Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Inakuwaje kwa yule aliezaliwa na kujikuta ndani ya mchanganyiko huo kupitia wazazi (ie: Baba Islam, Mama Katoliki/Mkristo)?

Kama tulivyojikuta wengi wetu tukiwa Dini fulani/ Dhehebu fulani kwa sababu ya wazazi wetu?
Ni sahihi unavyosema lkn mwisho wa siku wewe kama wewe inabidi ujitathimini na kujua ipi ni imani ambayo unataka kuwa,mfano huwezi sema naenda kanisani na msikitini,hapo kuna sehemu unaenda kupoteza mda bure tu

Mfano huwezi fanya ibada za kiislamu kama hujaukubali uislamu,kuna mtu utamsikia ikifika ramadhani nafunga na waislamu wkt yeye hajaukiri uislamu,ina.maana hapo anashinda na njaa bure

Sijui hata kama ukatoliki kwa mfano haujabaatizwa sijui ukatoliki wako kama umetimia

Kwahiyo soma dini zote kisha fanya uamuzi sahihi
 
Waislamu wanatumia biblia kama sehemu ya mijadala na wakristo lkn hawatumii kwa mnasaba waa kumjua Allah,kwasababu qur'an ndio muongozo wetu na wenu pia
Wapi Adam ni mtu wa kwanza kwenye Qur'an?
Wapi Hawa kwenye Qur'an?
Wapi Sarah kwenye Qur'an?

hayo kwa kuanzia tu.
Simba.
 
Wapi Adam ni mtu wa kwanza kwenye Qur'an?
Wapi Hawa kwenye Qur'an?
Wapi Sarah kwenye Qur'an?

hayo kwa kuanzia tu.
Simba.
Naomba tuachane na haya mambo boss,binafsi nimeridhishwa na maneno ya Allah juu ya adam

Asante
 
Arsis na wenzake kila siku wapo kwenye vita ya kupambana, kuwapiga na kuwaua majini waovu, wachawi na washirikina. Je hiyo vita ipo kwa kiwango gani? Majini wapi wapo wengi duniani ni wazuri au wabaya? Hiyo vita yako itaisha lini?
Arsis je unaweza kutuambia kuhusu Triangle Bermuda, je ni kitu gani kipo pale kinachosababisha uvutani na kupoteza kwa chochote kinacho karibia hapo
 
Hicho Ghazaali ndio wanakiita tu hivyo lakini Imam Ghazali ana b)vitabu vingi na wapo wasomi wawili maarufu wote wanaitwa Ghazali, sasa kazi kwako.

Vipo kopi zake mtaa wa Aggrey sio mbali na msikiti wa Mtoro. Ni kopi zilizochapwa Pakistan. Hata kwenye mtandao humu ukizitafuta utazipata.
Simba.
Hahaha Arsis Wa Uwongo huyu, Au itakuwa elimu yake ndogo huyo.
Kashindwa Kuelewa Al Gahazali ataweza kueleza mengineyo? Kushindwa kuijua Shams Al Maarif Al Kubraa. Au wewe ni Tapeli.
 
Hahaha Arsis Wa Uwongo huyu, Au itakuwa elimu yake ndogo huyo.
Kashindwa Kuelewa Al Gahazali ataweza kueleza mengineyo? Kushindwa kuijua Shams Al Maarif Al Kubraa. Au wewe ni Tapeli.
Hebu Nipe Jibu Mujarrab kabla Sijautqngazia umma kuwa wewe ni Tapeli wa Kidigo 😂.
Maana nashangaa kuniambia Copy zake hivi vitabu vipi Kariakoo. Hebu toa hoja za kueleweka kijana.
 
Apo s
Yesu alikua ana ngozi kama Wahabeshi au Wasomali. Siku hizi mnawaita wakushi.
Simba
Siko kwa ajili ya dini but Mgekuwa wazi katika majibu kwa mf apo ulipo zunguka unge simplfy kwa kusema YESU alikuwa MWEUSI na ww umesha kuwa ARSIS ya kuwapa watu kazi ya kujitafutia material hili ni darasa huru mtililike ata MZEE WA SIKU/KARNE MWAMBIE AWE STRAIGHT KWENYE MAJIBU.
 
Arsis; Swali zuri sana.

Wanatumia bila kujijua, wamekua "brain washed" na hawaelewi tofauti, kwa sababu wanafata tafsiri. Hivi visa na mafundisho ya biblia yaliingizwa miaka mingi sana kwenye tafsiri za Wur'an sio Qur'an yenyewe. Ilianza baada ya kufa Mtume Muhammad.

Mtume, hakuitafsiri Qur'an, wanamzushia eti katafsiri. Mtume hakuna aya zaidi ya 10 au ishirini ndizo alielezea maana yake. Tafsiri zingine zote ni za kutunga au kugtokea biblia au fantasy za waandishi wa tafsiri, kama alfu lela u lela tu.

Mkiependa kujua zaidi kuhusu historia ya hadithi na kuna majina makubwa ya watu wa hadithi kwenye vitabu vyao wanakiri kuna visa wamevielezea kutokana na biblia, hii ni kwa kutokujua ubora na umuhimu wa Qur'an au kwa kudhani watu wataelewa zaidi wakifanya hivyo. Na wengine ni kwa makusudi kabisa ili wapotoshe ubora wa Qur'an.

Pia mkipenda kujua zaidi elimu ya Qur'an bila kutumia hadithi za kujitungia, ulizeni maswali kama hili, yenye nguvu. Kuna njia nyepesi za kila mmoja wetu kuweza kutambua hii hadithi ya kwe;i au sio hya kweli.

Kama mnakumbuka kuna mtu kaleya mstari juu huko, kaupamba kwa Kiarabu nikamuuliza aya ipi hii? Akajibu hadithi, nikamwabia hadithi ipi hio? Hajajibu tena, sasa ananisoma kwa kunusa nusa tu. Namwambia usofanye hivyo, sio elimu hio. Kama yalikua ni maneno ya mshairi sema tu ni mshairi, kama hujui yametoka wapi na uliyasikia tu, sema hayo nilisikia tu lakini sina elimu nayo yametoka wapi.

Tuytumie hili jukwa kujua mengi sana. Ya dini, ya sayansi, ya ulimwengu. Ya dhahiri na siri za kidunia. Tusowe na jazba kama hatujui kitu au tunas shaka nacho, sisi hatuwezi kujua kila kitu, isipokua tunasema umri huongeza maarifa na busra, nadio elimu yenyewe hio.

Hakuna zaidi ya Allah na mafundisho yake.
Arsis.
Niliyetoa hadithi ni mimi.
Kuna kitu tunatofautiana ili kuendena na mjadala vizuri, Nimeona watu wengi wanajaribu kukujibu kwa maandiko lakini wewe haujibu kwa maandiko hii imekaaje?
Sisi wengine hatutaki hadithi zisizokuwa na ushahidi unasema mara nyingi quran ni kitabu bora sana ila cha ajabu kwenye ujibuji wako wa maswali huweki reference yeyote ya quran au hadithi sasa tutakuamini vipi? Alafu sisi tukijitahidi kuweka wewe unakuja kupinga tu bila kutoa alternative hii sio kanuni ya kielimu.
Elimu ina misingi yake na moja wa msingi wa elimu Ni logic & evidence .
Nilikuuliza swali kuwa umesema adamu wapo wengi sasa kama wapo wengi maana yake adamu yeyote kati ya hao wengi akiwa ndio wa kwanza kuumbwa bado haiondoi ukweli kuwa Adam Ni binadamu wa kwanza maana wote wanaitwa Adam.? Hapo vipi?
Vinginevyo onesha katika quran kama adamu sio binadamu wa kwanza na useme wa kwanza ni nani? Katajwa wapi? Jina lake nani? Limetajwa wapi?
 
Simba: halafu arsis akisema anaweza kua chochote eti watu wanajidai kumshangaa, wakati JF majini wengi.
Simba.
Yapo mengi sana hujui tu yaani wengi .
1. 2. Wewe sio binadamu wakwanza wewe ni umo kati ya wengi na adam hajawahi lala na mama au dada au kaka kwa maana alikuwa na hawa tayari so. Jua hilo tupo kitofauti na wanadam wakale hata baba wa iman hajawahi fanya hivi iweje wewe ?? Halafu nyie waislam mnashida sana. Wewe ni mganga kweli ila mmh au basi kila la kheri
 
Niliuliza kuhusu ismullah liadwam ukasema nikupe idadi ya Alif Lam na Mimi nimepata ni sura nane hivyo kutakuwa na alif nane lam nane na miim nane sasa katika mpangilio wa abjad alif ina uzito wa 1, lam ina uzito wa 30 na miim ina uzito wa 40 hivyo itakuwa hivi 1x 8= 8, 30x 8=240, 40x8=320 ukijumlisha 320+240+8= 568.

kwahiyo nimepata jumla ya 568

Tell me what next?
 
HII SIMULIZI WAKATI INAANZA NILIIPENDA SANA MPAKA PALE ALIPOINGIZWA ARSIS, KWA ZILE SIFA ZA KWENYE SIMULIZI NA KUSEMA ARSIS ATAKUWEPO KUJIBU MASWALI WENGI WAKAWA NA SHAUKU KUTAKA KUULIZA MASWALI WAPATE MAJIBU NA WENGINE WATATATULIWE SHIDA ZAO.

IKAWA KINYUME NA MATARAJIO YA WENGI MPAKA WENGINE WAMEPUUZA UZI WANASOMA KAMA BURUDANI SABABU SO CALLED ARSIS ALIJIBU MASWALI ANAYO YATAKA YEYE AU NI SEME MEPESI KWAKE NA MENGINE ALIJIBU KWA KIFUPI SIO CLEAR YAANI ANAJIBU HUJAELEWA NA HATAKI KUELEZEWA UELEWE HATA MASWALI YALIVYO JIBIWA SIO YA MTU KWENYE ELIMU ALIYO JINASIBU KUFUNGIWA KWENYE CHUPA SIJUI NA MAJINN WAKUBWA JINN SUBIAN TU HAJAJIBU KAJIBU TU MAANA YA SUBIAN NI SABAYIN YAANI HAKUNA UFAFANUZI YAANI HAKUNA ILE ELIMU DEEP UKASHIBA NI KAWAIDA SANA NA NDIVYO WALIVYO WATU WASOJUA HUJIONA WANAJUA WAO BORA KULIKO WENGINE KAMA KUNA MTU ANAAMINI KUNA ARSIS SIJUI UTAPATA ELIMU MAJIBU YA MASWALI YAKO NA MJANJA KUKATAA INBOX KUSEMA WATU WAULIZE HAPA HADHARANI WATU WAJIFUNZE ANAJUA SIO RAHISI MTU AJIANIKE AU KUSEMA AJE NA ID NYINGINE NDO MAANA WALOULIZA KUELEZEWA SHIDA WAMEACHWA WANAELEA NASIKITIKA HAMTOPATA MNACHO KITARAJIA HAPA HAMNA KITU ILA MPAKA UWE NA D 2 😁 NDO UTAELEWA VILE WENGI HAWANA ELIMU YA MAMBO HAYO NDO KABISA MIE BINAFSI NILISHAWAHI KUMUULIZA SIMBA AMUULIZE ARSIS NILIMPA MASWALI AMBAYO ANGEJIBU NINGEJUA ELIMU IPO ILA SIMBA AKASEMA ATAULIZA ILA HANIPI AHADI I KAKA TANGAZO HAKUNA PM KUNA MASWALI NIKAULIZA SIJAJIBIWA NIKAJIBIWA TU NIMEULIZA MENGI KWA PAMOJA NIULIZE MOJA WAKATI INAWEZEKANA KUJIBU MOJA MOJA AENDELEE NA STORY ZA KAMBA NA BABU WA SOMALI ILA ELIMU HAKUNA HAPA NIENDELEE NA MAMBO MENGINE YA UTAFUTAJI MAISHA OVER AND OUT NATEREMKA HAPA BOAT YANGU IMETIA NANGA KUNA WATU KAMA LIDAFO ETUGRUL BEY FAIZA FOXY NAWEZA KUSEMA WANA ELIMU KULIKO SO CALLED SIMBA NA ARSIS WAKE.
Niulize mie njooni nawenzenu ila sio kioa kitu buree
 
Ni sahihi unavyosema lkn mwisho wa siku wewe kama wewe inabidi ujitathini na kujua ipi ni imani ambayo unataka kuwa,mfano huwezi sema naenda kanisani na msikitini,hapo kuna sehemu unaenda kupoteza mda bure tu

Mfano buwezi fanya ibada za kiislamu kama hujaukubali uislamu,kuna mtu utamsikia ikifika ramadhani nafunga na waislamu wkt yeye hajaukiri uislamu,ina.maana hapo anashinda na njaa bure

Sijui hata kama ukatoliki kwa mfano haujabaatizwa sijui ukatoliki wako kama umetimia

Kwahiyo soma dini zote kisha fanya uamuzi sahihi
Kwa kifupi, hakuna mraba mduara. Au uwe mraba au uwe mduara.
Simba.
Yapo mengi sana hujui tu yaani wengi .
1. 2. Wewe sio binadamu wakwanza wewe ni umo kati ya wengi na adam hajawahi lala na mama au dada au kaka kwa maana alikuwa na hawa tayari so. Jua hilo tupo kitofauti na wanadam wakale hata baba wa iman hajawahi fanya hivi iweje wewe ?? Halafu nyie waislam mnashida sana. Wewe ni mganga kweli ila mmh au basi kila la kheri
Kweli kabisa.

Hawa umemtoa wapi Muislam?
Simba.
 
Niliuliza kuhusu ismullah liadwam ukasema nikupe idadi ya Alif Lam na Mimi nimepata ni sura nane hivyo kutakuwa na alif nane lam nane na miim nane sasa katika mpangilio wa abjad alif ina uzito wa 1, lam ina uzito wa 30 na miim ina uzito wa 40 hivyo itakuwa hivi 1x 8= 8, 30x 8=240, 40x8=320 ukijumlisha 320+240+8= 568.

kwahiyo nimepata jumla ya 568

Tell me what next?
Kajifundishe abjad kwanza,
Simba.
 
Yapo mengi sana hujui tu yaani wengi .
1. 2. Wewe sio binadamu wakwanza wewe ni umo kati ya wengi na adam hajawahi lala na mama au dada au kaka kwa maana alikuwa na hawa tayari so. Jua hilo tupo kitofauti na wanadam wakale hata baba wa iman hajawahi fanya hivi iweje wewe ?? Halafu nyie waislam mnashida sana. Wewe ni mganga kweli ila mmh au basi kila la kheri
Punguza jaza, unafoka sana.

Kuna aliekwambia mimi binadam wa kwanza? Au unaota tu?
Qaislam wana shida kweli kweli, unasema kweli tupu.
Ingawa nafahamu kwa kua u mtu pepo (jini) unaweza kua chochote upendacho lakini natamani kuuliza, wewe wa kiume au wa kike?
Simba.
 
Niliyetoa hadithi ni mimi.
Kuna kitu tunatofautiana ili kuendena na mjadala vizuri, Nimeona watu wengi wanajaribu kukujibu kwa maandiko lakini wewe haujibu kwa maandiko hii imekaaje?
Sisi wengine hatutaki hadithi zisizokuwa na ushahidi unasema mara nyingi quran ni kitabu bora sana ila cha ajabu kwenye ujibuji wako wa maswali huweki reference yeyote ya quran au hadithi sasa tutakuamini vipi? Alafu sisi tukijitahidi kuweka wewe unakuja kupinga tu bila kutoa alternative hii sio kanuni ya kielimu.
Elimu ina misingi yake na moja wa msingi wa elimu Ni logic & evidence .
Nilikuuliza swali kuwa umesema adamu wapo wengi sasa kama wapo wengi maana yake adamu yeyote kati ya hao wengi akiwa ndio wa kwanza kuumbwa bado haiondoi ukweli kuwa Adam Ni binadamu wa kwanza maana wote wanaitwa Adam.? Hapo vipi?
Vinginevyo onesha katika quran kama adamu sio binadamu wa kwanza na useme wa kwanza ni nani? Katajwa wapi? Jina lake nani? Limetajwa wapi?
Nijibu hewa? kama Aadam nimesema hakuna kwenye Qur'an nilipoona ni mtu wa kwanza kuumbwa, sasa kitu hakuna nilete hewa? Maandiko unatakiwa ulete wewe unaesema yupo.

Wewe labda uulize, huyo anaetajwa hapa, au hapa au ni nani na tunaona jina adam? Ingawa napotajwa haisemi ni mtu wa kwanza, hapo gtugtachambua hizo aya kwa aya.

Mimi nasema Hawa hayupo, sijamuona kwenye Qur'an, wewed uliemuuona si ndio utupe elimu?
Wewe umeleta hadithi na kwana za hukusema hii ni hadithi, umeipamba kwa Kiarabu, wangapi hapa JF wenye kujua Kiarabu? Nikakuu;lliza hii aya ipi? Ukasema hadithi, nikakuuliza hadithi ya nani? au washairi tu? Hujajibu hilo mpaka sasa. Sasa wewe ulete dalil, unaambiwa itetee una gtaka maandiko nileye mimi? Mjadala yakieelimu haiendi hivyo.

Hawa mmemtoa wapi Waislam?
Simba. kNy Arsis.
 
Wewe acha kupotosha watu hapa hata kidogo,unaposema Mtume hakutafsir qur'an una maanisha nini?

Qur'an ilishuka kidogo kwa mda wa miaka 23 kutokana na matukio kadha wa kadha,je Mtume alikuwa anatoa mawaidha kwa kutumia nini kama sio qur'an?

Tofautisha hadith na tafsir ya qur'an boss,kama ni hadith ndio kuna utata kwa baadhi ya wapokeaje

Hii ya kusema watu wametafsir qur'an kwa kutumia biblia umetoa wapi?

Wewe ni mweupe sana katika dini,usiwadanganye watu wasio na elimu hapa
Kasome tena zimeandikwa na ya hazizidi ngapi vile?

Kama una ushahidi kua alitafsiri, tupe tafsiroi yake ya aya zaidi ya hizo zilizotajwa, au hujasoma post vizuri? Rudi juu kaisome tena. Usiwe na haraka, hapo ndio pakumbamiza Arsis kwa ushahidi kabisa. Hata mimi simuelewi elewi kwenye hilo. Lakini miaka sasa nimeshindwa kuleta ushahidi kua kuna kitabu au tafsiri za Qur'an za Mtume. Mimi sio msomi jamani, nimeishia madrsa kawaida tu kujua kusoma Qur'an na shule yangu ni form four tu, sio zaidi.

Wasomi msikubali, mwageni elimu.msichezewe elimu yenu na Arsis. mwageni elimu
Simba.
 
Nilishaweka wazi mjadala kuhusu adam nimeuacha huwa sipendi porojo
kwa hio umeshindwa kuleta aya kutoka kwenye Qur'an inayoonesha kua adam ni mtu wa kwanza. Hilo hata mimi kwa miaka sasa nimeshindwa.

Hilo nimekuelewa, sasa namuomba Arsis atupe elimu inapotawa adam ni kwanini nani huyo kama sio mtu wa kwanza? maana haiwezekani atajwe tu.

Swali lake la pili ni, Hawa mmetoa wapi Waislam?
Simba.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom