Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Mashimo ya mfalme Suleiman
Ni hadithi ya kubuniwa kama alivyosema muandishi kwenye utangulizi wa kitabu chake. Lakini imekuwa na matukio ambayo yameendelea kutukia katika Dunia hii kama alivyokili muandishi katika utangulizi huo.
Unalo lipi la kusema kuhusu mashimo ya mfalme Suleiman
Uhusiano wake na mlima Kilimanjaro
Chanzo Cha mto Nile na mambo ya mchawi gagula?

Arsis
Unamaanisha kitabu cha Mashimo ya Mfalme Suleiman, ambacho yumo na Umbopa?

Hicho kweli cha kutunga, humu anaongelea Suleiman alietajwa kwa jina mara 17 kwenye Qur'an.
Simba. kNy Arsis.
 
Katika mambo ambayo huwa na kili jf nili poteza muda mrefu kutokumuelewa FaizaFoxy umeifanya shule yangu kuwa mahali pa kujifunza ujinga Kwa miaka mingi!!!

Yupo mtu humu ameeleza kuwa historia ya mwenge ni bagamoyo na kama Arsis amepinga Kwa kusema kuwa hata wakatoliki wanakimbiza mwenge. Binafsi amenipa kitu Cha kutafakari hususani kutokana na uhusiano wa kanisa katoloki na mwalimu Nyerere. Pia Arsis alieleza uhusiano wa mwenge na jamii za ziwa Victoria kwenye jibu lake la swali langu. Ila naomba nimpe kisa hiki atuhadithie kama ni Cha kweli ama Cha kupikwa. Forojo Ganze (Master), mchawi maarufu aliyeanzisha Mwenge wa Uhuru

Na je mwenge wa uhuru unauhusiano Gani na mambo ya Anasa yanayofanyika ukiwa ni pamoja na uzinzi na ulevi wa kutupwa?
Arsis


l

Naona cha umuhimu sio jina nani au nani. Muhimu ni nani aleruhusu kama nchi au chama kifanye hivyo?

Nakubaliana na wanaosema ni ushetani tu.

Arsis naona kaenda mbali kidogo kuelea kwa kina tokea kina Yahaya na Saba na Katoliki na mengine.
Simba.
 
Nijibu hewa? kama Aadam nimesema hakuna kwenye Qur'an nilipoona ni mtu wa kwanza kuumbwa, sasa kitu hakuna nilete hewa? Maandiko unatakiwa ulete wewe unaesema yupo.

Wewe labda uulize, huyo anaetajwa hapa, au hapa au ni nani na tunaona jina adam? Ingawa napotajwa haisemi ni mtu wa kwanza, hapo gtugtachambua hizo aya kwa aya.

Mimi nasema Hawa hayupo, sijamuona kwenye Qur'an, wewed uliemuuona si ndio utupe elimu?
Wewe umeleta hadithi na kwana za hukusema hii ni hadithi, umeipamba kwa Kiarabu, wangapi hapa JF wenye kujua Kiarabu? Nikakuu;lliza hii aya ipi? Ukasema hadithi, nikakuuliza hadithi ya nani? au washairi tu? Hujajibu hilo mpaka sasa. Sasa wewe ulete dalil, unaambiwa itetee una gtaka maandiko nileye mimi? Mjadala yakieelimu haiendi hivyo.

Hawa mmemtoa wapi wa Waislam?
Simba. kNy Arsis.
Mimi sijasema hawa katajwa mimi nipo kwa adam, Hayo ya hawa najua hajatajwa kwa jina lake, mimi nipo kwa adamu kwakuwa katajwa kwenye quran kwa jina lake kabisa Adam katika 7:12 quran

وَلَقَدْ خَلَقْنَـٰكُمْ ثُمَّ صَوَّرْنَـٰكُمْ ثُمَّ قُلْنَا لِلْمَلَـٰٓئِكَةِ ٱسْجُدُوا۟ لِـَٔادَمَ فَسَجَدُوٓا۟ إِلَّآ إِبْلِيسَ لَمْ يَكُن مِّنَ ٱلسَّـٰجِدِينَ ١١

"Surely We created you,1 then shaped you, then said to the angels, “Prostrate before Adam,” so they all did—but not Iblîs,2 who refused to prostrate with the others."

Nime highlight kabisa uone jina la Adamu lilipo, Sasa hapo ni baada ya adamu kuumbwa ndio malaika wakaambiwa wamsujudie mimi nimetumia hii aya kuonyesha kuwa adamu katajwa kwenye quran sasa wewe unataka uone wapi katajwa kama binadamu wa kwanza ? nilisha jibu hili hakuna sehemu imeandikwa kwenye kuran kuwa adamu ni binadamu wa kwanza nikakwambia waliotutangulia katika elimu wamejitahidi kufasir nakusema kuwa adamu ndio mwanadamu wa kwanza sasa wewe unaasema sio ndio nakuuliza kama sio wa kwanza ni nani ? na katajwa wapi? mbona unakwepa kujibu hapa kama kweli unaelimu na huyo Arsis anasema ana mika zaid ya 500 aoneshe elimu yake hapa ajibu hayo maswali anakwepa nini? nilimuongezea na maswali mengine anasema adamu wapo wengi nikamwambia kama niwengi basi kivyovyote vile binadamu wa kwanza atakuwa adamu tu maana waliumbwa wengi ila wote ni adamu mbona anakwepa hapa onesha iyo elimu acha maneneo matupu.

Swala la kusema nilitoa hadithi ndio nilitoa sikumbuki ipo katika asnad ya ibn majah au aboo daud nikakwambia unataka tutumie quran tu utaki hadithi? hujanijibu mpka sasa?
 
Inatokea post namba 81.

Nikabeba bakora yangu nikaelekea kwenye uwanja, nikaukuta uwanja mweupe kama umesafishwa, kutazama saa ya simu yangu ilikua saa 9 kasoro dakika 1, nikaona nimefika kwa muda muafaka, nikasimama natazama huku na kule nashangaa shangaa, uwanjani, kwa mbali, mwisho wa kiwanja kile kutupu, kuna kama miti miwili mitatu na yenyewe sio mikubwa sana, nikaona kama kuna mtu kavaa baibui kwa mbali, nikatoa salaam kwa sauti hajaitika, nikaanza kusoma dua, ile nasoma dua, yule mtu akapotea mbele ya macho yangu, ingawa ilikua kama mita 30 kutoke kwangu lakini kulikua ni mchana kweupe, kupotea kwake ikawa kama kayeyuka kwa kwenda chini ya ardhi na kwa mbali nikaona kama lile baibui limebaki pale nikawa nalisogelea kulitazama huku nasoma dua ndogo ndogo, kufika kama hatua kumi na pale, nikaona ardhi ni nyeupe, hakuna baibui hakuna mtu. Nikacheka, nikawa narudi pale kati ya uwanja, ile nafika kati ya uwanja nikajiuliza kwa sauti, yuko wapi aliyenitaka nije, itakua ndoto tu ile, nikawa naondoka, ile naanza kuondoka, nikasikia sauti ikiniita Bwana Mkubwa, nikageuka kutazama pande zote sikuona kitu sauti ikaendelea kunambia, huwezi kuniona, tafuta kitu ukae chini hapo nikajibu, wewe nani, mimi staki kukaa, ile kusema sitaki kukaa, kama nguvu fulani ikanivuta chini, nikajikuta nimekaa chini, nikitaka kunyanyuka nashindwa, nikapata kama hofu fulani, Ile sauti kwa upole wa kawaida, ikanambia usiwe na wasi wasi kaa chini, huwezi kunyanyuka hapo, ni mimi nimekuita, mimi naitwa Arsis. Akaendelea kunituliza kwa sauti ya kawaida, nisiwe na wasiwasi. Nikamwambia ramsis? Huyo si firauni, akanijibu akasema, kweli Ramses ni katika mafirauni, mimi sio Ramses, ni Arsis. Nilikuwepo pia wakati wa Ramses, namfahamu.

Ikawa wakati tunaongea kama mwili umejiachia na naweza kusimama, nikasimama sauti ikanambia tena, kaa chini tulizana. Uliza chochote unachotaka, naona una maswali mengi sana unajiuliza. We niulize tu, mimi nipo hapa kwa ajili yako. Nikawa nasita kumsemesha. Akanambia nisikilize kwa makini. Mimi nipo hapa kwa ajili yako, babu yako anajua habari zangu, hajwahi kuniona mimi hata siku moja, ni kama hivi ninavyoongea na wewe tu.

Hiyo pete ulioivaa ni yangu na mimi nimekuzawadia, hio pete ni ya zamani sana na inawindwa na kila mtu na majinni wajinga wajinga wanaitaka sana hiyo. Nikamuuliza, wanaitakia nini? Akasema ukiwa na hiyo pete ndio unakua u karibu na mimi na ukiivaa hio mimi nakua nipo chini yako, hio pete yangu lakini mimi siruhusiwi kuivaa toka nilipooneshwa, mimi kazi yangu kuilinda na anapokufa anaeivaa mwenye pete hio naichukua namtafuta mwenye vigezo vya kuivaa. Kwa sasa nimekaa nayo miaka zaidi ya 925 bila kupata mtu wa kumpa hio pete aivae, nimeacha salamu nyingi sana, mpaka mwaka juzi, nikatumiwa salamu nije kukuona kama una vigezo, nikawa nakufatilia sana, nikaona vigezo unavyo na vingine utajifunza kadiri siku zinavoenda.

Kwa ufupi, hio pete, unaweza kuivaa kidole chochote, mkono wowote, na kila utapoivaa utaiona ipo sawa, haikeri mkononi. Unaweza pia kuivua wakati wowote, lakini kumbuka, ukiivua lazima uiweke kwenye kijaruba chake. Haitakiwi ikae bila ulinzi wangu hata nusu dakika, kukupotea hiyo ikiwa umaivaa ni kitu hakiwezekani, wala haiwezi kuvuka kwa bahati mbaya. Ikikaa kwenye kijaruba chake hakunaambae haimuhusu hio pete akaweza kukinyanyua. Wewe si umekiona kawaida unakibeba inakifungua unakitazama, lakini jaribu kwa wengine uone kama watawea kukibeba. Nikamwabia, nakuamini, sina sababu hya kujaribu. Akaendelea kusema, ukinihitaji wakati ewowote wewe niute gtu. leo namalizia kwa hayo tu, usiku saa tatu uje hapa uniite, tutaongea zaidi na tayarisha maswali yakuniuliza. Uliza chochote utakacho kukijua, nipo hapa kwa kukupa elimu ambayo watu wengi sana hawana. Babu yako amenisikia tu habari zangu kwa mwenye hio bakora, lakini hajawahi kuongea na mimi isipokua huwa kuna vitu tunamuotesha ndani ya hii miaka mitatu, toka nilipokuona wewe. Mwenye hio bakora ni rafiki yangu wa miaka mingfi sana. Hio bakora nayo sio ya mchezo mchezo, lakini yeye mwenyewe atakufahamisha. Nikamwabia nifahamishe tu, kwani kuna ubaya? Akanambia, hakuna ubaya lakini mwenye ndio atakufahamisha vizuri zaidi. Unakumbuka ulivyolala leo mchana uliiweka wapi? Nikamwabia pembeni yangu, akanambia unakumbuka ulivyoamka uliikuta wapi? Nikamwabi nimeikuta imesimama kwenye ukuta wa pango. Ile sauri ikacheka, ikanambia haya kwa heri tutaonaana saa tatu usiku. Uje peke yako, ukija mwengine yeyote hatutoweza kuwasiliana, hautakiwi uje na mtu ukija kuniona. Kwaheri, akaniaga na mimi niawa natabasamu narudi pangoni.

Kufika pangoni nikaingia kwa ndani ya pango, nikaiweka fimbo pale chini kwa kulaza chini. Kuiweka tu, ikaanza kunyayuka yenyewe ikasimama ikasogea pembeni ukutani ikajiweka pale. Nikacheka kimoyomoypo. Huku najisema makubwa haya. Mara nikasikia hodi nje.

Kutoka nje ya pango, nikawakuta vijana wa babu wamekaa, wakanambia ulikua wapi Bana mkubwa, tumekuja muda hatujakukuta, tumekutafuta kote hatujakuona, kumbe upo hapa ndani mapangoni? Kabla sijawajibu, waksema leta pilau lile tuli[pige, bibi huko kasema tuje kula na wewe usile peke yako. Nikatoka na lile kapu la chakula wakaandaa pale tukakaa tukapiga pilau, ilikua pilau ya nguvu kweli, pilau ya kamba.

Mooja wa wale vijana akasema hao kamba bwana wanaitwa taiga, hao ndio kamaba ghali kabisa wakati wa msimu, hao ni lazima msimu ukianza ni lazima apelekewa babu na bibi pale nyumbani, hao wa pilau hiyo ni fresha wa alfajiri hao, hawajaguza friji hao. Hao ni wakubwa kasi sio wa kawaida wana nyama kweli. Tena usiku tutakula hao hao wa kuchoma, baadae tukawavune bwawani kwao. Wapo leo, wengi hawapajui pale.


Tukala pilau tukamaliza, kulikua n chiupa ina juisi ya machungwa, tukaipiga pale. Nikawaambia leo hatuna haja ya kula tena. Wakacheka yule nnae kaa nae pangni akasema usiku baridi huku, bibi kasema tukawavune tuwatengeneze wa kuchoma, yeye atakuletea rojo lake la kulia hawa, atakuja nalo babu usiku. Nikawaa mpbia poa, kweli usiku kuna kibaridi huku.

Tkakaaa kaa wananip story za kamba na namna wanavyotengeneza pesa msimu wa kamba. Wakasema kuanzia miezi miwili mitatu ijayti tutakua hatungji msimu, babu alimleta mtaalam wa ufugaji kama tumeshaanza kuchinga njia ya maji na bwawa upande ule, wakanionesha kwa kidole. Babu kafanya jambo la maana sana, lakini yuke mtaalam akasema huku pa asili tusipaguse kabisatupaache hivi hivi, hawa kamba wa asili huku ni bota mara mia kuliko wale trutakaowafuga, ingawa mbegu tutato hapa hapa, watakua tofauti kasema. Nikawaambia naona itakua kama kuku wa kienyeji na broila, wakacheka, wakasema hata mtaalamu kasem hivyo kwa sababu wale wa kufuga kuna vyakula vya atatufundisha kuvitengezeza ili wawe wanakua haraka. Tutaona jamani, itakuaje.


Itaendelea.
Hili andiko kila nnavosoma nagundua vitu, muhusika wa kiume ila maneno mengi ni kama muandishi jinsi ni KE, mfano anavosifia misosi maneno kama ROJO nk au et "makubwa haya 😄 "
 
Arsis; Swali zuri sana hili. Ngoja niigie ndani zaidi kidogo ili watu wengi wapate kuelewa.Hio ni ibada ya kishetani.

Kama mnakumbuka mnaoufatilia huu uzi, wakati tunafafanua kidogo huko nyuma kuhusu Subian tukaelezea kua Subian linatokana na Saba, Sheba (Abysinia) au habashia Kiarabu. Waarabu wakisema Subian wanamaanisha mtu wa kutokea Saba au mwenye asili y Saba au ana nasaba ya Saba.

Sabb ndio utawala ambao wengi wanaamini wakati fulani ulikua na mtawala mwanamke (malkia), mwanamke mwenye nguvu, hakima, busara na mali nyingi sana. Huu utawala uliabudu nhota na moto lakini baadae wengi wakaamini vingine. Miaka mingi baadae wapo ambao wamekua Wayahudi, wapo ambao wamekua wakristoo, wapo ambao wamekua Waislam. Wapo ambao wamebaki kua ni Wasabai na Wapo wanaabudu nyota na moto.

Pia kuna ambao wamebaki na mila hizo za saba kwa kupitia mizimu (jini) ya zamani. mizimu na majini wengine ni roho ambazo hazijaingia kwenye umati. Watu wanaouliwa wengi wanakua wamekufa mwili lakini roho zi hai, hazijaigia kwenye umauti. Ndio hubaki kua mizimu, kua majini na wengine huita Qareen au wengine ruhani. Majini ni wengi ni roho za watu.

Hapa ielewedke zote ni roho, hakuna roho ya kibinadam au kijini bali miili ndio ipo ya kibinadam, na viumbe wengine. Roho inaweza kukaa kwenye mwili wowote.

Kwa bahati nzuri au mbaya hii Ardhi huko ziwa victoria, chanzo cha mto nile, ndio iikua moja ya njia kuu za kwenda na kurudi kati ya kaskazini na Kusini. Kuna makabila ya kando ya ziwa, yana mizimu ya kisaba "subian" ina nguvu na inadai watu waelewe nguvu yao na uwepo wao kwa kugtumia moto. Wanaoamini hio miziu inaweza kuwalina na kuwapa mafanikio ndio waliouanzisha huo mwenge.

Mwenge sio hapa kwetu, upo mpaka wanaoita michezo ya olympics. Upo mpaka makanisani, kanisa katoliki linaongoza. kwa kuwasha nwenge wa kuwatukuza ma Subian.

Pia ieleweke hawa masaba wanaamini wana kitabu cha Yahya kwa Waislam na Wayahudi, John kwa wazungu.

Hilo suala linagusia mambo mengi sana, nimejaribi ufanya kwa ufupi sana. Ni elimu kiubwa sana ya mtu kupata PhD kwa sabu yote utaweza kuitetea kwa ushahidi au wa moja kwa moja au wa kimazingira.

Binafsi naamini Yahya ni kaka yake Isa na mama yao ni mmoja Mariam, Meritaton.

Natumai imeeleweka.
Arsis.
Unavyosema binafsi unaamini Yahya ni kaka ake isa mama yao ni mmoja leta ushahidi ?
Katika Quran hajatajwa mama yake yahya wewe umejuaje mama yake ni mariam?
kwenye quran katajwa zakaria kama baba yake yahaya katika 3:39 imran

إِذْ قَالَ ٱلْمَلَائِكَةُ يَا زَكَرِيَّٓ إِنَّ ٱللّهَ يُبَشِّرُكَ بِغُلَامٍۢ اسْمُهُ يَحْيَىٰ لَمْ نَجْعَلْ لَهُ مِنْ قَبْلُ سَمِيًّا
"Wakati malaika waliposema: ‘Ewe Zakaria! Hakika Mwenyezi Mungu anakupatia bishara ya mtoto anayeitwa Yahya. Hatukuwahi kumfanya kuwa na jina kama lake kabla yake.’"


Hapo katajwa baba yake yahaya tu naye ni zakaria nipe aya inayoonesha mama yake yahaya ni mariam?
ukija katika biblia mama yake yahaya kwenye biblia yahaya ndiyo yohana mbatizaji (john the baptist) ametajwa katika Luka 1:5 kama elizabet sio mariam au meritaton kama unavyomwita
LUKA 1:5 Inasema..
"Wakati wa utawala wa Herode, mfalme wa Yudea, kulikuwa na kuhani mmoja aitwaye Zakaria, kutoka katika kundi la Abiya, na mkewe alikuwa miongoni mwa binti za Haruni, jina lake alikuwa Elizabeth."

Niambie na kwenye biblia wapi katajwa mama yake yahya ni mariam?
 
Ilitokea tu nilifanya kazi misheni ya Wakatoriki kule Peramiho.
Jinsi walivvokuwa wana nihudumia vizuri kimahitaji ya maisha na nikaanza kushirikiana nao kama kwenda kanisani kusali nao, kusoma Biblia na kuitafakari, nikayapenda mazingira yote kwa ujumla na kuamua kuwa Mkristo.
Hujapotea ndungu uko sahihi
KANISA MOJA TAKATIFU LA MITUME
 
Hahaha Arsis Wa Uwongo huyu, Au itakuwa elimu yake ndogo huyo.
Kashindwa Kuelewa Al Gahazali ataweza kueleza mengineyo? Kushindwa kuijua Shams Al Maarif Al Kubraa. Au wewe ni Tapeli.
laikin braza mbona vitabu vya uganga vipo ving tu.hio shamsul maarifa. hio ghazal tena ndio kopi kabisa
hakuna mwenye original.mbona tumekausha tu hapa tunashangaa unataka ghazal original uliiona wap?mbona kuna ghayatul hakkam, nacho si cha uganga pia ukipenda ki ggogle picatrix. sion mantiki ya kumsumbuq huyu mwamba akuelezee na kishakwambia hayo ni copy za pakistan.na jiibu lake kweli mana huko ndio wanavitoa mfano hio ghayatul hakkam.
 
Naomba tuachane na haya mambo boss,binafsi nimeridhishwa na maneno ya Allah juu ya adam

Asante
EWapi Allah hayo maneno yake kua Adam mtu wa kwanza?

Usitie maneno yako ukasingizia ya Allah. Kakatazwa hilo hata mtume Muhammad na ni onyo kwetu...

69.Suuratul H'aaqqah:

38.
Basi naapa kwa mnavyo viona,38
39. Na msivyo viona,39
40. Kwa hakika hii ni kauli iliyo letwa na Mjumbe mwenye hishima.40
41. Wala si kauli ya mtunga mashairi. Ni machache sana mnayo yaamini.41
42. Wala si kauli ya kuhani. Ni machache mnayo yakumbuka.42
43. Ni uteremsho utokao kwa Mola Mlezi wa walimwengu wote.43
44. Na lau kama angeli tuzulia baadhi ya maneno tu,44
45. Bila ya shaka tungeli mshika kwa mkono wa kulia,45
46. Kisha kwa hakika tungeli mkata mshipa mkubwa wa moyo!46
47. Na hapana yeyote katika nyinyi ambaye angeli weza kutuzuia.47
48. Kwa hakika hii ni mawaidha kwa wachamngu.48
49. Na hakika Sisi bila ya shaka tunajua kwamba miongoni mwenu wapowanao kadhibisha.Na hakika bila ya shaka itakuwa ni majuto kwa wanao kataa.49
50. Na hakika bila ya shaka itakuwa ni majuto kwa wanao kataa.50
51. Na hakika hii bila ya shaka ni haki ya yakini.51

Simba kNy Arsis.

 
Kasome tena zimeandikwa na ya hazizidi ngapi vile?

Kama una ushahidi kua alitafsiri, tupe tafsiroi yake ya aya zaidi ya hizo zilizotajwa, au hujasoma post vizuri? Rudi juu kaisome tena. Usiwe na haraka, hapo ndio pakumbamiza Arsis kwa ushahidi kabisa. Hata mimi simuelewi elewi kwenye hilo. Lakini miaka sasa nimeshindwa kuleta ushahidi kua kuna kitabu au tafsiri za Qur'an za Mtume. Mimi sio msomi jamani, nimeishia madrsa kawaida tu kujua kusoma Qur'an na shule yangu ni form four tu, sio zaidi.

Wasomi msikubali, mwageni elimu.msichezewe elimu yenu na Arsis. mwageni elimu
Simba.
Wewe kama humuelewe je sisi tutamuelewa?

Tupo kupeana elimu na sio kubishana,sasa hatuna haja ya ķumdhibitishia mambo ambayo yapo wazi kabisa,,Mtume aliwalingania watu kwa qur'an kwa miaka 23 mfululizo,sasa leo unaposema hakutafsir qur'an unamaanisha nini?

18:27

"Na soma uliyo funuliwa katika Kitabu cha Mola wako Mlezi. Hapana wa kubadilisha maneno yake. Wala nawe hutapata makimbilio isipo kuwa kwake."

Hapo Mtume anaambiwa na asome kitabu cha Allah kwa maana kupitia kwacho ndio alikuwa anatoa mawaidha kwa waja wa Allah,je alikuwa anawasomea tu bila kuwa fafanulia maana za aya za Allah?

Na hakika mitume walikuŵa waonyaji na wabashiri, je waliwaonya watu kwa maneno yao binafsi au ya Allah? Je hawakufafanua ujumbe wa Allah mpaka ukaeleweka?

18:57

"Na hatuwatumi Mitume ila wawe wabashiri na waonyaji. Na walio kufuru wanabishana kwa uwongo, ili kwa uwongo huo waivunje kweli. Na wanazifanya Ishara zangu na yale waliyo onywa kuwa ni mzaha."

Kwahiyo bwana Simba,si kila anachozungumza arsis ni sahihi,na hatuwajibiki kwake kwa lolote,tupo hapa kupeana elimu,kama anakuja hapa kuleta challenge ambazo hazina maana hatupo hapa kwa ajili ya porojo hapa
 
Hahaha Arsis Wa Uwongo huyu, Au itakuwa elimu yake ndogo huyo.
Kashindwa Kuelewa Al Gahazali ataweza kueleza mengineyo? Kushindwa kuijua Shams Al Maarif Al Kubraa. Au wewe ni Tapeli.

Hodari sana wewe, Arsis kaleta kwenye uzi hu huu hayo uliouliza wewe na kaelezea hivyo vitabu vilipoanzia. Unaonesha hujausoma uzi umeuanzia mwiso.

Usome uzi utayakuta aliolezea halafu mpinge kwa hayo. Hapo ndipo anaponimaliza Arsis, utafikiri alikua anajua kua atakuja mtu kuuliza swali kuhusu hivyo vitabu.
Simba.
 
Wewe kama humuelewe je sisi tutamuelewa?

Tupo kupeana elimu na sio kubishana,sasa hatuna haja ya ķumdhibitishia mambo ambayo yapo wazi kabisa,,Mtume aliwalingania watu kwa qur'an kwa miaka 23 mfululizo,sasa leo unaposema hakutafsir qur'an unamaanisha nini?

18:27

"Na soma uliyo funuliwa katika Kitabu cha Mola wako Mlezi. Hapana wa kubadilisha maneno yake. Wala nawe hutapata makimbilio isipo kuwa kwake."

Hapo Mtume anaambiwa na asome kitabu cha Allah kwa maana kupitia kwacho ndio alikuwa anatoa mawaidha kwa waja wa Allah,je alikuwa anawasomea tu bila kuwa fafanulia maana za aya za Allah?

Na hakika mitume walikuŵa waonyaji na wabashiri, je waliwaonya watu kwa maneno yao binafsi au ya Allah? Je hawakufafanua ujumbe wa Allah mpaka ukaeleweka?

18:57

"Na hatuwatumi Mitume ila wawe wabashiri na waonyaji. Na walio kufuru wanabishana kwa uwongo, ili kwa uwongo huo waivunje kweli. Na wanazifanya Ishara zangu na yale waliyo onywa kuwa ni mzaha."

Kwahiyo bwana Simba,si kila anachozungumza arsis ni sahihi,na hatuwajibiki kwake kwa lolote,tupo hapa kupeana elimu,kama anakuja hapa kuleta challenge ambazo hazina maana hatupo hapa kwa ajili ya porojo hapa
Quran haikuanfikwa wakati wa mtume, na mtume mwenyewe hakujuwa kusoma wala kuandika.

Quran imeandikwa miaka kadhaa mbele baada ya mtume kufariki.
 
Hebu Nipe Jibu Mujarrab kabla Sijautqngazia umma kuwa wewe ni Tapeli wa Kidigo 😂.
Maana nashangaa kuniambia Copy zake hivi vitabu vipi Kariakoo. Hebu toa hoja za kueleweka kijana.
JF wanasema unajitekenya mwenyewe unacheka mwenyewe.

Tazama umeuliza wewe halafu unajijibu mwenyewe. Arsis kishakupoagawisha nini?

Wewe kama sio mzigua ni mbondei.
Simba.
 
Apo s

Siko kwa ajili ya dini but Mgekuwa wazi katika majibu kwa mf apo ulipo zunguka unge simplfy kwa kusema YESU alikuwa MWEUSI na ww umesha kuwa ARSIS ya kuwapa watu kazi ya kujitafutia material hili ni darasa huru mtililike ata MZEE WA SIKU/KARNE MWAMBIE AWE STRAIGHT KWENYE MAJIBU.
Hapana, hizo ni ndimi au lisan za kibaguzi. Mbora kati yetu ni mcha Mungu au sio?
Simba.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom