- Kamati Kuu ya CCM ilinipitisha kugombea NEC Viti 10 Bara, uchaguzi ulifanyika juzi Kizota Dodoma kura zangu hazikutosha, na nimeridhika sana na matokeo: Uchaguzi ulifanyika kihalali na haki na ninakubali kushindwa nitajipanga upya na kujikita tena next time zikitokea nafasi zingine za Chama changu CCM, chama Dume!!
- I am proud na kushika nafasi ya 12, kati ya wagombea 31 ambao wote wengine ni wazoefu wa muda mrefu sana ndani ya CCM, kulinganisha na mimi niliyerudi Bongo Miezi 10 iliyopita, baada ya kuishi Miaka 30 Ulaya na USA, so leo kugombea na miamba hii ya CCM na kushika nafasi ya 12, na kuwapiga wengine 19 it is great honor to me I mean A Luta Continua yaani Mapambano Bado kabisaa yanaendelea, next time tutapigana mpaka kura zitoshe.
- Again, ninakishukuru Chama changu CCM kwa kutoa nafasi kwa kila mwananchi kushiriki kikamilifu bila kubagua wala kuonea, na pia ninawashukuru CCM-WAZAZI kwa kunichagua kuwa Mjumbe wa Baraza Kuu la Taifa na pia kuiwakilisha kwenye Baraza Kuu la UV-CCM Taifa, na kesho kitakuwa ni kikao changu cha pili katika Baraza hapa Dodoma, I am grateful for that!!
- Ndugu zangu milioko nje rudini tujenge taifa letu, hakuna wa kutujengea huku tuje wenyewe, na pia tuchukue fomu za uongozi tujikite huko ndani kuleta mabadiliko badala ya kukaa kulia lia tu bila sababu na huku ni watuwazima na tuna akili timamu, tukazane tuingie wenyewe! KURUDI HOME SIO A DEATH SENTENCE!! HA! HA! HA! HA! HA!
RESPECT MUCH PEOPLE!!
LE MUTUZ - (KING OF ALL SOCIAL NETWORK MEDIA) & MJUMBE BARAZA KUU LA WAZAZI-CCM TAIFA & BARAZA KUU UVCCM TAIFA!!
- WEll, nimeshindwa kwa sababu walioshinda ni wazoefu wakubwa zaidi yangu ndani ya chama, wameshinda Viongozi wa Taifa wote 10 naamin inajisema yenyewe ni kwa nini nimeshindwa, tatizo sio kushindwa ila ni ulipoangukia ni wapi!!
Le Mutuz!
Uzoefu na ukubwa sio hoja ya msingi. Unaweza ukawa mzoefu wa kufanya madudu na kubwa jinga, wewe uzoefu wa mtu kama Wassira, Nchimbi, Kawambwa, Maghembe, IGP, Hosea, DPP, Idris Rashid na wababaishaji wengine unaweza sema unasaidia chochote kwenye maendeleo ya hili taifa???Hakuna asiyejua kuwa CCM uongozi ni pesa, hilo kundi lililokuja kukutendea haki wewe ndani ya uchaguzi wa CCM limetoka wap???Inaonekana wewe hukutoa pesa nyingi kwa wapiga kura.Jipange nxt time kopa bilioni uhonge utapata tu kijana.- WEll, nimeshindwa kwa sababu walioshinda ni wazoefu wakubwa zaidi yangu ndani ya chama, wameshinda Viongozi wa Taifa wote 10 naamin inajisema yenyewe ni kwa nini nimeshindwa, tatizo sio kushindwa ila ni ulipoangukia ni wapi!!
Le Mutuz!
hahahaaa ..mods badilisheni title ya thread . naona le mutuz ameamka anaiota chadema kila baada ya sekunde. na huu ni mwanzo tu manake ukiingia ndani ya ccm ndio unapoyaona makali ya chadema. relax bro kukaa nje miaka milion sio kigezo hata sisi tumekaa europe miaka kibao na bado tupo huku . fight for your country narasilimali zake and not for your chama dude.
- Yaap katika miezi 10 niliyoishi bongo toka nirudi nimegombea:-
1- Ubunge EAC - Nimeshindwa
2. Katibu MWenezi na Elimu na Mazingira wa Wazazi Kata Kivukoni - Nikashinda
3. Ujumbe wa CCM Wilaya ya ILALA - Nikashinda
4. Ujumbe wa WAZAZI_CCM Mkoa wa Dar - Nikashinda
5. Katibu MWenezi CCM Mkoa wa Dar - Nikashindwa
6. Ujumbe Baraz la Wazazi-CCM Taifa - Nikashinda
7. NEC Viti 10 Bara - Nimeshindwa
- So haya yote in 10 months, ni supa sana na tupo vizuri sasa ni kutulia na kujipanga tena mapambano bado sana!!
Le Mutuz!!
- Ohh yeah nimeshindwa kama Chadema wanavyoshindwa Urais toka ianzishwe mpaka leo, maneno ya baba ni too low of argument ni simply waste of my time hata kujibu!!
Le Mutuz!
Hivi umesema umeishi miaka 30 US/Europe? Kama ni kweli, sa ndo kitu gani hichi ulichoki-post hapa pamoja na exposure yote hiyo???
Le mutuz for 2015 president candidate
mimi pia napenda mtu anayejiamini hivi.What I like about Le Mutuz ni kwamba unajua kusimamia unachoamini no matter how.............
Big up mkuu