Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Arsis; Hio ndio dalil yako kua Adam ndio mtu wa kwanza? Umeitumia wapi hio akili yako ukapata jibu hilo? Au umebuni wewe kwa akili yako na hauna dalil?

Kumbuka na kuna swali la Hawa umemtoa wapi, au wewe haupo kwenye Hawa? Upo kwenye Adam tu?

Maeleo yako ya "kibubusa" ni porojo zako tu, hayapo kielimu. Unaanza kuleta jazba, kwenye elimu.
Arsis.
Mimi nipo kwenye Adamu kwanza vipi niende kwa Hawa aliyakuwa hatujahitimisha kuhusu Adam, Twende taratibu tummalize Adam.
Kama maelezeo yangu ni ya kibubusa basi nataraji unifafanulie tena kwa ushahidi maana umesema waislamu sisi ni the most bogus hatuielwei qur an sasa nina maswali kwako
1. Nii aya gani hatuielwei na kivipi? fafanua.
2. Nimetoa aya baqarah 2:30 Unasema maelezo yangu ni yakibubusa lakini mimi nimetumia quran basi naomaba aya inayosema adam sio mtu wa kwanza katika quran.
3.Mimi siwezi leta jazba katika ilmu ndio maana nipo hapa hakuna mahali nimetumia lugha mbaya nadhani katika quote zote nilizo ku-quote,Asante.
 
Naam ...

Iko hivi Qur'an Ina Kila kitu ( past, Present, Future)

Ukiona Kuna kitu hujawahi kukiona haimaanish kwamba hakipo

Huyu kasha amiliana na Masheytwan hivyo washamtoa katika njia (kakufuru)

Kwa kuzipinga Aya za Quran i.e mtu wa kwanza sio Adam & Mariam hakua bikra

Inna Lilah wanna ilayhi rajiun (Ndugu yetu huyu ni msiba)
Dhahiri shahiri boss,hapa tumepigwa
 
Arsis: Na hio ni aya ipi? Au yako hio?
hiyo siyo aya ni katika hadithi ila haipo katika sahih buhkar wala muslim kwani hivyo ndivyo vitabu vya hadith vyenye usahihi zaidi ata hivyo inaweza isiwe hadith sahihi ukizingatia fani ya hadith ni katika fani ngumu yenye kuhitaji uchujaji wa hali ya juu ili kujiridhisha kuwa ni ya kweli au sio.
Vipi unataka tutumie quran tu ? hadith hutaki ? nipo tayari pia kutumia quran tu.
 
My Life Experience

Unknowns Creature ni kweli wana exist ila wana majina mengi sana ambayo kila mtu anapendelea kuita.

Ni kweli kama mtoa mada alivyosema kuhusu ulimwengu zipo sita.

Binadamu hatuna access ya ulimwengu wowete katika hizo sita isipokuwa huu wa kwetu.

Unknowns creature hawana miracle yeyote isipokuwa ni knowledge ambayo wao wanayo ambayo inapatikana katika ulimwengu wao. wao kwa wao pia wanazidiana maarifa na mwenye maarifa mengi ndio mwenye nguvu zaidi.

Natural form yao hai support life kwenye ulimwengu wetu. Ili waweze ku exist kwenye ulimwengu huu wana shape shift ili kuendana na mazingira yetu, Knowledge yao imefanya hiyo kuwezekana isipokuwa ni kwa muda maalum wa masaa 5 tu then wanarudi kwao.

Kuna machotara ambao wanazaa na binadamu ambao hao wanaweza kukaa ulimwengu huu kwa muda mrefu, Chotara haruhisiwi kufika wala kukanyaga ulimwengu wa unknown creature kwasababu miili yao hai support life kwenye ulimwengu wao.

Unknown creature hawezi kuongea lugha yeyote ile ya ulimwengu huu isipokuwa kwa ishara au alama kupitia maandishi ambayo ataandika kwa lugha ya ulimwengu wao then wewe utatafsiri kupitia kitabu ambacho atakuletea yeye mwenyewe. Chotara wa unknown creature anauwezo wa kuongea lugha ya ulimwengu huu tena kwa ufasaha.

Nina mengi ya kuandika ila nitaandika taratibu.
Vizur sana boss,tunajifunza usichoke kuandika

Kwahiyo huyu mwamba huenda ni chotara mpaka jf yupo
 
Simba nami nimeuliza huko awali sijapata majibu. Nina changamoto ya mke wangu kutopata ujauzito. Kwa maelezo yake hajawahi kubeba mimba na anakimbilia miaka 38. Kitabibu wanasema kuzaa/kubeba mimba ni afya. Mifumo yake kwa mujibu wa vipimo iko sawa kabisa na hedhi anapata kawaida. Binafsi nina mtoto (ni wangu).
Sasa nauliza tiba ya hii changamoto. Tiba ambayo ni ya kibinadamu ili hata mtoto akakayezaliwa awe na ubinadamu %100. Najua ni changamoto ya wanawake wengi na ndoa nyingi
Majawabu tafadhali
Arsis; Swali zuri sana hili, lina faida kubwa.

Siku hizi Allah ametujaalia elimu ya vipimo, amekwenda hospita na tabibu "takhasus" wa masuala hayo?

Intakiwa yeye na wewe mumewe upime, tatizo linawe kua popote kati yenu.

Kama bado anapata hedhi yake, ni jambo dogo sana hilo. hata kamA HAPATI HEDHI YAKE, Siku hizi kuna tiba inaitwa "invitro fertilization" imewasaidia wengi sana.

Ibada muhimu sana. Soma na dua sana kumuomba Allah, wakati unafanya hayo. Ukisoma dua Kiarabu usitumie neno "Allahuma", Tumia neno Rabbana au Rabbi". Hii ni elimu nyingine.
Arsis.

Tuanzie hapo kwanza.
Simba.
 
Naam ...

Iko hivi Qur'an Ina Kila kitu ( past, Present, Future)

Ukiona Kuna kitu hujawahi kukiona haimaanish kwamba hakipo

Huyu kasha amiliana na Masheytwan hivyo washamtoa katika njia (kakufuru)

Kwa kuzipinga Aya za Quran i.e mtu wa kwanza sio Adam & Mariam hakua bikra

Inna Lilah wanna ilayhi rajiun (Ndugu yetu huyu ni msiba)
Arsis: Hiyo aya iko wapi ya Adam mtu wa kwanza?

Unaanza sasa kufanya shirki kua wewe ndio mwenye kutoa hukumu?

Wacha porojo. Kama huna aya za Qur'an sema ufundishwe.

Waislam msio na elimu ya kutosha mna matatizo ya jazba.

Unajua kua mmoja katika Masheikh wakubwa wa kuisomesha Qur'an wa karne hii duniani, nae anasema Adam wapo wengi sana, sio mmoja tu. Unajua Kiarabu nikuwekee umsikilize, hapahapa, bila kwenda popote. hakuna aliempinga wala hakuna alinyanyu sauti, jinsi anavyotisha kieleimu huyo Sheikh, inaweza kua hata wewe umemsikia kama ni mpenda elimu
Arsis.
 
hiyo siyo aya ni katika hadithi ila haipo katika sahih buhkar wala muslim kwani hivyo ndivyo vitabu vya hadith vyenye usahihi zaidi ata hivyo inaweza isiwe hadith sahihi ukizingatia fani ya hadith ni katika fani ngumu yenye kuhitaji uchujaji wa hali ya juu ili kujiridhisha kuwa ni ya kweli au sio.
Vipi unataka tutumie quran tu ? hadith hutaki ? nipo tayari pia kutumia quran tu.
Arsis; Uwe unaandika basi jua hii ni hadithi ya fulani, kwani hata Simba anapiga hadithi hapa, unaweza kucchukua neno lake lolote ukanuku,, Haiwe fatwa hio. Au sio?

IUsitumie hadaa, kujidai kuweka Kiswahili na Kiarabu wasiojua waone, jamaa mkali kweli kashusha vitu.

"Hadith " ya nani hio?
Arsis.
 
Arsis maswali yangu nayotaka kuuliza hayahusu imani, majini, uchawi.

ntaleta matango pori ntaanza na rotation of rigid body halafu ntaendelea na quantum mechanics sasa sijui Arsis unajibu swali lolote au umejikita kwenye misukule na uchawi?
 
Boss

Sasa mbona huleti wewe dalili zako tujifunze

Maana kama sisi hatujui au hoja zenu ni dhaifu basi hekima na busara zinataka utufahamishe

Ukishindwa kutufahamisha basi automatically sisi tulio leta hoja za aya tupo sahihi

Je una la.kusema boss
Arsis: Unataka dalil ya kitu gani?

Hoja za aya zinazoonesha Adam ni mtu wa kwanza duniani? Au zipi? Kama zipo, Sijazipitia zote, nakuja kidogo kidgpp.

Alieleta wa kwanza kakiri kua hakuna hizo aya kwenye Qur'an au humuamini, akaleta hadith za akili sijui kazitoa kwa mshaitri huko, akaminya hakusem kafikiri mimi sielewi.

Wewe umeleta aya zako post namba ngapi? Vipi na Sheikh wako yule wa audio, umemwambia akusaidie? Leta elimu kutoka popote uanpoweza, ndio tunapanua elimu hivyo. Nukuu hata biblia.
Arsis.
 
Arsis maswali yangu nayotaka kuuliza hayahusu imani, majini, uchawi.

ntaleta matango pori ntaanza na rotation of rigid body halafu ntaendelea na quantum mechanics sasa sijui Arsis unajibu swali lolote au umejikita kwenye misukule na uchawi?
Simba; Uliza swali lolote utakalo, usiwe na wasi wassi kabisa, tunaloweza kujibu tutakujibu, tusilowezq tutasema.

Angalizo, usitegemee majibu yote yatakua kama ulivyofundishwa au ulivyojifundisha wewq kwengine.

Unaona Waislam wana haha hapa. Ingawa mimi ni Muislam mwenzao nawapa elimu ambayo hawajawahi kuisikia, wanaanza jazba. na spana, na ningekua karibu wangeshatoa bakora.
;Simba.
 
Arsis: Na hio ni aya ipi? Au yako hio?
surat baqarah ipo aya inayoonesha maisha na nani binadamu wa kwanza,na kumbuka tu hilo neno binadamu limetokana na neno ADAMU bin kwa kiarabu ni KOO hivyo BINADAMU MAANA YAKE NI KOO YA ADAMU.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom