Nape ajibu makombora ya Marando

Nape ajibu makombora ya Marando

Jamani,

Huyu bwana mdogo naona amekuja na staili inayoweza kumwingiza kwenye kundi moja la wazee wa taarabu tuliowazoea la mzee Yusufu Makamba na Tambwe Hiza.

Katika siku za hivi karibuni nimeona kasi ya Nnape ya kuropoka na kubwabwaja kama kasuku imeongezeka kiasi cha kutilia shaka uwezo wake katika kukiletea mabadiliko chama chake kilichompatia dhamana ya uongozi.

Sasa ameibuka na kauli yake kwamba Dr. Slaa ni fisadi! Yeye anadhani watanzania ni watoto wanaoweza kudanganywa na kauli nyepesi nyepesi hivyo!!!

Sasa nimeanza kuamini maneno ya watu waliobeza slogan ya kujivua gamba kwamba nyoka akijivua gamba anabaki kuwa nyoka. Na ndivyo ilivyo kwa CCM.

Mwanzoni, nilidhani sasa tutaanza kusikia kauli zenye mashiko kutoka kwa huo uongozi mpya wa ccm ulioingia baada ya kile kilichoitwa kujivua gamba. Nilijua nyimbo za taarabu zitakuwa zimeisha.

Kumbe wapi, kilichobadilika ni wanamuziki tu, hivi ni kweli ccm imeishiwa watu wa maana wanaoweza kuongoza chama professionally?

FMES i respect you and i am expecting the same from you.Tfadhali usiniite chadema na kudai eti "Mnayofanya huko chadema"It is crap!Sina chama.Kama wewe unapriveledge ya kuwa ccm,basi si kila mtu mwenye hiyo priveledge.Issue ya conflict of interest nimeigusia mimi.Simtetei mtu wala chama.Niliomba facts.

- What facts? nimesema lets talk conflict of interest kwanza and then tutaongea ufisadi, Mwenyekiti kukiuzia chama chake malori yake machakavu unasema hakuna tatizo hapo?

FMEs!

- Mkuu kama ni dataz sasa hivi ndio kabisaa ninazo kuliko wakati wowote ule wa maisha yangu huko nyuma, HOWEVER nimeishambulia sana CCM hapa, na ni kawaida yangu kutojali vyama huwa ninajalia sana taifa, lakini haina maana niwe na siasa za huruma na Chadema, ninawakubali sana Chadema lakini kwenye hili la Mwenyekiti na malori machakavu wamechemsha na ni lazima kuwaambia kwa maneno wanayoyajua sana, tulimshambulia sana Mwakyembe hapa kuhusu conflict of interest na umeme, sasa kwa nini unaamini Mbowe ni toafuti na conflict of interest?

- Unsema Mwenyekiti wa chaka kukiuzia chama anachokiongoza malori machakavu na viapza sauti vichakavu kwa Shillingi Millioni 668, sio ufisadi wala conflict of interest na kwamba nikuliza basi maneno mengi kama unanijua vile, kubalini tu wandugu kwamba kwenye hili mmechemsha sana na aibu sana kwa chama cha kutetea wanyonge kufanya mambo kama haya ambayo tumezoea kuyasikia toka CCM.

- Mimi sigombei anything na wala sio the subject, wewe jibu hoja achana mimi the messenger! wewe deal na hoja!

FMES

FMES

Umenisikitisha sana sikutegemea wewe kuanza kuingia kwenye malumbano yasiyo na tija wala datas, how sure are you kwamba malori na vipaza sauti ni mil. 668, ukiulizwa leo yale malori Mbowe alikuwa anayafanyia nini toka upya wake utajibu kitu gani maana si magari ya kawaida kwamba utabebea mchanga ni special kwa mikutano, au ni riba kiasi gani Mbowe anakidai chama. Kama ni mtu mwenye busara kuna vitu vingine unahitaji kujiuliza kwanza kabla ya kuanzisha thread vinginevyo thread itakuwa kama za kina mlengo wa kati tuanze kujibizana yes na no zisizokwisha, nashukuru mods wameihamisha kukupunguzia aibu.

nadhan hii ndo ilikuwa hoja ya kwanza ambayo imewapa nafas wana Cdm kutoa na kuonyesha uwezo wenu wa fikra finyu ambazo kwa ujumla zimejikita kumdharirisha Nape,kama mngekuwa na uelewa nadhan mngezungumzia kazi yake kama katibu wa itikad na ueneze,insuch nazid kuamin kuwa uelewa wa siasa kwa wapinzan ni mdogo sana,na mnazid kuwahofisha watanzania wenye busara juu ya ombi lenu la kutaka kuiongoza nchi, bado sana nasisitiza CDM Bado,let we discuss about issues not personal.CCM OYEEEE

- What facts? nimesema lets talk conflict of interest kwanza and then tutaongea ufisadi, Mwenyekiti kukiuzia chama chake malori yake machakavu unasema hakuna tatizo hapo?

FMEs!
Kwamba taratibu hazikufuatwa nk.Ninavyosikia toka kwa wana JF wengine ni kwamba malori hayo tayari yalikuwa yakitumika na chadema toka yakiwa mapya.Inawezekana yalikuwa yakikodiwa kama inavyofanyika kwa choppers.Sasa cdm wakinunuwa ile chopper mtasema tena Ndesamburo kawauzia chopper mbovu.Kama malori yalitumika na chama toka yakiwa mapya,na sasa yako kwenye hali ya tofauti,then nani alaumiwe?Nadhani wanachotakiwa ni kuyafanyia service tu since waliyatumia wao.Ndio maana nikawa nauliza, where are the facts?

Akifafanua kuhusu tuhuma za Mbowe kuhusu kuuzia chama magari chakavu, alisema CHADEMA ndiyo iliomba kuuziwa hicho wanachoita “magari
chakavu.” Alisema hayo si magari ya kawaida na hayawezi kufananishwa kwa kiwango chochote na magari ya FUSO yanayotembea mitaani, na kwamba hiyo ni mitambo maalumu ya uenezi wa siasa. Alisema katika magari hayo kuna vipaza sauti vyenye thamani ya dola za Marekani 148,000 sawa na Sh. milioni 222, jenereta tatu zilizonunuliwa kwa Sh. milioni 47 kwa kila gari kwamba yana bodi maalumu yenye uwezo wakubeba watu wasiopungua 12. Pia alisema magari hayo kila moja lina uwezo wa kubeba mapipa ya mafuta ya helikopta, jukwaa la kuhutubia na vifaa vya matangazo ambavyo vyote vimejengwa kwa Sh.milioni 48.4. Alisema Mbowe aliombwa, na kamati kuu iliunda kamati ya watu wanne chini ya Makamu Mwenyekiti Zanzibar, Mohammed Issa kumwomba akiachie chama mitambo hiyo baada ya majadiliano marefu. Wajumbe wengine wa Kamati hiyo, waliobariki kuwa ni Mabere Marando, Mkurugenzi wa Rasilimali, Suzan Lyimo (MB) na Anthony Komu, Mkurugenzi wa Fedha na Utawala. Aidha Komu alisema dai la CHADEMA kwamba inanunua magari chakavu si jipya kwao, kwani inao uwezo mdogo wakifedha na kwamba imezoea kununua magari chakavu siku zote Japani na Uarabuni.
“Kwanza magari yanayozungumziwa chakavu yamenunuliwa nje na kuanzia kazi CHADEMA mpaka leo,na hayajawahi kutumiwa na Mbowe,”

Source: Tanzania Daima.

Kama una ukweli mwingine tofauti na huu tuambie tuujadili.

FMES

Umenisikitisha sana sikutegemea wewe kuanza kuingia kwenye malumbano yasiyo na tija wala datas, how sure are you kwamba malori na vipaza sauti ni mil. 668, ukiulizwa leo yale malori Mbowe alikuwa anayafanyia nini toka upya wake utajibu kitu gani maana si magari ya kawaida kwamba utabebea mchanga ni special kwa mikutano, au ni riba kiasi gani Mbowe anakidai chama. Kama ni mtu mwenye busara kuna vitu vingine unahitaji kujiuliza kwanza kabla ya kuanzisha thread vinginevyo thread itakuwa kama za kina mlengo wa kati tuanze kujibizana yes na no zisizokwisha, nashukuru mods wameihamisha kukupunguzia aibu.

- Well, ukweli hauwezwi kuzimwa na kuhamisha thread ndio maana sijalalamika wala kugusa hilo kwa sababu ninajua ningekua ninaishambulia CCM isingehamishwa, lakini ukweli huongelewa popote pale, ninasema hivi Mwenyekiti wa Chadema amewauzia malori machakavu chama chake ambacho kamati zote za kupitisha uamuzi wa chama yeye ndiye kinara wake, hii ni FACTS sio opinion!

- Unataka niwe sure vipi tena wakati Chadema wenyewe wamekubali kwamba ni ukweli na ksingizio cha kwamba yametumika na Chadema toka yakiwa mapya, sasa unataka niwe na fact gani tena? Ninapoishambulia CCM vipi mbona hujawahi kulilia facts, mkuu sisi hatuna siasa za huruma, wakikosea CCM tunawapa fimbo so is Chadema, kwenye hili la kuuziana malori machakavu na Mwenyekiti wao wameharibu, sana kisiasa kwa sababu swali ni je wakipewa taifa watatuuzia nini taifa?

- Kwani tatizo la Dowans na Richimond ni nini mkuu wangu si nia ni kuuziana mali chakavu kati ya viongozi na wananchi, sasa nilipokuwa ninaleta dataza za Ridhimond hapa mbona hukulia kwamba sina facts? Acheni hizi, mkikosea kubalini kuliko kujifanya mnajua sana na kuishia kuifanya ishu isondoke, wanaoshambuliwa na Slaa bila facts umeona wanavyonyamaza halafu uongo wake unajifia wenyewe, kama mnaamini this is a none ishu nyamazeni basi ijifie yenyewe! Lakini mkianza kujibu na kuanza kuwashambulia messengers mnakua kama CCM ya kutafuta nani mmiliki badala ya kujibu hoja, kwenye Chadema wamechemsha na ani aibu sana kwetu wote tuliokuwa tunawatetea kwamba ni better alternative!

FMEs!

Nimeona mkuu,duh!Kwa makeke yake nilidhani labda atakuwa na ka Masters flani hivi!Lakini siyo siri ana kipaji cha kupanga hoja
What is masters katika responsibility, leadership and accountability wangapi ni ma-Dr. na PhD holders ambao wakipewa hata kibanda cha simu watashindwa kukiendeleza.

Akifafanua kuhusu tuhuma za Mbowe kuhusu kuuzia chama magari chakavu, alisema CHADEMA ndiyo iliomba kuuziwa hicho wanachoita "magari
chakavu." Alisema hayo si magari ya kawaida na hayawezi kufananishwa kwa kiwango chochote na magari ya FUSO yanayotembea mitaani, na kwamba hiyo ni mitambo maalumu ya uenezi wa siasa. Alisema katika magari hayo kuna vipaza sauti vyenye thamani ya dola za Marekani 148,000 sawa na Sh. milioni 222, jenereta tatu zilizonunuliwa kwa Sh. milioni 47 kwa kila gari kwamba yana bodi maalumu yenye uwezo wakubeba watu wasiopungua 12. Pia alisema magari hayo kila moja lina uwezo wa kubeba mapipa ya mafuta ya helikopta, jukwaa la kuhutubia na vifaa vya matangazo ambavyo vyote vimejengwa kwa Sh.milioni 48.4. Alisema Mbowe aliombwa, na kamati kuu iliunda kamati ya watu wanne chini ya Makamu Mwenyekiti Zanzibar, Mohammed Issa kumwomba akiachie chama mitambo hiyo baada ya majadiliano marefu. Wajumbe wengine wa Kamati hiyo, waliobariki kuwa ni Mabere Marando, Mkurugenzi wa Rasilimali, Suzan Lyimo (MB) na Anthony Komu, Mkurugenzi wa Fedha na Utawala. Aidha Komu alisema dai la CHADEMA kwamba inanunua magari chakavu si jipya kwao, kwani inao uwezo mdogo wakifedha na kwamba imezoea kununua magari chakavu siku zote Japani na Uarabuni.
"Kwanza magari yanayozungumziwa chakavu yamenunuliwa nje na kuanzia kazi CHADEMA mpaka leo,na hayajawahi kutumiwa na Mbowe,"

Source: Tanzania Daima.

Kama una ukweli mwingine tofauti na huu tuambie tuujadili.

- Kuyanunua Dubai sio sawa na kuyanunua toka kwa Mwenyekiti!, halafu hela za Chadema zinasimamiwa na Komu kwenye kununua malori toka Mbowe! ha! ha! ha! ha! Chadema bwana kaaazi kweli kweli!

FMEs!

- Kuyanunua Dubai sio sawa na kuyanunua toka kwa Mwenyekiti!, halafu hela za Chadema zinasimamiwa na Komu kwenye kununua malori toka Mbowe! ha! ha! ha! ha! Chadema bwana kaaazi kweli kweli!

FMEs!

Naona you have nothing else to say.

- Ha! ha! you are very right sijawahi kuwauzia CDM anything, lakini siwezi kuwauzia Malori machakavu kwa Shillingi Millioni 468, halafu vipaza sauti vichakavu kwa Shillingi Millioni 222, I mean please, talking about majungu! ha! ha! ha! sina hamu na chama cha ukombozi wa wanyonge!

FMEs!
Enyi mnaobwabwaja bila kufikiria kwa ubongo mnategemea chama kama CDM kitajiendesha vipi hasa kupata pesa za kampeni bila kutegemea viongozi wake wenye uwezo kama Mbowe. Mnafikiria unaweza kupambana na mafisadi wenzenu bila watu kama Ndesa? CDM mpaka hapo walikuwa na uwezo gani kugharamia kampeni bila kutegemea watu hao na kama Mbowe alinunua vifaa hivo kwa ajili ya kampeni vipi kumlaumu mtu aliyekisaidia chama chake kukampen? CDM walikuwa na pesa za kukodi mitambo kama hiyo hata kununua? Mnahoji kwanini wasingetenda walikuwa na uwezo kulipa? Mnajua gharama ya helkopta? Kama c ndesa wangekuwa na hiyo helkopta kuwasaidia kwenye kampain?
Chama kinapoanza kama CDM lazima kinakuwa na wafadhili na ndio kina Mbowe, Ndesa na matajiri kama Sabodo wachache wasioogopa vurugu za mafisadi.
Kuendesha chama kama CDM hasa kwenye kampeni lazima kuna watu wa kujitolea wanaoumia ila chama kifanye kampeni. Hapo ndipo ujue kina Mbowe wanaumia na wala si faida kama mnavodhani. ukiachiwa wewe na hizo roho mbaya zako hata ungekuwa kama na uwezo wa kifedha chama kinakufa manake unategemea faida kwenye chama bada ya kuitumikia na kuitolea chama.
Kinachonifurahisha ni kuwa CDM wanatoa ufafanuzi. Cha muhimu kama hukubaliani na hizo hesabu ni kutoa facts tujue ukweli uko wapi. Siyo kutuhumu tu kwa roho mbaya zako, hisia na chuki za kisiasa.

- Well, ukweli hauwezwi kuzimwa na kuhamisha thread ndio maana sijalalamika wala kugusa hilo kwa sababu ninajua ningekua ninaishambulia CCM isingehamishwa, lakini ukweli huongelewa popote pale, ninasema hivi Mwenyekiti wa Chadema amewauzia malori machakavu chama chake ambacho kamati zote za kupitisha uamuzi wa chama yeye ndiye kinara wake, hii ni FACTS sio opinion!

FMEs!
Kwenye red si kweli wamehamisha kwa sababu topic inajirudia na imeshajadiliwa siku nyingi na kutolewa maelezo. Umeshaambiwa Chadema waliweka kila kitu wazi na ni Kamati kuu ndiyo iliyoomba kuuziwa so unataka Mbowe akatae kuiuzia Chadema akaiuzie CUF kwa kuogopa conflict of interest hata mimi ningemuona Mbowe mjinga kwani leo kule Songea wangeanza kwenda tena CUF kuazima mitambo ili wakafanyie mikutano yao, i think this does not need common sense either.

Enyi mnaobwabwaja bila kufikiria kwa ubongo mnategemea chama kama CDM kitajiendesha vipi hasa kupata pesa za kampeni bila kutegemea viongozi wake wenye uwezo kama Mbowe. Mnafikiria unaweza kupambana na mafisadi wenzenu bila watu kama Ndesa? CDM mpaka hapo walikuwa na uwezo gani kugharamia kampeni bila kutegemea watu hao na kama Mbowe alinunua vifaa hivo kwa ajili ya kampeni vipi kumlaumu mtu aliyekisaidia chama chake kukampen? CDM walikuwa na pesa za kukodi mitambo kama hiyo hata kununua? Mnahoji kwanini wasingetenda walikuwa na uwezo kulipa? Mnajua gharama ya helkopta? Kama c ndesa wangekuwa na hiyo helkopta kuwasaidia kwenye kampain?
Chama kinapoanza kama CDM lazima kinakuwa na wafadhili na ndio kina Mbowe, Ndesa na matajiri kama Sabodo wachache wasioogopa vurugu za mafisadi.
Kuendesha chama kama CDM hasa kwenye kampeni lazima kuna watu wa kujitolea wanaoumia ila chama kifanye kampeni. Hapo ndipo ujue kina Mbowe wanaumia na wala si faida kama mnavodhani. ukiachiwa wewe na hizo roho mbaya zako hata ungekuwa kama na uwezo wa kifedha chama kinakufa manake unategemea faida kwenye chama bada ya kuitumikia na kuitolea chama.
Kinachonifurahisha ni kuwa CDM wanatoa ufafanuzi. Cha muhimu kama hukubaliani na hizo hesabu ni kutoa facts tujue ukweli uko wapi. Siyo kutuhumu tu kwa roho mbaya zako, hisia na chuki za kisiasa.

- Ha! ha! swali ni je wakipewa taifa watatuuzia nini hawa?

FMEs!

Kwenye red si kweli wamehamisha kwa sababu topic inajirudia na imeshajadiliwa siku nyingi na kutolewa maelezo. Umeshaambiwa Chadema waliweka kila kitu wazi na ni Kamati kuu ndiyo iliyoomba kuuziwa so unataka Mbowe akatae kuiuzia Chadema akaiuzie CUF kwa kuogopa conflict of interest hata mimi ningemuona Mbowe mjinga kwani leo kule Songea wangeanza kwenda tena CUF kuazima mitambo ili wakafanyie mikutano yao, i think this does not need common sense either.

- Mkuu maelezo yako ni safi sana, je Mwenyekiti wa kamati kuu ya Chadema iliyoomba kuuziwa hayo malori machakavu ni nani?

FMEs!

Tuweekeeni hao kamati kuu ya cdm hapa.Pia je ni kweli malori hayo yalitumiwa na chadema toka yakiwa mapya?

- Mkuu maelezo yako ni safi sana, je Mwenyekiti wa kamati kuu ya Chadema iliyoomba kuuziwa hayo malori machakavu ni nani?

FMEs!
Hata kama mwenyekiti ndiye anayewauzia kama taratibu zimefuatwa tatizo liko wapi hivi wakati Mbowe anawasaidia hayo malori kwa kampeni alikuwa si mwenyekiti wa kamati kuu ulikuwa wapi kuhoji kwa nini mwenyekiti anakisaidia chama chake au kulikuwa hakuna conflict of interest enzi hizo. Tena Mbowe na Chadema ni waungwana sana wanaweka mambo wazi siyo CCM wanaoanzisha makampuni ya mafuta na Ngurdoto na Kiwira kwa majina bandia na kujilipa nyuma ya pazia.

We kilaza nani alikuambia CDM wana sera ya kutonunua magari yaliyotumika? Hiyo ni sera ya serikali sio vyama. Point ni kuwa zina ubora na zinalingana na pesa. Naona uko kiushabiki zaidi kuliko kutafuta ukweli wa jambo hili. Hii huwezi kufananisha na richmond make richmond ni ununuzi wa serkali si CDM. Hizi porojo zako za kudakia umbea wa Nape si hoja katafute nyingine. Manake hujaweka data za thamani halisi za hayo magari umekalia umbea tu na hisia. There is no fact period.

- Mkuu kama ni dataz sasa hivi ndio kabisaa ninazo kuliko wakati wowote ule wa maisha yangu huko nyuma, HOWEVER nimeishambulia sana CCM hapa, na ni kawaida yangu kutojali vyama huwa ninajalia sana taifa, lakini haina maana niwe na siasa za huruma na Chadema

FMES

Mkuu FMES sijabisha kuwa huna dataz ila huna uwezo wa kuzimwaga hapa jamvini umeshajifunga mikono siku nyingi sana, kilichobaki na wewe sasa umeanza kucheza ngoma ya kibati kama wao.

- Unsema Mwenyekiti wa chama kukiuzia chama anachokiongoza malori machakavu na viapza sauti vichakavu kwa Shillingi Millioni 668, sio ufisadi wala conflict of interest na kwamba nikiuliza basi maneno mengi kama unanijua vile, kubalini tu wandugu kwamba kwenye hili mmechemsha sana na aibu sana kwa chama cha kutetea wanyonge kufanya mambo kama haya ambayo tumezoea kuyasikia toka CCM.

FMES

Mkuu mimi si CHADEMA ila ni independent, ninavutiwa na chama chochote pale ninapoona kinafanya mambo kwa manufaa ya Tanzania ili iendelee, watanzania hatustahili kuongoza kwa bahati nasibu, tunataka watu wenye vision ya next generation not next election na ushindi wa kishindo kwa vyovyote, hata kama wananchi hawawataki. Tanzania ikiwa na upinzani imara na chaguzi huru na haki, ni dhahiri hakutakuwa na kujisahau kwenye madaraka. Watu watafanya kazi za nchi siyo za maswahiba au kundi fulani.

- wewe deal na hoja!

FMES

Mkuu FMES katika thread yako hakuna hoja, bali kuna vioja tu na hii inakufanya na wewe uingie kwenye kundi la waliokuwa wanaoga mtoni na kutoka mbio kumfuka kichaa aliyewachukulia nguo zao na kukimbia kuelekea kijijini, wao nyuma bila nguo kichaa mbele. There's no way unaweza justify assertion yako kuhusu CHADEMA wakati wao wameisha tolea maelezo kuwa, malori hayo yalinunuliwa yakiwa mapya na kutumiwa na CHADEMA from the beginning. Sasa ukija kwenye suala la economic benefit utaona kuwa beneficiary alikuwa ni CHADEMA from the beginning, na kwa kuwa malori hayo yalikuwa yanatumika basi ni wazi the spread of the cost(annual depreciation) ilitakiwa kuwa reflected in the accounting books of CDM, kama hakuna hilo kwenye vitabu vya CDM lete ushahidi na hapo tutakuwa ukurasa mmoja. Otherwise ni blah blah blah ambazo zinzpaswa kufanywa na watu wa mipasho kina Nape Nnauye

What is masters katika responsibility, leadership and accountability wangapi ni ma-Dr. na PhD holders ambao wakipewa hata kibanda cha simu watashindwa kukiendeleza.

i dont get it mkuu..what are u talking about?who is accountable?halafu-mbona hujamjibu na yule aliyeulizia kuhusu elimu ya Nape?

Kama ni kweli ameharibu....Facts please.Hivi ni nani huyo anayelalamika?Wanachadema mko wapi?Je ni kweli mmeuziwa malori mabovu kinyume na taratibu za chama chenu?Je kulikuwa na conflict of interest?Kulikuwa na alternative nyingine ya kupata malori kwa urahisi,bei poa na yenye hali nzuri?Je mliyouziwa ni mabovu kama wanavyodai kina FMES,Malaria Sugu,Mlengo wa kati na wengineo?Facts pls.

Siyo kwamujibu wa chama, ni kwamujibu wa PPRA....Public Procurement Regulatory Authority. Chadema inatumia ruzuku ambazo ni mali ya wananchi (kodi za wananchi) hakinunui vitu kwa mujibu wa chama au kamati kuu kinatakiwa kifuate ACTS!

What Chadema did is WRONG! Baregu, Kitila Mkumbo , Mnyika na Zito walikuwa against na wazo hili la Mbowe na Slaa!!

Kitu kisichoeleweka hapa ni nini? kinachotetewa hapa ni nini?

Ni kweli magari yalitumika tangu yakiwa mapya ...lakini

1. Mbowe alipaswa kuingia mkataba na chama chake kuhusu hayo magari kuanzia mwanzo ( ab initio), na Chadema hawakupaswa kupokea kitu kipya..bure bila kuandikikishiana kuwa nini kitafanyika
2. Magari hayo ya Mbowe yamenunuliwa kwa pesa yake ya binafsi? je kuna auditing inafanyika kutofautisha mali za chadema, mali binafsi za mbowe, n.k
3. facts kuwa Mbowe ana influence kila steji katika manunuzi ni sawa na kujiuzia, I mean ALIJUA TOKA MWANZO lengo lake ni nini! This kind of biashara is against the rules

Kuna faida nyingi kwa Mbowe kuiuzia chadema magari kwa sasa ,,,,tuache huko

I believe na nimesema mara nyingi mwisho wa DOUBLE STANDARD NI AIBU! TUKISEMA TUNAKATAA UFISADI NI ULIO CCM NA ULIO CHADEMA NA KWINGINEKO KOTE! TUKISEMA maamuzi ya base zaidi upenzi wetu ndio aibu hizi zinwakumba wengi humu ambao mke mbele kuisema CCM ili hali kwenu hakujakaa sawa

Leo hii mkuu wangu bila woga unaandika sentensi hiyo hapo juu....kana kwamba haujui sakata zima, kweli unataka kusema akina baregu wajinga mpaka waishauri

SO IS NOT KAMATI KUU WAMEAMUA NINI , BALI SHERIA YA MANUNUZI INASEMA NINI...........where problems starts

Back
Top Bottom