Hakuna hata mmoja anayejua Uislam, nyie mnawaangalia baadhi ya waislam wanachokifanya ni sawa na Sheria ya Kodi Kuna njia ya kuikwepa kihalali hivyo waislam baadhi wanaikwepa kihalali ukizingatia Mwenyezi Mungu wa waislam hawatakii taabu kitendo TU Cha kunuia kufunga tayari umeshashinda mbele na atakuridhia haijalishi, zamani masahaba walikua wanajipa tabu hadi kuacha kuingilia wake zao lakini wakaambiwa msihofu fanyeni usiku hivyo hii sio adhabu ni kumkumbuka Mungu ndio lengo.
Halafu funga ya mwislam au Hata maisha ya kawaida kula hadi kuvimbiwa according to Islam ni dhambi, Hata kutupwa chakula, mtume kaagiza ni sunna kunywa maji au kula tende kila kiasi usiku kabla ya kufunga (elewa sunna) hivyo mtu kila usiku haibatilishi funga ili mradi asivimbiwe akabeua, can you imagine mtu aliyesahau Kama kufunga akala akashiba Bado funga yake IPO pale pale? Enyi wagalatia kufunga sio mateso ni ishara ya Imani, msjiumize kwenda milimani kukaa siku 3 bila kula unashinda umelala eti ndio funga katka Uislam ukifa njaa Kwa makusudi hio ni motoni na hurusiwi kufunga Kama unaumwa malipo yake ni kulisha maskini 60