William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,466
- Kamati Kuu ya CCM ilinipitisha kugombea NEC Viti 10 Bara, uchaguzi ulifanyika juzi Kizota Dodoma kura zangu hazikutosha, na nimeridhika sana na matokeo: Uchaguzi ulifanyika kihalali na haki na ninakubali kushindwa nitajipanga upya na kujikita tena next time zikitokea nafasi zingine za Chama changu CCM, chama Dume!!
- I am proud na kushika nafasi ya 12, kati ya wagombea 31 ambao wote wengine ni wazoefu wa muda mrefu sana ndani ya CCM, kulinganisha na mimi niliyerudi Bongo Miezi 10 iliyopita, baada ya kuishi Miaka 30 Ulaya na USA, so leo kugombea na miamba hii ya CCM na kushika nafasi ya 12, na kuwapiga wengine 19 it is great honor to me I mean A Luta Continua yaani Mapambano Bado kabisaa yanaendelea, next time tutapigana mpaka kura zitoshe.
- Again, ninakishukuru Chama changu CCM kwa kutoa nafasi kwa kila mwananchi kushiriki kikamilifu bila kubagua wala kuonea, na pia ninawashukuru CCM-WAZAZI kwa kunichagua kuwa Mjumbe wa Baraza Kuu la Taifa na pia kuiwakilisha kwenye Baraza Kuu la UV-CCM Taifa, na kesho kitakuwa ni kikao changu cha pili katika Baraza hapa Dodoma, I am grateful for that!!
- Ndugu zangu milioko nje rudini tujenge taifa letu, hakuna wa kutujengea huku tuje wenyewe, na pia tuchukue fomu za uongozi tujikite huko ndani kuleta mabadiliko badala ya kukaa kulia lia tu bila sababu na huku ni watuwazima na tuna akili timamu, tukazane tuingie wenyewe! KURUDI HOME SIO A DEATH SENTENCE!! HA! HA! HA! HA! HA!
RESPECT MUCH PEOPLE!!
LE MUTUZ - (KING OF ALL SOCIAL NETWORK MEDIA) & MJUMBE BARAZA KUU LA WAZAZI-CCM TAIFA & BARAZA KUU UVCCM TAIFA!!