Niligombea NEC Na Nimeshindwa Kihalali - Le Mutuz!

Niligombea NEC Na Nimeshindwa Kihalali - Le Mutuz!

Status
Not open for further replies.
hapa umewatukana baadhi ya vijana, wife wangu ana miaka 20 lakini busara zake na anavyo'behave ni sawa na mtu aliyeishi miaka 50. still bado nataka mtu wa kuniaminisha kweli km le mutuz ana 50......loh!
Sawa mkuu nakubaliana na wewe kwamba mtu mwenye miaka 22 anaweza akawa na busara kuliko mtu mzima,lakini kwenye hoja yangu ya msingi nilijikita kwenye tabia za rika.Napenda nikuakikishie huyu jamaa ana miaka 51,taarifa hizi nilizipata kwenye CV yake iliyowekwa wazi wakati anagombea ujumbe wa kamati ya wazazi.Kwa kifupi huyu jamaa ni mzee ingawa anajifanya kijana!
 
nani atakupa kura kwa staili hii

images



au hapa ndo penye hoja
Le+mutuz.jpg




- Kwa sababu kila nikiondoa mnaanza kunisumbua kila kona kunililia nirudi, nikija mnaaanza kujiakanyaga kanyaga cause hamna hoja ila ninawavumulia tu kuweka mijdala lakini hoja huwa hamna kabisaa!

Le Mutuz!!
 
- Yaap katika miezi 10 niliyoishi bongo toka nirudi nimegombea:-

1- Ubunge EAC - Nimeshindwa
2. Katibu MWenezi na Elimu na Mazingira wa Wazazi Kata Kivukoni - Nikashinda
3. Ujumbe wa CCM Wilaya ya ILALA - Nikashinda
4. Ujumbe wa WAZAZI_CCM Mkoa wa Dar - Nikashinda
5. Katibu MWenezi CCM Mkoa wa Dar - Nikashindwa
6. Ujumbe Baraz la Wazazi-CCM Taifa - Nikashinda
7. NEC Viti 10 Bara - Nimeshindwa

- So haya yote in 10 months, ni supa sana na tupo vizuri sasa ni kutulia na kujipanga tena mapambano bado sana!!


Le Mutuz!!

Ume-prove one thing bro, uwezo wako ni wakuongoza watu 100 mkuu, ila uwezo zaidi ya hapo hauna ndo maana wenzako wamekuwekea limit, chaguzi za mitaani najua utashinda, ila za ukweli mark my word,,,,over my dead body kamwe utashinda kwa mwenendo wako na uchangiaji wako wa sasa. Haujaijua siasa but siasa inakujua. so hapo bila bila
 
Nakumbuka Mwalim alimkataa dadiyo..nahisi ukoo mzima umekataliwa pia..kashindane na kibajaji kule Mtera kwenu ukaambulie mitusi!!!!
 
- Yaap katika miezi 10 niliyoishi bongo toka nirudi nimegombea:-

1- Ubunge EAC - Nimeshindwa
2. Katibu MWenezi na Elimu na Mazingira wa Wazazi Kata Kivukoni - Nikashinda
3. Ujumbe wa CCM Wilaya ya ILALA - Nikashinda
4. Ujumbe wa WAZAZI_CCM Mkoa wa Dar - Nikashinda
5. Katibu MWenezi CCM Mkoa wa Dar - Nikashindwa
6. Ujumbe Baraz la Wazazi-CCM Taifa - Nikashinda
7. NEC Viti 10 Bara - Nimeshindwa

- So haya yote in 10 months, ni supa sana na tupo vizuri sasa ni kutulia na kujipanga tena mapambano bado sana!!


Le Mutuz!!

usikate tamaa mkuu, unafukuzana na shyrose
 
- Ohh yeah nimeshindwa kama Chadema wanavyoshindwa Urais toka ianzishwe mpaka leo, maneno ya baba ni too low of argument ni simply waste of my time hata kujibu!!

Le Mutuz!

Sema nimeshindwa kama baba alivyoshindwa kupata nafasi ya kugombea urais. CHADEMA ni taasisi ambayo itaendelea kuwapo, na bado ina nafasi ya kuiongoza nchi, lakini baba yako ataupata urais wa Tanzania tena.
 
Miaka 30 umekaa Ulaya na Marekani, lakini umerudi na akili tope; ungekaa kaa hapa Bongo ungekuwa ni kibaka mzoefu.
 
- Ohh yeah nimeshindwa kama Chadema wanavyoshindwa Urais toka ianzishwe mpaka leo, maneno ya baba ni too low of argument ni simply waste of my time hata kujibu!!

Le Mutuz!

Na mama wa kambo vipi?Naye ameshindwa kihalli?
 
Huyu jamaa huwa anapost utumbo lakini anapata wananchi wengi kweli! Kweli le mutuzi anapendwa jf.
Arifu hujajua tu.....watu wanamuona zuzu wanaplay nae.....ulishawahi kuona mtu zuzu mjinga mjinga fulani hivi ukiwa nae utakuwa una joki ili aendelee kuongea utumbo wake....

My daughter Lisa bana she's so funny.....jana si kaona picha ya le mutuz....kaanza kulilia eti anataka nimpe mdoli huo..yaanii kamuona le mutuz ni mdoli ili achezeee....nilicheka sana....
 
CV yake mara nyingi ameeleza Marekani alisoma community college ambayo hutoa associate degree, kwa elimu ya Tanzania ni sawa na advanced Diploma. Hizi degree alizoanika hapa sitashangaa usanii na uchakachuaji ulizoeleka CCM.

Sidhani kama uko sahihi katika hili la kulinganisha associate degree ya US na Advanced Diploma ya Tanzania. Advanced Diploma ya Tanzania ni elimu iliyo na ujazo wa kutosha. Jaribu kucheck your facts na kujiridhisha na hili.
 
- Ohh yeah nimeshindwa kama Chadema wanavyoshindwa Urais toka ianzishwe mpaka leo, maneno ya baba ni too low of argument ni simply waste of my time hata kujibu!!

Le Mutuz!

- Chadema wameshindwa kila kona na kuishia kuambulia majimbo 46 tu vipi hamuoni aibu kwamba kila kona wanawakataa, well, kesho ninashikiri kwenye kikao cha Baraza Kuu la Taifa Wazazi-CCM so sijakataliwa kila mahali kama Chadema hawajakataliwa kila mahali! ha1 ha1 ha! ha!

Le MutuZ

- I know fungu la kukosa kama Chadema na kuishia maandamano kila siku! ha! ha! ha! ha! ha! ha!

Le Mutuz!!

- Ungeanza kusema umri wako kwaanza kama ni tija wka Taifa, haalafu useme Dr. Slaa ana umri gani na Mbowe kama vipi au? ha! ha! ha! ha! ha! ha!

Le Mutuz!!

- At least sijaacha mke wangu na kuiba mke wa mwananchi na kutaka kwua Rais wa jamhuri! ha! ha! ha! ha! ha!

Le Mutuz!!

- ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! yaani this is hillarious wale ni mabebs wa ukweee! kwani Mbebs mpya wa DR. Slaa ana umri gani bro? mbona unajikanyaga kanyaga hapa! ha! ha! ha!

Le Mutuz!!

- Yaaaap nimejifunzia Chadema mabingwa wa kushindwa, so usiwe na wasi wasi! ha! one page za kushindwa! ha! ha! ha! ha!

Le Mutuz!!

- Mnanivunja mbavu sana ina maana Slaa na Mbowe wamehindwa Urais kila wakati kwa sababu ya umri wao? ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha!

Le Mutuz!!

- Kannuni na katiba za vyama vya siasa sio ishu ya Taifa, so ni invalid agrument!!, ni kama Chadema inapoamua kumnyima Zitto kugombea Urais ni tatizo la Chadema sio la Taifa ya CCM waachie CCM, wewe jali ya kwenu huko Chadema ambako wabunge wenuwanaenda bungeni na watoto zao, wake zao, na wakwe zao pamoja na dada zao!!

Le Mutuz!!

68088_4800154961000_1338636618_n.jpg


479916_4743856273568_1973367870_n.jpg


205992_4541030563052_389003704_n.jpg



545542_4846059428583_902993576_n.jpg


553957_4838726765271_603541112_n.jpg


zomba akamalizia kwa kusema....

Wewe ataekuchaguwa atakuwa ana matatizo ya kichwa kama wewe mwenyewe.
 
Last edited by a moderator:
nashangaa kwa nini watu wamenuna ghafla hehehheheh

Le MUTUZ JISHEBEDUA MWAYA
 
Big up brother. Umejitahidi sana, I hope next time utawin hata kama mimi sio fan wa chama chako.
 
Da jamani kwani lazima muwe wanasiasa kama baba zenu na mama zenu,na wengine je,tumewachoka kuwasikia kila siku nyie tu akina Mwinyi,Makamba,Kawawa,Malima,Malecela.si muende huko kwingine kama BOT n.k
 
@W.J. Malecela miaka 30 iliyosema umekaa nje utakuwa umejifunza mengi na kujikusanyia mtaji wa kutosha; kwa kuonyesha uzalendo wako kwa nchii hadi leo hii toka urudi umewaajiri vijana wangapi kwa ubunifu wako uliojifunza huko Ulaya na Amarika?

NIMECHEKA HADI BASI!

Nini kinakufanya uamini karudi na mtaji mkubwa wa kuweza kutoa ajira mkuu??
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom