Ni kufunga au kubadili muda wa kula tu?

Ni kufunga au kubadili muda wa kula tu?

Sio duuh.

Na wewe pia unapaswa kuacha ibada za kikafiri na kitwaghuti na kumrudia Allah.

Uoni aibu mkubwa mzima unamuabudu mungu aliyevishwa chupi na kuwambwa msalabani na watu wake aliyewaumba wenyewe?

Mpaka lini utamuabudu Brian Deacon?

Muda unao wa kutosha.
 
Lakini nyie humwita nabii Issa
😅
 
Hakuna hata mmoja anayejua Uislam, nyie mnawaangalia baadhi ya waislam wanachokifanya ni sawa na Sheria ya Kodi Kuna njia ya kuikwepa kihalali hivyo waislam baadhi wanaikwepa kihalali ukizingatia Mwenyezi Mungu wa waislam hawatakii taabu kitendo TU Cha kunuia kufunga tayari umeshashinda mbele na atakuridhia haijalishi, zamani masahaba walikua wanajipa tabu hadi kuacha kuingilia wake zao lakini wakaambiwa msihofu fanyeni usiku hivyo hii sio adhabu ni kumkumbuka Mungu ndio lengo.

Halafu funga ya mwislam au Hata maisha ya kawaida kula hadi kuvimbiwa according to Islam ni dhambi, Hata kutupwa chakula, mtume kaagiza ni sunna kunywa maji au kula tende kila kiasi usiku kabla ya kufunga (elewa sunna) hivyo mtu kila usiku haibatilishi funga ili mradi asivimbiwe akabeua, can you imagine mtu aliyesahau Kama kufunga akala akashiba Bado funga yake IPO pale pale? Enyi wagalatia kufunga sio mateso ni ishara ya Imani, msjiumize kwenda milimani kukaa siku 3 bila kula unashinda umelala eti ndio funga katka Uislam ukifa njaa Kwa makusudi hio ni motoni na hurusiwi kufunga Kama unaumwa malipo yake ni kulisha maskini 60
1771428661121.jpg
 
Mimi binafsi sioni kama mtu aliyekula saa 11 alfajiri atakuwa na haja ya kupata break fast saa 2 asubuhi au kula mchana, maana anakuwa anashiba

Mtu anasubiri jua lizame ale kama machwa au nguruwe pori, anakula hadi anavimbiwa na Bado anaamka usiku wa manane kula tena.

Tuache unafiki hakuna kufunga Kwa hivo kuwa usiku uwe mchana na mchana uwe usiku

Jitu limefunga linangoja king'ora jioni livute sigara au bangi

Jitu limefunga linangoja jua lizame likazini

Jioni mnaandaà ndizi, mihogo, uji, tambi
Yaani ni jitu linakula kama ndo mwisho wa Dunia😅

Kufunga iwe zaidi toba na sadaka na kujizuia Ile riziki ya kula mchana kuwapa masikini, sio kutunza chakula cha mchana ili ule usiku
Uzuri mi tangu nizaliwe sijawahi shinda funga
 
Mimi siyo Atheist, naamini Mungu, lakini hadithi zingine za vitabu vya Waebrania ukitumia akili alizokupa Mungu ni vitu haviingii akilini.
Wewe ni muislam tayari, biblia mnayotumia myahud kashawamaliza humo, kumbuka muyahudi ndio alikua mzabizabina akimchongea Yesu Kwa warumi ili ashughulikiwe wapate nafas a kuvuruga neno, hio tabia ndio ili wafanya wkataliwe Ulaya nzima na Sasa wanairudia Kwa muajemi
 
Tunafunga, kujinyenyekeza mbele ya Mungu na Kristo & kufanya toba.. kuna wanaoweza kufunga full, na kuna sie wa kupunguza. Kama ulikuwa unakula chapati 2, utakula 1. Na ile pesa inayobaki kwenye ile 1 utaenda kutoa sadaka kwa wahitaji/ matendo ya huruma..

Hatufungi kubadili ratiba ya mlo.
Na kwanza ni marufuku jirani yako kujua kwamba umefunga..
 
Wewe ni muislam tayari, biblia mnayotumia myahud kashawamaliza humo, kumbuka muyahudi ndio alikua mzabizabina akimchongea Yesu Kwa warumi ili ashughulikiwe wapate nafas a kuvuruga neno, hio tabia ndio ili wafanya wkataliwe Ulaya nzima na Sasa wanairudia Kwa muajemi
Hapana mimi si mwislamu, tena huko ndio kabisa siwezi kuwa dini imejaa vitisho huko ndio kwenye mahubiri ya moto badala ya upendo wa Mungu.
 
Sio duuh.

Na wewe pia unapaswa kuacha ibada za kikafiri na kitwaghuti na kumrudia Allah.

Uoni aibu mkubwa mzima unamuabudu mungu aliyevishwa chupi na kuwambwa msalabani na watu wake aliyewaumba wenyewe?

Mpaka lini utamuabudu Brian Deacon?

Muda unao wa kutosha.
Screenshot_20260203_185417_Chrome.jpg
Screenshot_20260203_185255_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom