Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Naomba kujua tiba ya nguvu za kiume
Simba; Ipo. Hii kisheria tunaitoa kwa mtu mwenye mke. Halafu unaeleq nguvu za kiume zimefanya nini? Sabau ya kutaka kujua hilo, mara nyingi watu wanahisi hawana nguvu za kiume kumbe mke ndio mwenye tatizo. Hili tatizo kwa wadigo ni "cha mtoto".
Simba.
 
Arsis; Hilo la kwanza nakubaliana na wewe 100%

La pili gunaogelea ni adam kua ni mtu wa kwanza dunini, hili liko wapi kwenye Qur'an? Na hawa mmemtoa wapi?

Hiyo "amiliana na Masheytwan" ndio nini maa yake?

Msiba kweli kwa wasio na elimu na hataki kufundishwa wala kujinza. Waislam hatutakiwi kabisa kua na elimu kipofu. Tunatakiwa tuhoji, tusome tuelewe kila kitu kitukinaishe. Au sivyo?

Tunnajinza kupitia Qur'an, kama hatuelewi kitu tuulize wenye kujua. Nikupe aya, au umekubali hili?
Arsis.
Kwani Arsis wewe ni muislamu?
Naona umetumia lugha ya "Waislamu hatutakiwi kabisa kuwa na elimu kipofu"
Alafu sijaona popote ulipo quote aya ya quran kuelezea nani binadamu wa kwanza ila unasubiri tulete aya alafu wewe ukosoe hii imekaaje?
Mimi nafahamu wapo masheikh wakubwa tu wanaelezea kuwa huenda adamu asiwe binadamu wa kwanza tena kwa aya hii ambayo imewekwa kama reference juu ya kuimbwa kwa adamu nawana maelezo mazuri tu. Ila swali la msingi linabaki kuwa ikiwa adamu sio binadamu wa kwanza je binadamu wa kwanza ni nani? Jibu kwa ushahidi wa maandiko.
 
Kamwe siwezi kasirika kwa sababu elimu zinazidiana japo elimu ya ruhani ni moja tu ambayo wewe hauna wala huyo Arsis wako maswali kakujibu kuhusu Qareen na Arsh nae anakupa maswali ujibu uchambue labda kama hujasikiliza audio vizuri mpaka mwisho au hujui ujibu nini ndo maana ukaja na habari sijui sauti yake haina mvuto anafoka sijui anaongea kama ana mafua nonsense 😁kakujibu sikiliza audio nawe mjibu na kwakua ANAJUA hauna elimu wewe na huyo Arsis wako kakurahisishia kasome Surat Buruj angalau upate majibu ya kudanganya watu.
 
HUYU MTU KADRI NILIVYOKUWA NAMSOMA NIKAJUA NI MTU SIO NI MPOTOSHAJI KUWENI MAKINI SANA NIMEPITIA UZI ZAKE NIMEOGOPA HUYU MTU APIGWE SPANA AENDELEE HUKO KWENYE KOO ZAO ZA KISIMBA WACHAFU WANA LAANA HATA WANYAMA MAHAYAWANI HAWANA UCHAFU HUKO.
 

Attachments

  • Screenshot_20240828-192130.jpg
    Screenshot_20240828-192130.jpg
    500.3 KB · Views: 48
  • Screenshot_20240828-192623.jpg
    Screenshot_20240828-192623.jpg
    773.3 KB · Views: 69
  • Screenshot_20240828-192527.jpg
    Screenshot_20240828-192527.jpg
    777.7 KB · Views: 51
  • Screenshot_20240828-192510.jpg
    Screenshot_20240828-192510.jpg
    721.2 KB · Views: 57
  • Screenshot_20240828-192425.jpg
    Screenshot_20240828-192425.jpg
    451.5 KB · Views: 53
  • Screenshot_20240828-192415.jpg
    Screenshot_20240828-192415.jpg
    748.3 KB · Views: 57
  • Screenshot_20240828-192401.jpg
    Screenshot_20240828-192401.jpg
    723.2 KB · Views: 55
  • Screenshot_20240828-192327.jpg
    Screenshot_20240828-192327.jpg
    433.6 KB · Views: 46
  • Screenshot_20240828-192214.jpg
    Screenshot_20240828-192214.jpg
    488.8 KB · Views: 56
  • Screenshot_20240828-192201.jpg
    Screenshot_20240828-192201.jpg
    609.4 KB · Views: 51
  • Screenshot_20240828-192650.jpg
    Screenshot_20240828-192650.jpg
    648.3 KB · Views: 53
Simba; Au umekasirika kuambiwa Sheikh wako hana elimu ya kutosha?

Atrsis ana elimu kubwa sana, kupita maelezo, iteni wasomi, sio sisi. Hatumuwezi kielimu.

Hivi ndugu yako alijibu maswali alioulizwa?
Simba.
Kamwe siwezi kasirika kwa sababu elimu zinazidiana japo elimu ya ruhani ni moja tu ambayo wewe hauna wala huyo Arsis wako maswali kakujibu kuhusu Qareen na Arsh nae anakupa maswali ujibu uchambue labda kama hujasikiliza audio vizuri mpaka mwisho au hujui ujibu nini ndo maana ukaja na habari sijui sauti yake haina mvuto anafoka sijui anaongea kama ana mafua nonsense 😁kakujibu sikiliza audio nawe mjibu na kwakua ANAJUA hauna elimu wewe na huyo Arsis wako kakurahisishia kasome Surat Buruj angalau upate majibu ya kudanganya watu.
 
Naomba kuuliza kuna Ukoo utakuta hauna mwenye mafanikio hasa kiuchumi, unatumia nguvu kubwa sana kutafuta ilà huendi mbele, maelewano pia hakuna ,je ni mizimu imekasirika au agano fulani la mabàbu au Mungu ndio kapanga hivyo.

Naomba nihamie ukòo wa simba kama inawezekana..
Ukoo ambao utafanya mapenzi na baba yako babu kaka yako na wazazi wako kufanya mapenzi ukaona mama yako mzazi Kuna uchi akutege 😁😁😁baki na familia yako achana na familia za kisheitwani na LAANA.
 
Salaam, "and when the Lord say to the angels: 'I am about to place Vicegerent in the earth"

The world VICEGERENT means the choosen person to represent the ruler
and this gives us that there where other people before Adam (as)
kwahiyo member alietumia (Surat Al baqarah ch.2: v.31) Yuko sahihi ila haisemi kama ye ndiye mtu was kwanza katika Dunia ila ni MTU WA kwanza kupewa U-kharifa Kwa binadamu wote.
Mwenyeezi Mungu ndio mjuzi na atuongoze katika njia iliyonyooka, Tupo katika kutafuta elimi🙏
 
Nasisitiza huyu kiumbe ni sheytwan alo laaniwa mpotoshaji kwao wanafanya mapenzi na mama dada baba babu hawana miko kama sio washenzi ma sheytwan kama kuna mtu ANAAMINI huyu Arsis basi hayuko timam.
 

Attachments

  • Screenshot_20240828-192623.jpg
    Screenshot_20240828-192623.jpg
    773.3 KB · Views: 57
  • Screenshot_20240828-192650.jpg
    Screenshot_20240828-192650.jpg
    648.3 KB · Views: 48
  • Screenshot_20240828-195032.jpg
    Screenshot_20240828-195032.jpg
    669.9 KB · Views: 49
"وَإِذْ قَالَ رَبُّكَ لِلْمَلَائِكَةِ إِنِّي جَاعِلٌ فِي الْأَرْضِ خَلِيفَةً ۗ قَالُوا أَتَجْعَلُ فِيهَا مَنْ يُفْسِدُ فِيهَا وَيَسْفِكُ الدِّمَاءَ ۖ وَنَحْنُ نُسَبِّحُ بِحَمْدِكَ وَنُقَدِّسُ لَكَ ۗ قَالَ إِنِّي أَعْلَمُ مَا لَا تَعْلَمُونَ"
"Na Mola wako alipowaambia malaika: 'Mimi ninamteua khalifa katika ardhi,' waliposema: 'Je, utamteua mtu ambaye atatenda ufisadi humo na kumwaga damu, wakati sisi tunakusifu kwa sifa zako na tunakutakasa?' Mungu alisema: 'Mimi ninajua msiyo yajua.' "

Katika aya hii utaona Allah anawaambia malaika kuwa yeye anamteua khalifa katika ardhi hapa unaweza sema adamu kateuliwa na Mola hivyo labda huenda kuna wandamu wengine hawakuteuliwa sasa twende taratibu baada ya mola kumteua adamu aya inaendelea kusema malaika waliambiwa wamsujudie baada ya yeye kufundishwa elimu na mungu kama ilivyokatika SURA YA 2:34 AL BAQARAH
Arsis: Kama nilivyoahidi nitarudi, nimerudi.

Hiyo aya hapo ni wapi inapoonesha Adam ni mtu wa kwanza? Halfu hioaya inakupinga sana. Ikiwa adam ndio mtu wa kwanza malaika hapo walijuaje kama Adam atafanya ufisadi humo na kumwaga damu? Humo wapi?

nakuuliza hayo upate kufikiri zaidi, kwanza kama adamu ndiye mtu wa kwanza hao malaika walijuaje atamwaga damu humo? Allah pekee ndiye mwenye kujua ghai b au sivyo? Hapo mimi naona inamaanisha walikua tayari wapo adam wengine waliyoyafanya hayo kabla ya huyo aliepewa ukhalifa kupewa ukhalifa.

Nakushauri anza kusoma aya ya 26 utaiona raha yake mpaka hapo ulipofika, kama hujaelew zina husiana vipi, nitakuja kuzielezea zaidi. Hio haihusiani na uumbaji inahusiana na kupewa ukhalifa. Kwenye Qur'an khalifa ni huyo tu?

Mpaka hapo hakuna mtu wa kwanza katika dalil zako.
Arsis.
 
Nani anaweza kulala na mama yake dada yake hawana miiko wako kama WANYAMA aisee huyu kiumbe hafai sheytwan mja laaana anatafuta watu wa kupotoka nae mkataeni ana ajenda yake ndo maana yuko very comfortable kuelezea LAANA zao Simba Simba my foot. Ni Mashetani Koo za Kishetani.
 

Attachments

  • Screenshot_20240828-195131.jpg
    Screenshot_20240828-195131.jpg
    498.5 KB · Views: 51
"وَإِذْ قُلْنَا لِلْمَلَائِكَةِ اسْجُدُوا لِآدَمَ فَسَجَدُوا إِلَّا إِبْلِيسَ أَبَى وَاسْتَكْبَرَ وَكَانَ مِنَ الْكَافِرِينَ"
Na tuliposema kwa malaika: 'Jinyenyekeeeni kwa Adam,' walijinyenyekea isipokuwa Iblisi; alikataa na kujikweza na akawa miongoni mwa makafiri."


Mpaka hapa utaona kuwa hakuna viumbe vilivyotajwa isipokuwa ni Malaika, Adamu na Iblis hii kwanza inatupa alert kuwa Huenda adamu ni binadamu wa kwanza.
Ingawaje madai ya kuwa Adam ni binadamu wa kwanza yametolewa na wanazuoni wa tafsir na hadith hilo halina shaka hivyo madai ya kuwa adamu sio binadamu wa kwanza yanaweza kuwa kweli au kinyume chake ningependa kusikia kutoka kwako Arsis nani ni Mwanadamu wa kwanza na ushahidi uko wapi? Asante.
Arsis; Na hio pia haioneshi ni mtu wa kwanza, hio muendelezo wa Khalifa, anyeyejewe khalifa.

Hakuna mpaka hapo kua Adam mtu wa kwanza. Kwa kificho wala kwa dhahiri.
Arsis.
 
My Life Experience 02

Unknown creature + Binadamu= Chotara(Djinn/Nafsi/Soul), Hii haionekani kwasababu Baba umbile lake si la ulimwengu huu isipokuwa mama.

Hapa ndio kuna mkanganyiko mkubwa sana ambao binadamu mpaka leo haelewi Djinn(mmezoea kuita jina hili ingawa sio kweli Djinn) ni nani? yupo vipi na anawezaje kujua vitu vingi kuliko binadamu wa kawaida.

Djinn( ingawa sio Djinn kweli) Ni Nafsi, Nafsi haina umbo isipokuwa inaweza ingia kwa kiumbe chochote na muda wowote na kikakaa ndani ya muda mfupi.

Nafsi/Djinn ina nguvu na haina limitations, Ina maarifa mengi na chanzo cha maarifa haya ni kupitia Binadamu, Binadamu ana Mwili + Nafsi + Roho, Djinn anapata maarifa kupitia hii nafsi ya Binadamu ambayo ikiwa kwenye mwili wa binadamu haijitambui mpaka itoke nje ya mwili. Nafsi kwa Nafsi Zinaongea na zina wasiliana na zinapeana taarifa.

Binadamu ni Djinn endapo Nafsi yake ikiwa nje ya mwili.

Elimu hii sijasoma popote pale isipokuwa kutoka kwao wenyewe, Nilizunguka sehemu mbali mbali kwaajili ya kupata habari nusu nusu.
 
Nani anaweza kulala na mama yake dada yake hawana miiko wako kama WANYAMA aisee huyu kiumbe hafai sheytwan mja laaana anatafuta watu wa kupotoka nae mkataeni ana ajenda yake ndo maana yuko very comfortable kuelezea LAANA zao Simba Simba my foot. Ni Mashetani Koo za Kishetani.
Simba; Unauliza nani anaweza, sio simba your behind? just your foot? wanapoyagfanya hayo wengi sana. Tena hayo ni madogo sana, umepata mtu mwenye ujasirf wa kuyaweka wazi, kuna watu mpaka leo wanayafanya kwa siri kabisa. Hawana ubavu wa kuyasema na kuheal. Huo ni utamaduni wa kishenzi, hata mimi nakubali nimeufanya sana na ukoo wote, nilikua kizani. Simba kama hamjalana basi hujawa simba. Usijifanye kushangaa sana, huo utamaduni wa simba, wewe kama pimbi ua utamaduni mwengine, kama hukuzikuta tamaduni hizo, Shukuru Allah kakuepusha nzao.

Tulifata mila na jadi za kishetani, Uislam umetutoa huko. Tumeomba toba.
Allahi kaahidi anasamehe dhambi zote kasoro kumshirikisha?

Na hio ndio ushahidi wako wa sheikha wako kua elimu yake sio finyu? Au Adam ndio mtu wa kwanza, au Hawa mmemtoa wapi?
Simba.
 
HUYU MTU KADRI NILIVYOKUWA NAMSOMA NIKAJUA NI MTU SIO NI MPOTOSHAJI KUWENI MAKINI SANA NIMEPITIA UZI ZAKE NIMEOGOPA HUYU MTU APIGWE SPANA AENDELEE HUKO KWENYE KOO ZAO ZA KISIMBA WACHAFU WANA LAANA HATA WANYAMA MAHAYAWANI HAWANA UCHAFU HUKO.
Waache na utamaduni wao as long as hawachinji watu.
 
Nasisitiza huyu kiumbe ni sheytwan alo laaniwa mpotoshaji kwao wanafanya mapenzi na mama dada baba babu hawana miko kama sio washenzi ma sheytwan kama kuna mtu ANAAMINI huyu Arsis basi hayuko timam.

Simba: tena unaonesha umefurahia kusoma hizo mila za Kisimba.

Nilikuandikia hivi;

Unauliza nani anaweza, sio simba your behind? just your foot? wanapoyagfanya hayo wengi sana. Tena hayo ni madogo sana, umepata mtu mwenye ujasirf wa kuyaweka wazi, kuna watu mpaka leo wanayafanya kwa siri kabisa. Hawana ubavu wa kuyasema na kuheal. Huo ni utamaduni wa kishenzi, hata mimi nakubali nimeufanya sana na ukoo wote, nilikua kizani. Simba kama hamjalana basi hujawa simba. Usijifanye kushangaa sana, huo utamaduni wa simba, wewe kama pimbi ua utamaduni mwengine, kama hukuzikuta tamaduni hizo, Shukuru Allah kakuepusha nzao.

Tulifata mila na jadi za kishetani, Uislam umetutoa huko. Tumeomba toba.
Allahi kaahidi anasamehe dhambi zote kasoro kumshirikisha?

Na hio ndio ushahidi wako wa sheikhawako kua elimu yake sio finyu? Au Adam ndio mtu wa kwanza, au Hawa mmemtoa wapi?
Simba.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom