GE2025 Ni kweli kwamba Tar 29-10 watu watatoka kweli?
Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Tatizo haya ya tarehe 29 hayana mwanzo wala mwisho so hata wanaotaka kuandamana watakua disorganised so inakua rahisi kudhibiti.
'Organization' ni sasa. Siyo swala la maandamano pekee, ni swala la kutopiga kura/kuzuia kupiga kura vituoni/kuandamana kila sehemu Tanzania nzima.
Hakuna polisi wa kuzuia maandamano ya namna hiyo.

NO REFORM, NO ELECTION,....; kwa nini mara hii mmekwisha itupilia mbali huku wananchi waliikubali sana wakati mikutano ilipokuwa bado inaendelea!
 
Kutiki CCM inashindana na chama kipi?
Hatutiki kwasababu CCM inashindana na chama fulani, tunatiki ili kukamilisha tuu taratibu, CCM iliisha shinda kitambo Thread 'Mwana JF, Be The First to Know CCM Ndie The Overall Winner wa Uchaguzi Mkuu wa 2025 Kufuatia Ushindi Serikali za Mitaa。CCM Amekomba Almost Everything!' PreGE2025 - Mwana JF, Be The First to Know CCM Ndie The Overall Winner wa Uchaguzi Mkuu wa 2025 Kufuatia Ushindi Serikali za Mitaa。CCM Amekomba Almost Everything!
P
 
Umetoa maelezo mengi ambayo nilikuwa siyahitaji, nimekuuliza swali dogo tu, CCM sasa hivi inashindana na chama kipi? vyama vipi ambavyo vipo kwenye ushindani na CCM hivi sasa naomba unitajie hata vitatu tu? acha porojo na maneno mengi...

CCM hivi sasa na kampeni za kuzunguka nchi nzima inashindana na vyama vipi?

Jikite kwenye mada mkuu...
 
Karibu pande hizi, jibu lako utalipata
Thread 'Paschal Mayala: CCM Itakuwa inapambana na kivuli chake kama CHADEMA Haitashiriki uchaguzi' GE2025 - Paschal Mayala: CCM Itakuwa inapambana na kivuli chake kama CHADEMA Haitashiriki uchaguzi
P
 
Maandamano aliyoitishaga Mange Kimambi yalileta badiliko lolote wakati ule?

Je, kipindi hiki NDIO tuseme chuki dhidi ya serikali iko kwenye peak kuliko miaka yote TANGU uhuru?

Gen Z wa wakati huu ni bora na wanataka mabadiliko tofauti na miaka ya nyuma?

Enyi watu wazima ambao mliona maandamano kadhaa yaliyohusisha wanasiasa, wanaharakati na pengine wafanyabiashara hapa Tz.

Kwa tathmini yako, unaona kutakuwa na maandamano ya patashika au ni kelele tu za mtandaoni kisha zinakufa?

Lengo la kuandamana hiyo tarehe 29 ni lipi? Je, hiyo sababu ni ajenda ya taifa?

Hii nchi itabadilishwa na watoto waliozaliwa 1995 wakiwa wao ndio wakubwa kuliko wote duniani. Sijui kama umenielewa hapa. Yaani mtanzania mwenye umri mkubwa awe amezaliwa 1995 ndipo mabadiliko ya haya yote yatatokea
 
Maandamano aliyoitishaga Mange Kimambi yalileta badiliko lolote wakati ule?

Je, kipindi hiki NDIO tuseme chuki dhidi ya serikali iko kwenye peak kuliko miaka yote TANGU uhuru?

Gen Z wa wakati huu ni bora na wanataka mabadiliko tofauti na miaka ya nyuma?

Enyi watu wazima ambao mliona maandamano kadhaa yaliyohusisha wanasiasa, wanaharakati na pengine wafanyabiashara hapa Tz.

Kwa tathmini yako, unaona kutakuwa na maandamano ya patashika au ni kelele tu za mtandaoni kisha zinakufa?

Maandamano aliyoitishaga Mange Kimambi yalileta badiliko lolote wakati ule?
Jeshi walivyojipanga kwa kweli hata wale wanaoenda kupiga kura kihalali sidhan kama watatoka tena
 
'Organization' ni sasa. Siyo swala la maandamano pekee, ni swala la kutopiga kura/kuzuia kupiga kura vituoni/kuandamana kila sehemu Tanzania nzima.
Hakuna polisi wa kuzuia maandamano ya namna hiyo.

NO REFORM, NO ELECTION,....; kwa nini mara hii mmekwisha itupilia mbali huku wananchi waliikubali sana wakati mikutano ilipokuwa bado inaendelea!
Sasa hakuna maandilizi grassroot huo ndio ukweli. Hakunaga maandamano yasiyo na direction ni rahisi kuzimwa maana anaweza mtu akavaa sare za chadema akaanza choma watu visu barabarani na kesi ikapewa chadema so ni muhimu sana wananchi au chadema waweze control the narrative.

Mfano kuanzia ngazi ya kata kungekua na organization maandamano yaanzia wapi yanaishia wapi!! Mobilisation kuanzia bodaboda, wamachinga, jobless, Vicoba n.k yaanzie chini huku. Ila haya ya bila organization nani atajitokeza na hajui anatoka wapi anaishia wapi?
 
Mkuu Zitto Jr., huu siyo wakati wa mjadala wa namna hii mkuu; nakuomba sana uachane nao; acha 'nature' ifanye kazi yake kama hiyo inawezekana. Achana na habari ya maandalizi unayotaka wewe uyaone ndipo uridhike. Hilo halipo, na halijawahi kutokea popote duniani kulikotokea mambo kama haya.

Kaa pembeni, subiri hayo maandalizi!
 
Kila mtu ajiongelee yeye mwenyewe. Kama hautaandamana sema "mimi sitaandamana". Sio kutaka kuhalalisha uoga wako kwa kujumuisha na wengine.
 
Maandamano aliyoitishaga Mange Kimambi yalileta badiliko lolote wakati ule?

Je, kipindi hiki NDIO tuseme chuki dhidi ya serikali iko kwenye peak kuliko miaka yote TANGU uhuru?

Gen Z wa wakati huu ni bora na wanataka mabadiliko tofauti na miaka ya nyuma?

Enyi watu wazima ambao mliona maandamano kadhaa yaliyohusisha wanasiasa, wanaharakati na pengine wafanyabiashara hapa Tz.

Kwa tathmini yako, unaona kutakuwa na maandamano ya patashika au ni kelele tu za mtandaoni kisha zinakufa?

Maandamano aliyoitishaga Mange Kimambi yalileta badiliko lolote wakati ule?
Hakuna wa kuandamana. Mtabaki kupiga kelele mtandaoni
 
Sasa hakuna maandilizi grassroot huo ndio ukweli. Hakunaga maandamano yasiyo na direction ni rahisi kuzimwa maana anaweza mtu akavaa sare za chadema akaanza choma watu visu barabarani na kesi ikapewa chadema so ni muhimu sana wananchi au chadema waweze control the narrative.

Mfano kuanzia ngazi ya kata kungekua na organization maandamano yaanzia wapi yanaishia wapi!! Mobilisation kuanzia bodaboda, wamachinga, jobless, Vicoba n.k yaanzie chini huku. Ila haya ya bila organization nani atajitokeza na hajui anatoka wapi anaishia wapi?
Nyie ndio wasomi wapumbavu tusiowahitaji. Mnajifanya overthinkers halafu hamna mchango wala impact yoyote.

Maandamano ya Tunisia mwaka 2010 yalikua organized na nani? si kijana tu alichoshwa na uonevu wa mamlaka za serikali akajilipua moto ndio hasira za wananchi zikaamka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom