Msingi ni kujizuia kula na kunywa kwa muda maalum hiyo ndio kufunga, ambapo tofauti yake ni kwamba mtu angeweza kula muda wotewote ule. Muhimu ni kwamba katika hayo masaa uliyojizuia kula na kunywa kuna faida kiafya sema shida kuna watu mpaka leo wao wanadhani fasting ni kwa watu wa dini tu kwamba kujizuia kula ni issue za kiimani basi ila hajui kwamba kuna faida za funga kiafya na kuna aina tofauti za funga.Kimsingi ni kubadili mda wa kula
Tofauti yako na mimi ni kuwa unakula usiku mimi ninakula mchana.Msingi ni kujizuia kula na kunywa kwa muda maalum hiyo ndio kufunga, ambapo tofauti yake ni kwamba mtu angeweza kula muda wotewote ule. Muhimu ni kwamba katika hayo masaa uliyojizuia kula na kunywa kuna faida kiafya sema shida kuna watu mpaka leo wao wanadhani fasting ni kwa watu wa dini tu kwamba kujizuia kula ni issue za kiimani basi ila hajui kwamba kuna faida za funga kiafya na kuna aina tofauti za funga.
Ulishawah kuona chakula wanachokula hy saa 11 alfajiri?Kama. ni rahisi kufunga,, ujaribu na wewe kama hukuishia saa nane mchana.
Usidhani ni rahisi kukaa na njaa na pesa ya kula unayo.
Unapataje njaa wakati unachobadilisha ni ratiba tu kula kupo vilevileKama. ni rahisi kufunga,, ujaribu na wewe kama hukuishia saa nane mchana.
Usidhani ni rahisi kukaa na njaa na pesa ya kula unayo.
Middle east hapatofautiani sanaHapana mimi si mwislamu, tena huko ndio kabisa siwezi kuwa dini imejaa vitisho huko ndio kwenye mahubiri ya moto badala ya upendo wa Mungu.
Na wao pia wanaamini atakuja kuwahukumu siku ya kiama 😂Lakini nyie humwita nabii Issa
😅
Jaribu na wewe kama rahisi uone.Unapataje njaa wakati unachobadilisha ni ratiba tu kula kupo vilevile
Kuna aina tofauti za fasting kuanzia utofauti wa muda hadi na aina ya fasting yenyewe kwa maana kuna hadi fasting ya kujizuia kutumia maji kabisa mwilini hunawi hata mikono, hiyo inaitwa dry fasting ila pia zipo funga za kutokula kwa masaa 24 ila huwa inafanywa mara moja au mbili tu kwa wiki.Hiyo siyo funga, ni ulaghai fulani hivi wa kubadilisha muda wa kula. Funga gani hiyo hata masaa 24 hayatimii kuhesabu siku nzima moja? Wale masheikh kwenye zile media wawe wanapitia humu kupata darsa, waache kuzuga watu kwa habari za kuacha kula mchana
Linahusu uisilamHili hali uhusu Uislam, hili Lina muhusu mfungaji muislam,hivyo yawezekana kweli ni mpagani
Hicho chakula kinadumu masaa mangapi kiasi cha kutoweza kuhisi njaa?Chakula wanachokula saa 11 alfajiri ni Funga kazi 🙌 unamkuta kobaz limelala chini hawezi hata kuhema
Wewe usiku hauli?Tofauti yako na mimi ni kuwa unakula usiku mimi ninakula mchana.
Hicho chakula kinadumu masaa mangapi kiasi cha kutoweza kuhisi njaa?
Chakula cha alfajiri(na sio wote hula wakati huu) ndio kina uwezo wa kukufanya usihisi njaa hadi jioni?Unapataje njaa wakati unachobadilisha ni ratiba tu kula kupo vilevile
Sasa hapo unajizungumzia wewe binafsi au vp sijaelewa? Maana hata huko kula alfajiri sio wote wanaokula muda huo, kuna watu wakila ile jioni hawali tena hadi kesho jioni.Mm n mkristo na mara nyingi nikila usiku saa 2 au tatu nakaa mpaka saa 8 au 9 mchana ndio nakula, mara nyingi sili chcht asubuhi, hapo n zaidi ya masaa 12.
Na hiko chakula cha usiku n cha kawaida tuu.
Ila nyie makobaz ile alfajiri mnakula kama kukomoa inabidi mlale hapo hapo mana Huwez hata kuinuka, h nmeishuhudia kwa macho yangu mwnyw.
Kwan hao unaowasemea wao n wao binafsi au group la watu?Sasa hapo unajizungumzia wewe binafsi au vp sijaelewa? Maana hata huko kula alfajiri sio wote wanaokula muda huo, kuna watu wakila ile jioni hawali tena hadi kesho jioni.
Huyo mleta mada anajua kabisa vyakula vinaliwa hapo hata yeye pasaka hana uwezo wa kula hivyo kwa hiyo bajeti ya siku moja ya Ramadhaniwengine futari vinaporomoshwa vitu kama sikukuu yaani gharama inayotumika bonge la bajeti kuliko ata siku za kawaida aswa waarabu vinapikwa vyakula vya kila aina na sa nyingine vya jamii moja sambusa,chapati,maandazi,bagia ,nk yaani ni fujo tu nahisi hadi vingine uwa vinamwagwa,wakati tunategemea kipindi cha mfungo pia na matumizi yapungue ila ndo yanaongezeka ,