Niligombea NEC Na Nimeshindwa Kihalali - Le Mutuz!

Niligombea NEC Na Nimeshindwa Kihalali - Le Mutuz!

Status
Not open for further replies.
sana.......
32348_4820843478200_1475254971_n.jpg

huyu jamaa ni le profeseri aisee ana maprofesheno ya hatari hatari aiseee.....enhe tujuze hio police na makrimino hamkujifunza kutoa vitambi?
 
Hivi umesema umeishi miaka 30 US/Europe? Kama ni kweli, sa ndo kitu gani hichi ulichoki-post hapa pamoja na exposure yote hiyo???

Inategemeana mkuu, kama alikuwa anabeba mabox je!.
 
una masifa ya kijinga sana..muda mwingine muulize kwanza mzee wako kabla ya kuandika *****

halafu ndio anasema yeye ni makertable sana mpaka tv zinamfuata na kutaka kumhire,for what?or for this nonsensical arguments you are presenting in this forum,very sorry for those media
 
- Nimeshacheza Movie mbili moja ya The Return of JLO, imeshatoka na nyingine ya The Dunia Hadaa ipo njiani kutoka na zote zina mabebs wa ukweee kiyama kitupu, so huko tumeshapita tayari!! ha! ha! ha! ndio maana ya Le Biig Shoow!!

Le Mutuz!!
halafu unataka magamba wakupe wadhifa.sugua benchi tu,unaishia kunawa.
 
- Kumbe wewe ndio zako hizo za kumuuliza baba yako kabla ya kuandika JF, ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! hillarious!!

Le Mutuz!!

God give us Ipyana_we will give you back William,Ritz 1 and Kinje...maake lo!
 
- Mnanivunja mbavu sana ina maana Slaa na Mbowe wamehindwa Urais kila wakati kwa sababu ya umri wao? ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha!

Le Mutuz!!
shida yaj=ko akili zimekuruka,slaa na mbowe wameingia je hapa.ndio wamakunyima usingizi???ongea na wa jf achana na slaa wala mbowe.kati ya majanga ya taifa hili nawewe umo.
 
na miaka hiyo yote 30 ukiwa nchi ambazo zinafuata demokrasia ya kweli yaani ulishindwa kuaanza kuwashauri wanachama wako wa CCM kupitia kwa wazazi wako kuwa wabadilike na kufanya uchaguzi wa demokrasia????
Mfano Nafasi ya viongozi wa juu hamna mwanachama anaruhusiwa kugombea yaani Mwenyekiti na makumu wake wanajichagua wenyewe halafu mnawapigia kura kweli hapo kuna demokrasia???
kura sinapigwa kimkoa ili kubaini na akina nani toka wapi wanawakataa hawa viongozi wa juu kweli hapo demokrasia ipo????
Maamuzi yamebakia ndiyo mzee/mwenyekiti huwezi kumkatalia je hapo kuna demokrasia kweli???
KWA TAARIFA YAKO NI KUWA HAO WAJUMBE WALIOTANGAZWA WALIKUWA TAYARI WANAJULIKANA KABLA YA UCHAGUZI KWA HIYO ILIFANYIKA TU KURA ILA IKATANGAZWA KAMA ILIVYOPANGA.

KUMBUKA WALIOTANGAZWA WALIJULIKANA MARA TU BAADA YA KUPIGA KURA HATA KABLA YA KUHESABIWA WW HUJIULIZA KWA NINI????
Nakushauri kama unaona umejiandaa kusaidia nchi yako na watu wako njoo CDM wakupe mikakati yenye kufikisha lengo lako unakovikiria ni salama
 
ki ukweli jf ni ya wote,ila wewe huwa unapumba sana na unabore kino yaan kj sana.

Nashukuru ata wewe umeliona,manake kila anapokuja na pumba zake akibanwa kidogo anaanza ku-fume chadema,mara chadema hao,hivi anafikiri watu wote walio humu ndani ni wafuasi wa vyama fulani fulani vya siasa kama yeye?
 
Mkuu nimeganda sana kwenye post yako naomba nikuulize swali,je umewahi kuoa au kuishi na familia?je una watoto na wako wapi??
 
- Chadema wameshindwa kila kona na kuishia kuambulia majimbo 46 tu vipi hamuoni aibu kwamba kila kona wanawakataa, yaani ni MBULULA KWELI, well, kesho ninashikiri kwenye kikao cha Baraza Kuu la Taifa Wazazi-CCM so sijakataliwa kila mahali kama Chadema hawajakataliwa kila mahali! ha1 ha1 ha! ha!

Le MutuZ

kwa majibu ya kipuuzi kama haya kwa mtu kama wewe... siasa hutakaa uiweze hata siku moja
 
angalau mkuu umejaribu na umejionea mwenyewe mambo yalivyomagumu ni tofauti sana na tunavyojidanganya tukiwa nje ya vyama.
chaguzi za ccm zinahitaji kujitoa kwa hali na muda,uwe ni mpiga kampeni mzuri la sivyo kila wakati utaambulia patupu
nasema haya nikiwa na uzoefu mkubwa ktk chaguzi za chama na hii lilinikuta wakati ule nagombea nafasi ya uwenyekiti ktk ngazi ya kata UVCCM huku nasoma SUA,nilishinda lakini nilikutana na vipingamizi vingi sana,nilifanya kampeni kama kichaa,usiku na mchana ili kuweza kuwabadilisha vijana waliokuwa tayari wana mgombea wao kwapani,lakini mwisho wa siku uchaguzi ule nilichukuwa nafasi na mwenyekiti wangu wa wilaya alikuwa RATIFA GANZEL na mkoa alikuwa kijana NKYA.
kwa hiyo bwana W.J.Malecela nakupa pongezi kwa kujaribu na kudhubutu,kesho hutaanzia hapo utaenda na ngazi nyingine zaidi.endelea kujitoa kwa ajili ya chama chako,maana mimi wakati nikiwa m/kiti vijana uvccm kata ya chamwino haikuwa rahisi kuongoza,vijana wanachangamoto zao,ukiitisha kikao wao wanachofikiria ni pesa na soda,hawaelewi kuwa nafasi ile ya ngazi ya chini ni ya kujitolea,haina malipo na kweli kuna wakati ili kuwavutia vijana ilikuwa inanibidi kuweka mambo sawa.
ila kiukweli nilitimiza wajibu wangu na nilikwenda sawa na vijana wenzangu na hii imenifanya kuiva kiuongozi,shukrani za pekee zimwendee katibu wa chama bwana makanjira,prof tarimo na Dr Mwampamba,hawa watu walinifanya niwekiongozi bora ktk eneo langu la kazi.
sasa nimeacha siasa nimekuwa mshabiki wa maendeleo.
W.J.Malecela unamengi ya kujifunza kwa sasa na usikae mbali na makatibu maana ndio watendaji na waelewa wazuri sana wa siasa za ndani ya chama,hususani hawa makatibu wa shina, tawi,kata na wilaya ni watu wazuri sana kwa kuanza nao ili ujifunze mengi toka kwao.
 
- Le Biig Shoow na My Super Friends, Super Sintah JLO na Super Kidoti Jokate, ni my people good friends love them with my heart tuna uhusiano wa kawaida na kibiashara maana wote ni wafanya biashara wakubwa sana na very smart people ingawa Sintah JLO nimecheza naye Movie ya The Return Of JLO, si aunajua klwamba Rais Reagan naye alikuwa Big show mcheza Cinema kama vipi au? ha! ha! ha!

Le Mutuz!!
atamegea nini wakati mkono hana???hahahahahahhahahahah!
 
na miaka hiyo yote 30 ukiwa nchi ambazo zinafuata demokrasia ya kweli yaani ulishindwa kuaanza kuwashauri wanachama wako wa CCM kupitia kwa wazazi wako kuwa wabadilike na kufanya uchaguzi wa demokrasia????
Mfano Nafasi ya viongozi wa juu hamna mwanachama anaruhusiwa kugombea yaani Mwenyekiti na makumu wake wanajichagua wenyewe halafu mnawapigia kura kweli hapo kuna demokrasia???
kura sinapigwa kimkoa ili kubaini na akina nani toka wapi wanawakataa hawa viongozi wa juu kweli hapo demokrasia ipo????
Maamuzi yamebakia ndiyo mzee/mwenyekiti huwezi kumkatalia je hapo kuna demokrasia kweli???
KWA TAARIFA YAKO NI KUWA HAO WAJUMBE WALIOTANGAZWA WALIKUWA TAYARI WANAJULIKANA KABLA YA UCHAGUZI KWA HIYO ILIFANYIKA TU KURA ILA IKATANGAZWA KAMA ILIVYOPANGA.

KUMBUKA WALIOTANGAZWA WALIJULIKANA MARA TU BAADA YA KUPIGA KURA HATA KABLA YA KUHESABIWA WW HUJIULIZA KWA NINI????
Nakushauri kama unaona umejiandaa kusaidia nchi yako na watu wako njoo CDM wakupe mikakati yenye kufikisha lengo lako unakovikiria ni salama

- Kannuni na katiba za vyama vya siasa sio ishu ya Taifa, so ni invalid agrument!!, ni kama Chadema inapoamua kumnyima Zitto kugombea Urais ni tatizo la Chadema sio la Taifa ya CCM waachie CCM, wewe jali ya kwenu huko Chadema ambako wabunge wenuwanaenda bungeni na watoto zao, wake zao, na wakwe zao pamoja na dada zao!!

Le Mutuz!!
 
hawa si kama wajukuu zake kabisa?/jamaa hakui au laana za watanzania bado zinamwandama??

hovyo sana huyu kijana,maadili alipata F kabisa halafu anataka apewe nafasi ya kuongoza wengine,utawezaje kuongoza wengine ikiwa umeshindwa kujiongoza mwenyewe?
 
- Kannuni na katiba za vyama vya siasa sio ishu ya Taifa, so ni invalid agrument!!, ni kama Chadema inapoamua kumnyima Zitto kugombea Urais ni tatizo la Chadema sio la Taifa ya CCM waachie CCM, wewe jali ya kwenu huko Chadema ambako wabunge wenuwanaenda bungeni na watoto zao, wake zao, na wakwe zao pamoja na dada zao!!

Le Mutuz!!
wewe na chadema tu!!!naona hao chadema wakutesa sana.
 
- Ile Short-Pants ilikuwa ni USD $ 150.00 kwenye Marcys Times Square, made by Kevin Clain so ni kubwa yao sana you know!! ha! ha1 ha! ha! ha! ha!, kumbe uliona my special interview kwenye Red Capet ya Miss Redds 2012, saafi sana si unajua ukwia Big Celeb ni ya kawaida sana hayo!! ha! ha! ha! ha!

Le Mutuz!!

Le Mutuz!

Kwenye outfit ulivurunda sana jombaa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom