Niligombea NEC Na Nimeshindwa Kihalali - Le Mutuz!

Niligombea NEC Na Nimeshindwa Kihalali - Le Mutuz!

Status
Not open for further replies.
Kwa majibu low kama haya, ningewashangaa sana wajumbe wenye akili CCM wangekupa kura za kutosha.

BTW,

Umesahau nini JF? we si umehamia kwa warembo FB kuuza sura?

Na kule fb alizinguana na wanatanuru la mashuzi aka tanuru la fikra mgando akaaga
 
A-foolish-man-proclaimeth.jpg
Kweli kabisa mkuu,Hii misifa imezidi utadhani the guy hasn't been to school.
 
Ni supa sana kwa sababu umeweza kushinda baadhi ya posts ulizogombea? what if ungeshindwa ktk posts zote ulizogombea bado ingebakia kuwa supa sana. Unakumbuka kuvuta shuka wakati kumekucha? unawashauri uliowaacha ulaya & USA warudi, wewe umerudi ili kuja kugombea vyeo na si vinginevyo. Nao wakitaka kugombea vyeo kama wewe watarudi tu, acha pressure. Kweli siasa ya sasa ni poa.
- Yaap katika miezi 10 niliyoishi bongo toka nirudi nimegombea:-

1- Ubunge EAC - Nimeshindwa
2. Katibu MWenezi na Elimu na Mazingira wa Wazazi Kata Kivukoni - Nikashinda
3. Ujumbe wa CCM Wilaya ya ILALA - Nikashinda
4. Ujumbe wa WAZAZI_CCM Mkoa wa Dar - Nikashinda
5. Katibu MWenezi CCM Mkoa wa Dar - Nikashindwa
6. Ujumbe Baraz la Wazazi-CCM Taifa - Nikashinda
7. NEC Viti 10 Bara - Nimeshindwa

- So haya yote in 10 months, ni supa sana na tupo vizuri sasa ni kutulia na kujipanga tena mapambano bado sana!!

Le Mutuz!!
 
- Mnanivunja mbavu sana ina maana Slaa na Mbowe wamehindwa Urais kila wakati kwa sababu ya umri wao? ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha!

Le Mutuz!!

Le Mutuz Le Mutuzi my bro haya unayojibu ipo siku yataja kukutokea kwa pua emu kuwa muungwana japo Kidogo hizi mbwembwe zote za nn...
 
Hongera sana Kaka,

lakini unaposema umeshindwa kihalali, pia una maana kwamba walioshinda, wameshinda kihalali?
 
This is too low for you. How do you judge the election was fair? Je ulikuwa unapiga kampeni au observer? Au na wewe unataka wakumwagie ka-cheo ka bure .. ... maana huko ndiko kwenye mzizi wa kila aina ya ufedhuli. Hii nchi ingekuwa mbali sana kama tungeweza kuwa na viongozi ambao wana uwezo na sio sifa za kujibambikabambika. Wish you luck but you're late.

- Chadema wameshindwa kila kona na kuishia kuambulia majimbo 46 tu vipi hamuoni aibu kwamba kila kona wanawakataa, well, kesho ninashikiri kwenye kikao cha Baraza Kuu la Taifa Wazazi-CCM so sijakataliwa kila mahali kama Chadema hawajakataliwa kila mahali! ha1 ha1 ha! ha!

Le MutuZ
acha pumba
 
Mwacheni Le Mutuz bila kuleta ubaguzi. JF ina wanaCD wengi lkn hiyo haimaanishi wana CCM hawatakiwi.

Le Mutuz hongera kwa kila hatua unayopiga iko siku zitatimia hakika.

Uprising.
 
Ningekuwa wewe nisingejibu. Naona kama majibu yako unajilinganisha na taasisi kama CHADEMA vile! Wewe upo na umefika hapo katika siasa kwa sababu ya jina lako la ukoo. Tena usijisahau sana kwani hata hilo jina siamini kama linanafasi katika mfumo nje ya chama chenu
 
Kweli ilikuwa ni halali yako kushindwa sasa CHADEMA hapa wanaingiaje? Wewe fani yako kupiga picha na totoz kaendeleze fani ya siasa naona umeingia coz parents walikuwepo huko basi umeingia kichwa kichwa ukaona utaweza kumbe wamekuweza
 
- Chadema wameshindwa kila kona na kuishia kuambulia majimbo 46 tu vipi hamuoni aibu kwamba kila kona wanawakataa, well, kesho ninashikiri kwenye kikao cha Baraza Kuu la Taifa Wazazi-CCM so sijakataliwa kila mahali kama Chadema hawajakataliwa kila mahali! ha1 ha1 ha! ha!

Le MutuZ

mkuu le mutuz,chadema tuna majimbo 23 tu wengine ni wabunge wa kuteuliwa
 
Mkuu le mutuz hongera sana kwa kukubali matokeo,huo ndio uzalendo wa kweli
 
..........:cheer2:Kwa msingi huu na mtaji huu unaonyesha busara....na ukomavu... naamini iko sikuutapata, usikate tamaa....vipi umeonaje rushwa ndani ya CCM? ningefurahi kama ungezunguzia japo kidogo swala hili..:target: :majani7: :A S 11: 😛op2:
 
Mwacheni Le Mutuz bila kuleta ubaguzi. JF ina wanaCD wengi lkn hiyo haimaanishi wana CCM hawatakiwi.

Le Mutuz hongera kwa kila hatua unayopiga iko siku zitatimia hakika.

Uprising.

nakurekebisha kidogo mkuu,jf ina wana cdm wengi sio wana cd
 
This is too low for you. How do you judge the election was fair? Je ulikuwa unapiga kampeni au observer
? Au na wewe unataka wakumwagie ka-cheo ka bure .. ... maana huko ndiko kwenye mzizi wa kila aina ya ufedhuli. Hii nchi ingekuwa mbali sana kama tungeweza kuwa na viongozi ambao wana uwezo na sio sifa za kujibambikabambika. Wish you luck but you're late.

lets learn to appreciate ,ametoa mawazo yake kwa jinsi alivyoona mchakato kama mgombea.wewe pia unapaswa kutoa maoni yako na sio kuponda ya wenzako
 
- Yaap katika miezi 10 niliyoishi bongo toka nirudi nimegombea:-

1- Ubunge EAC - Nimeshindwa
2. Katibu MWenezi na Elimu na Mazingira wa Wazazi Kata Kivukoni - Nikashinda
3. Ujumbe wa CCM Wilaya ya ILALA - Nikashinda
4. Ujumbe wa WAZAZI_CCM Mkoa wa Dar - Nikashinda
5. Katibu MWenezi CCM Mkoa wa Dar - Nikashindwa
6. Ujumbe Baraz la Wazazi-CCM Taifa - Nikashinda
7. NEC Viti 10 Bara - Nimeshindwa

- So haya yote in 10 months, ni supa sana na tupo vizuri sasa ni kutulia na kujipanga tena mapambano bado sana!!

Le Mutuz!!
Unakatisha tamaa sana ndugu.

Yaani wewe kwako mapambano ni kugombea vyeo tu ndani ya CCM!!!

Wakati wakulima na wafanyakazi nchi nzima wameanza kuelimika na sasa wanaikataa CCM na kuhamia CHADEMA, wewe pamoja na kuishi Ulaya na Marekani zaidi miaka 30 unarudi Bongo kuja kugombea vyeo ndani ya CCM!!!
 
teh teh teh,mtu wa miaka 50,akili za miaka 22,awe mgombea urais.Kweli umri si tija!

hapa umewatukana baadhi ya vijana, wife wangu ana miaka 20 lakini busara zake na anavyo'behave ni sawa na mtu aliyeishi miaka 50. still bado nataka mtu wa kuniaminisha kweli km le mutuz ana 50......loh!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom