Naombeni kuuliza kwa wale wenye ujuzi wa vitabu vya Mwenyezi Mungu, Mitume wake kama Yesu na Mtume Muhammad (S.A.W) waliwahi kusherekea Mwaka mpya
Mmeshaanzaa mambo yenu!!

Acheni hizo, wacheni watu waserekee mwaka mpya uwe aliweka Mungu au Shetani we jari umemaliza mwaka na ufungua mwaka mpya kwa Amani na afya.

Hayo mengine ni kusumbuana.
 
Kwani kuna mtu nimemkataza kusherekea ,mimi nilikua tu najibu swali jamaa ambalo aliuliza sjamkataza mtu kusherekea mimi
Mmeshaanzaa mambo yenu!!

Acheni hizo, wacheni watu waserekee mwaka mpya uwe aliweka Mungu au Shetani we jari umemaliza mwaka na ufungua mwaka mpya kwa Amani na afya.

Hayo mengine ni kusumbuana.
 
Directly kwenye mada,

Jamani tuwakumbuke wafungwa kwa maombi na ukiweza kawaone uwape japo ndizi maana kule ndani wapo waliokuwa wamesimama kwa ajili ya haki zetu au wapo walioingia jela kwa kutotenda makosa ila dunia ikawaabgukia

Namuomba Mungu awape ujasiri wa moyo na tumaini lao mbinguni maana hayo ni ya duniani ,,maombi haya pia yawafikie wagonjwa,wakio maeneo ya vita,wenye njaa na watoto wasio na uangalizi.

Heri ya mwaka mpya kwenu nyote
 
Mimi pamoja na familia yangu kwa dhati kabisa na kwa niaba ya Ukoo wangu wote ulio Kyela , DSM na nje ya nchi tunawatakia heri ya Mwaka mpya wanachadema wote , kwa maana ya viongozi katika ngazi zote na wanachama wote popote walipo ndani na nje ya nchi .

Imefahamika sasa Dunia nzima kwamba Chadema ni mpango halisi wa Mungu wa kupigania demokrasia , haki , heshima na Utu wa Mtanzania , katika hili hatuna wasiwasi nao hata chembe na nitakuwa mchoyo wa fadhila ikiwa nitashindwa kukishukuru chama hiki na kukiombea heri na baraka lukuki kwenye mwaka unaokuja , Chadema ndio nguzo ya demokrasia na amani .

Qurani tukufu imeandika kwamba , Nanukuu , " Mwenyezi Mungu yuko pamoja na wenye kusubiri " mwisho wa kunukuu .

Mungu ibariki Chadema .
Moderator umeunga uzi kizushi sana ! uzi uliounganisha ni kweli ni wa heri ya mwaka mpya lakini si wa Chadema , mara nyingi nimeomba nyuzi zangu zisiungwe kibabe namna hii bali kama zinakera zifutwe kabisa
 
Achana nae ameshaondoka. Now let's deal with 2021, hopeful atakuwa amekuja na baraka za kutosha.
Daah, siamini kama nimefika salama mwaka huu mpya!!
Kwa maana ndugu zetu wengi wamelala mauti, asante Mungu!!
 
Back
Top Bottom