TGS D 765 000 loan board na makato yote inabaki 400k + uko mji kama dodoma bila kusahau una watoto na mke, kuna kutoboa hapo Mwaisa
Kwa mantiki hii ni dhahiri kuwa Degree holder wa Halmashauri anazidiwa mshahara na Diploma holder wa kwenye Taasisi za kiserikali.. Maana taasisi za kiserikali bila shaka diploma iko 800+
 
PGSS 5 anayeijua tafadhali. Wanalipwa diploma holder kwenye baadhi ya taasisi.
NB: Siyo PSS G 5
 
Kwa mantiki hii ni dhahiri kuwa Degree holder wa Halmashauri anazidiwa mshahara na Diploma holder wa kwenye Taasisi za kiserikali.. Maana taasisi za kiserikali bila shaka diploma iko 800+
Yaah ni kweli kwenye hii Wakala dip wanalamba 1.1M
 
Mkuu naona Sasa ni mwezi wa Tatu huu unachomoa pesa zako tu ATM au sio
Mtumishi yeyote wa umma wa permanent and pensionable halipwi
Hela bila kupata check number so zilichelewa kutoka so Nina Hela ya mwezi Mmoja tu ndo nimepata na imeisha Juzi nimelipa madeni hapa Sina kitu 🤣🤣🤣🤣🤣
 
😃😃😃 Haya bhana hebu nasi tusibirie check namba pia
 
Back
Top Bottom