kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,176
Amekuwa kimya sanaMwingi tu!
Amekuwa kimya sanaMwingi tu!
Vyote vya samaki yaani maini ya samaki na moyo wa samaki.Maini ya samaki, moyo hujataja wa nani mkuu.!?
Khaaaa......!?NKNS
Vitabu vya Dolores Cannon labda?
Huyu mama ameandika mengi hasa kuhusu haya yote--kwa kweli; wengi tu huko Magharibi na Mashariki ya Mbali wameandika 'habari za ajabu' za mtu, watu na maisha.
Mazoezi !, mazoezi !--maarifa ni pamoja ujuzi na uwezo wa matumizi bora ya lugha na maneno; hili linakuja kwa nidhamu na udhamirifu wa fasaha na miundo ya semi/udadavuaji...
Maarifa yana 'Mbegu ya Ujuaji', siyo porojo tu na kuhorojoka. Ukifanyika uwezo ndani yako wa kuzibaini 'mbegu za ujuaji uliobora' basi unaweza kusoma mashauri yoyote na juu ya kisomo chochote--ilihali uwasilisho wake umesukika kiufundi.
Kwa hivyo yapo mengi humu, katika huu uzi, yanoyohitaji 'Kunyooshwa'--kutengenezewa koherensia ya ufikirifu; lakini hili linakuja kulingana na 'chachu' ya washiriki na uwezekano wa manufaa katika kuingiliakati mazungumzo.
In Shaa Allah, kadiri inavyofaa, kidogo kidogo 'tutayapatia sura rasmi' yote yanayohusiana na 'Ulimwengu wa Kiroho' kwa lugha yetu ya Kiswahili; kwa manufaa ya wale wote wenyebidii ya visomo na pia udhamirifu wa jitihada/ufundi wa uwasilishaji wa habari za maisha na maajabu ya maisha/uisho...
Hili siyo suala la starehe tu, hili ni suala la Utamaduni na Umahiri wa mambo... Kwenye 'kujichagulia ilivyobora', 'hakuna kazi nyepesi'...
Kila mtu anaubeba mzigo wake.
Hmmm
😂😂😂😂😂Dawa ya kigugummizi ni ndogo sana. kama ni Muislam jifundishe "tajweed".
Kama si Muislam imba nyimbo za kumtukuza Mwenyezi mungu. kama huamini Mungu, imba tu upendavyo.
Simba.
Ndugu yangu nimesoma stori yako ushauri wangu shikamana sana na Ibada jitahidi kutoa sadaka kwa wanyama pia kama unaweza fuga paka na njiwa. Achana na uradi wa masharti kuna wengine hutumia elimu yao kuwapa watu matatizo zaidi ili wao wanufaike kutoka kwako.InshaAllah
Siku zinakimbia, kesho kutwa utakuja comment hapa ni mwaka wa 3Hivi kumbe huu Uzi ushafikisha miaka miwili😁
Nimepita kutizama comment zangu za 2 yrs huko, mpk nimebaki kucheka.
Sahihi kabisa.Siku zinakimbia, kesho kutwa utakuja comment hapa ni mwaka wa 3
Hahahah kiasi chake. Japo Kuna baadhi ya vitu ni kweliUzi umejaa chai
Kama kipi?Hahahah kiasi chake. Japo Kuna baadhi ya vitu ni kweli
Humu Kuna taswira tofauti tofauti za ulimwengu wa kiroho.Kama kipi?
Kumbe kuna mashetani ya kijini na kibinaadamu? Kwa hiyo sio binaadamu wote mashetani na sio majini wote mashetaniوَكَذَٰلِكَ جَعَلْنَا لِكُلِّ نَبِىٍّ عَدُوًّا شَيَٰطِينَ ٱلْإِنسِ وَٱلْجِنِّ يُوحِى بَعْضُهُمْ إِلَىٰ بَعْضٍ زُخْرُفَ ٱلْقَوْلِ غُرُورًا وَلَوْ شَآءَ رَبُّكَ مَا فَعَلُوهُ فَذَرْهُمْ وَمَا يَفْتَرُونَ
And thus We have made for every prophet an enemy - devils from mankind and jinn, inspiring to one another decorative speech in delusion. But if your Lord had willed, they would not have done it, so leave them and that which they invent.
"Na kadhaalika tumemfanyia kila Nabii maadui mashet'ani wa kiwatu, na kijini, wakifundishana wao kwa wao maneno ya kupamba-pamba, kwa udanganyifu. Na angeli penda Mola wako Mlezi wasingeli fanya hayo. Basi waache na wanayo yazua."
(Suurat An'aam: 112)
Chemi huna lolote umemmisi mwana wa chuoni wetu ArsisChai ya Rangi Tupu
Sasa kapotelea wapi? Unawabeba abiria vizuri kisha unawabwaga tu njiani ghafla bila kuwafikisha destination.Chemi huna lolote umemmisi mwana wa chuoni wetu Arsis