UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 17,625
- 8,917
Ni wao binafsi kama ilivyo wewe binafsi kutokula asubuhi na kuja kula saa 8 mchana.Kwan hao unaowasemea wao n wao binafsi au group la watu?
Ni wao binafsi kama ilivyo wewe binafsi kutokula asubuhi na kuja kula saa 8 mchana.Kwan hao unaowasemea wao n wao binafsi au group la watu?
Yah hvy Umepata jibu kuwa hilo linawezekanaNi wao binafsi kama ilivyo wewe binafsi kutokula asubuhi na kuja kula saa 8 mchana.
Hilo ni nyinyi sasa na sio wote.Yah hvy Umepata jibu kuwa hilo linawezekana
Hii ilikua zamani sio siku hizi siku hizi kila kitu ni fashion, wale kizazi kile cha miaka ile ndio walikua wanayaishi hayo unayoyasema na nahisi sababu kipindi kile chakula hakikua jambo la anasa au jambo la kuwaza sana ila sasa chakula ni km anasa zingineKufunga iwe zaidi toba na sadaka na kujizuia Ile riziki ya kula mchana kuwapa masikini, sio kutunza chakula cha mchana ili ule usiku
fundi wa kuazini mpaka muhamad akashangaaAcheni kuiga iga. Mnang'ang'ania hadi manabii wetu. Nyie manabii wenu ni maswahaba kina Bilal yule mtu mweusi wa kwanza kuwa muislam na muislam wa kwanza kuwa na sijdah.
Nafunga kwa kujizui kula tena kuanzia muda huo niliyomaliza kula hayo makande hadi muda maalumu niliyokusudia, halafu sijajua mkuu wewe unalenga nini? Unalenga upande wa afya au ile tabu ya kuhisi njaa?Unafunga vipi wakati tumboni umejaza makande na umeshiba
Wengi wanashinda njaa surelyMimi binafsi sioni kama mtu aliyekula saa 11 alfajiri atakuwa na haja ya kupata break fast saa 2 asubuhi au kula mchana, maana anakuwa anashiba
Mtu anasubiri jua lizame ale kama machwa au nguruwe pori, anakula hadi anavimbiwa na Bado anaamka usiku wa manane kula tena.
Tuache unafiki hakuna kufunga Kwa hivo kuwa usiku uwe mchana na mchana uwe usiku
Jitu limefunga linangoja king'ora jioni livute sigara au bangi
Jitu limefunga linangoja jua lizame likazini
Jioni mnaandaà ndizi, mihogo, uji, tambi
Yaani ni jitu linakula kama ndo mwisho wa Dunia😅
Kufunga iwe zaidi toba na sadaka na kujizuia Ile riziki ya kula mchana kuwapa masikini, sio kutunza chakula cha mchana ili ule usiku
SwadaktaMimi binafsi sioni kama mtu aliyekula saa 11 alfajiri atakuwa na haja ya kupata break fast saa 2 asubuhi au kula mchana, maana anakuwa anashiba
Mtu anasubiri jua lizame ale kama machwa au nguruwe pori, anakula hadi anavimbiwa na Bado anaamka usiku wa manane kula tena.
Tuache unafiki hakuna kufunga Kwa hivo kuwa usiku uwe mchana na mchana uwe usiku
Jitu limefunga linangoja king'ora jioni livute sigara au bangi
Jitu limefunga linangoja jua lizame likazini
Jioni mnaandaà ndizi, mihogo, uji, tambi
Yaani ni jitu linakula kama ndo mwisho wa Dunia😅
Kufunga iwe zaidi toba na sadaka na kujizuia Ile riziki ya kula mchana kuwapa masikini, sio kutunza chakula cha mchana ili ule usiku
KObaz umeandika nini hapa?Hakuna hata mmoja anayejua Uislam, nyie mnawaangalia baadhi ya waislam wanachokifanya ni sawa na Sheria ya Kodi Kuna njia ya kuikwepa kihalali hivyo waislam baadhi wanaikwepa kihalali ukizingatia Mwenyezi Mungu wa waislam hawatakii taabu kitendo TU Cha kunuia kufunga tayari umeshashinda mbele na atakuridhia haijalishi, zamani masahaba walikua wanajipa tabu hadi kuacha kuingilia wake zao lakini wakaambiwa msihofu fanyeni usiku hivyo hii sio adhabu ni kumkumbuka Mungu ndio lengo.
Halafu funga ya mwislam au Hata maisha ya kawaida kula hadi kuvimbiwa according to Islam ni dhambi, Hata kutupwa chakula, mtume kaagiza ni sunna kunywa maji au kula tende kila kiasi usiku kabla ya kufunga (elewa sunna) hivyo mtu kila usiku haibatilishi funga ili mradi asivimbiwe akabeua, can you imagine mtu aliyesahau Kama kufunga akala akashiba Bado funga yake IPO pale pale? Enyi wagalatia kufunga sio mateso ni ishara ya Imani, msjiumize kwenda milimani kukaa siku 3 bila kula unashinda umelala eti ndio funga katka Uislam ukifa njaa Kwa makusudi hio ni motoni na hurusiwi kufunga Kama unaumwa malipo yake ni kulisha maskini 60
Unafunga ungali umeshibaNafunga kwa kujizui kula tena kuanzia muda huo niliyomaliza kula hayo makande hadi muda maalumu niliyokusudia, halafu sijajua mkuu wewe unalenga nini? Unalenga upande wa afya au ile tabu ya kuhisi njaa?
Kubadili muda wa kula ndio kufunga!Ni kubadili muda wa kula
Tatizo ww hujaanzisha mada ili kujifunza bali umeanzisha mada kwa ajili ya kufanya dhihaka dhidi ya waislam ili kufurahisha moyo wako kitu ambacho kwa mtu mwenye akili timamu hawezi kufanya.Unafunga ungali umeshiba
Unashiba vya kutosha then ndo uanze kufunga
Huko kushiba vya kutosha hakufanyi kutohisi njaa kwa siku nzima, ndio maana watu huwa tunakula asubuhi tunashiba ila ikifika mchana tunakula tena na jioni tunakula tena.Unafunga ungali umeshiba
Unashiba vya kutosha then ndo uanze kufunga
Kikubwa ni kufanya matendo ya huruma tuuMimi binafsi sioni kama mtu aliyekula saa 11 alfajiri atakuwa na haja ya kupata break fast saa 2 asubuhi au kula mchana, maana anakuwa anashiba
Mtu anasubiri jua lizame ale kama machwa au nguruwe pori, anakula hadi anavimbiwa na Bado anaamka usiku wa manane kula tena.
Tuache unafiki hakuna kufunga Kwa hivo kuwa usiku uwe mchana na mchana uwe usiku
Jitu limefunga linangoja king'ora jioni livute sigara au bangi
Jitu limefunga linangoja jua lizame likazini
Jioni mnaandaà ndizi, mihogo, uji, tambi
Yaani ni jitu linakula kama ndo mwisho wa Dunia😅
Kufunga iwe zaidi toba na sadaka na kujizuia Ile riziki ya kula mchana kuwapa masikini, sio kutunza chakula cha mchana ili ule usiku
Kobazi ni waigizaji tuTatizo ww hujaanzisha mada ili kujifunza bali umeanzisha mada kwa ajili ya kufanya dhihaka dhidi ya waislam ili kufurahisha moyo wako kitu ambacho kwa mtu mwenye akili timamu hawezi kufanya.
Alafu mtu kama ww waweza kuta una ndugu,majirani na marafiki waislam na wanaishi vizuri na ww kwa upendo kumbe ww unaishi nao kinafiki na umejaa chuki dhidi yao na unakuja kuzishusha humu kwa ID bandia.
Kwanza ngoja nikuelimishe kidogo tafsiri ya funga ndani ya uislamu sio kuhisi njaa au kujitesa na njaa bali ni kujizuia kufanya baadhi ya vitu ambavyo ni halali kama kula, kunywa na kufanya tendo la ndoa na mkeo kwa muda fulani tu ndani ya siku baada ya muda huo kuisha unaruhusiwa kula ,kunywa na kukutana na mkeo mapaka muda wa kuanza kujizuia tena.
Alafu hata kama tungeenda na hiyo tafsiri yako unayo itaka mwisho wa kula daku ni saa kumi na nusu alfajiri hutakiwi kula chochote mpaka saa moja jioni ukiangalia pengo lililopo hapo ni zaidi ya masaa 15 bila kula wala kunywa chochote sasa tuache unafiki chakula kinaweza kudumu tumboni kwa masaa 15?
Una mengi unahitaj kuyajua kuhusu swaumu.Mimi binafsi sioni kama mtu aliyekula saa 11 alfajiri atakuwa na haja ya kupata break fast saa 2 asubuhi au kula mchana, maana anakuwa anashiba
Mtu anasubiri jua lizame ale kama machwa au nguruwe pori, anakula hadi anavimbiwa na Bado anaamka usiku wa manane kula tena.
Tuache unafiki hakuna kufunga Kwa hivo kuwa usiku uwe mchana na mchana uwe usiku
Jitu limefunga linangoja king'ora jioni livute sigara au bangi
Jitu limefunga linangoja jua lizame likazini
Jioni mnaandaà ndizi, mihogo, uji, tambi
Yaani ni jitu linakula kama ndo mwisho wa Dunia😅
Kufunga iwe zaidi toba na sadaka na kujizuia Ile riziki ya kula mchana kuwapa masikini, sio kutunza chakula cha mchana ili ule usiku
Huyo anaefanya hivo ni kweli hana tofaut na mpagani.Sasa kama kufunga Bado unakula unashiba, sigara unavuta, zinaa unafanya, unauwa watu Kwa kujitoa mhanga
Sasa hiyo funga ina tofauti Gani na pagan