Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Mche Allah na Tambua kuwa utahukimiwa kwa ulichokiandika, HADITHI za Bw. Mtume ziko zaidi ya Laki 6, yote ni Maneno yake ikiwekwa katika isnad ya wapokezi, Aya ipi ya Qur'an ambayo Mtume hakuifundisha?
HADITHI zikapangwa kwa madaraja, Sahihi, Hasan, Dhaif, na HADITHI Maudhui. Zote hizi kuondoa aina ya majitu kama ninyi, Leo unasemaje Kuna Aya za Qur'an Mtume hakuzitafsiri? Haya mananeo umeyatoa wapi haya?
Wacha kujiandikia vitu usivyovijua wewe Mwongo. Na followers zisikufanye kuingia katika kufru. Haikusaidii chochote ukiandika kwa matamanio yako isipokuwa utaulizwa na adhabu Kali itawashukia watu wa aina hiyo isipokuwa wakitubia.
Si tuoneshe aya hii ya Qur'an inatafasiriwa hivi na Mtume. Moja moja tu, tuone tutafika aya ngappi kila tunavyoendelea na uzi.

Adam wapi kaandikwa kua ni mtu wa kwanza katika Qur'an?

mwaga elimu.
Simba.
 
Naam Mtume S.A.W aliwateua kundi maalumu la waandishi wa Qur'an nao ni Abdullah Bin Amr Ibn Al As, Muawiyah Ibn Abi Sufyan, Zayd Ibn Thabit na Wengineo.
Inepokewa kutoka kwa Umar R.A kuwa Qur'an ilipokewa/kufundishwa katika Lahaja Sita. (Muslim 818)
Zaid ibn Thabit ndio mwandishi wa Quran baada ya Muhamad kufariki.
 
Si tuoneshe aya hii ya Qur'an inatafasiwa hivi na Mtume. Moja moja tu, tuone tutafika aya ngappi kila tunavyoendelea na uzi.

Adam wapi kaandikwa kua ni mtu wa kwanza ktika Qur'an?

mwaga elimu.
Simba.

"وَإِذْ قَالَ رَبُّكَ لِلْمَلَائِكَةِ إِنِّي جَاعِلٌ فِي الْأَرْضِ خَلِيفَةً" {البقرة:30}

" إِذْ قَالَ رَبُّكَ لِلْمَلَائِكَةِ إِنِّي خَالِقٌ بَشَرًا مِنْ طِينٍ" {ص:711}. Aya zote hizi zimemuelekea Adam A.S
Haya basi Allah akisema ENYI Wana Wa Adam (Qur'an 7:27) una linguine la kubisha ewe Jaahil?

HADITHI (AlbuKhary) في صحيح البخاري: أن الخلائق يأتون آدم يوم القيامة يطلبون منه الشفاعة، ويقولون: يا آدم، أنت أبو البشر، خلقك الله بيده، ونفخ فيك من روحه، وأمر الملائكة، فسجدوا لك، وأسكنك الجنة، ألا تشفع لنا؟
 
Hilo la Mtume kugtokujua kusoma maishani mwake mimi sikubaliani nalo, labda hakufundishwa na mtu kusoma kabla ya Utume. Baada ya hapo alijua kusoma na kuandika pia inawezakana.
Simba.
Allah anasema: (Al-Aaraf 7:157)*"
الَّذِينَ يَتْبَعُونَ الرَّسُولَ النَّبِيَّ الأُمِّيَّ الَّذِي يَجِدُونَهُ مَكْتُوبًا عِندَهُمْ فِي التَّوْرَاةِ وَالْإِنْجِيلِ يَأْمُرُهُمْ بِالْمَعْرُوفِ وَيَنْهَاهُمْ عَنِ الْمُنْكَرِ وَيُحِلُّ لَهُمُ الطَّيِّبَاتِ وَيُحَرِّمُ عَلَيْهِمُ الْخَبَائِثَ وَيَضَعُ عَنْهُمْ إِصْرًا وَالْأَغْلَالَ الَّتِي كَانَتْ عَلَيْهِمْ فَالَّذِينَ آمَنُوا بِهِ وَعَزَّرُوهُ وَنَصَرُوهُ وَاتَّبَعُوا النُّورَ الَّذِي أُنزِلَ مَعَهُ أُو۟لَـٰٓئِكَ هُمْ ٱلْمُفْلِحُونَ"
Tafsiri yake:
Ambao kwamba wanamfuata huyo Mtume, Nabii, asiye soma wala kuandika, wanaye mkuta kaandikwa kwao katika Taurati na Injili, anaye waamrisha mema na anawakanya maovu, na anawahalalishia vizuri, na ana waharimishia viovu, na anawaondolea mizigo yao na minyororo iliyo kuwa juu yao. Basi wale walio muamini yeye, na wakamhishimu, na wakamsaidia, na wakaifuata nuru iliyo teremshwa pamoja naye - hao ndio wenye kufanikiwa
Na Surah ya 62:2 Allah anasema:
هُوَ الَّذِي بَعَثَ فِي الأُمِّيِّينَ رَسُولا مِّنْهُمْ يَتْلُو عَلَيْهِمْ آيَاتِهِ وَيُزَكِّيهِمْ وَيُعَلِّمُهُمُ الْكِتَابَ وَالْحِكْمَةَ وَإِن كَانُوا مِن قَبْلُ لَفِي ضَلالٍ مُّبِينٍ.
Huu wote ni ushahidi wake kuwa Mtume ni Ummiyu (Asiejua Kusoma Wala kuandika).
Mche Allah kijana. Wewe ni Jaahil, ama Tapeli, ama umechanganyikiwa.
 
Ni sahihi unavyosema lkn mwisho wa siku wewe kama wewe inabidi ujitathimini na kujua ipi ni imani ambayo unataka kuwa,mfano huwezi sema naenda kanisani na msikitini,hapo kuna sehemu unaenda kupoteza mda bure tu
Unatoaje hukumu kirahisi namna hii?

Imeandikwa wapi hii?

Mfano huwezi fanya ibada za kiislamu kama hujaukubali uislamu,kuna mtu utamsikia ikifika ramadhani nafunga na waislamu wkt yeye hajaukiri uislamu,ina.maana hapo anashinda na njaa bure
Ni wapi imeandikwa hivi?

Maandiko si yanasema hukumu ya mtu ni kati ya mtu na Mungu wake?

Sijui hata kama ukatoliki kwa mfano haujabaatizwa sijui ukatoliki wako kama umetimia
Okay
Kwahiyo soma dini zote kisha fanya uamuzi sahihi
Sawa, ni ipi nafasi ya wazazi katika maamuzi yangu juu ya hili katika jambo ambalo nimewarithi wao?

Kwa mujibu wa maandiko Kama yapo.
 
Ingekua Kiongozi alieuanzisha mwenge Tanzania katokea bagamoyo ningefikiria mara mbili.

Sehemu nyingi tu, wakatoliki wana sherehe yao ya moto. t-Tena sio wakatoliki tu, na makanisa mengine pia.
Simba.
033024_Easter-Vigil-036.jpeg

Washington Cardinal Wilton Gregory presided at the March 30 Easter Vigil at the Cathedral of St. Matthew the Apostle, where people became full members of the Catholic Church as they received the sacraments of Baptism, Confirmation and Eucharist. (Catholic Standard photos by

Moto ndio mwenge ?
 
Mche Allah na Tambua kuwa utahukimiwa kwa ulichokiandika, HADITHI za Bw. Mtume ziko zaidi ya Laki 6, yote ni Maneno yake ikiwekwa katika isnad ya wapokezi, Aya ipi ya Qur'an ambayo Mtume hakuifundisha?
HADITHI zikapangwa kwa madaraja, Sahihi, Hasan, Dhaif, na HADITHI Maudhui. Zote hizi kuondoa aina ya majitu kama ninyi, Leo unasemaje Kuna Aya za Qur'an Mtume hakuzitafsiri? Haya mananeo umeyatoa wapi haya?
Wacha kujiandikia vitu usivyovijua wewe Mwongo. Na followers zisikufanye kuingia katika kufru. Haikusaidii chochote ukiandika kwa matamanio yako isipokuwa utaulizwa na adhabu Kali itawashukia watu wa aina hiyo isipokuwa wakitubia.
Wewe ndio hujui ulichokiandika na kama hujui omba kuelimishwa kuliko kujifanya mjuwaji.

Hadithi si maneno yote ya mtume, hadithi ni kitabu kilichofanyiwa research kwa sababu kwenye Quran hakuna biography ya mtume ndio sababu ya kuandikwa vitabu vya sunna vya hadithi na Sila na waandishi wake waliviandika mtume akiwa ameshafariki.

Labda ili uelewe vizuri ni kama unavyoona injili ya Luka kwenye biblia aliandika maisha ya Yesu kwa kuwahoji watu waliokuwepo wakati wa Yesu, au kama unavyoona Absalom Kibanda anaandika kitabu cha maisha ya Lowasa atawahoji watu wote wa karibu akiwemo JK, sasa simple logic huwezi kudanganya umma eti kuandika kitabu cha mtu aliyekufa eti yote ni maneno yake si kweli acha kudanganya watu.

Hivi vitu tunafundishwa na maprofesa waliobobea na tunasoma vitabu sasa wacha mbambamba.
 
Si tuoneshe aya hii ya Qur'an inatafasiwa hivi na Mtume. Moja moja tu, tuone tutafika aya ngappi kila tunavyoendelea na uzi.

Adam wapi kaandikwa kua ni mtu wa kwanza ktika Qur'an?

mwaga elimu.
Simba.
Naomba maana ya maneno yaliyoandikwa katika hii pete

IMG_5903.jpeg
 
Wewe ndio hujui ulichokiandika na kama hujui omba kuelimishwa kuliko kujifanya mjuwaji.

Hadithi si maneno yote ya mtume, hadithi ni kitabu kilichofanyiwa research kwa sababu kwenye Quran hakuna biography ya mtume ndio sababu ya kuandikwa vitabu vya sunna vya hadithi na Sila na waandishi wake waliviandika mtume akiwa ameshafariki.

Labda ili uelewe vizuri ni kama unavyoona injili ya Luka kwenye biblia aliandika maisha ya Yesu kwa kuwahoji watu waliokuwepo wakati wa Yesu, au kama unavyoona Absalom Kibanda anaandika kitabu cha maisha ya Lowasa atawahoji watu wote wa karibu akiwemo JK, sasa simple logic huwezi kudanganya umma eti kuandika kitabu cha mtu aliyekufa eti yote ni maneno yake si kweli acha kudanganya watu.

Hivi vitu tunafundishwa na maprofesa waliobobea na tunasoma vitabu sasa wacha mbambamba.
Hehehe unachekesha sana Sasa unataka kubishana hata hati ya kiarabu huandiki, utaelewa mafhum ya HADITHI?
Inaposemwa Imepokewa kutoka kwa Fulani (rawi wa hadithi), ikapokewa kwa Fulani Amesema Abuu Hurairah Amesema Mtume S.A.W maana yake Unaelewa?
Mtiririko huu kitaalamu unaitwa Isnad, yote kuondoa UCHAFU wa kuzushwa kwa HADITHI mpya.
Muhdditheen (wataalamu wa elimu hii wako wengi) wanaogawa hadithi katika madaraja manne. HADITHI ziko katika madaraja manne
1. Sahihi- isnad yake ni ya nguvu sana na imepokelewa kutoka kwa Mtume S.A.W
2. Hasan, 3. Dhaifu 4. Maudhui.
Hebu niambie ni profesa Gani kakufundisha uongo huyo nipate kumraddi katika publishings zake na awe Discredited?
Kwenye hili Huna ujualo PhD. Tulia.
 
My Life Experience 02

Unknown creature + Binadamu= Chotara(Djinn/Nafsi/Soul), Hii haionekani kwasababu Baba umbile lake si la ulimwengu huu isipokuwa mama.

Hapa ndio kuna mkanganyiko mkubwa sana ambao binadamu mpaka leo haelewi Djinn(mmezoea kuita jina hili ingawa sio kweli Djinn) ni nani? yupo vipi na anawezaje kujua vitu vingi kuliko binadamu wa kawaida.

Djinn( ingawa sio Djinn kweli) Ni Nafsi, Nafsi haina umbo isipokuwa inaweza ingia kwa kiumbe chochote na muda wowote na kikakaa ndani ya muda mfupi.

Nafsi/Djinn ina nguvu na haina limitations, Ina maarifa mengi na chanzo cha maarifa haya ni kupitia Binadamu, Binadamu ana Mwili + Nafsi + Roho, Djinn anapata maarifa kupitia hii nafsi ya Binadamu ambayo ikiwa kwenye mwili wa binadamu haijitambui mpaka itoke nje ya mwili. Nafsi kwa Nafsi Zinaongea na zina wasiliana na zinapeana taarifa.

Binadamu ni Djinn endapo Nafsi yake ikiwa nje ya mwili.

Elimu hii sijasoma popote pale isipokuwa kutoka kwao wenyewe, Nilizunguka sehemu mbali mbali kwaajili ya kupata habari nusu nusu.
Hapo uliposema nafsi kwa nafsi zinaongea… umemaanisha Nafsi ya Binadamu A inaweza kuwasiliana na Nafsi ya Binadamu B?
 
Hehehe unachekesha sana Sasa unataka kubishana hata hati ya kiarabu huandiki, utaelewa mafhum ya HADITHI?
Inaposemwa Imepokewa kutoka kwa Fulani (rawi wa hadithi), ikapokewa kwa Fulani Amesema Abuu Hurairah Amesema Mtume S.A.W maana yake Unaelewa?
Mtiririko huu kitaalamu unaitwa Isnad, yote kuondoa UCHAFU wa kuzushwa kwa HADITHI mpya.
Muhdditheen (wataalamu wa elimu hii wako wengi) wanaogawa hadithi katika madaraja manne. HADITHI ziko katika madaraja manne
1. Sahihi- isnad yake ni ya nguvu sana na imepokelewa kutoka kwa Mtume S.A.W
2. Hasan, 3. Dhaifu 4. Maudhui.
Hebu niambie ni profesa Gani kakufundisha uongo huyo nipate kumraddi katika publishings zake na awe Discredited?
Kwenye hili Huna ujualo PhD. Tulia.
Hadithi zimepokolewa kutoka kwa mtume lini?

Waislamu wengi wanakariri Quran tu madrasat bila kusoma Islamic knoledge na historia ya Uislamu, tatizo lake ndio hili hata uelimishwe vipi huwezi kuelewa.

Tena mbaya zaidi waislamu wamejikita kusoma Biblia wakati Quran yenyewe wengi hamuijui wala hata hadithi hujui ni kitu gani wala hujui kwa nini viliandikwa vitabu vya hadithi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom