- Ohh yeah nimeshindwa kama Chadema wanavyoshindwa Urais toka ianzishwe mpaka leo, maneno ya baba ni too low of argument ni simply waste of my time hata kujibu!!
Le Mutuz!
hahahaaa ..mods badilisheni title ya thread . naona le mutuz ameamka anaiota chadema kila baada ya sekunde. na huu ni mwanzo tu manake ukiingia ndani ya ccm ndio unapoyaona makali ya chadema. relax bro kukaa nje miaka milion sio kigezo hata sisi tumekaa europe miaka kibao na bado tupo huku . fight for your country narasilimali zake and not for your chama dude.- Ohh kwa hiyo Chadema wanatakiwa kuanzisha chama kingine baada ya kushindwa urais na ubunge kila wakati? Is that right?
- Chadema wameshindwa kila kona na kuishia kuambulia majimbo 46 tu vipi hamuoni aibu kwamba kila kona wanawakataa, yaani ni MBULULA KWELI, well, kesho ninashikiri kwenye kikao cha Baraza Kuu la Taifa Wazazi-CCM so sijakataliwa kila mahali kama Chadema hawajakataliwa kila mahali! ha1 ha1 ha! ha!Le Biig Shoow!Le MutuZ
hayo 46 yalikuwa ya nani kabla????mwehu kweli wewe,yaani unanyang'anywa 46 kati ya 100 ulokuwa nayo,then unambeza aliyekunyang'anya hana aibu.ndo maana magamba wanakutosa maana upeo wako bora hata mtoto wa chekechea.- chadema wameshindwa kila kona na kuishia kuambulia majimbo 46 tu vipi hamuoni aibu kwamba kila kona wanawakataa, yaani ni mbulula kweli, well, kesho ninashikiri kwenye kikao cha baraza kuu la taifa wazazi-ccm so sijakataliwa kila mahali kama chadema hawajakataliwa kila mahali! Ha1 ha1 ha! Ha!
Le mutuz
Kuna watu wanazaliwa na karama ya uongozi, lakini wewe mkuu hicho kitu huna na wala mvuto huna kabisa, bali unajitahidi kuforce kwa kutumia jina la baba yako ambaye na yeye mvuto wake kwa jamii umeshachuja sana. Nashangaa kama huoni shughuli nyingine ya kufanya kuliko kung'ang'ania siasa!- Ohh yeah nimeshindwa kama Chadema wanavyoshindwa Urais toka ianzishwe mpaka leo, maneno ya baba ni too low of argument ni simply waste of my time hata kujibu!!
Le Mutuz!
Umegundua sababu ya kushindwa? Je, una mipango gani kwa baadaye? Unatarajia kugombea tena?
- Ohh yeah nimeshindwa kama Chadema wanavyoshindwa Urais toka ianzishwe mpaka leo, maneno ya baba ni too low of argument ni simply waste of my time hata kujibu!!
Le Mutuz!
- WEll, nimeshindwa kwa sababu walioshinda ni wazoefu wakubwa zaidi yangu ndani ya chama, wameshinda Viongozi wa Taifa wote 10 naamin inajisema yenyewe ni kwa nini nimeshindwa, tatizo sio kushindwa ila ni ulipoangukia ni wapi!!
Le Mutuz!
- Chadema wameshindwa kila kona na kuishia kuambulia majimbo 46 tu vipi hamuoni aibu kwamba kila kona wanawakataa, yaani ni MBULULA KWELI, well, kesho ninashikiri kwenye kikao cha Baraza Kuu la Taifa Wazazi-CCM so sijakataliwa kila mahali kama Chadema hawajakataliwa kila mahali! ha1 ha1 ha! ha!
Le MutuZ
-
- I am proud na kushika nafasi ya 12, kati ya wagombea 31 ambao wote wengine ni wazoefu wa muda mrefu sana ndani ya CCM, kulinganisha na mimi niliyerudi Bongo Miezi 10 iliyopita, baada ya kuishi Miaka 30 Ulaya na USA,
Le Mutuz!
nakumbuka uliaga jf, mbona waenda mbele na kurudi tena nyuma mkuu.
wewe unauzoefu wa mabinti,sasa nakushangaa huko magambani unatafuta nini?- well, nimeshindwa kwa sababu walioshinda ni wazoefu wakubwa zaidi yangu ndani ya chama, wameshinda viongozi wa taifa wote 10 naamin inajisema yenyewe ni kwa nini nimeshindwa, tatizo sio kushindwa ila ni ulipoangukia ni wapi!!
Le mutuz!