Niligombea NEC Na Nimeshindwa Kihalali - Le Mutuz!

Niligombea NEC Na Nimeshindwa Kihalali - Le Mutuz!

Status
Not open for further replies.
- Chadema wameshindwa kila kona na kuishia kuambulia majimbo 46 tu vipi hamuoni aibu kwamba kila kona wanawakataa, well, kesho ninashikiri kwenye kikao cha Baraza Kuu la Taifa Wazazi-CCM so sijakataliwa kila mahali kama Chadema hawajakataliwa kila mahali! ha1 ha1 ha! ha!

Le MutuZ
Haumwitaji Prof Majimarefu akupigie bao, tumia akili uliyopewa na Muumba. Kama uligundua maisha New york yalikushinda, basi lazima ujue JK hawapendi na atawaangamiza kisiasa kwa dhambi mlizomfanyia. (mtandao wa Zee Utamu) Baba kapigwa chini umakamu, Mama kapigwa chini Uwenyekiti UWT na sidhani 2015 atapitishwa kugombea Ubunge Same, na wewe ndio huyo umeshindwa kufurukuta katika ngome ya Baba yako na ya familia yenu kwa ujumla. Mkuu! najua hauna elimu nzuri kama Dada zako, lakini ni dereva nzuri sana, nenda kawaendeshe wazee upate pa kujishikia.
 
Pole sana mkuu,kwa kusema kweli umejitahidi sana kupambana,lakini ukweli unabaki pale pale kuwa umeshindwa.ushauri wangu kwako ni kuendelea na mapambano bila kuchoka na ifike mahali watoto wa viongozi wa zamani mfahamu kuwa siasa ya Tanzania imebadilika,hivyo majina ya baba na mama zenu hayatowasaidia tena.
Nzuri ee! Majina ya mama na baba zao HAYATAWASAIDIA
 
tatizo bill ni kuwa zile baby shower lol za new york na boston zilikulemaza mno
 
- Yaap katika miezi 10 niliyoishi bongo toka nirudi nimegombea:-

1- Ubunge EAC - Nimeshindwa
2. Katibu MWenezi na Elimu na Mazingira wa Wazazi Kata Kivukoni - Nikashinda
3. Ujumbe wa CCM Wilaya ya ILALA - Nikashinda
4. Ujumbe wa WAZAZI_CCM Mkoa wa Dar - Nikashinda
5. Katibu MWenezi CCM Mkoa wa Dar - Nikashindwa
6. Ujumbe Baraz la Wazazi-CCM Taifa - Nikashinda
7. NEC Viti 10 Bara - Nimeshindwa

- So haya yote in 10 months, ni supa sana na tupo vizuri sasa ni kutulia na kujipanga tena mapambano bado sana!!

Le Mutuz!!
hivi kuijenga nchi yako au chama chako lazima uwe kiongozi?
 
Le Mutuz, kwa kweli unastahili pongezi kwa 'DRIVE' uliyo nayo juu ya nafasi ambazo huwa wagombea. Nashangaa sana kuwa all this has been in just ten months. Kimzaha zaha pamoja na kejeli zote hizi utafika tu mahala unataka ingawa bahati mbaya sana ukijulikana kwa tabia za kejeli, majidai, kujigamba kupenda watoto (most wanapenda lakini si kwa kujigamba) na kujiamini kupita kiwango stahili. However nina maswali kwako ambayo naomba ujibu kama hutajali;

1. Unadhani kuwa katika mchakato wote wa kupiga kura wanachama wapo huru kama inavyostahili? Kuwa kweli kabisa mtu anapiga kura vile anavyotaka na sio anavyo tarajiwa kupiga kura hasa kwa inapo husisha viongozi wakubwa katika hilo zoezi?

2. Mapungufu yepi unayaona yapo ambayo yanatakiwa kusimamiwa na kurekebishwa ili yasirudiwe tena uchaguzi ujao kama huo?

3. Chadema ni threat kiasi gani kwa kwa CCM?

4. Kuna interview uliwahi ongea na Pascal Mayalla (sio Pasco wa JF :smile🙂 kuwa moja ya azma yako ni kuhakikisha CCM inaongioza miaka 50. Do you still believe CCM ina uwezo huo and why? (Nimeuliza sababu wewe mwenyewe ulijicheka saana hii kauli kana kwamba hukuwa na hakika na hii hoja yako).

5. BTW mara ya mwisho mkuu nilibahatika kuona mabandiko na maandishi yako kadhaa (na nje ya jf pia) jinsi gani huwezi kurudi mahala hapa, kwa maneno ya kejeli kana kwamba kweli huwezi thubutu na inaweza kuwa dhambi ukifanya hivyo (kurudi mahala hapa). Nini kimefanya change of heart?

Karibu tena mkuu..

nitakapoanza kugombea udiwani naomba uwe unakuja kuniuliza maswali bibie, ili nikomae na baadae nigombee ubunge!!!. nina mapenzi na uulizaji wako. ni wachache kama wewe
 
Le Mutuz!

nakumbuka uliaga jf, mbona waenda mbele na kurudi tena nyuma mkuu.

Amerudi kutoa taarifa ya kushindwa kwa kishindo katika uchaguzi wa viongozi wa CCM.

Pia anawasihi walio nje warudi bongo kuja kupata mgao wao wa umasikini, kupiga picha na warembo na kuvuta hewa safi ya mabomu ya kutoa machozi ya askari wa Chama dola.

Lakini zaidi, amekuja JF kupunguza joto la kushindwa kihalali na wana-CCM wenzake.

Tumpe pole na tumwambie, "kaza mkanda" utafika tu uendako.

Le Mutuz, pole na hongera kwa kushindwa kihalali.
 
am impressed..hahaahah...kukubali kushindwa ndio ushindani...jipange sawa sawa kwa wakati mwingine!
 
nitakapoanza kugombea udiwani naomba uwe unakuja kuniuliza maswali bibie, ili nikomae na baadae nigombee ubunge!!!. nina mapenzi na uulizaji wako. ni wachache kama wewe

How can I say 'NO' kwa mheshimiwa hasa katika maswala yanayohusiana na kazi?! (I kid).

On a serious note; I am humbled, na ikitokea Mwenyezi Mungu kakuwezesha katika hilo usisite kunitafuta. Itakuwa faida kwangu kama ilivyo kwako. Haya mambo ni kujengana, hivyo kila la Kheri... Pamoja saana.
 
Wewe hutakiwi kwenye chama cha magamba kila siku huwatunakuambia huelewi.
 
- Kwa sababu kila nikiondoa mnaanza kunisumbua kila kona kunililia nirudi, nikija mnaaanza kujiakanyaga kanyaga cause hamna hoja ila ninawavumulia tu kuweka mijdala lakini hoja huwa hamna kabisaa!

Le Mutuz!!

Kweli we ni mweupe kichwani.
 
Le Mutuz, katika sinema uliyocheza na mabebis wako umecheza kama nani.
 
Le Mutuz, kwa kweli unastahili pongezi kwa 'DRIVE' uliyo nayo juu ya n
afasi ambazo huwa wagombea. Nashangaa sana kuwa all this has been in just ten months. Kimzaha zaha pamoja na kejeli zote hizi utafika tu mahala unataka ingawa bahati mbaya sana ukijulikana kwa tabia za kejeli, majidai, kujigamba kupenda watoto (most wanapenda lakini si kwa kujigamba) na kujiamini kupita kiwango stahili. However nina maswali kwako ambayo naomba ujibu kama hutajali;

1. Unadhani kuwa katika mchakato wote wa kupiga kura wanachama wapo huru kama inavyostahili? Kuwa kweli kabisa mtu anapiga kura vile anavyotaka na sio anavyo tarajiwa kupiga kura hasa kwa inapo husisha viongozi wakubwa katika hilo zoezi?

2. Mapungufu yepi unayaona yapo ambayo yanatakiwa kusimamiwa na kurekebishwa ili yasirudiwe tena uchaguzi ujao kama huo?

3. Chadema ni threat kiasi gani kwa kwa CCM?

4. Kuna interview uliwahi ongea na Pascal Mayalla (sio Pasco wa JF :smile🙂 kuwa moja ya azma yako ni kuhakikisha CCM inaongioza miaka 50. Do you still believe CCM ina uwezo huo and why? (Nimeuliza sababu wewe mwenyewe ulijicheka saana hii kauli kana kwamba hukuwa na hakika na hii hoja yako).

5. BTW mara ya mwisho mkuu nilibahatika kuona mabandiko na maandishi yako kadhaa (na nje ya jf pia) jinsi gani huwezi kurudi mahala hapa, kwa maneno ya kejeli kana kwamba kweli huwezi thubutu na inaweza kuwa dhambi ukifanya hivyo (kurudi mahala hapa). Nini kimefanya change of heart?

Karibu tena mkuu..

Napendaga sana kukusoma mara mbilimbili, kuna kitu huwa najifunza kupitia post zako.:clap2:
 
Hatutaki na hatuhitaji kutawaliwa na "wageni" hawa.
Bila shaka katika maisha yake William hajawahi kulala njaa, hajawahi kukosa kiti shuleni, umeme/maji havijawahi kukosekana nyumbani. Bila shaka hajawahi kukaa kwenye foleni akisubiri huduma za afya, au akisubiri daladala.
Mtu wa namna hii hana touch na raia wa kawaida wa Tanzania na kwa hiyo hazijui changamoto zinazowakabili watanzania, kila mara tumeambiwa "experience is the best teacher"
Kama ni kweli Wiliam amekaa nje ya nchi miaka 30 then hafai kwa namna yoyote ile kupewa nafasi ya kutatua matatizo yetu kwa sababu hayajui
 
wazazi wako wanafanya siasa na wewe siasa hivi nchi hii ni nyinyi tu, muwe mnaona hata aibu!fanya kazi nyingine! igeni mfano wa mwlm nyerere, angetaka watoto wake wote wawe wana siasa ingekuaje?mnakera sana hamjijui tu! hovyoooooo!!!
 
- Yaap katika miezi 10 niliyoishi bongo toka nirudi nimegombea:-

1- Ubunge EAC - Nimeshindwa
2. Katibu MWenezi na Elimu na Mazingira wa Wazazi Kata Kivukoni - Nikashinda
3. Ujumbe wa CCM Wilaya ya ILALA - Nikashinda
4. Ujumbe wa WAZAZI_CCM Mkoa wa Dar - Nikashinda
5. Katibu MWenezi CCM Mkoa wa Dar - Nikashindwa
6. Ujumbe Baraz la Wazazi-CCM Taifa - Nikashinda
7. NEC Viti 10 Bara - Nimeshindwa

- So haya yote in 10 months, ni supa sana na tupo vizuri sasa ni kutulia na kujipanga tena mapambano bado sana!!

Le Mutuz!!

Your scripts tells all! No more questions
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom