Ni kufunga au kubadili muda wa kula tu?

Ni kufunga au kubadili muda wa kula tu?

Hiyo siyo funga, ni ulaghai fulani hivi wa kubadilisha muda wa kula. Funga gani hiyo hata masaa 24 hayatimii kuhesabu siku nzima moja? Wale masheikh kwenye zile media wawe wanapitia humu kupata darsa, waache kuzuga watu kwa habari za kuacha kula mchana
 
Hebu achen kudhihaki Imani za watu msitafute attention kupitia dini za watu

Sasa inakusaidia nin wafunge wale kushiba wewe inakukwaza Nini?

Unapata faida gan kukebeh Imani za watu watu wapo ramadhan na Kwa resma hebu jaribu kuheshimu
Hatutaki unafiki na kuigwaigwa. Dini yao ingekomaa kivyake vyake bila kutuiga ingekuwa na mantiki.
 
Motoni lazima uende uone magumashi usione, ni Kama wewe una kijana wako umpe tahadhari ukiruka ukuta Kuna umeme kwa nyaya siku haupo katesti kuruka kafa wewe utakua miyeyusho? Au mtoto
Better go to hell than Muslim's paradise. Because hell is much cooler.
 
Dogo ukafiri utakuponza.

Amma kwa hakika mwisho wa kafiri ni motoni.

Semenya nakunasihi toka uko kwenye ukafiri wa kuabudu sanamu la Brian Deacon.

Muda bado unao.
Duuuuh
 
Mimi binafsi sioni kama mtu aliyekula saa 11 alfajiri atakuwa na haja ya kupata break fast saa 2 asubuhi au kula mchana, maana anakuwa anashiba

Mtu anasubiri jua lizame ale kama machwa au nguruwe pori, anakula hadi anavimbiwa na Bado anaamka usiku wa manane kula tena.

Tuache unafiki hakuna kufunga Kwa hivo kuwa usiku uwe mchana na mchana uwe usiku

Jitu limefunga linangoja king'ora jioni livute sigara au bangi

Jitu limefunga linangoja jua lizame likazini

Jioni mnaandaà ndizi, mihogo, uji, tambi
Yaani ni jitu linakula kama ndo mwisho wa Dunia😅

Kufunga iwe zaidi toba na sadaka na kujizuia Ile riziki ya kula mchana kuwapa masikini, sio kutunza chakula cha mchana ili ule usiku
Kiranga njoo utusaidie kujibu hapa logically .

Kwa upande wangu hamna kitu kinaitwa kufunga ni kubadili ratiba ya ulaji tu.
 
Back
Top Bottom