Azizi Bin Adam
Member
- Apr 21, 2012
- 59
- 19
825,000Ambao ndo sh ngap basic?
825,000Ambao ndo sh ngap basic?
SijuiCurrently Tghs C...katibu wa afya wanalipwaje?
1,040,000/=Currently Tghs C...katibu wa afya wanalipwaje?
Mkuu vp kuhusu TGHS B
nilikuwa naitafuta sana
Mkuu kama hutojali naomba kujua TGHS D ni kiasi gani?
Siki hizi Bank wanakata VAT 18% kila ukitoa pesa. Je, mnalifaham hilo wadau?Kwenye TGS D
income tax 70500
Loan board 15%
WCF 2%
PSSSF 5%
Bado mkeka unaendelea hapo, ndugu yangu kuwa makini
1,340,000/=Mkuu kama hutojali naomba kujua TGHS D ni kiasi gani?
Shukrani
Asante sana, hao wa TGHS D ni wafamasia wenye digrii, je hao madaktari wenye degree wanaoanzia kwenye TGHS E wanapata shilingi ngapi?
Hii haifiki hata Laki 3TGS A nayo ni bei gani ?
1.5MAsante sana, hao wa TGHS D ni wafamasia wenye digrii, je hao madaktari wenye degree wanaoanzia kwenye TGHS E wanapata shilingi ngapi?
Hii haifiki hata Laki 3