kutibu, hivyo kasomeshwa na marehemu Mwalimu Yusuf na vitabu vya kina Ibni Arab etc sio Wachawi wa Ki Pakistan na kafundishwa na Majinn wake mwenyewe hata sie wanatufundisha utashangaa anaongea tiba anasema andikeni nikiwa sipo mjisaidie vile siko interest na mambo hayo hata ningeamua utapeli wa uganga kwa tiba nazo zijua ningepiga pesa hivyo kama wewe una jinn bakora una arsis yeye ana shariff ana jinn al qais ana Subian Makata wa Makatani sijui Maalim Daruwesh ana Maalim Sultan Bedui Suleiman bin Dawood yaani kibao na kila mmoja ana mkewe na tushazoea unaweza kuwa unaongea nae kumbe sio banda unamwambia anashangaa mie sikumbuki kumbe watu wake na husema kuna muda huletewa kama screen au a nasikia sauti kichwani ana shida hii hii mfanyie hiki na tiba zake ka base Dua makombe dawa za kiarabu miti hana mitunguri wala ukifika kwake huwezi sikia harufu wala alama ukajua kwa mganga kwanza hapendi ajulikane nikimtania mganga anachukia.
Arsis; Anaitwa Arabi sio Arab. amejitahidi sana. Simba na Yusuf Allah awarehemu, siongelei watu hapa. Naongelea elimu.
Nimetaja elimu mbili a kupim mtu ana elimu ya kutosha au hana. Arsh na Qareen. ni elimu ya Qur'an sio ya watu. Mtu au unaijiua au huijuoi. Kwisha. Sisi kwa kua amaeuliza elimu ipo kwenye Qur'an na amerudi na maswali sio majibu. Tumepata fursa kubwa sana yakufundisha wengi kupitia yeye na yeye atajifunza pia. Mfundishe kutumia JF.. mjina ni elimu kuwa iliotajwa kwenye Qur'an mwanzo mwanzo tu wa suratul baqara. Ajifundishe, yeye na mutao soma hapa. Asieelewa aulize, kuuliza sio ujinga.
Nakufahamisha tu, ukiona mtu anaulizwa swali halafu na yeye anauliza swa;li kabla hajajibu, uje huyo hana elimu ya kutosha.
Sijasema watu hawana elimu hata siku moja. Waytu wengi wana elimu lakini au kidogp sana au elimu mbovu isio na manufaa.
Mwabie Sheikh wako Arsh ipo ndani ya mioyo (Galb Kiarabu(core in English) yetu. usikiri hio moyo ya kusukuma damu. "Arsh Allah wasaa". Fanya hesabu ndogo tu, jumlisha arsh ya watu wote walio hai, walio kufa pamoja na viumbe vyote vya dunia zote saba. Utajua ukubwa wa Arsh ya Allah.
Nafahamu hili jibu langu litamtatanisha yeye zaidi na wengi wengine, amefungua kopo la "worms", soma kuhusu "book worms" utanielewa.
Kuhusu Qareen,maana yake nyeoesi kabisa ni "swahiuba) au rafiki kwa Kiswahili, sasa ni rafiki wa vipi? Ipo kwenye Qur'an asipate tabu sana, yeye wala wanaonisoma wasome Qur'an wataikuta sehemu nyingi. Pia kuna hadeeth maarufu sana Masheikh wako watakua wanaijua imetaja Qareen
Mkitaka kujua zaidi kuhusu Arsh na Qareen, na kingine chochote, ulizeni tu. Elimu ni sadaka yangu kwenu. haya maswali simba unajua yote, kwanini hujibu wewe?
Simba; Elimu ni bahari, tuogelee.
Simba.