Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 22,374
- 28,046
Nenda pale msimbazi kwenye klabu ya Simba, kuna basi zima limejaa waganga konki wameriga hadi bodi ya ligi ikachanganyikiwa.Mwenye uelewa anisaidie maeneo ya dar, bagamoyo kibaha au mkuranga anisaidie.
Kuna hela ya usumbufu kwa atakaenipa connection