Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 269,634
- 697,928
Kuanguka ama kuzimikaKassim Majaliwa
R. Mpango
Kuanguka ama kuzimikaKassim Majaliwa
R. Mpango
Aah wapi najua unachohofia..Jamani hii ni ndoto tu ya kawaida sio maono wala utabiri
Naona umeamua kuvunja ukimyaAah wapi najua unachohofia..
Nimependa hizo herufi ulizoziweka aya ya pili kutoka mwisho, K na R.Yaani kama ni K au R ni hiyo hiyo
Kwamba mwanga wa milele unaweza kumuangazia Watch-100Tuandae maturubai.. Ndoto yako ya ndege imetupa fundisho kubwa
MmmhAsalam aleykum!
Jamani haya maisha yanachekesha sana na ukiyafikiria sana unaweza kupasuka kichwa, basi juzi kuamkia jana bwana kama kawaida katika ndoto niko sehemu kama nimesimama hivi. Nilikuwa kama kuna mtu amenisimamisha anataka kuniambia jambo fulani, kwa mbalii nikawa kama nasikia minong'ono ya kuhusu MISS Tanzania halafu mashindano yenyewe yanafanyika mwezi wa kumi na mbili yaani December.
Basi ghafla kuna mtu akanifungulia file ananionyesha washiriki na watu watatu ambao wanaweza kushinda. File lilikuwa na picha na majina ya wagombea. Washiriki walikuwa wengi lakini nikamulikiwa taa kwenye watu watatu ikawa kama wengine hawaonekani vizuri wamezibwa na kiza.
Kuna mtu mmoja sasa katika wale watu watatu taa ikamulika sana kwenye jina na picha yake coz yeye ndio atayeshinda, ilimulika mfano wa indicator za gari zinavyoashiria kwamba gari inapita kulia au kushoto, yaani ilikuwa inafanya muli muli muli muli, jambo lililonishangaza ni:
1. Mwanasiasa wa kiume anawezaje kuja kushinda MISS TANZANIA?
2. Je ni kweli kwamba mwezi wa kumi na mbili kutakuwa na shindano la Miss Tanzania.
3. Kwanini herufi ya mwanzo ya jina lake ilikuwa inaleta majina tofautu tofauti mengi kwa staili ya kimuli muli mpaka nikashindwa kulisoma vizuri, yaani jina ni la fulani lakini likawa linajichanganya changanya na majina mengine lakini herufi ya mwanzo ni hiyohiyo?
Yaani kama ni K au R ni hiyo hiyo
NB: Haya sio maono bali ni ndoto tu ya kawaida jamani lakini inaweza kuwa na uhalisia wa jambo fulani
Tuupe muda wakatiKwamba mwanga wa milele unaweza kumuangazia Watch-100
Hebu maneno, maono na tabiri zenu zikatimie jamaniTuupe muda wakati
Wewe ndie uliyetabiri ajali ya ndege?Asalam aleykum!
Jamani haya maisha yanachekesha sana na ukiyafikiria sana unaweza kupasuka kichwa, basi juzi kuamkia jana bwana kama kawaida katika ndoto niko sehemu kama nimesimama hivi. Nilikuwa kama kuna mtu amenisimamisha anataka kuniambia jambo fulani, kwa mbalii nikawa kama nasikia minong'ono ya kuhusu MISS Tanzania halafu mashindano yenyewe yanafanyika mwezi wa kumi na mbili yaani December.
Basi ghafla kuna mtu akanifungulia file ananionyesha washiriki na watu watatu ambao wanaweza kushinda. File lilikuwa na picha na majina ya wagombea. Washiriki walikuwa wengi lakini nikamulikiwa taa kwenye watu watatu ikawa kama wengine hawaonekani vizuri wamezibwa na kiza.
Kuna mtu mmoja sasa katika wale watu watatu taa ikamulika sana kwenye jina na picha yake coz yeye ndio atayeshinda, ilimulika mfano wa indicator za gari zinavyoashiria kwamba gari inapita kulia au kushoto, yaani ilikuwa inafanya muli muli muli muli, jambo lililonishangaza ni:
1. Mwanasiasa wa kiume anawezaje kuja kushinda MISS TANZANIA?
2. Je ni kweli kwamba mwezi wa kumi na mbili kutakuwa na shindano la Miss Tanzania.
3. Kwanini herufi ya mwanzo ya jina lake ilikuwa inaleta majina tofautu tofauti mengi kwa staili ya kimuli muli mpaka nikashindwa kulisoma vizuri, yaani jina ni la fulani lakini likawa linajichanganya changanya na majina mengine lakini herufi ya mwanzo ni hiyohiyo?
Yaani kama ni K au R ni hiyo hiyo
NB: Haya sio maono bali ni ndoto tu ya kawaida jamani lakini inaweza kuwa na uhalisia wa jambo fulani
Herufi sijaiweka hapa maana nikiiweka tu kila mtu atamjua,herufi naogopa kuitaja maana ntaleta taharuki kwa muhusika.Lakini sijui nini kitamtokea MAMA hausiki kabisa na hii ndoto mwacheni ale BATA bila wasi wasiRowassa innit? 🤣🤣🤣
Usitaje ila toa hint ya tukio mfano "mwanasiasa mkubwa atakamatwa akichepuka lodge"Herufi sijaiweka hapa maana nikiiweka tu kila mtu atamjua,herufi naogopa kuitaja maana ntaleta taharuki kwa muhusika.Lakini sijui nini kitamtokea MAMA hausiki kabisa na hii ndoto mwacheni ale BATA bila wasi wasi