Niligombea NEC Na Nimeshindwa Kihalali - Le Mutuz!

Niligombea NEC Na Nimeshindwa Kihalali - Le Mutuz!

Status
Not open for further replies.
@W.J. Malecela miaka 30 iliyosema umekaa nje utakuwa umejifunza mengi na kujikusanyia mtaji wa kutosha; kwa kuonyesha uzalendo wako kwa nchii hadi leo hii toka urudi umewaajiri vijana wangapi kwa ubunifu wako uliojifunza huko Ulaya na Amarika?
 
Siamini kama kuna mtu anaweza kukulilia urudi hapa kijana.
Ile bukta yako ya kwenye miss tanzania ni Savco ama Gangwe Mob wear??

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

- Ile Short-Pants ilikuwa ni USD $ 150.00 kwenye Marcys Times Square, made by Kevin Clain so ni kubwa yao sana you know!! ha! ha1 ha! ha! ha! ha!, kumbe uliona my special interview kwenye Red Capet ya Miss Redds 2012, saafi sana si unajua ukwia Big Celeb ni ya kawaida sana hayo!! ha! ha! ha! ha!

Le Mutuz!!

Le Mutuz!
 
- Chadema wameshindwa kila kona na kuishia kuambulia majimbo 46 tu vipi hamuoni aibu kwamba kila kona wanawakataa, yaani ni MBULULA KWELI, well, kesho ninashikiri kwenye kikao cha Baraza Kuu la Taifa Wazazi-CCM so sijakataliwa kila mahali kama Chadema hawajakataliwa kila mahali! ha1 ha1 ha! ha!

Le MutuZ

Hivi usipoitaja CHADEMA "jogoo haliwiki"??? Mbona huko juu hapana yeyote aliyejitambulisha kwa chama chake zaidi yako wewe unayejipambanua kuwa mwanachama wa "CHAMA CHENU MAGUMASHI"??? Du! Chadema inakufanya vibaya.,yan usipoitaja hujickii raha kabisa.,kama wewe ni mwanasiasa makini unapaswa uwaze kwa mapana..iwaze Chadema,CUF,NCCR, UDP na vingine vyote na ujipambanue kwa hoja makini..
Jina umerithi kwa baba,
siasa umerithi kwa baba,
Vyeo na nafasi umerithi kwa baba,
HATA UJINGA UTAKUA UMEUTOA HUKOHUKO..
 
Nilikusikiliza BBC, kilichokuangusha nikujifanya mmombo(miaka 30 ulaya) kama unaogea kiswahili tumia kiswahili, kama ni english shuka na english tu usichanganyeutaonekana sharobaro ....
 
- Ile Short-Pants ilikuwa ni USD $ 150.00 kwenye Marcys Times Square, made by Kevin Clain so ni kubwa yao sana you know!! ha! ha1 ha! ha! ha! ha!, kumbe uliona my special interview kwenye Red Capet ya Miss Redds 2012, saafi sana si unajua ukwia Big Celeb ni ya kawaida sana hayo!! ha! ha! ha! ha!

Le Mutuz!!

Le Mutuz!

Mkuu ile bukta mmpe house girl wako, ulitokea kama umevaa sketi.
Nilikua eneo la tukio so nilikuona unavyomuomba sauda mwilima akuhoji.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
- I know fungu la kukosa kama Chadema na kuishia maandamano kila siku! ha! ha! ha! ha! ha! ha!

Le Mutuz!!

Acha kudivert mada! Mimi nakuzungumzia wewe, nimekushauri hukutaka kusikia na sasa yamekukuta. Mambo ya cdm yanahusika vp hapa? Use your head Mkuu!
 
@W.J. Malecela miaka 30 iliyosema umekaa nje utakuwa umejifunza mengi na kujikusanyia mtaji wa kutosha; kwa kuonyesha uzalendo wako kwa nchii hadi leo hii toka urudi umewaajiri vijana wangapi kwa ubunifu wako uliojifunza huko Ulaya na Amarika?

- Miezi 10 ni michache sana ingawa nimeshaanza na kwenye Blog ambako tunaenda pole pole, otherwise miezi 10 bado ni miodogo sana, lakini as we move on tutafanya sana hayo u;liyoyasema maana tuna projects nyingi ambazo ninategema kwenda nje karibuni kutafuta wawekezaji, kwa vile ni mzoefu wa ughaibuni tutawapata and then tutatoa ajira!!

- Again ninawashukuru sana wwenye matangazo ya biashara kwenye our blog hasa The Delina Group na Uhuruone kwani wananisaidia kutoa ajira ndogo ndogo through the blog na sooon tutaoa ajira za uhakika, thaanks bro hoja yako ni nzito na ni valid sana kulinganisha na wengine na hoja zao za maruhani!!

Le Mutuz!!
 
- Kwa sababu kila nikiondoa mnaanza kunisumbua kila kona kunililia nirudi, nikija mnaaanza kujiakanyaga kanyaga cause hamna hoja ila ninawavumulia tu kuweka mijdala lakini hoja huwa hamna kabisaa!

Le Mutuz!!
wataje hapa wanaokulilia urudi kufuta mzizi wa fitna kama kweli wewe ni muungwana
 
- Chadema wameshindwa kila kona na kuishia kuambulia majimbo 46 tu vipi hamuoni aibu kwamba kila kona wanawakataa, yaani ni MBULULA KWELI, well, kesho ninashikiri kwenye kikao cha Baraza Kuu la Taifa Wazazi-CCM so sijakataliwa kila mahali kama Chadema hawajakataliwa kila mahali! ha1 ha1 ha! ha!

Le MutuZ

Hivi unajua kuwa umetukana watu hapo? Ndio heshima na hekima uliyofundishwa na wazazi wako? Au ndio ulichojifunza Ulaya/USA miaka 30? Au kwa kuwa wewe Mkurugenzi wa JF basi matusi halali?

SHAME ON YOU
 
- Chadema wameshindwa kila kona na kuishia kuambulia majimbo 46 tu vipi hamuoni aibu kwamba kila kona wanawakataa, yaani ni MBULULA KWELI, well, kesho ninashikiri kwenye kikao cha Baraza Kuu la Taifa Wazazi-CCM so sijakataliwa kila mahali kama Chadema hawajakataliwa kila mahali! ha1 ha1 ha! ha!

Le MutuZ

kama akili zako ni hizi bora umeshindwa maana ungeharibu hata njama za kuiba kura kwa uwezo wako mdogo wa uchambuzi
 
READING YOU LOUD AND CLEAR.
Bgup and keep it up.
 
Nielewesheni tafadhali.. Anamaanisha nini huyu jamaa anavyosema yeye ni King of all social network media..? Sitaki kuhukumu kabla cijapata maana halisi ya alichomaanisha..

- Maana yake ni kwamba nikiondoka hapa wote mnakosa raha manaaanza kuniomba kila kona nirudi, and then nikija hapa nikigusa to key board wote mnakimbilia najua inawaduhi watu flani wanaopenda ujiko lakini huwezi kushindana na talent ya mtu, halafu nimeanzisha blog kwa miezi mitano tu inavuta visitors na watangazaji wa biashara kuliko blogs kibao ambazo zimekwua hai kwa miaka mingi, njoo Facebook ndio kabisa my account imejaza watu 5,000 wanaotakiwa na sheria ya FB na huku ni watu 10,000 wanaosubiri niwakubali kuwa marafiki zangu, na sasa hivi nimeombwa kuwa mtangazaji wa TV mpya Internent inayoanza next month!!

- ndio maana ya kwua The King Of All Social Networks Media!!

Le Mutuz!!
 
- Ungeanza kusema umri wako kwaanza kama ni tija wka Taifa, haalafu useme Dr. Slaa ana umri gani na Mbowe kama vipi au? ha! ha! ha! ha! ha! ha!

Le Mutuz!!
arifu unaongea kama ka tineja hivi ndio maana nikakuuliza umri wako maana nikiangalia mwili wako na unasema umeishi usa 30yrs nikawa siamini......

BTW arifu mie msaada mkubwa ninaotaka kwako nataka wale mashori unaokuwa nao....nataka niwamege
 
Politics is indeed a game of hypocrites! I pray that the FB poster and the Field Marshal are not the same person only with Dissociative Identity Disorder (DID) or Multiple Personality Disorder (MPD)! How could this happen?

Mkuu wangu MMJ,
Heshima mbele, huyu mama anahitaji kujibu maswali under oath, ukweli ni kwamba ni muongo, kwa sababau haiwezekani waziri mzima akasaini barua toka kwa Gavana, inayo-release hela zote hizo za walipa kodi, bila ya utafiti wa kutosha kufanywa na yeye binafsi au wasaidizi wake, kama hakufanya hivyo basi hafai na anatakiwa kutoka, kama angekuwa mkweli angesema kwa public au cabinet the minute alipogundua kuwa amedanganywa na Gavana, kuliko kusema baada ya Gavana kuondoka na ripoti kutolewa, huyu mama simuamini kabisaa mkuu tena ni afadhali angenyamaza kuliko kutoa vitu kama hivi, atoke tu!
 
Attachments

  • Willy.jpg
    Willy.jpg
    88.6 KB · Views: 110
- Miezi 10 ni michache sana ingawa nimeshaanza na kwenye Blog ambako tunaenda pole pole, otherwise miezi 10 bado ni miodogo sana, lakini as we move on tutafanya sana hayo u;liyoyasema maana tuna projects nyingi ambazo ninategema kwenda nje karibuni kutafuta wawekezaji, kwa vile ni mzoefu wa ughaibuni tutawapata and then tutatoa ajira!!

- Again ninawashukuru sana wwenye matangazo ya biashara kwenye our blog hasa The Delina Group na Uhuruone kwani wananisaidia kutoa ajira ndogo ndogo through the blog na sooon tutaoa ajira za uhakika, thaanks bro hoja yako ni nzito na ni valid sana kulinganisha na wengine na hoja zao za maruhani!!

Vipi ulienda ulaya kwa hela nchi yetu au?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom