Naomba kujuzwa fursa za kujiajiri kwa Mhitimu wa chuo fani ya Computer Science

Darwin james

Member
Oct 18, 2023
20
12
Habari wakuu Mimi ni mwanafunzi wa chuo katika fani ya Computer science (degree mwaka wa pili),

Naomba ushauri kutoka kwenu juu ya fursa ambazo naweza kujiajiri nazo ,( kwenye fani hii ya Computer science) nikimaanisha nitajiajiri vipi?

Pale nitakapo maliza degree yangu ya Computer science.

Nawasilisha wataalam msaada kutoka kwenu ni muhimu sana kwangu 🙏🙏🙏 nashukuru.
 
Wewe what skills do you have?
Unajua kufanya nini at the very best katika computer scince?
Unapenda nini hasa katika computer science? Maana computer science ni kichaka kikubwa sana, una vitu vingi.
Umejipangaje so far? Upo kwenye online community gani ya kubadilishana mawazo na your fellow computer scientists around the world?
Umeji brand kiasi gani?
Umeitangazia dunia kuhusu wewe, skills zako na uwezo wako kiasi gani?
Darwin james
 
1.kuna graphic design...hii itasaidia kutengeneza matangazo tena ukiwa serious unafika mbali, pia kufungua studio ya picha na video.
2. Unaweza kuwa fundi wa computer upande wa hardware, hapa ongeza na ufundi wa photography machines, printers, na air-conditioning. Huwa nasaini malipo yao kwenda bank kwa kweli wanapata. Na ukifahamika na makampuni na ofisi nyingi utafurahi.
3. Kuna software engineering. Hapa uwe serious sana. Hapa unakuwa mtaaluma wa mifumo. Unaweza kuandaa yako kulingana na mahitaji ya wateja.
4. Kuna maduka ya computer unaweza kuomba kazi ambayo utakuwa mshauri kwa boss na mteja kwenye kuendesha biashara hiyo lakini kama una mtaji basi fanya wewe. Mizigo imejaa China na Dubai. Ni pesa yako tu.

NB: nakushauri kama uko chuoni tafuta ofisi ya mafundi wa computer uwe unaenda hapo. Asante mkuu.

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
IMG20240313095457.jpg
 
Hiki unachosomea ungejua thamani yake usingekua unauliza hiki unachouliza.

BTW,

1. language gani unaijua?

2. Na hiyo language umeshatengezea project gani?

3. Unaweza share link ya github page yako?
 
Tatizo la kwenda chuo bila malengo kisa tu umefaulu vizuri form 6. Inawezekana wewe ni Plumber au gardener mzuri ila ukajilazimisha kuingia kwenye computer science.
 
1.kuna graphic design...hii itasaidia kutengeneza matangazo tena ukiwa serious unafika mbali, pia kufungua studio ya picha na video.
2. Unaweza kuwa fundi wa computer upande wa hardware, hapa ongeza na ufundi wa photography machines, printers, na air-conditioning. Huwa nasaini malipo yao kwenda bank kwa kweli wanapata. Na ukifahamika na makampuni na ofisi nyingi utafurahi.
3. Kuna software engineering. Hapa uwe serious sana. Hapa unakuwa mtaaluma wa mifumo. Unaweza kuandaa yako kulingana na mahitaji ya wateja.
4. Kuna maduka ya computer unaweza kuomba kazi ambayo utakuwa mshauri kwa boss na mteja kwenye kuendesha biashara hiyo lakini kama una mtaji basi fanya wewe. Mizigo imejaa China na Dubai. Ni pesa yako tu.

NB: nakushauri kama uko chuoni tafuta ofisi ya mafundi wa computer uwe unaenda hapo. Asante mkuu.

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Shukrani 🙏🙏 sana mkubwaa, nimekuelewa hapa
 
Wewe what skills do you have?
Unajua kufanya nini at the very best katika computer scince?
Unapenda nini hasa katika computer science? Maana computer science ni kichaka kikubwa sana, una vitu vingi.
Umejipangaje so far? Upo kwenye online community gani ya kubadilishana mawazo na your fellow computer scientists around the world?
Umeji brand kiasi gani?
Umeitangazia dunia kuhusu wewe, skills zako na uwezo wako kiasi gani?
Darwin james
Dogo Darwin james umeona haya maswali yangu?
 
skills ndio itayokupa kazi wala sio cheti maana hata interview za serikalini lazima ufanye written uje practical alafu oral kama huna skills hutoboi maana hiyo practical ndio skill inapimwa hapo. pambana kutafuta skills anza hata na graphics kama hujui language yoyote fanya hata networking, jiunge na watu wanaofanya cctv camera au computer maintenance au jifunze hata server huwez kukosa mishe
 
Shukrani mkubwaa,,, nimekuelew
 
Dogo Darwin james umeona haya maswali yangu?
Yeah bro nimekupata ,, but kiukwel mpaka Sasa sipo kweny online community platform yoyot , na kuhusu skills ambazo Nina prefer most ni graphics design though not yet sija master kla Ktu , I like things like printing; posters, flyers, banners, logo, business cards za biashara za watu mbal mbal ( nafikiria kuanza kufanya Hz mishe( Printing , branding, embroidery ) nikiwa more competent kweny designing) .
 
Kama unajua web development na programming, na ML anzisha karakana piga msuli huku ukichekecha ubongo nini ubuni ambacho watu watahitaji, kwisha habari
 
Kwasababu utashauriwa kitu ambacho hakiwezi, wew fanya unachoweza, then improve
 
Yeah bro nimekupata ,, but kiukwel mpaka Sasa sipo kweny online community platform yoyot , na kuhusu skills ambazo Nina prefer most ni graphics design though not yet sija master kla Ktu , I like things like printing; posters, flyers, banners, logo, business cards za biashara za watu mbal mbal ( nafikiria kuanza kufanya Hz mishe( Printing , branding, embroidery ) nikiwa more competent kweny designing) .
Acha basi Darwin hujui ni jinsi gan unataka upotee nazima kabisa yaani uende kwenye graphics tena?
Fanya hivi wewe sona hiyo kitu hadi upate PhD ya hiyo kitu niamini mimi utapata ajira sehemu nyingi tu kikubwa ifanye hiyo kitu kama kitu pekee unachotakiwa kufanya hapa duniani.
Mimi ni proffessional wa Graphics but nikwambie kitu hapa hautapata unachokitaka kwa kudesign kazi za watu maana watu washaigeuza kuwa kazi uchwara wanachukua kazi kwa bei za chini sana kisha wanadesign kazi za hovyo
Na kama unavyoijua jamii yetu inajali bei ndogo hata kama kazi ni ya kawaida hawataki kazi bora kwa bei nzuri ya kukufaa wewe designer.
 
Back
Top Bottom