Nilichojifunza Nanenane: Kufanya Kazi Halmashauri ni kupoteza muda na kukaribisha umasikini tu

Nilichojifunza Nanenane: Kufanya Kazi Halmashauri ni kupoteza muda na kukaribisha umasikini tu

safi sana bro nimependa mawazo wako we acha wakimbilie mijini sisi tunatesa huku kijijini siku wakiamka tuko mbali
Mwisho napenda kusema vitunguu ni mali
Anaeandika hivi unakuta yupo Kinondoni pale miguu juu akiandika comment yake.

#YNWA
 
Mkuu wangu pole sana. Halmashauri zimejaa ujinga. Ninyi ndiyo mlipaswa mle bata sana. Ila eti unakuta 60% ya mapato sijui 40% yanaenda kwenye miradi ya maendeleo halafu wakurugenzi ni wakuda unakuta hiyo percentage inayobaki anawabania watumishi stahiki zao.

I wish nije niwe waziri wa TAMISEMI au Katibu mkuu nitawaonesha. Kwanza maendeleo inapaswa iwe asilimia kidogo sana nitahimiza PPP ktk kutekeleza miradi ili hawa watumishi wafanye kazi kwa raha
Asante madam
Na malengo yako yatimie madam.

#YNWA
 
Hakuna asiyetaka maisha mazuri.
Juzi nimelalia Mbeya pazuri.
Nikiwa Niko full na Castle lite zangu kichwani nikamropokea mkurugenzi wangu ""Uchaguzi wa 2025 hauwezi kunikuta kwenye halmashauri yako" yaani Mimi na li-masters langu nifie kijijini. HAIWEZEKANIII

Aliniangaliaaa akanijibu "Pombe hizo" 🤭🤭🤭🤭

#YNWA
Hope ulifanikiwa mkuu,tupe mbinu mkuu na sisi tutoke huku halmashauri.
 
Hyo PhD yako hakikisha inakuja kuwasaidia watanzania 😂
huko Bongoland kila mtu dokta ila hakuna kinachokwenda dokta dokta dokta purofesa sijui nini mataito kibaaaaaoooooo kinachoendelea hamna , wanasifiana tu wapumbafu. Miafrika tuna lana sana, ngoja niendelee tu kubeba boksi maana yahuko yanataia hasira sana. Usithubutu kurudi utajuta na utakufa haraka kwa stress.
 
huko Bongoland kila mtu dokta ila hakuna kinachokwenda dokta dokta dokta purofesa sijui nini mataito kibaaaaaoooooo kinachoendelea hamna , wanasifiana tu wapumbafu. Miafrika tuna lana sana, ngoja niendelee tu kubeba boksi maana yahuko yanataia hasira sana. Usithubutu kurudi utajuta na utakufa haraka kwa stress.
😂😂😂🙌🙌Walikufanya nn wabongo brother,sio kwa hasira hyo nzito
 
huko Bongoland kila mtu dokta ila hakuna kinachokwenda dokta dokta dokta purofesa sijui nini mataito kibaaaaaoooooo kinachoendelea hamna , wanasifiana tu wapumbafu. Miafrika tuna lana sana, ngoja niendelee tu kubeba boksi maana yahuko yanataia hasira sana. Usithubutu kurudi utajuta na utakufa haraka kwa stress.

Sijaja kutafuta elimu nimekuja kutafuta mtaji na exposure.
Hizo title achana nazo.

Ikiwa nitarudi sina hela hiyo title haitonisaidia chochoteeeee.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
😂😂😂🙌🙌Walikufanya nn wabongo brother,sio kwa hasira hyo nzito
sasa kama wanakubali akili ndogo kuwaongoza tena kwa mabavu kuna haja gani ya kuwa huko? viwatu zero brain lakini kuuutwaaaaa kujitia vinajua kumbe useless kabisa angalia kile kimama kiliongea kwa kiburi last time ooh sijui Who are you? ooh mimi mtu huru nina maamuzi yangu , sijui nini , sijui nywinywi, sasahivi kiko uarabuni huko kinasuka madili kinauza kila kitu sio mbuga sio bandari sio madini yani ni full laana.
 
INTRODUCTION:
Kwanza kabisa Mimi Mr. Liverpool ni mtumishi wa umma ndani ya Halmashauri kwa muda wa miaka 11. Miaka 5 nimekuwa Shule na 6 ndio kazini.
Niko kwenye Halmashauri iliyo chaka sanaaa.

SCENARIO
Tokea nifike Nanenane 01/08 Mbeya nimekuwa nikitembelea mabanda ya ofisi nyengine kujifunza.

Nilichojifunza kufanya Kazi Halmashauri iwe Manispaa, Wilaya, Mji mdogo au ""What so ever"" ni kupoteza muda tuu.

Kuna utofauti mkubwa sanaa kati ya Taasisi na Halmashauri.
Japo wote tupo Serikali moja ila Taasisi ni watoto pendwa wa Serikali.

Nimetembelea mabanda ya Taasisi kama
1. BOT
2. EWURA
3. TRA
4. Zile za kilimo kama PASSS na TANTRADE
5. BRELA
6. N.k

Lakini pia nimetembelea mabanda ya Halmashauri kama
1. Mlele
2. Tanganyika
3. Mbalali
4. Ileje
5. Songwe
6. Mafinga
7. Momba
8. Kalambo
9. Nsimbo
10. Kilolo
11. N.k

Ila nimeona utofauti mkubwa sanaa.....

THE PROBLEM
1. Sehemu za kulalia (Hotel na Lodge)

Kuanzia njia ya Uyole mpaka Kabwe Hadi Mbalizi kuna hoteli nyingi tu, ila kwa posho za Halmashauri huwezi lala hizo Hotel, mule hotelini kumejaa gari za ST... na SU tu. Hakuna SM kabisaaa.

Kuna mshikaji wangu yupo PASS kalala kwenye hoteli ya Laki per night huku Mimi nimelala lodge ya 20,000 per night (kila mtu kala kulingana na urefu wa per diem yake).

2. Muonekano wa mabanda
Hebu tembelea banda la H/W Mlele, Nsimbo, Sumbawanga au Mafinga halafu nenda BRELA, TRA au BOT ndio Utanielewa.

3. Hali wa watumishi
Ukitembelea mabanda ya Taasisi utakuta raia wako charming sanaa, nyuso za furaha na kukukaribisha vizurii.

Ila Halmashauri sasa, Mungu atusaidie, maana raia wamepoteza hope kabisa.

Kwanza wengine posho wamekopwa na wakurugenzi wao..!!!

4. Magari
Hebu angalia ndinga za SU na SM.
Hebu cheki tu external appearance UTANIELEWA.
Hebu chukua V8 ya BOT au Wizara ya Fedha halafu pembeni weka V8 ya Njombe au Kalambo, Utanielewa tu.

CONCLUSION
Halmashauri hakuna maisha na hasa hizi DC ndio Umasikini fullll.

Kijana mtafuta ajira, ukipata ajira SM aisee cha kwanza fikiria kuhama na pambana kuhama.

Kijana mtafuta ajira, njoo SM chukua "cheki namba" halafu sepaa kale maisha Taasisi.

Note:- Kuhama SM sio rahisi ila Inawezekana.

Mimi ni mmoja wapo lazima nihame huku SM, siioni kesho yangu nikiwa hii DC iliyo kijijini hivi.

Yaani Mimi na Masters yangu siwezi staafia huku kijijini halafu Kuna raia wapo DSM, Mwanza, Mbeya, kifupi wapo mjini wanakula maisha ya Taasisi.

Aisee siwezi kukubali, KUHAMA KWENDA TAASISI NI LAZIMA.
Iwe hata kwa hela ila NITAHAMA TU..!!

NOTE
Mbele ya macho ya Serikali ya CCM sisi watumishi ""We are all equal, but some people are more equal""

YNWA
Acheni na kuvaa mashati ya vitenge ndo yanawafanya muonekane mmepauka kweli
 
Back
Top Bottom