LuisMkinga
JF-Expert Member
- Jan 10, 2012
- 2,983
- 5,621
Dodoma. Ni sewa ijayo ya dar es salaam. Kwa miaka 5 ihayoKijiji cha Amani-Ludewa wananchi wa kule ni zaidi ya ng'ombe! Wana maisha magumu! Na dhahabu ipo kwao!
Ni wavivu wa kujiongeza...wamekalia kulewa komoni na ulanzi tu!
Mwenzao mzee kaberege anazidi kujinufaisha kwa kununua maeneo yao yenye Mali...maana ameingia mkataba na WA south!
Hapo hapo Kuna ka-eneo tulikabatiza jina -Dodoma....hapo ndipo makao makuu ya Gono, Kaswende kuntu! na Ngwengwe!
Ni rahisi zaidi kupewa inshu na demu buree! kuliko kupewa kikombe cha maji ya kunywa!