Nape ajibu makombora ya Marando

Nape ajibu makombora ya Marando

Mtu akifisadi mradi wa maji karatu kwann asiitwe fisadi?
 
Kazi aliyopewa ni kubwa kuliko uwezo wa nape.

aweda haujaacha kuro.o.po...ka?we unaweza kujifananisha uwezo wako duni na nape? Au kwa kuwa upo hapo chumbani peke ako unaandika lolote linalokujia kwenye kidole
 
Kujimilikisha kiwanja cha wahanga mabwepande ni ufisadi uliopitiliza
 
Kwanini ccm hii nafasi hupewa ma....ga tuu kama tambwe hiza.
 
Kuigawa bavicha na kupendelea baadhi ya viongozi na kuwatenga wengine nao ni ufisadi
 
dr slaa hata angelipwa mil.10 sawa kwa ile kazi anayoifanya ya kujenga chama usiku na mchana lkn huyo mukama inafaa alipwe elf 90 kwa mwezi maana hana kazi yoyote afanyayo ccm
 
Back
Top Bottom