Niligombea NEC Na Nimeshindwa Kihalali - Le Mutuz!

Niligombea NEC Na Nimeshindwa Kihalali - Le Mutuz!

Status
Not open for further replies.
Kushindwa kwa le mutuz ni ushindi kwa wasiopenga udugu. Le mutuz ana nini zaidi ya jina la Malecela? Nje amechemsha akaamua kujirudisha nyumbani kunadi jina la baba yake katika genge lao la mafisadi. Le mutuz kwa umri wako ulipaswa uwe umeishatahiriwa kimaisha kiasi cha kujisimamia mwenyewe badala ya kutegemea jina la baba. Ni ushauri tu.
 
Candid Scope,

- Labda nikuulize eti ni Degreee ya pili ni nini kwa uelewa wako? Otherwise naona unatumia nguvu kubwa sana kushindana na ukweli kwamba ninayo Degree ya pili ya Criminology na Police Science ndio kuna Chuo kimoja kikubwa hapa mjini ambacho nipo kwenye mazungumzo nacho kuwa mhadhiri wake part time kufundisha masuala hayo ya Criminology na Police, so relax bro!!

Le Mutuz!1

Bandiko langu ambalo limeonyesha vyuo ambavyo umeelezea kuhitimu inatosha, hatuhitaji kuendeleza mjadala huo, mwenye kusoma na kuelewa ataelewa na asiyeelewa ibaki ilivyo. Take it easy man.
 
Bandiko langu ambalo limeonyesha vyuo ambavyo umeelezea kuhitimu inatosha, hatuhitaji kuendeleza mjadala huo, mwenye kusoma na kuelewa ataelewa na asiyeelewa ibaki ilivyo. Take it easy man.
kumbe weye ni bro? aiseee najuaga weye ni her......
 
Majibu haya yanatokana na bandiko gani? Halafu matusi hayo ya nini kwa mtu mwenye staha kama wewe ukifikirika kama great thinker na kiongozi na mwomba kura kwa wazawa?

Dunia hii si ngeni kwangu, labda unafikiria isivyo, ila mie si mtu wa kupenda kujionyesha na kujisifia, hapa tupo kuelimishana, kubadilishana mawazo na kupashana habari. Tunashindana kwa hoja, ikinishinda au kuniumiza bora ninyamaze kuliko kuruhusu hamasa ichukue mkondo wake kitu ambacho kitanivunjia heshima yangu mbele ya jamii.

Take it easy Le Mutus, never panic, kwani hapa jamvini na ulimwegu hutakutana na watu ambao mnaakisiana kifikra na mengineyo, tofauti hizi ni za kawaida na ndizo zinazotuchochea katika kuleta mabadiliko katika jamii na ulimwengu.

- Huna hoja ni bota ukakaa kimyaa ni lazima uwe kimya cause hakuananayekujua zaidi ya JF, so dunia yako inaanzia kwako na JF tu no wonder, ukitaka kwenda majuu unaenda na ukityaka kurudi unarudi hakuna cha nini wala nini nonsense!1 ha! ha1 ha!

- Nilikwua nimeamua kuachana na hii topic lakini kama kawaida watu wananipigia sim nije so here I am, ukiona sijakujibu ujue ni pumba mno hata nimeshindwa kujibu!!

Le Mutuz!
 
Bandiko langu ambalo limeonyesha vyuo ambavyo umeelezea kuhitimu inatosha, hatuhitaji kuendeleza mjadala huo, mwenye kusoma na kuelewa ataelewa na asiyeelewa ibaki ilivyo. Take it easy man.

- ha! ha! ha! ha! unahangaika sana vipi, shule nimesoma tena nimejisomesha na wananchi wengine wameniona na vyeti ninavyo na sio ishu hapa kama ukitaka fungua thread ya elimu yangu, I mean huko Chadema unaongozwa na watu hata shule hawakwenda leo una gutts za kuulizia elimu yangu? ha! ha! ha! unataka niwachane viongozi wako vialaza waliokimbia shule huko? ha! ha! ha!

Le Mutuz!!
 
- Huna hoja ni bota ukakaa kimyaa ni lazima uwe kimya cause hakuananayekujua zaidi ya JF, so dunia yako inaanzia kwako na JF tu no wonder, ukitaka kwenda majuu unaenda na ukityaka kurudi unarudi hakuna cha nini wala nini nonsense!1 ha! ha1 ha!

- Nilikwua nimeamua kuachana na hii topic lakini kama kawaida watu wananipigia sim nije so here I am, ukiona sijakujibu ujue ni pumba mno hata nimeshindwa kujibu!!

Le Mutuz!
Maxence Melo umepigia simu huyu kituko aisee???
 
Last edited by a moderator:
Watu wana chuki na le mutuz mbaya ha ha ha.

Gap za maisha na ugumu wa maisha unaleta chuki kwa watanzania..

Le mutuz umezaliwa dar ocean road ukakulia oystrbay na masaki hujui daladala toka utoto then after secondary school ukala zako flight majuuu na kufaidi national cake tu hadi unarudi una uhakika wa maisha na kizazi chako as mzee anakulinda hata ukicheza maulithi yapo ya kutosha..

Sasa wenzako tumezaliwa sitimbi na kukulia mpera mpera tumecheza mashambani huko tukifukuza ndege, shule za sekondari unajifundisha mwenyewe za kata, vyuo udsm bila mgomo haki haziji daily tunapigwa mabomu, tumemaliza ajira nazo nagumashi mshahara inarange lak 5 hadi 1m, yaani life stress tupu, ulithi upo mikoani huko tena mashamba ambayo hadi yatutoe ni kilio tosha,, kila tukipigana kwa kufanya kazi kwa bidii wenye baba zenu mnatupiga gaps kwa kupendelewa nafasi..

So le mutuz bora usijibu tu but watanzania tuliokulia shida kukupenda le mutuz haiwezekani hata iweje although ukweli tunajua ana advantage kubwa sana maishan mwako tanzania as surname yako inakubeba...

But ukweli lazima nikwambie wewe ni mzembe kwa surname yako hiyo kuwa na cv kama hiyo ni uzembe utasomaje vi college wakati school fees ipo ya kutosha, ulitakiwa udondoke havard, oxford, alabama au states university yeyote ya kueleweka as university of california etc..

Pili nina imani mtaji unao as familia bora wewe ulitakiwa uwe na bonge la kampuni hapa bongo utuajiri watanzania wenzako choka mbaya tusio na mitaji kama wanavyofanya watoto wa kishua waliojanjaruka.

3. Hata kama kuajiriwa ulitakiwa uwe kwenye top position kama kina mwamvita, january, abdala shelukindo, twissa na wenginea as ni watoto wa kishua wenzako na nina imani wewe kwenu mna uwezo kuliko hao wote.

4. Wife, ulitakiwa kwa umri wako uwe umeseto na familia yako mnakula kuku tu na kuheshimika mjini hapa kuliko unavyoruka ruka na bongo movies.

5. Hata kama akili za darasani hazikuwa nzuri ulitakiwa utumia nafasi uliyonayo kutoka kimaisha hata kimichezo kama kina luel deng baba yake alikuwa waziri sudan akatumia nafasi kusoma vyuo vikubwa, kukodisha basketball coaches wamtrain hadi akafika NBA,,, Enes kanter nae NBA, kobe brayant, Andrea pirlo italian soccer players hawa watu utajiri wa familia zao ndo umewafikisha mbali kwenye michezo as walikuwa na access ya ku hire proffessional coaches wawa train toka watoto

- Maneno mengi hoja hakuna yaani inasikitisha sana!! ha! ha! kwa kizungu tunaita nonsense!!

Le Mutuz!!
 
Kama leo nawe waweza kujiita Big Star wa Tanzania basi tuna kazi kweli. Waache wananchi watambue mchango wako kwa jamii kuliko kujiita majina. Oganaizi wazazi wenzako basi hata mkafanye usafi pale hospitali ya Mwananyamala au kutandika hata vitanda kwenye vituo vya kulelea watoto YATIMA jamii ione volunteering yako kuliko kujiita majina.

Uko so obsessed sana na Chadema. Unakuta mazungumzo hayahusiani na chama but unakuta unaingiza Chadema irrelevantly. Not sure if that strategy will help you on ur next move lakini hata hivyo sipendi ku-disappoint hiyo strategy if it works for you.

Hata hivyo nakubaliana nawe kuhusu vurugu zako zaonekana maana picha kwenye blog yako represent something....jitahidi hoping kuvuta watu zaidi (bila kuegemea jinsia moja) ambao utawatumia kukupigia kura aidha ndani au nje ya chama. Ningekushauri uwe more strategic kwenye media ili tofauti na income, jamii pia yaweza kukusadia kufika pale unafikiria.

- Nisingekuwa na Strategy usingekuja kuhangaika kuandika andika kwenye hii thread, fikiri kidogo tu kabla hujaandika, maneno mengi lakini pumba tupu!!

Le Mutuz!!
 
Kuna vijana wengi sana wamerudi Tanzania toka ughaibuni na vyeti vizito sana vya shule lakini bado wako mitaani. Na hawa vijana wamerudi Tanzania kabla ya W.J.Malecela kurudi Tanzania lakini kwa sababu hawana connection ndiyo maana hawana kazi.

W.J.Malecela, umekuta mzee wako ameandaa mtandao ambao kwa sasa unakubeba wewe kama vile mtandao huohuo ulivyombeba January Makamba, John Mongela, mtoto wa Mzindakaya ambaye ni DC, Rizwan,Hussein Mwinyi na mdogo wake, Jacob Msekwa na wale watoto wa vigogo pale BOT.

Kwa sasa unaweza kupata lolote ndani ya Tanzania kwa sababu mna hati miliki ya kumiliki Tanzania, lakini muda si mrefu mtajua nini maana ya maisha.

- Wewe huwezi kurudi bongo unaogopa, baki tu huko kulishwa na mke huku bongo tuachie sisi wanaume, wewe njoo na kurudi huko na utapeli wako, unafikiri bongo mchezo watu wanahangaika na maisha hapa wanatoka hakuna cha baba wala mama, wewe huwezi huu muziki wa bongo wacha visingizio tuliza boli!! ha! ha! ha!

Le Mutuz!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom