Mwanga Lutila
JF-Expert Member
- Nov 10, 2016
- 3,987
- 13,019
Mmeshaanzaa mambo yenu!!Naombeni kuuliza kwa wale wenye ujuzi wa vitabu vya Mwenyezi Mungu, Mitume wake kama Yesu na Mtume Muhammad (S.A.W) waliwahi kusherekea Mwaka mpya
Acheni hizo, wacheni watu waserekee mwaka mpya uwe aliweka Mungu au Shetani we jari umemaliza mwaka na ufungua mwaka mpya kwa Amani na afya.
Hayo mengine ni kusumbuana.