Mimi pamoja na familia yangu kwa dhati kabisa na kwa niaba ya Ukoo wangu wote ulio Kyela , DSM na nje ya nchi tunawatakia heri ya Mwaka mpya wanachadema wote , kwa maana ya viongozi katika ngazi zote na wanachama wote popote walipo ndani na nje ya nchi .

Imefahamika sasa Dunia nzima kwamba Chadema ni mpango halisi wa Mungu wa kupigania demokrasia , haki , heshima na Utu wa Mtanzania , katika hili hatuna wasiwasi nao hata chembe na nitakuwa mchoyo wa fadhila ikiwa nitashindwa kukishukuru chama hiki na kukiombea heri na baraka lukuki kwenye mwaka unaokuja , Chadema ndio nguzo ya demokrasia na amani .

Qurani tukufu imeandika kwamba , Nanukuu , " Mwenyezi Mungu yuko pamoja na wenye kusubiri " mwisho wa kunukuu .

Mungu ibariki Chadema .
CHADEMA bila wananchi (waTanzania) wala si lolote au chochote!

Washukuru waTanzania wote hata wale ambao hawakutoa mchango wowote wa moja kwa moja kwa chama chako. Usiwalaumu hao au kuwaonea kinyongo.

Tafadhali elewa, hata katika hao mahasimu wenu, kuna binaadam wenye roho za huruma na wanaojali hatma ya taifa hili, bila kujali maslahi binafsi. Hawa wapo, hata kama watakuwa ni wachache.

Ushauri kwako na chama chako: mmekwishavuka mtihani mkubwa sana katika uhai wa chama chenu. Kama ni maisha ya binaadam, tunaweza kusema sasa mmetoka jandoni. Ni wakati mwafaka kabisa kufanya kazi za chama chenu kwa umakini zaidi kuliko mlivyokwishafanya. Kazi inayowasubiri ni kukieneza chama chenu kwa wananchi kwa njia zote zinazowezekana. Hakuna kusubiri mikutano ya hadhara, hakuna kusubiri uchaguzi. Viongozi wenu kutokuwa na majukumu Bungeni ni fursa muhimu ya kufanya kazi za chama na wananchi. Wakati huu sasa ndipo mtakapojua viongozi wa kweli kweli.

Heri ya mwaka mpya kwa waTanzania wote, hata wale wanaowasurubu waTanzania wenzao kwa sababu za kisiasa.
 
Wafu Wazikana hahaha
Hakuna Jipya
Ilikuwa 1995,2000,2005,2010,2015,2020
Na Mpaka Kije kizazi tofauti nahiki cha Vibendera na Watafuta KIKI na Mijimisifa
Tofauti na hapo
Mtaendelea kuwa Vibendera wa Kina Faru John mpaka Kuzimu
 
CHADEMA bila wananchi (waTanzania) wala si lolote au chochote!

Washukuru waTanzania wote hata wale ambao hawakutoa mchango wowote wa moja kwa moja kwa chama chako. Usiwalaumu hao au kuwaonea kinyongo.

Tafadhali elewa, hata katika hao mahasimu wenu, kuna binaadam wenye roho za huruma na wanaojali hatma ya taifa hili, bila kujali maslahi binafsi. Hawa wapo, hata kama watakuwa ni wachache.

Ushauri kwako na chama chako: mmekwishavuka mtihani mkubwa sana katika uhai wa chama chenu. Kama ni maisha ya binaadam, tunaweza kusema sasa mmetoka jandoni. Ni wakati mwafaka kabisa kufanya kazi za chama chenu kwa umakini zaidi kuliko mlivyokwishafanya. Kazi inayowasubiri ni kukieneza chama chenu kwa wananchi kwa njia zote zinazowezekana. Hakuna kusubiri mikutano ya hadhara, hakuna kusubiri uchaguzi. Viongozi wenu kutokuwa na majukumu Bungeni ni fursa muhimu ya kufanya kazi za chama na wananchi. Wakati huu sasa ndipo mtakapojua viongozi wa kweli kweli.

Heri ya mwaka mpya kwa waTanzania wote, hata wale wanaowasurubu waTanzania wenzao kwa sababu za kisiasa.
Watanzania wote ni Chadema ( ukiacha wachumia tumbo wachache ) Nakuhakikishia kwamba hata hao wanaojiita wanaccm wapo huko kwa uoga tu , kwahiyo nikiitaja Chadema nimeitaja Tanzania na Watanzania
 
Kundi lipi kaka?
Analolizungumzia mleta mada yenye kichwa cha habari kinachosema: "Nawatakia wanachadema wote...."

Pengine uko sawa, maanake hakusema "Wanachama wa CHADEMA wote..."; na yeye mwenyewe amekwishafafanua maana aliyoilenga; sasa sijui kama ni kweli au sio maana aliyoanza nayo kichwani alipoanzisha mada.

Naona hata mashabiki tu wa chama wamo ndani ya kundi.
 
Mimi pamoja na familia yangu kwa dhati kabisa na kwa niaba ya Ukoo wangu wote ulio Kyela , DSM na nje ya nchi tunawatakia heri ya Mwaka mpya wanachadema wote , kwa maana ya viongozi katika ngazi zote na wanachama wote popote walipo ndani na nje ya nchi .

Imefahamika sasa Dunia nzima kwamba Chadema ni mpango halisi wa Mungu wa kupigania demokrasia , haki , heshima na Utu wa Mtanzania , katika hili hatuna wasiwasi nao hata chembe na nitakuwa mchoyo wa fadhila ikiwa nitashindwa kukishukuru chama hiki na kukiombea heri na baraka lukuki kwenye mwaka unaokuja , Chadema ndio nguzo ya demokrasia na amani .

Qurani tukufu imeandika kwamba , Nanukuu , " Mwenyezi Mungu yuko pamoja na wenye kusubiri " mwisho wa kunukuu .

Mungu ibariki Chadema .
Pamoja sana mpambanaji 'C'...……………………..!
 
Mtoa mada tutake radhi kwa ubaguzi salaam waombe moderator warekebishe ...na Watanzania wanaojitambua wapenda haki tupo wengi japo hatuna kadi za vyama.
 
Analolizungumzia mleta mada yenye kichwa cha habari kinachosema: "Nawatakia wanachadema wote...."

Pengine uko sawa, maanake hakusema "Wanachama wa CHADEMA wote..."; na yeye mwenyewe amekwishafafanua maana aliyoilenga; sasa sijui kama ni kweli au sio maana aliyoanza nayo kichwani alipoanzisha mada.

Naona hata mashabiki tu wa chama wamo ndani ya kundi.

Uko sahihi kwa swali lako lile kabla ya ufafanuzi. Ila kabla na baada ya ufafanuzi mimi pia nilikuwa sehemu ya salamu hizo.
 
I serve and I'm only Loyal to my Country..
So I would like to wish both of you UKAWA and CCM Happy New Year..
May Almighty protect our country

"....Nimrudishie Bwana nini kwa ukarimu wake alionitendea"
Ccm Tena ...
 
Sina mengi ndugu zangu, Kama kichwa cha habari kisemavyo,
Mungu akawape nguvu ,maono,na utukufu
Ndugu zangu mwaka 2021 ni mwaka mgum Sana sio wa kulimia meno tena, ila Sasa meno,kucha za mikono,miguu, vitatumika ila tutavuka wakuu,
Mwaka huu tutashudia vituko vya kuhuzunisha Sana, mwaka huu ndugu zetu watakata Tamaa Sana but all in all KWA nafasi ya kila mmoja akaliweke taifa hili mikononi mwa mungu bila kujali dini yako ,kabila ,chama, tukamlilie mungu juu ya taifa hili 2021.
Niwatakie heri ya mwaka mpya wanajf
 
Back
Top Bottom