Niligombea NEC Na Nimeshindwa Kihalali - Le Mutuz!

Niligombea NEC Na Nimeshindwa Kihalali - Le Mutuz!

Status
Not open for further replies.
Endelea kuonyesha UTHUBUTU wa kushiriki katika chaguzi mbalimbali. Usikatishwe tamaa na waumini wa Chadema, ambao hata siku moja hawana jema na CCM hatakama Mbowe, Selasin, Zito, Shibuda na Rose Kamili wametoa USHUHUDA mazuri ya CCM hawataki kubadilika.

Wewe umegombea CCM, wapotezee wana CDM wataendelea kushindwa na Padre wao muasi
 
hayo 46 yalikuwa ya nani kabla????mwehu kweli wewe,yaani unanyang'anywa 46 kati ya 100 ulokuwa nayo,then unambeza aliyekunyang'anya hana aibu.ndo maana magamba wanakutosa maana upeo wako bora hata mtoto wa chekechea.

- ha! ha! ha! ha! ha! this is hillarious!!! yaani umenivunja mbavu sana! ha! ha! ha!

LE Mutuz!!
 
hongera sana brother kwa ushirika wako katika chaguzi za ndani ya chama,umeonesha democracy kwa kukubali matokeo.
chama kimeonesha ukakamavu round hii,jipange next time bro wote walofanikiwa walianza kama hv..........
 
- Kamati Kuu ya CCM ilinipitisha kugombea NEC Viti 10 Bara, uchaguzi ulifanyika juzi Kizota Dodoma kura zangu hazikutosha, na nimeridhika sana na matokeo: Uchaguzi ulifanyika kihalali na haki na ninakubali kushindwa nitajipanga upya na kujikita tena next time zikitokea nafasi zingine za Chama changu CCM, chama Dume!!

- I am proud na kushika nafasi ya 12, kati ya wagombea 31 ambao wote wengine ni wazoefu wa muda mrefu sana ndani ya CCM, kulinganisha na mimi niliyerudi Bongo Miezi 10 iliyopita, baada ya kuishi Miaka 30 Ulaya na USA, so leo kugombea na miamba hii ya CCM na kushika nafasi ya 12, na kuwapiga wengine 19 it is great honor to me I mean A Luta Continua yaani Mapambano Bado kabisaa yanaendelea, next time tutapigana mpaka kura zitoshe.
- LE MUTUZ - (KING OF ALL SOCIAL NETWORK MEDIA) & MJUMBE BARAZA KUU LA WAZAZI-CCM TAIFA & BARAZA KUU UVCCM TAIFA!!
wewe mjamaa how old are you aisee?
 
- I am proud na kushika nafasi ya 12, kati ya wagombea 31 ambao wote wengine ni wazoefu wa muda mrefu sana ndani ya CCM, kulinganisha na mimi niliyerudi Bongo Miezi 10 iliyopita, baada ya kuishi Miaka 30 Ulaya na USA, so leo kugombea na miamba hii ya CCM na kushika nafasi ya 12, na kuwapiga wengine 19 it is great honor to me I mean A Luta Continua yaani Mapambano Bado kabisaa yanaendelea, next time tutapigana mpaka kura zitoshe.

- Ndugu zangu milioko nje rudini tujenge taifa letu, hakuna wa kutujengea huku tuje wenyewe, na pia tuchukue fomu za uongozi tujikite huko ndani kuleta mabadiliko badala ya kukaa kulia lia tu bila sababu na huku ni watuwazima na tuna akili timamu, tukazane tuingie wenyewe! KURUDI HOME SIO A DEATH SENTENCE!! HA! HA! HA! HA! HA!

William

kwanza nikupe heshma za kuwa a man enough na ku admit kuwa umeshindwa na utaendelea kupigana

kweli hapa JF wewe ni kama kaka yetu na kila kukicha tumefarakana na mwishowe tumetukanana na lakini in the end you will always be the big brother wetu hapa ndio maana wengine hatuushi kukutania na kukuzingua na yote ni kwa sababu ya mapenzi tu na si vinginevyo.

Sasa umezungumzia suala la kurudi mimi ni mfano hai ya hao wana diaspora na sikubaliani na mawazo yako ya kuwa watu warudi kuendesha nchi kwa sababu wenye nchi wapo na sasa nafasi zimechukuliwa na watoto wao

Kama utaweza nakushauri uanzishe separate thread hapa hapa SIASA kuhusu Experiences za wana disapora waliorudi na mimi nitaweka bayana yaliyonikuta toka nimerudi, experiences zangu na mpaka hapa tulikofikia na kwa nini nasema its not a good idea kwa mwana diaspora kurudi Tanzania.

In short Uongozi na system iliopo on the ground Tanzania not only haitaki diaspora bali pia haipendi watu wenye independent minds, critical thinkers na zaidi ma intellectuals.

Sina haja ya kusema zaidi lakini jiulize kwa nini watu wenye mawazo mbadala wameamua kukimbilia twitter?

we have alot to discuss lakini si katika hii discourse ambaye iko more interested na siasa za jalalani na chuki.

kaka its not easy na hasa kama huna sir name ya akina Malecelas or Mwinyis and co...
 
Nimekushauri mara nyingi lakini husikii. Haiwezekani uchaguliwe kwenye nafasi za juu za uongozi. Wewe bado ni mchanga sana kwenye siasa za nchi yetu! Uliondoka nchini ukatuacha tunapambana na chama cha baba'ako. Leo umerudi, unataka upate utuongoze wakati kuna vijana waliokuwepo kwenye mapambano muda wote. Hiyo haiwezekani. Pole sana. Sasa umekuwa fungu la kukosa!!

- I know fungu la kukosa kama Chadema na kuishia maandamano kila siku! ha! ha! ha! ha! ha! ha!

Le Mutuz!!
 
Hivi huyu jamaa si alituaga? Du ama kweli jf vituko haviishi!
 
- Yaap katika miezi 10 niliyoishi bongo toka nirudi nimegombea:-

1- Ubunge EAC - Nimeshindwa
2. Katibu MWenezi na Elimu na Mazingira wa Wazazi Kata Kivukoni - Nikashinda
3. Ujumbe wa CCM Wilaya ya ILALA - Nikashinda
4. Ujumbe wa WAZAZI_CCM Mkoa wa Dar - Nikashinda
5. Katibu MWenezi CCM Mkoa wa Dar - Nikashindwa
6. Ujumbe Baraz la Wazazi-CCM Taifa - Nikashinda
7. NEC Viti 10 Bara - Nimeshindwa

- So haya yote in 10 months, ni supa sana na tupo vizuri sasa ni kutulia na kujipanga tena mapambano bado sana!!


Le Mutuz!!

mkuu .... tafuta mizani moja (10kg), visu kama vitatu na panga moja .. wahi mwenge kakodishe butcher

utachaguliwa kuwa mwenyekiti wa wamiliki wa mabucha mwenge
 
Kukubali matokeo ndio busara ya washindani.

Just curious, what does Le Mutuz mean? Au lilikuwa nick name la majini?
 
- Chadema wameshindwa kila kona na kuishia kuambulia majimbo 46 tu vipi hamuoni aibu kwamba kila kona wanawakataa, yaani ni MBULULA KWELI, well, kesho ninashikiri kwenye kikao cha Baraza Kuu la Taifa Wazazi-CCM so sijakataliwa kila mahali kama Chadema hawajakataliwa kila mahali! ha1 ha1 ha! ha!

Le MutuZ
CHADEMA wamekataliwa kila mahali,CHADEMA waliambulia majimbo 46,yeye atashiriki kikao baraza kuu la wazazi,wabunge 46 wa CDM wataingia bunge!{ kweli nimeamini kukataliwa kubaya,pole sana mkuu}
 
- Ohh yeah nimeshindwa kama Chadema wanavyoshindwa Urais toka ianzishwe mpaka leo, maneno ya baba ni too low of argument ni simply waste of my time hata kujibu!!

Le Mutuz!
Le kibonge hapa umeshapatwa na jazba.
Punguza hasira, kushindwa ni jambo la kawaida sana.


Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Kukubali matokeo ndio busara ya washindani.

Just curious, what does Le Mutuz mean? Au lilikuwa nick name la majini?

- Le Mutuz ni Le Biig Shoow! Le Baharia! Le Big Shoow!! ha! ha! ha! ha! ha! yaani supa sana!!

Le Mutuz!!
 
- Kwa sababu kila nikiondoa mnaanza kunisumbua kila kona kunililia nirudi, nikija mnaaanza kujiakanyaga kanyaga cause hamna hoja ila ninawavumulia tu kuweka mijdala lakini hoja huwa hamna kabisaa!

Le Mutuz!!

Siamini kama kuna mtu anaweza kukulilia urudi hapa kijana.
Ile bukta yako ya kwenye miss tanzania ni Savco ama Gangwe gear??

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Le kibonge hapa umeshapatwa na jazba.
Punguza hasira, kushindwa ni jambo la kawaida sana.


Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

- Hillarious! ha! ha! ha! ha! ha! jamani yaani mnanivunja mbavu sana unaona sasa King Of All Social Network Media nikiondoka mnalilia nirudi nikija mnakuwa too excited hata hoja zinawaishia, yaani ni kuwavumilia tu! ha! ha! ha!

Le Mutuz!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom