Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,655
- 134,360
Kukamilisha tuu taratibu kumpa raha kuwa amechaguliwa na wote.Kwanini unasema unaenda kutiki hali ya kuwa unatambua CCM inashindana dhidi yake/kivuli chake?
P
Kukamilisha tuu taratibu kumpa raha kuwa amechaguliwa na wote.Kwanini unasema unaenda kutiki hali ya kuwa unatambua CCM inashindana dhidi yake/kivuli chake?
Kumbe wanaopinga uchaguzi wapo sahihi.Kukamilisha tuu taratibu kumpa raha kuwa amechaguliwa na wote.
P
Kwani mbona km watu mnapata shida sn?Maandamano aliyoitishaga Mange Kimambi yalileta badiliko lolote wakati ule?
Je, kipindi hiki NDIO tuseme chuki dhidi ya serikali iko kwenye peak kuliko miaka yote TANGU uhuru?
Gen Z wa wakati huu ni bora na wanataka mabadiliko tofauti na miaka ya nyuma?
Enyi watu wazima ambao mliona maandamano kadhaa yaliyohusisha wanasiasa, wanaharakati na pengine wafanyabiashara hapa Tz.
Kwa tathmini yako, unaona kutakuwa na maandamano ya patashika au ni kelele tu za mtandaoni kisha zinakufa?
Maandamano aliyoitishaga Mange Kimambi yalileta badiliko lolote wakati ule?
Cc: Lamomy Mbaga Jr Yohimbe bark Mufti kuku The InfinityKama historia ndo muongozo wa yanayoweza kutokea huko mbeleni, ukizingatia muktadha, ni kwamba hakutakuwa na maandamano yoyote yale ya maana.
Wanaweza wakaandamana watu wachache sana na katika sehemu chache.
Watanzania sisi bado ni waoga mno.
Najua wengi hawapendi kuusikia huu ukweli.
Sababu kuu ni kwamba ukweli unauma.
Hivyo mtu ukiusema, watu hawapendi kuusikia na wanaishia kukulaumu wewe uliyeusema.
Kusema ukweli si kukatisha watu tamaa.
Badala ya wao kuuchukulia huo ukweli kama motivation, wao wanaishia kukutukana tu.
I love me some naysayers. They are my motivators.
Watanzania wa sasa hivi sio wale wa miaka ya 60 ............freedom is coming tomorrowKama historia ndo muongozo wa yanayoweza kutokea huko mbeleni, ukizingatia muktadha, ni kwamba hakutakuwa na maandamano yoyote yale ya maana.
Wanaweza wakaandamana watu wachache sana na katika sehemu chache.
Watanzania sisi bado ni waoga mno.
Najua wengi hawapendi kuusikia huu ukweli.
Sababu kuu ni kwamba ukweli unauma.
Hivyo mtu ukiusema, watu hawapendi kuusikia na wanaishia kukulaumu wewe uliyeusema.
Kusema ukweli si kukatisha watu tamaa.
Badala ya wao kuuchukulia huo ukweli kama motivation, wao wanaishia kukutukana tu.
I love me some naysayers. They are my motivators.
Wizo huyo hawara ako ngabu hajielewi, unamrizishaga kweli? 😹😹
Khaaaaaaaaa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 wizoo huachiiiii huyo ni mjomba anguWizo huyo hawara ako ngabu hajielewi, unamlizishaga kweli? 😹😹
Unahakikisha wote mnakojoa??
Nasikia wewe ndo mjita 😹😹Khaaaaaaaaa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 wizoo huachiiiii huyo ni mjomba angu
Ashajiprove wrong huyo mbona tulitoka kibao tuu.
Nyakati zinabadilika. Usiishi kwa kukaliliKama historia ndo muongozo wa yanayoweza kutokea huko mbeleni, ukizingatia muktadha, ni kwamba hakutakuwa na maandamano yoyote yale ya maana.
Wanaweza wakaandamana watu wachache sana na katika sehemu chache.
Watanzania sisi bado ni waoga mno.
Najua wengi hawapendi kuusikia huu ukweli.
Sababu kuu ni kwamba ukweli unauma.
Hivyo mtu ukiusema, watu hawapendi kuusikia na wanaishia kukulaumu wewe uliyeusema.
Kusema ukweli si kukatisha watu tamaa.
Badala ya wao kuuchukulia huo ukweli kama motivation, wao wanaishia kukutukana tu.
I love me some naysayers. They are my motivators.
Ni kweli...Kama historia ndo muongozo wa yanayoweza kutokea huko mbeleni, ukizingatia muktadha, ni kwamba hakutakuwa na maandamano yoyote yale ya maana.
Wanaweza wakaandamana watu wachache sana na katika sehemu chache.
Watanzania sisi bado ni waoga mno.
Najua wengi hawapendi kuusikia huu ukweli.
Sababu kuu ni kwamba ukweli unauma.
Hivyo mtu ukiusema, watu hawapendi kuusikia na wanaishia kukulaumu wewe uliyeusema.
Kusema ukweli si kukatisha watu tamaa.
Badala ya wao kuuchukulia huo ukweli kama motivation, wao wanaishia kukutukana tu.
I love me some naysayers. They are my motivators.
1. Ni kukariri. Siyo “kukalili”.Nyakati zinabadilika. Usiishi kwa kukalili
Basi hiyo historia uliyotumia kama rejea ya ubashiri wako imekufelisha. Next time usikariri historia, angalia mwelekeo wa nyakati tulizopo. Mambo yanabadilika1. Ni kukariri. Siyo “kukalili”.
2. Hakuna uongo niliouandika. Kihistoria nilikuwa niko sahihi.
3. Sasa hullabaloo ya nini? Kusoma na kushindwa kuelewa ulichokisoma?
Wala sikuwa peke yangu.Basi hiyo historia uliyotumia kama rejea ya ubashiri wako imekufelisha. Next time usikariri historia, angalia mwelekeo wa nyakati tulizopo. Mambo yanabadilika
Wewe na hao wenzako wote mmepuyanga.Wala sikuwa peke yangu.
Hata nchi jirani nao walikuwa na mtazamo kama wangu.
Hata Watanzania wengi tu nao walikuwa na mtazamo kama wangu.
Hata humu JF walikuwepo watu wengi tu waliokuwa na mtazamo kama wangu.
Kuna hadi mdada mmoja huko kwenye social media aliyeahidi kwamba endapo watu wangeandamana basi angetembea uchi toka Dar hadi Nairobi [something like that].
Hata wafuatiliaji wa mambo ya kisiasa nao walikuwa na mtazamo kama wangu.
Yote hiyo ni kwa sababu ya historia.
Hivyo, kujifanya kana kwamba duniani kote nilikuwa ni mimi tu ambaye nilionyesha mashaka kuhusu kufanyika kwa hayo maandamano, ni kuonyesha upumbavu tu.
Tofauti yangu na wengi wenu, mimi kwa kadri uhalisia wa mambo unavyobadilika ndo nami ninavyobadilisha mitazamo yangu.
Ila, sitegemei kama mtaelewa.
Wewe na wenzako mmephirwa na Mafwele.Wewe na hao wenzako wote mmepuyanga.
Wewe babu kwa age yako na matusi mazito km haya unayotukana unafundisha nini watoto??Wewe na wenzako mmephirwa na Mafwele.
Wizo kaa kwa kutulia usije kubomolewa kishundu na mafwele.Wewe babu kwa age yako na matusi mazito km haya unayotukana unafundisha nini watoto??
Wizo BICHWA KOMWE - em mkanye mumeo. Ndio nini familia nzima mna midomo michafu hivi?? 😏😥