Ndachuwa
JF-Expert Member
- Mar 8, 2006
- 6,268
- 4,585
Tausi Mzalendo kuishi kwingi ni kuoana mengi; miak 30 ughaibuni urudi bila wazo la kumkomboa mtanzania kimaskini hainiingii akilini. Ukifuatilia sana wafanya biashara na wajasiriamali wengi kwanza ya kujiajiri waliajiriwa wakajifunza kwa waajiri wao mwishowe wakaanzisha shughuli zao, mimi ni mmojawapo; inawezekana kweli 30 years utoke kapa bila hata wazo la mradi wa fast food?NIMECHEKA HADI BASI!
Nini kinakufanya uamini karudi na mtaji mkubwa wa kuweza kutoa ajira mkuu??
Last edited by a moderator: