William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,466
- Thread starter
- #81
Tatizo la kuzeeka bila kuwa na familia au kuishi na familia. Huwezi kujijua unakuwa kama majukumu hayabadiliki na kufanya ubongo wako ukuwe. Kwa hali hii, sifikiri kama huyu mtu amepitia challenges za kifamilia.
- At least sijaacha mke wangu na kuiba mke wa mwananchi na kutaka kwua Rais wa jamhuri! ha! ha! ha! ha! ha!
Le Mutuz!!