Niligombea NEC Na Nimeshindwa Kihalali - Le Mutuz!

Niligombea NEC Na Nimeshindwa Kihalali - Le Mutuz!

Status
Not open for further replies.
kiongozi bora hajibu maswali kwa jazba ila wewe unawajibu watu vibaya,unaulizwa swali na mtu binafsi unajibu mbona chadema wameshindwa kuwa makini Baba jiamini,kuwa makini na ufikirie sio unakurupuka yawezekana kutokana na kauli zako zimekokosesha embu badilika usikurupuke.
 
- Chadema wameshindwa kila kona na kuishia kuambulia majimbo 46 tu vipi hamuoni aibu kwamba kila kona wanawakataa, well, kesho ninashikiri kwenye kikao cha Baraza Kuu la Taifa Wazazi-CCM so sijakataliwa kila mahali kama Chadema hawajakataliwa kila mahali! ha1 ha1 ha! ha!

Le MutuZ
Mwana Magamba yeyote hawezi kusimama kuongea kitu bila kutaja CHADEMA....
Mnanikumbusha Demu wangu B nilivyo Mbikiri, yaani ameolewa Long time kitambo lakin Kila akiongea na Mumewe anataja jina Langu "Mkusa", hawezi kukatiza siku bila kunitaja, same CCM mnavyotajataja CDM hata mahala CDM pasopotakiwa kutajwa kama vile kwenye Mipasho yenu pale Dom
 
Ushauri wangu,jipage ki-sawasawa kugombea ubunge jimboni kwenu ulipozaliwa;maana aliyepo unajua wanyakaya wamemchoka tayari.Kazi kwako.
 
Safi kaka, kajipange kisawasawa ili 2015 ukarudishe heshima ya mzee kule jimboni kwani yule aliyemuachia inaonesha siasa za ushindani wa hoja haziwezi. I am CDM by nature but I would like to congraturate you for your efforts.
 
Sorry to say this lkn mimi naamini Mzee J S Malecela alikuwa na mtoto mmoja tu (R.I.P) ila hawa wakina Le Ujinga Le Utoto hamna kitu zaidi ya kumzalilisha Mzee wake.Ukijaribu kuangalia comments zake na pia behaviour yake siyo mtu aliyeko sawasawa kifikra, kisera, kimtizamo na hata kimaadili.Binfsi sitegemei mchango wowote kutoka kwa huyu jamaa hata kama atapewa nafasi gani. Ifike mahali watu waweze kutofautisha fikra za mtu ambaye ni above 50yrs na za kijana wa form two (foolish age).Kwanza ni mtu ambaye anapenda kujisifia kwa vitu ambavyo haviendani na umri wake; tulitegemea ujisifie umelifanyia nini taifa lako kwa umri ulio nao na siyo kujisifia una mabebs (shame on you!).Ifike mahali jamii iwapuuze kabisa watu wenye fikra duni kama za huyu babu.
 
Baba yako katoswa vibaya, mama yako katoswa vibaya uwt na wewe umechinjiwa baharini vibaya kila kona,hauoni hata aibu kila sehemu wanakukataa,MBULULA wewe una kazi kweli!

- Chadema wameshindwa kila kona na kuishia kuambulia majimbo 46 tu vipi hamuoni aibu kwamba kila kona wanawakataa, well, kesho ninashikiri kwenye kikao cha Baraza Kuu la Taifa Wazazi-CCM so sijakataliwa kila mahali kama Chadema hawajakataliwa kila mahali! ha1 ha1 ha! ha!

Le MutuZ

Hapa kweli una-sound kama Nape. Sasa hiyo quote ya hapo juu na hii ya kwako zinaingilianaje na CHADEMA? Busara nazo huwa zinasadia katika uongozi. Mangula hana mvuto kisiasa especially kipindi hiki lakini naamini ana busara na ni ethical. Sasa wewe sijui mwakilishi wa WAZAZI kurukia na kujibu quote kwa kuiweka CHADEMA wakati haina mahusiano yoyote...mmmh nahisi hata hao wapiga kura walikuwa wanaangalia comments zako JF kabla ya kupiga kura.
 


- Ndugu zangu milioko nje rudini tujenge taifa letu, hakuna wa kutujengea huku tuje wenyewe, na pia tuchukue fomu za uongozi tujikite huko ndani kuleta mabadiliko badala ya kukaa kulia lia tu bila sababu na huku ni watuwazima na tuna akili timamu, tukazane tuingie wenyewe! KURUDI HOME SIO A DEATH SENTENCE!! HA! HA! HA! HA! HA!


RESPECT MUCH PEOPLE!!


LE MUTUZ - (KING OF ALL SOCIAL NETWORK MEDIA) & MJUMBE BARAZA KUU LA WAZAZI-CCM TAIFA & BARAZA KUU UVCCM TAIFA!!

Wenzako walijenga nchi wakati wewe ukiwa ughaibuni, wenye kutafuna wakatafuna na wengine wanaendelea kutafuna huku wakipachika wanao kwenye taasisi mbalimbali bila kuwa na kuolifikesheni. Wrath ya waonewaji inakaribia kulipuka, it's just matter of time.

Je ni kweli wewe ni KING of ALL SOCIAL MEDIA? How comes umerudi hapa JF wakati uliponda na kutimka??!! Maxence ulienda kumpigia Mjumbe wa Baraza la Wazazi CCMT magoti arudi JF? Kama umejirudisha wewe mwenyewe then Mjumbe Wazazi CCMT or UVCCM inakutosha maana hata followers 5000 sidhani kama ulishafikisha kwenye networks zako. Sorry, mzazi subiri mwana akupe ustahilicho kabla ya kujipachika sifa.
 
Huyu jamaa huwa anapost utumbo lakini anapata wananchi wengi kweli! Kweli le mutuzi anapendwa jf.
 
- Ohh yeah nimeshindwa kama Chadema wanavyoshindwa Urais toka ianzishwe mpaka leo, maneno ya baba ni too low of argument ni simply waste of my time hata kujibu!!

Le Mutuz!

Hivi wewe una akili timamu kweli?...muonekano wako unanishawishi niamini kuwa una mtindio wa ubongo....hivi kwa nini hushauriki?wewe hupendwi na siasa hujui..babako mwenyewe kashapoteza mvuto ndo maana alishindwa hata kwenye kura za maoni, wewe unahangaika..hivi unakumbuka ulichokuwa unajibu siku ile bungeni kulmba kura za ubunge wa East Africa?.kama unakumbuka basi hiyo ndo sababu kwa nini hushindi kwenye hizi chaguzi...tafakari
 
sana.......
32348_4820843478200_1475254971_n.jpg


huyu jamaa ni le profeseri aisee ana maprofesheno ya hatari hatari aiseee.....enhe tujuze hio police na makrimino hamkujifunza kutoa vitambi?

CV yake mara nyingi ameeleza Marekani alisoma community college ambayo hutoa associate degree, kwa elimu ya Tanzania ni sawa na advanced Diploma. Hizi degree alizoanika hapa sitashangaa usanii na uchakachuaji ulizoeleka CCM.
 
Unaonekana hauna msimamo hivyo hustahili hata kuwa Balozi wa nyumba kumi na kwastahili hiyo utasubiri sana na hicho chama chako mfu.
 
CV yake mara nyingi ameeleza Marekani alisoma community college ambayo hutoa associate degree, kwa elimu ya Tanzania ni sawa na advanced Diploma. Hizi degree alizoanika hapa sitashangaa usanii na uchakachuaji ulizoeleka CCM.
Sahihisho: Associate degrees ya hapa USA Ni sawa na Ordinary diploma ya Bongo na siyo Advanced Diploma maana huku inatolewa kwa miaka 2 tu na unaenda kuongez a mingine 2 ama 3 kutegemea na length of program (fani) husika ngazi ya Bachelor Degree at any accredited US university.
 
- Chadema wameshindwa kila kona na kuishia kuambulia majimbo 46 tu vipi hamuoni aibu kwamba kila kona wanawakataa, well, kesho ninashikiri kwenye kikao cha Baraza Kuu la Taifa Wazazi-CCM so sijakataliwa kila mahali kama Chadema hawajakataliwa kila mahali! ha1 ha1 ha! ha!

Le MutuZ

Hivi wewe umerudi kugombana na CHADEMA? Nafikiri uliambiwa kunachama kinataka kukukosesha ulaji uliozoea kwa miaka thelathini iliyopita ndio maana ukarudi, vinginevyo usingerudi...nasikitika kuona kila hoja unayojibu inaonyesha unagombana na CHADEMA kwa nini usitaje CUF na vingine?PEOPOOOOOOOOOZ POWER IMEMTOA MTU UGHAIBUNI K
 
Le Mutuz, kwa kweli unastahili pongezi kwa 'DRIVE' uliyo nayo juu ya nafasi ambazo huwa wagombea. Nashangaa sana kuwa all this has been in just ten months. Kimzaha zaha pamoja na kejeli zote hizi utafika tu mahala unataka ingawa bahati mbaya sana ukijulikana kwa tabia za kejeli, majidai, kujigamba kupenda watoto (most wanapenda lakini si kwa kujigamba) na kujiamini kupita kiwango stahili. However nina maswali kwako ambayo naomba ujibu kama hutajali;

1. Unadhani kuwa katika mchakato wote wa kupiga kura wanachama wapo huru kama inavyostahili? Kuwa kweli kabisa mtu anapiga kura vile anavyotaka na sio anavyo tarajiwa kupiga kura hasa kwa inapo husisha viongozi wakubwa katika hilo zoezi?

2. Mapungufu yepi unayaona yapo ambayo yanatakiwa kusimamiwa na kurekebishwa ili yasirudiwe tena uchaguzi ujao kama huo?

3. Chadema ni threat kiasi gani kwa kwa CCM?

4. Kuna interview uliwahi ongea na Pascal Mayalla (sio Pasco wa JF :smile🙂 kuwa moja ya azma yako ni kuhakikisha CCM inaongioza miaka 50. Do you still believe CCM ina uwezo huo and why? (Nimeuliza sababu wewe mwenyewe ulijicheka saana hii kauli kana kwamba hukuwa na hakika na hii hoja yako).

5. BTW mara ya mwisho mkuu nilibahatika kuona mabandiko na maandishi yako kadhaa (na nje ya jf pia) jinsi gani huwezi kurudi mahala hapa, kwa maneno ya kejeli kana kwamba kweli huwezi thubutu na inaweza kuwa dhambi ukifanya hivyo (kurudi mahala hapa). Nini kimefanya change of heart?

Karibu tena mkuu..
Mkuu AshaDii unamuuliza maswali magumu hivyo? Ataishia kukuita mabebi na ha! Ha! Ha! Ha!
 
Last edited by a moderator:
Huyu jamaa anapata wananchi wengi kweli! Kweli le mutuzi anapendwa jf.
Ni kweli anapendwa na mimi nakiri ni mmoja wa members wa jf ambaye nilimmiss sana alipoondoka, na sasa nimefarijika sana alivyorejea!.

Humu jf pia tunao ma top celeb wetu na tukubali tukatae, huyu pia ni miongoni mwao!.

Na miongoni mwa nilio wamiss, sio yeye peke yake, huwezi amini ninamiss hata Malaria Sugu na yule dada FaizaFoxy, I wish nao warudi, jf iendelee kuwa kama zamani!, tena ningefurahi zaidi kama Le Mutus angerudi kwa zile gia na michango yake ya "Mzee wa Sauti za Umeme"

Mkuu William, karibu tena jf, "asiyekubali kushindwa sii mshindani!", nakupongeza kwa "uthubutu" na "kujaribu", naamini umeisha jua "the games people play" kupata ushindi ndani ya CCM, hivyo next time na wewe lazima "ujipange"
to "play by the CCM rules of the game".

2015, tunawasubiria kwa hamu sana ili pia kuupima ule msemo wa "You Can't Fool All the People All the The time" kama ni kweli, ili tuone kama Watanzania "this time" tumeamka na kuyakukubali "mabadiliko" for the better, au tutaendelea kuwa "played our minds away" with the same people ambaye amekuwa "fooling all of us all the time" mpaka kuitimiza ile "miaka 50 mingine ulioniambia siku ile pale mahali".

Welcome back!.

Pasco.
 
Mwana Magamba yeyote hawezi kusimama kuongea kitu bila kutaja CHADEMA....
Mnanikumbusha Demu wangu B nilivyo Mbikiri, yaani ameolewa Long time kitambo lakin Kila akiongea na Mumewe anataja jina Langu "Mkusa", hawezi kukatiza siku bila kunitaja, same CCM mnavyotajataja CDM hata mahala CDM pasopotakiwa kutajwa kama vile kwenye Mipasho yenu pale Dom

Na mke wako huwa anamtaja nani?
 
@W. J. Malecela - Ndugu zangu milioko nje rudini tujenge taifa letu, hakuna wa kutujengea huku tuje wenyewe, na pia tuchukue fomu za uongozi tujikite huko ndani kuleta mabadiliko badala ya kukaa kulia lia tu bila sababu na huku ni watuwazima na tuna akili timamu, tukazane tuingie wenyewe! KURUDI HOME SIO A DEATH SENTENCE!! HA! HA! HA! HA! HA!
Kama kuna jambo unajitahidi kudanganya watu ni hili, wewe hukurudi Tanzania kwa mapenzi, unajua sababu na msukumo wa hilo.
William, usiaminishe watu ni mapenzi kwa Tanzania yako ndio yaliyokurudisha Tanzania, ni family matters bana ! umekimbia wajibu.. ngoja na wengine wapate mikasa yao ndio warudi Tanzania
.
 
Sahihisho: Associate degrees ya hapa USA Ni sawa na Ordinary diploma ya Bongo na siyo Advanced Diploma maana huku inatolewa kwa miaka 2 tu na unaenda kuongez a mingine 2 ama 3 kutegemea na length of program (fani) husika ngazi ya Bachelor Degree at any accredited US university.

William , hata wanaompigia kura sijui hata kama wanatafakari ! hakuna kitu kitaaluma wala kimaadili
 
- Chadema wameshindwa kila kona na kuishia kuambulia majimbo 46 tu vipi hamuoni aibu kwamba kila kona wanawakataa, well, kesho ninashikiri kwenye kikao cha Baraza Kuu la TaiWazazi-CCM so sijakataliwa kila mahali kama Chadema hawajakataliwa kila mahali! ha1 ha1 ha! ha!

Le MutuZ

WJM
Naona una hamu na ghamu kurithi mikoba ya Nape uvuvuzela kwa jina la CDM. Au ndio strategy ya kujijenga kisiasa make Tyson kajighamba ndio kiboko cha CDM kawanyang'anya kura zote. CDM wala haijatajwa hapa issue ni kushindwa kwako CCM unaropoka CDM. Naona muda mfupi tu uko bongo ila ushaanza kuharisha kwa pepo la CDM. Hongera kuwa muungwana kukubali kushindwa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom