Niligombea NEC Na Nimeshindwa Kihalali - Le Mutuz!

Niligombea NEC Na Nimeshindwa Kihalali - Le Mutuz!

Status
Not open for further replies.
Huyu sasa ndiye The Le Mutuz kipindi hicho akiwa bado na akili timamu!

- Ndio hasa maana ya The King of All Social Network Media, yaani kumbe unanifuatilia kwa siku nyingi sana sawa sawa mkuu wangu the show is still on The Big Show yaani Le Mutuz!!

Le Big Shoow!
 
- Hillarious! ha! ha! ha! ha! ha! jamani yaani mnanivunja mbavu sana unaona sasa King Of All Social Network Media nikiondoka mnalilia nirudi nikija mnakuwa too excited hata hoja zinawaishia, yaani ni kuwavumilia tu! ha! ha! ha!

Le Mutuz!!

Oooh yeeeah! Ur a king of all social media?
 
Pole sana mkuu,kwa kusema kweli umejitahidi sana kupambana,lakini ukweli unabaki pale pale kuwa umeshindwa.ushauri wangu kwako ni kuendelea na mapambano bila kuchoka na ifike mahali watoto wa viongozi wa zamani mfahamu kuwa siasa ya Tanzania imebadilika,hivyo majina ya baba na mama zenu hayatowasaidia tena.

kajitahidi sana kucheza na maneno,ila ukweli unabaki pale pale,na ukweli unatabia ya kujitetea wenyewe...UMESHINDWA,hayo mambo sijui ukaa ulaya na marekani kwa miaka 30,mara umeshindana na manguli ndani ya ccm hayakuwa ya ulazima,kwa tuliosoma kiswahili na tunaoelewa dhana nzima ufahamu,kulikua hakuna haja ya maneno yote hayo,labda useme ulikua unajipa faraja mwenyewe baada ya kushindwa.
 
arifu unaongea kama ka tineja hivi ndio maana nikakuuliza umri wako maana nikiangalia mwili wako na unasema umeishi usa 30yrs nikawa siamini......

BTW arifu mie msaada mkubwa ninaotaka kwako nataka wale mashori unaokuwa nao....nataka niwamege

lol, hii ndio JF bwana, kila aina ya kimbwanga kinapatikana...haaha
 
wenye umri sawa na mwanao wa ujanani!!!!!!si umeona akiri yako ilivyo fupi.

- ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! yaani this is hillarious wale ni mabebs wa ukweee! kwani Mbebs mpya wa DR. Slaa ana umri gani bro? mbona unajikanyaga kanyaga hapa! ha! ha! ha!

Le Mutuz!!
 
kajitahidi sana kucheza na maneno,ila ukweli unabaki pale pale,na ukweli unatabia ya kujitetea wenyewe...UMESHINDWA,hayo mambo sijui ukaa ulaya na marekani kwa miaka 30,mara umeshindana na manguli ndani ya ccm hayakuwa ya ulazima,kwa tuliosoma kiswahili na tunaoelewa dhana nzima ufahamu,kulikua hakuna haja ya maneno yote hayo,labda useme ulikua unajipa faraja mwenyewe baada ya kushindwa.

- Yaaaap nimejifunzia Chadema mabingwa wa kushindwa, so usiwe na wasi wasi! ha! one page za kushindwa! ha! ha! ha! ha!

Le Mutuz!!
 
- Ndio hasa maana ya The King of All Social Network Media, yaani kumbe unanifuatilia kwa siku nyingi sana sawa sawa mkuu wangu the show is still on The Big Show yaani Le Mutuz!!

Le Big Shoow!

bado hujachoka kutapatapa tu?
 
- maana yake ni kwamba nikiondoka hapa wote mnakosa raha manaaanza kuniomba kila kona nirudi, and then nikija hapa nikigusa to key board wote mnakimbilia najua inawaduhi watu flani wanaopenda ujiko lakini huwezi kushindana na talent ya mtu, halafu nimeanzisha blog kwa miezi mitano tu inavuta visitors na watangazaji wa biashara kuliko blogs kibao ambazo zimekwua hai kwa miaka mingi, njoo facebook ndio kabisa my account imejaza watu 5,000 wanaotakiwa na sheria ya fb na huku ni watu 10,000 wanaosubiri niwakubali kuwa marafiki zangu, na sasa hivi nimeombwa kuwa mtangazaji wa tv mpya internent inayoanza next month!!

- ndio maana ya kwua the king of all social networks media!!

Le mutuz!!

una masifa ya kijinga sana..muda mwingine muulize kwanza mzee wako kabla ya kuandika *****
 
kwan uongoz mtu anapata kwa ajil ya uzoef au uwezo wake? mbona ding yako alitoswa pamoja na uzoef wake wote tangu enz za mwalimu? misifa imekuponza
 
- At least sijaacha mke wangu na kuiba mke wa mwananchi na kutaka kwua Rais wa jamhuri! ha! ha! ha! ha! ha!

Le Mutuz!!

Mkuu kwa age yako ya 50 years una hoja dhaifu sana,hivi huwezi kujibu swali au hoja hata kama umeumizwa?
 
- Yaaaap nimejifunzia Chadema mabingwa wa kushindwa, so usiwe na wasi wasi! ha! one page za kushindwa! ha! ha! ha! ha!

Le Mutuz!!

mimi ni mtanganyika,sina chama zaidi ya utanganyika wangu,nakushangaa wewe unaenitabatiza na kuniita mfuasi wa chama fulani baada ya kukueleza ukweli.
 
Mkuu kwa age yako ya 50 years una hoja dhaifu sana,hivi huwezi kujibu swali au hoja hata kama umeumizwa?

- Mnanivunja mbavu sana ina maana Slaa na Mbowe wamehindwa Urais kila wakati kwa sababu ya umri wao? ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha!

Le Mutuz!!
 
Le Mutuz Mutu ya Kilo - Sasa ongea vizuri na kina Ray uingie Bongo movie itakufaa!
 
una masifa ya kijinga sana..muda mwingine muulize kwanza mzee wako kabla ya kuandika *****

- Kumbe wewe ndio zako hizo za kumuuliza baba yako kabla ya kuandika JF, ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! hillarious!!

Le Mutuz!!
 
Le Mutuz Mutu ya Kilo - Sasa ongea vizuri na kina Ray uingie Bongo movie itakufaa!

- Nimeshacheza Movie mbili moja ya The Return of JLO, imeshatoka na nyingine ya The Dunia Hadaa ipo njiani kutoka na zote zina mabebs wa ukweee kiyama kitupu, so huko tumeshapita tayari!! ha! ha! ha! ndio maana ya Le Biig Shoow!!

Le Mutuz!!
 
A-foolish-man-proclaimeth.jpg
 
- Yaaaap nimejifunzia Chadema mabingwa wa kushindwa, so usiwe na wasi wasi! ha! one page za kushindwa! ha! ha! ha! ha!

Le Mutuz!!

unaogopa sana Chadema,kila kukicha Chadema wenzio kule ccm wamesimamia mguu mmoja wewe huna habari,kuwa na hekima si unaona yule remote control wa ikulu rizione anavyokutema??kuwa mjanja kaka
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom