Ni kufunga au kubadili muda wa kula tu?

Ni kufunga au kubadili muda wa kula tu?

IMG_20260221_214715.jpg
 
1.KUFUNGA KATIKA UKRISTO NI SILAHA KUBWA INAKUPA NGUVU KUBWA ZA KIROHO(ni kama bomu la nyuklia dhidi ya adui yako kiroho falme za giza)

unafanya revival ,unajifanyia self healing ya kimwili na kiroho

unakuwa na power kibwa ya maombi maombi yako yanapenya unaongeza upenyo kiroho unakuwa karibu kiroho na mbingu.

unafungua vifungo na mambo yako yanafunguka..nguvu ya maombi unasali muda mrefu

yani mpaka unasikia mwili kama unawaka moto nguvu ya maombi una i feel kabisa.

KUNA MAMBO YAKO MENGINE HAYAWEZI KUFUNGUKA BILA KUOMBA +KUFUNGA KWA PAMOJA.
Marko 9:29 NEN

Yesu akawajibu, “Pepo aina hii haiwezi kutoka isipokuwa kwa kuomba [na kufunga].”

sisi wengine huwa tunafunga mpaka SIKU TATU KAVU COMPLETELY NIL PER ORAL
na huwa tuna experience super power KIROHO..
maombi kama ya MALKIA ESTHER.

unaona DANIEL alifunga 21 days ..maombi yake yakajibiwa yalikuwa yamezuiwa na ufalme wa giza..

MOSES KULOLA NABII WA MUNGU ALIKUWA NA NGUVU KUBWA YA KIROHO SIRI MOJA WAPO NI KUFUNGA FASTING..

maombi ya mtu aliyefunga ni MOTO FIREE
 
Attachments

  • images - 2026-02-05T222440.030.jpeg
    images - 2026-02-05T222440.030.jpeg
    41.1 KB · Views: 3
1.KUFUNGA KATIKA UKRISTO NI SILAHA KUBWA INAKUPA NGUVU KUBWA ZA KIROHO(ni kama bomu la nyuklia dhidi ya adui yako kiroho falme za giza)

unafanya revival ,unajifanyia self healing ya kimwili na kiroho

unakuwa na power kibwa ya maombi maombi yako yanapenya unaongeza upenyo kiroho unakuwa karibu kiroho na mbingu.

unafungua vifungo na mambo yako yanafunguka..nguvu ya maombi unasali muda mrefu

yani mpaka unasikia mwili kama unawaka moto nguvu ya maombi una i feel kabisa.

KUNA MAMBO YAKO MENGINE HAYAWEZI KUFUNGUKA BILA KUOMBA +KUFUNGA KWA PAMOJA.
Marko 9:29 NEN

Yesu akawajibu, “Pepo aina hii haiwezi kutoka isipokuwa kwa kuomba [na kufunga].”

sisi wengine huwa tunafunga mpaka SIKU TATU KAVU COMPLETELY NIL PER ORAL
na huwa tuna experience super power KIROHO..
maombi kama ya MALKIA ESTHER.

unaona DANIEL alifunga 21 days ..maombi yake yakajibiwa yalikuwa yamezuiwa na ufalme wa giza..

MOSES KULOLA NABII WA MUNGU ALIKUWA NA NGUVU KUBWA YA KIROHO SIRI MOJA WAPO NI KUFUNGA FASTING..

maombi ya mtu aliyefunga ni MOTO FIREE
Ni sahihi
 
Back
Top Bottom