Nape ajibu makombora ya Marando

Nape ajibu makombora ya Marando

Nape ataivuraga CCM yenyewe pamoja na vyama vyote vya upinzania Tanzania. Ingawaje ana mdomo lakini kichwa na nidhamu hana. Nape ni hatari kwa usalama wa Taifa na Amani ya Taifa.

Inawezekana hajaelimika vya kutosha, kwanza mara nyingi sana maneno, msimamo, na taarifa zake zinatofautina na Katibu Mkuu wake, bwana Mukama. Huu Kijana hana uzoefu wa kazi za siasa. ataendelea kuiua CCM. Nape ni Gamba juu ya Gamba
Ukimuangalia ni kama mwenyekiti yeye, katibu yeye yaani mafisadi wanamlia timing tu wamtikise kidogo ajue fitna ya siasa ilivyo.
 
Siyo kwamujibu wa chama, ni kwamujibu wa PPRA....Public Procurement Regulatory Authority. Chadema inatumia ruzuku ambazo ni mali ya wananchi (kodi za wananchi) hakinunui vitu kwa mujibu wa chama au kamati kuu kinatakiwa kifuate ACTS!

What Chadema did is WRONG! Baregu, Kitila Mkumbo , Mnyika na Zito walikuwa against na wazo hili la Mbowe na Slaa!!

Kitu kisichoeleweka hapa ni nini? kinachotetewa hapa ni nini?

Ni kweli magari yalitumika tangu yakiwa mapya ...lakini

1. Mbowe alipaswa kuingia mkataba na chama chake kuhusu hayo magari kuanzia mwanzo ( ab initio), na Chadema hawakupaswa kupokea kitu kipya..bure bila kuandikikishiana kuwa nini kitafanyika
2. Magari hayo ya Mbowe yamenunuliwa kwa pesa yake ya binafsi? je kuna auditing inafanyika kutofautisha mali za chadema, mali binafsi za mbowe, n.k
3. facts kuwa Mbowe ana influence kila steji katika manunuzi ni sawa na kujiuzia, I mean ALIJUA TOKA MWANZO lengo lake ni nini! This kind of biashara is against the rules

Kuna faida nyingi kwa Mbowe kuiuzia chadema magari kwa sasa ,,,,tuache huko

I believe na nimesema mara nyingi mwisho wa DOUBLE STANDARD NI AIBU! TUKISEMA TUNAKATAA UFISADI NI ULIO CCM NA ULIO CHADEMA NA KWINGINEKO KOTE! TUKISEMA maamuzi ya base zaidi upenzi wetu ndio aibu hizi zinwakumba wengi humu ambao mke mbele kuisema CCM ili hali kwenu hakujakaa sawa

Leo hii mkuu wangu bila woga unaandika sentensi hiyo hapo juu....kana kwamba haujui sakata zima, kweli unataka kusema akina baregu wajinga mpaka waishauri

SO IS NOT KAMATI KUU WAMEAMUA NINI , BALI SHERIA YA MANUNUZI INASEMA NINI...........where problems starts
Waberoya

Usitake kupotosha ACT ya PPRA haizifuati hela hadi kwa mlaji wa mwisho hadi ijue amekula nini, unachotakiwa ni ku retire ulivyotumia ACT haikuchagulii kitu cha kununua, kuna aina nyingi za ruzuku kwa ruzuku ya vyama vya siasa havibanwi na kufungu cha manunuzi ya mali chakavu kama ilivyo kwa mashirika ya umma na serikali kitachotakiwa ni kuonyesha umezitumiaje na wala ACT haiingilii contract yeyote.
 
Hich chama hakiko makini kuanzia ngazi ya juu. Mwenyekiti mwenyewe hajui kupanga timu ya watendaji.Wewe jaribu kuangalia watu anaochagua kuanzia mawaziri mpaka watendaji wenyewe inasikitisha ndio maana wanakula kodi ya wananchi kwa semina elekezi. Mimi nashangaa kipofu anaweza kuongoza kipofu mwenzake.JK is a failure.
CCM ime expire haifai kuongoza nje. Tuwaondoe .
 
Je Chadema ingelianguka kwenye uchaguzi kama CUF na kikafa?
Siyo kwamujibu wa chama, ni kwamujibu wa PPRA....Public Procurement Regulatory Authority. Chadema inatumia ruzuku ambazo ni mali ya wananchi (kodi za wananchi) hakinunui vitu kwa mujibu wa chama au kamati kuu kinatakiwa kifuate ACTS!

What Chadema did is WRONG! Baregu, Kitila Mkumbo , Mnyika na Zito walikuwa against na wazo hili la Mbowe na Slaa!!

Kitu kisichoeleweka hapa ni nini? kinachotetewa hapa ni nini?

Ni kweli magari yalitumika tangu yakiwa mapya ...lakini

1. Mbowe alipaswa kuingia mkataba na chama chake kuhusu hayo magari kuanzia mwanzo ( ab initio), na Chadema hawakupaswa kupokea kitu kipya..bure bila kuandikikishiana kuwa nini kitafanyika
2. Magari hayo ya Mbowe yamenunuliwa kwa pesa yake ya binafsi? je kuna auditing inafanyika kutofautisha mali za chadema, mali binafsi za mbowe, n.k
3. facts kuwa Mbowe ana influence kila steji katika manunuzi ni sawa na kujiuzia, I mean ALIJUA TOKA MWANZO lengo lake ni nini! This kind of biashara is against the rules

Kuna faida nyingi kwa Mbowe kuiuzia chadema magari kwa sasa ,,,,tuache huko

I believe na nimesema mara nyingi mwisho wa DOUBLE STANDARD NI AIBU! TUKISEMA TUNAKATAA UFISADI NI ULIO CCM NA ULIO CHADEMA NA KWINGINEKO KOTE! TUKISEMA maamuzi ya base zaidi upenzi wetu ndio aibu hizi zinwakumba wengi humu ambao mke mbele kuisema CCM ili hali kwenu hakujakaa sawa

Leo hii mkuu wangu bila woga unaandika sentensi hiyo hapo juu....kana kwamba haujui sakata zima, kweli unataka kusema akina baregu wajinga mpaka waishauri

SO IS NOT KAMATI KUU WAMEAMUA NINI , BALI SHERIA YA MANUNUZI INASEMA NINI...........where problems starts
 
Nape kwenye masuala ya usafi wa familia hatakiwi kuonge chochote......pamoja na kuwa kiongozi muandamizi..na afisa mwandamizi jeshini na mwishoni akamalizia kama mshauri wa rais siasa.. Mzee wake Moses Nnauye...alikuwa akiishi "mitaani"....hakuwa na nyumba ya kuishi....alikuwa akikaa peke yake kwenye apartments alizokodishiwa na Ikulu...wakati anaugua ..ilibidi ahamie kwa makamba alipougulia hadi mauti.....na hata jukumu la msiba alilibeba makamba........

Nape alipewa kazi CCM kama huruma kwa mzee wake ...kwani kati ya watoto wa mzee Nnauye ...ndie pekee aliyeonekana kusoma kidogo,,,,inabidi awashukuru kina mzee mkapa na malecela waliomshauri aache kugombana na akina Nchimbi ..wakampeleka Kivukoni Akapata Diploma ...wakamsogeza pale ccm makao makuu kitengo cha mambo ya nje ...alipokosana tena na akina Nchimbi ..mkapa na malecela wakamshauri na kumtafutia chuo India akafanya degree ya sanaa.......awashukuru sana!!

Pamoja na hayo yote ndugu zake Nape na mama zake [wake wa mzee wake] ...sijui ni wivu au nini walikuwa ...wanamtuhumu Nape kuwa hakuwa mtoto wa mzee Nnauye...hata hivyo hili ikaja kuonekana ni chuki tu za ndugu yake juu yake hasa kutokana na ndugu zake wengi kuwa majalala na kukataa shule au kutosoma!!

Ni muhimu sana Nape akaacha kuongelea masuala ya uadilifu wa kifamilia ..kwani yeye familia ni zero....apige siasa!!

duh,..asante! Nyeti mnazitoaga wapi hizi wakuu.
 
Nape ni kama simu ya mchina..ukiizima kelele..ukiiwasha kelele.
 
Labda twende kidogo kidogo nani aliyachakaza hayo malori?
jibu ni CHADEMA,
kwanza MBOWE ni mzalendo sana kiuhasibu hapo angewa charge riba chadema ni sawa,
maana haina tofauti na mkopo,
lakini pia chama lazima kijitegeme na uwezo hupo , ndio maana wameamua kuyanunua,
ili wawe na uhuru nayo zaidi, huu ni mfano mzuri sio kuomba omba tu kila kitu hata kama uwezo hupo

- Mkuu kama ni dataz sasa hivi ndio kabisaa ninazo kuliko wakati wowote ule wa maisha yangu huko nyuma, HOWEVER nimeishambulia sana CCM hapa, na ni kawaida yangu kutojali vyama huwa ninajalia sana taifa, lakini haina maana niwe na siasa za huruma na Chadema, ninawakubali sana Chadema lakini kwenye hili la Mwenyekiti na malori machakavu wamechemsha na ni lazima kuwaambia kwa maneno wanayoyajua sana, tulimshambulia sana Mwakyembe hapa kuhusu conflict of interest na umeme, sasa kwa nini unaamini Mbowe ni toafuti na conflict of interest?

- Unsema Mwenyekiti wa chama kukiuzia chama anachokiongoza malori machakavu na viapza sauti vichakavu kwa Shillingi Millioni 668, sio ufisadi wala conflict of interest na kwamba nikiuliza basi maneno mengi kama unanijua vile, kubalini tu wandugu kwamba kwenye hili mmechemsha sana na aibu sana kwa chama cha kutetea wanyonge kufanya mambo kama haya ambayo tumezoea kuyasikia toka CCM.

- Mimi sigombei anything na wala sio the subject, wewe jibu hoja achana mimi the messenger! wewe deal na hoja!

FMES
!
 
Labda twende kidogo kidogo nani aliyachakaza hayo malori?
jibu ni CHADEMA,
[SIZE=4[SIZE=4]]kwanza MBOWE ni mzalendo sana kiuhasibu hapo angewa charge riba chadema ni sawa[/SIZE],[/SIZE]
maana haina tofauti na mkopo,
lakini pia chama lazima kijitegeme na uwezo hupo , ndio maana wameamua kuyanunua,
ili wawe na uhuru nayo zaidi, huu ni mfano mzuri sio kuomba omba tu kila kitu hata kama uwezo hupo

- What a genius, Mwenyekiti kukiuzia chama malori machakavu ni uzalendo, thanks Nape, tusingeyajua haya sasa siasa za taifa zimenoga sana, finally tunapata uozo wa pande zote mbili na wananchi ndio tunaoamua wapi pumba na mchele vilipo!

Es!
 
Nukuu ya Gazeti la Nipashe,

"Kuhusu madai kuwa anapokea mishahara miwili, wa U-DC na wa CCM, Nape alisema alishakabidhi ofisi hiyo siku nyingi na madai hayo si ya kweli kwani hajawahi kupokea hata mshahara mmoja tangu ateuliwe katikati ya mwezi uliopita."

Jamani ushahidi upo dogo kapokea 1.7 Ml ya Mshahara wa UDC mwezi uliopita.
Hivi kwanini anaiba kodi zetu? haya ndio malipo ambayo Mrema hulalamika kuwa ni Mishahara hewa maana mtu analipwa wakati hayupo ofisini.
 
VITA vya maneno kati ya Chadema na CCM jana imechukua sura baada ya Fred Mpendazo kumtaja Katibu Mwenezi na Itikati wa CCM, Nape Mnauye kwa miongoni mwa vigogo sita walianzisha Chama cha Jamii (CCJ) .

Mpendazoe alitoboa siri hiyojana alipokuwa akituhubia mkutano wa hadhara uliofanyika katika kijiji cha Mbamba Bay kilichopo katika wilaya mpya ya Nyasa mkoani Ruvuma.

Mpendazoe alijitoa CCM Machi 30, mwaka jana akiwa Mbunge wa Kishapu na kujiunga na CCJ Aprili 16, mwaka huo kabla ya kuhamia Chadema, baada ya CCJ kukosa sifa na kufutwa na Msajili wa Vyama vya Siasa.

Akihutubia mkutano wa hadhara katika mji wa Mbamba bay, mkoani Rvuma jana, Mpendazoe alisema ameamua kuliambia taifa ukweli kuhusu Nape, ili umma uepuke kudanganywa na propaganda za kijana huyo.

"Kelele zote anazopiga Nape kuitetea CCM ni za kinafiki kwani aliwahi kukigeuka chama hicho na kushiriki katika mipango yote ya kuanzisha CCJ".
Hata hivyo, Nape alipoulizwa na gazeti hili jana kuhusiana madai hayo ya Mpendazoe, hakukataa wala kukubali kushiriki kuanzishwa CCJ, badala yake alisema, "Cha msingi waeleze (Chadema) CCJ ilikufaje, wasiseme ilizaliwaje, maana kuzaliwa ni sherehe na kufa ni kilio."

Nape ambaye hakusema lolote kama kombora la Mpendazoe ni la kweli aliwageuzia kibao Chadema akisema, "Pamoja na hayoyote, waache (Chadema) kubaka demokrasia."

Mpendazoe alisisitiza kuwa Nape alishiriki katika kuandaa na kuandika katiba na miiko ya uongozi ya CCJ, kutafuta fedha za kukuza chama na jengo la kuweka ofisi za chama hicho.

Alisema: " Huyo Nape anayepiga kelele za kuitetea CCM ni mnafiki mkubwa pengine kuliko wanafiki wote hivi sasa. Mimi na yeye pamoja na wana-CCM wengine wanne, ndio tulioamua kuanzisha CCJ.

"Nape ndiye aliyepewa jukumu la kutafuta nakala za katiba za vyama tawala vya nchini za Afrika, ili kupata katiba nzuri ya itakayoigwa katika kuandika katiba CCJ."

Alisema Nape alilitekeleza vizuri jukumu hilo na kufanikiwa kuipata katiba ya chama tawala cha Afrika Kusini cha ANC, ambacho ndiyo kilitumika kwa kiasi kikubwa kuandaa katiba ya CCJ.

Alisema yeye, Nape na vigogo wengine aliosema atawataja muda ukifika walifanya vikao vyote vya siri hadi wakaanzisha chama hicho cha CCJ.
"Tulifungua mtandao maalum wa kuwasiliana kwa internet, ambao baadaye wenzangu waliufuta baada ya kubadili mawazo dakika za mwisho.

Iilipotulazimu kukutana mimi na Nape tulipendelea kukutana katika eneo la vinywaji pale Mlimani City, jijini Dar es Salaam".
Alisema walifanya hivyo ili wasitiliwe shaka na maafisa usalama wa taifa waliopewa kazi ya kupeleleza wanaCCM waliohisiwa kutaka kuanzisha chama kipya.

"Nape alibadili mawazo ya kutaka kuihama CCM baada ya Rais Jakaya Kikwete kumteua kuwa Mkuu wa Wilaya ya Masasi, kwa kuwa alikuwa na uchu wa madaraka ," aliongeza.

Alisema Nape aliisaidia CCJ kwa kukipa siri nyingi ikiwemo mambo yaliyokuwa yakijadiliwa kwenye mikutano ya Halmashauri Kuu ya CCM (Nec) na hata vikao vilivyokuwa vikifanyika katika ofisi ndogo ya CCM iliyopo Lumumba.

"Nape pia alitupa siri kwamba baadhi ya walioanzisha CCJ walikuwa wanakaribia kufukuzwa kwani katika mkutano wa NEC, majina ya baadhi yao yalitajwa na kujadilia kwenye kikao hicho.'
 
Siyo kwamujibu wa chama, ni kwamujibu wa PPRA....Public Procurement Regulatory Authority. Chadema inatumia ruzuku ambazo ni mali ya wananchi (kodi za wananchi) hakinunui vitu kwa mujibu wa chama au kamati kuu kinatakiwa kifuate ACTS!

What Chadema did is WRONG! Baregu, Kitila Mkumbo , Mnyika na Zito walikuwa against na wazo hili la Mbowe na Slaa!!

Kitu kisichoeleweka hapa ni nini? kinachotetewa hapa ni nini?

Ni kweli magari yalitumika tangu yakiwa mapya ...lakini

1. Mbowe alipaswa kuingia mkataba na chama chake kuhusu hayo magari kuanzia mwanzo ( ab initio), na Chadema hawakupaswa kupokea kitu kipya..bure bila kuandikikishiana kuwa nini kitafanyika
2. Magari hayo ya Mbowe yamenunuliwa kwa pesa yake ya binafsi? je kuna auditing inafanyika kutofautisha mali za chadema, mali binafsi za mbowe, n.k
3. facts kuwa Mbowe ana influence kila steji katika manunuzi ni sawa na kujiuzia, I mean ALIJUA TOKA MWANZO lengo lake ni nini! This kind of biashara is against the rules

Kuna faida nyingi kwa Mbowe kuiuzia chadema magari kwa sasa ,,,,tuache huko

I believe na nimesema mara nyingi mwisho wa DOUBLE STANDARD NI AIBU! TUKISEMA TUNAKATAA UFISADI NI ULIO CCM NA ULIO CHADEMA NA KWINGINEKO KOTE! TUKISEMA maamuzi ya base zaidi upenzi wetu ndio aibu hizi zinwakumba wengi humu ambao mke mbele kuisema CCM ili hali kwenu hakujakaa sawa

Leo hii mkuu wangu bila woga unaandika sentensi hiyo hapo juu....kana kwamba haujui sakata zima, kweli unataka kusema akina baregu wajinga mpaka waishauri

SO IS NOT KAMATI KUU WAMEAMUA NINI , BALI SHERIA YA MANUNUZI INASEMA NINI...........where problems starts
Wabs,

Kweli kuna tatizo katika sourcing ya hizo machines, the procedure was not competitive

However, kinachogonga chadema hapo si suala la used machines hapana, bali ni procedure.... huwa kuna exceptions za kununua kitu kilicho-used hasa kama ni only acquisition was for a "specific duration purpose" - projects set-ups if the following a re considered

  • cost asessment
  • duration of teh project/assignment
  • declarations and disclosures
  • na mengine

tusidanganyane kwenye used or new, kila kimoja chawezekana... hata single sourcing ambayo serikali inaitumia sana (refer Toyota) kupata baadhi ya equipment and supplies (you will learn more from single sourcing practice na emergency procurement kwa MSD na wizara ya fya... wamebobea hapo

binafsi nadhani tatizo la chadema ni
kukosa good accounting system inayoelekeza to teh dots procurement procedures, nahisi wana guideline tu
hawajaheshimu procurement profesion , na hili ni kwa vyama vyote - with the volume of acquisitions now, they need fully certified members au wa-outsource procurement

it is a lesson learnt na basing on the business volume, compared to trillions we lose each year under CCM leadership, lazima tuwape big up kwa kugundua mapema na tuwapongeze zitto, baregu, mkumbo na wote waliogundua hilo... SI KWASABABU CHADEMA NI PENDWA BASI WAVUNJE TARATIBU

HATUENDI HIVYO

Now, a parting shot.... hivi tunajua jinsi ccm walivyo-acquire mabango, tisheti, kofia, magari nk wakati wa kampeni??? mimi najua, can one compare the magnitude of fraud, ill-procurement procedures na accountability level between cdm and ccm during elections???? - WELL, IF WE WANT TANZANIA (AND NOT POLITICAL RUBBISH) THEN WE SHOULD FOCUS THERE

MTM - FOR THE LOVE OF TANZANIA
 
Wadau katika gazeti la mtanzania Nape Nauye (aka..Tambwe Hizza) amejibu makombora ya chadema na amesema kwamba Chadema wanatapatapa kwa sababu sasa amepatikana mtu makini wa kujibu hoja zao.

Pia amedai kwamba Chadema walizoea kuionea CCM kwa sababu hakukuwa na mtu makini anayejua kujibu hoja.Ameapa ataendelea kuianika Chadema mpaka pale watanzania watakapotambua ni nani fisadi kati ya CCM na Chadema.

Pia amedai kwamba mshahara wa katibu mkuu wa CCM Wilson Mukama hauzidi milioni 3 kwa sababu CCM haina mafisadi kama chadema.Amesema pia kwamba hakuwahi kuomba kujiunga chadema eti kwa sababu yeye si mchaga.

Kuna vyombo vingine vya habari Nape amedai leo atazidi kuilipua na kuimaliza kabisa Chadema.
Hapo blue, ni kauli hatari ya kibaguzi ambayo naamini inashusha hadhi ya CCM ambayo ilipigana kufa na kupona kumaliza ubaguzi Afrika.... Nape anataka Watanzania waamini kwamba CHADEMA ni chama cha kikanda. Kama ndivyo basi msajili wa vyama amevunja katiba kwa kukisajili ama kuendelea kukihifadhi kwenye daftari lake.
Kama unatukanwa nawe ukajibu tusi kwa kutoa matusi basi inaonesha uwezo wa fikra una walakini.
Ni angalizo tu!
 
it is a lesson learnt na basing on the business volume, compared to trillions we lose each year under CCM leadership, lazima tuwape big up kwa kugundua mapema na tuwapongeze zitto, baregu, mkumbo na wote waliogundua hilo... SI KWASABABU CHADEMA NI PENDWA BASI WAVUNJE TARATIBU

HATUENDI HIVYO

Now, a parting shot.... hivi tunajua jinsi ccm walivyo-acquire mabango, tisheti, kofia, magari nk wakati wa kampeni??? mimi najua, can one compare the magnitude of fraud, ill-procurement procedures na accountability level between cdm and ccm during elections???? - WELL, IF WE WANT TANZANIA (AND NOT POLITICAL RUBBISH) THEN WE SHOULD FOCUS THERE

MTM - FOR THE LOVE OF TANZANIA

Well said, ufisadi wa ccm umeongelewa sana na ndio kiini hasa cha mapambano ya sasa. Tena wala si mabango pekee, kila kilichonunuliwa iwe kwenye chama au serikalini ujue kuna watu wamefisadi.
Hii haifanyi tuwanyamazie makamanda wa Chadema wanataka kupotea njia, tutaishia kubadilisha chupa na kubaki na mvinyo uleule.
 
Nimejaribu kufuatilia mikutano yake, na mmoja hapa jamii forums kanikonyezea niende Facebook nione comments zake kuhusu Jamii forums, nimekuja kugundua kitu kimoja muhimu kuhusu Nape Mnauye.

Kama amepitia university, alipuuzi kozi ya rhetorics ambayo kwa lugha nyepesi wanasema effective speaking, na hata kama alipitia tu shule ya msingi na sekondari, alipuuzi somo la fasihi ya kiswahili au english composition. Ningemshauri back to school apate msasa vinginevyo ataharaibu zaidi.

Kwa cheo chake cha DC na Katibu mwenezi wa CCM Kitaifa katu sikutegemea anaweza kuandika kitu kama hiki hadharani ambako kila kuku hupita kudonoa mtama. Kama hotuba zake hata kule Masasi alikokabidhiwa District Commission kama anatoa lugha kama hizi basi naona CCM wameishiwa watu wanaofaa katika uongozi.

Nisaidieni DC anaweza ongea au andika hadharani kauli zifuatazo alivyofanya Nape?
  • CHANDIMU AIBUUUU KALIPENI KODI YA MSHAHARA WA BOS WENU
  • UKINYANG"ANYWA TAULO CHUTAMA MNACHOFANYA JF AIBU.....nimefurahi mnakuja huku pia>>> HAYA ONENI AIBU YENU
  • NADHANI MNATANGAZA UBABE SASA,TOENI NA HIII
  • HAKIKA CHANDIMU NA JF WAO WAMECHANGANYIKIWA SANA....hahahaaa MPAKA WANACHONGA PICHA KUHALALISHA UONGO WAO?......DAWA YA DENI KULIPA JAMANI...KALIPIENI KODI YA BOSS WENU
  • MTOTO WACHA KUPIGA MAYOE ACHA WATU WAONE WENYEWEEE
Samahani huyu ni mtanzaniea na kijana mwenzetu tunahitaji kumsaidia kwani ni kiongozi mmojawapo katika taifa letu na watu wale wale tunaoongea na kufanyakazi pamoja kila siku.

Wazee wa CCM msaidieni kijana wenu, kuacha hivi hivi mnaumbua utamaduni wa kitanzania.
 
Duuh! Kweli nyani haoni kundule. Yaani hata mimi na elimu yangu hii ndogo siwezi kuandika mambo kama hayo yasiyoendana na cheo changu kweli elimu ni ghali.
 
Naweza kusema Mwenyekiti wa CCM Kitaifa Rais Kikwete licha ya mapungufu yake katika uongozi wake, anajitahidi sana tu kuchagua lugha ya kuongea, tunachomshika katika lugha yake ni maudhui ya habari na kuona nini kakosea, lakini matusi kama haya na huko anakofanya mikutano lugha kama hizi mbele ya wazee wenye heshima zao ni aibu tupu. CCM hawana watu wanaofaa wenye taadhima ya kuongea hadharani hata wakamweka mtu anayeongea tu yamjiayo kichwani bila kuchuja? Nimebaki nimeduwaa kuwa na DC serikalini wa aina hiyo, makubwa.
 
Back
Top Bottom