Over the hedge
Senior Member
- Sep 6, 2019
- 143
- 159
Samahan tnpss f scale ya kuanzia ni sh ngap
TNPSS F scale yao ni sh ngap ?Wanabaraza naomba mnitoe tongo tongo TGS D (Tanzania Gov. Scale D) ni shilingi ngapi kwa sasa? Nataka kuachia tawi Private Sector niende huko lakini sijui kukoje...
==============
July 2014 UPDATE:
Unaweza kuandika hapa ili iwe faida kwa wengi, mpwa?Mzee umeshakula shavuuu
Ni aje kakaje mishahara kada ya afya ikoje hasa katibu afya??? Graduates kwa rate za magu
Laki 9 basic salarynisaidiwe katibu afya akiwa anaanza analipwa kiasi gani?? saivi
mi nipo tu nduguNi aje kaka
Doh take home 677,000 hivi kitu kama hiko.Laki 9 basic salary
KATIBU AFYA MWENYE DEGREE..TGHS C....Kama Laki 9 hivi Gross Salary.je mishahara kada ya afya ikoje hasa katibu afya??? Graduates kwa rate za magu
hivi hii mishahara ni ya kweli? Nisije nikamuingiza mtu chaka hapa😄TGS A1 346,000
TGS B1 394.000
TGS C1 582,500
TGS D1 639,000
TGS E1 819,000
TGS F1 1,053,000
TGS G1 1,370,000
TGS H1 1,784,000
TGS I1 2,465,000.
Hiyo ndiyo mishahara mipya ambayo waraka umetoka Alhamis wizaran. Inaanza Julai 2014.
Jaman PGSS 1.1 ndio ngapihivi hii mishahara ni ya kweli? Nisije nikamuingiza mtu chaka hapa
Jaman PGSS 1.1 ndio ngapi