Nape ajibu makombora ya Marando

Nape ajibu makombora ya Marando

Hakuna conflict of interest hapo kweli?Aliyepanga bei ya hayo malori chakavu ya Mbowe kwa Chadema ni nani?
I think conflict of interest matters more when someone tries to use his position to get some advantage, but if it's a win win situation, I see nothing wrong.

Sijui nani anapanga bei lakini bei za vitu zinafahamika kwa sababu naamini aliviingiza kihalali so ni rahisi ku-calculate the appropriate price. Once again, kama kuna mtu ana info nyingine aje tujadili.
 
Jambo hili limeleta aibu kwa chadema na inaonesha jinsi mbowe ananvyoichukulia chadema kama kampuni binafsi!
 
- I know kama Mwenyekiti kukiuzia chama chake cha siasa vipaza sauti vilivtoyumika kwa Shillingi Millioni 222, kwa kweli Nape yuko very illogical ku-raise hizi ishus!

FMEs!

aisee kama ni kweli basi hawa watu hawafai kabisaa.yaani they dont practice what they preach to the public
 
Kama ni kweli ameharibu....Facts please.Hivi ni nani huyo anayelalamika?Wanachadema mko wapi?Je ni kweli mmeuziwa malori mabovu kinyume na taratibu za chama chenu?Je kulikuwa na conflict of interest?Kulikuwa na alternative nyingine ya kupata malori kwa urahisi,bei poa na yenye hali nzuri?Je mliyouziwa ni mabovu kama wanavyodai kina FMES,Malaria Sugu,Mlengo wa kati na wengineo?Facts pls.
 
Je ni mabovu?Bei yake ilikuwa ni fair?Utaratibu ulifuatwa?Je ni kinyume cha taratibu za chama?Je kulikuwepo na alternative lakini wakalazimishia Malori ya mwenyekiti?Hizo ndo data ninazozisubiria.Inawezekana mwenyekiti wa cdm na uongozi kwa ujumla umefanya kosa.Siwezi kujudge hadi hapo mtakapoweka more facts.EPA,RICHMOND nk, facts ziliwekwa hapa.I would expect the same in this matter.

- Baba vipi Conflict of interest au Chadema haiwagusi inamgusa Mwakyembe tu na Umeme, unakumbuka ile ishu, kamati za Chadema zilizoamua kununua hayo malori ziko chini ya Uenyekiti wa nani baba? Yaani bado tu mnajaribu kutuuzia mbuzi kwenye gunia kama mnavyofanya huko Chadema? Data zipi tena unazotaka hebu ongea conflict of interest nini maana yake na hii ishu halafu ndio tutaongelea ufisadi wake!

- Wa-Tanzania sio mabwege tena, tumeukataa ufisadi wa CCM na pia wa Chadema hatuutaki, wote ni ufisadi period ingawa unazidiana kwa kiasi tu, lakini nia ni ile ile wizi wa kodi za wananchi wanyonge kwa kutumia kalamu, power, influence na urafiki in the high places!

FMEs!
 
Crisp Roasted Pig's Head
1 Pig's head, cleaned and
-tongue removed
1 ts 5-spice powder
2 tb Salt
1/2 c Mien see (ground brown bean
-sauce)
Or
1/2 c Oyster sauce
1/4 c Bourbon
1 c Honey, combined with
1 c Boiling water

Remove any hair on head by singeing over and open flame or plucking. Scrub well (using a vegetable brush, if desired) and then sprinkle with salt, rubbing it into the skin. Rinse well with cool water; pat dry. Remove any excess fat.

Place head in a colander in the sink and pour a kettleful of boiling water over. Let cool.

Combine the 5-spice powder, salt, bean sauce and bourbon. Slash the meat on underside of head and rub half of the spice mixture into the meat. Rub the remaining spice mixture onto the skin. Place head upright on a rack in a large baking pan. Bake at 375 degrees for 1-1/2 hours. Lower heat to 325 degrees and continue cooking for an additional 2 hours, or until the meat is cooked through, basting the skin well every 30 minutes with the honey-water mixture. (Cooking time will depend on the size of the head.) If ears begin to brown too quickly during cooking period, wrap them with foil.

When head is done, remove to platter and garnish with water- cress or coriander. Chop head into pieces and serve with sweet vegetable relish or plum sauce.

[I'd definitely serve with spiced salt and Chinese mustard and minced green onions for dipping too.]

From "Innards and Other Variety Meats". Jana Allen and Margret Gin. 101 Productions. San Francisco, 1974.

Collected by Bert Christensen
Toronto, Ontario
 
Wakuu heshima mbele:-

- Ni takribani mwezi mmoja tu sasa toka Nape ashike nafasi ya mzungumzaji wa CCM, na kuanza kucheza ngoma ya siku nyingi sana ya DR.Slaa, ya mashambulizi bila ushahidi lakini CCM walipouliza akawaambia waende kwenye sheria atautoa huko, ghafla Wa-Tanzania tunajionea maajabu ya Musa, je ina maana Zitto na Marehemu Wangwe walikuwa wananyamazishwa wasiseme ukweli unaojitokeza sasa mchana kweupee?

- I mean Mwenyekiti kukiuzia chama cha siasa anachokiongoza, malori machakavu it is a serious political charge, can you imagine Obama leo awauzie Democrast malori machakavu, au DR. Kikwete awauzie CCM malori yake machakavu, hivi hili taifa tumelogwa na nani hasa?

FMEs! - Ni Wazee Wa Sauti Ya Umeme!
upuuzi wako usimuweke humo marehemu chacha wangwe wewe unataka amuuzie nani? au unataka ayatoe bure? tuambie wewe umewahi kuchangia nini kwenye cdm sio kuropoka tu na kunukuu watu uongo haya magari yamekuja yakiwa mapya yametumika kwenye shughuli za chama mpaka hapo yalipo sasa wewe unataka yaende wapi? haya majungu peleka kwenye chama chenu cha magamba.
 
stock-photo-roast-pig-s-head-700603.jpg

Topic za kurudia rudia mambo kama hizi ni za kuwapa wanyama kama hawa mle
 
FMES,since wengine hatuna vyama humu,basi ni vyema ukatuwekea data hapa ili tuweze kujadili accordingly.Siwezi kukubaliana na upande wowote bila facts kwasababu siongozwi na hisia zinazotokana na ushabiki,mapenzi ama uwanachama wa chama cha kisiasa pale inapokuja kwenye issue kama hizi.

Mkuu jmushi, FMES alikuwa anajulikana hapa JF kama mzee wa dataz, jamaa alikuwa na access ya information nyingi sana hasa kutoka ndani ya CCM kabla ya mwanzo mwa mwaka 2010, tatizo ni kuwa alikuwa na nia ya kugombea na kuamua kujianika na watu waka-connect dots kama ilivyofanyika kwa tarishi wa OBL na mwisho wa siku wakagundua kuwa yupo Abbottabad. Tokea hapo amekuwa hana kitu cha maana tena zaidi ya kutetea watu wake wa karibu wanapokuwa attacked. Kwa kuanzisha thread kama hii ni wazi kuwa he's nothing kwa upande wa dataz za" wazee wa sauti za umeme" na usitarajie kitu chochote chenye maana kwa upande wa dataz ni Blah blah blah. Sikuwahi kuwaza kuwaza hata siku moja kuwa FMES anaweza anzisha thread iliyo hewani na ya ki-malaria sugu namna hii.
Nafikiri tunahitaji kuongelea mambo yenye manufaa kwa Taifa badala ya hizi blah blah blah za Ki-Tambwe Hiza. Kawaida unatuhumu mtu, anakupatia facts then unaangalia kama ni za kweli unakubaliana nazo kama hukubaliani nazo peleka mahakamani. Wahasibu kuna kitu wanaita support document kama hizi zipo, basi tungelee hali ngumu ya maisha, uchumi mmbovu, wizi wa mali za umma unaofanywa na waliokabidhiwa kuzitunza, CCM (waliomadarakani).
 
I think conflict of interest matters more when someone tries to use his position to get some advantage, but if it's a win win situation, I see nothing wrong.

Sijui nani anapanga bei lakini bei za vitu zinafahamika kwa sababu naamini aliviingiza kihalali so ni rahisi ku-calculate the appropriate price. Once again, kama kuna mtu ana info nyingine aje tujadili.

huoni hapo kuwa Mbowe kwa kutumia nafasi yake ya uenyekiti wa chama inawezekana in one way or another ali infuence vikao vya maamuzi(vilikuwepo?),ili chadema iyanunue malori yake chakavu hata kama kulikuwa na options nyingine?
 
upuuzi wako usimuweke humo marehemu chacha wangwe wewe unataka amuuzie nani? au unataka ayatoe bure? tuambie wewe umewahi kuchangia nini kwenye cdm sio kuropoka tu na kunukuu watu uongo haya magari yamekuja yakiwa mapya yametumika kwenye shughuli za chama mpaka hapo yalipo sasa wewe unataka yaende wapi? haya majungu peleka kwenye chama chenu cha magamba.

- Ha! ha! you are very right sijawahi kuwauzia CDM anything, lakini siwezi kuwauzia Malori machakavu kwa Shillingi Millioni 468, halafu vipaza sauti vichakavu kwa Shillingi Millioni 222, I mean please, talking about majungu! ha! ha! ha! sina hamu na chama cha ukombozi wa wanyonge!

FMEs!
 
Wakuu heshima mbele:-

- Ni takribani mwezi mmoja tu sasa toka Nape ashike nafasi ya mzungumzaji wa CCM, na kuanza kucheza ngoma ya siku nyingi sana ya DR.Slaa, ya mashambulizi bila ushahidi lakini CCM walipouliza akawaambia waende kwenye sheria atautoa huko, ghafla Wa-Tanzania tunajionea maajabu ya Musa, je ina maana Zitto na Marehemu Wangwe walikuwa wananyamazishwa wasiseme ukweli unaojitokeza sasa mchana kweupee?

- I mean Mwenyekiti kukiuzia chama cha siasa anachokiongoza, malori machakavu it is a serious political charge, can you imagine Obama leo awauzie Democrast malori machakavu, au DR. Kikwete awauzie CCM malori yake machakavu, hivi hili taifa tumelogwa na nani hasa?

FMEs! - Ni Wazee Wa Sauti Ya Umeme!
Kuna mwanaJF alisema inawezekana leo mtu ameingilia username yako au umemwachia mtoto atumie account yako sasa naanza kuamini maana si yule FMEs tunayemjua kwa kuwa topic unazozileta leo hazina tofauti na kina MS, nevertheless hapo mwanzo ulisema ya Nape na CCM hayatuhusu kwanza taifa nafikiri hata ya malori hayakuhusu au haya malori mawili kwako ndiyo maana ya taifa kwanza, ninawasiwasi unaana kupoteza direction.
quote_icon.png
Originally Posted by Field Marshall ES
- Ya Nape na CCM hayakuhusu, wala hayatuhusu hapa kinachotuhusu ni taifa kwanza!, otherwsie sio wote hapa ni bendera fuata upepo wa Chadema!

FMEs!
 
unasema kweli lakini?kwahiyo Mbowe elimu yake ni ipi hasa?

Parliament of Tanzania <--- gonga hapo

Hajaweka kitu, nafikiri alipomaliza form four baba mkwe wake Edwin Mtei alipokuwa gavana wa bot alimwezesha kufanya kazi bot.

Na baada ya Mkwe kuanzisha CHADEMA alimwachia pia kuwa mwenyekiti.Hata hivyo alijaribu kusoma uk aka disco.
Angalia link ya bunge hapo juu kuna cv yake ya kimaajabu majabu
 
Mkuu jmushi, FMES alikuwa anajulikana hapa JF kama mzee wa dataz, jamaa alikuwa na access ya information nyingi sana hasa kutoka ndani ya CCM kabla ya mwanzo mwa mwaka 2010, tatizo ni kuwa alikuwa na nia ya kugombea na kuamua kujianika na watu waka-connect dots kama ilivyofanyika kwa tarishi wa OBL na mwisho wa siku wakagundua kuwa yupo Abbottabad. Tokea hapo amekuwa hana kitu cha maana tena zaidi ya kutetea watu wake wa karibu wanapokuwa attacked. Kwa kuanzisha thread kama hii ni wazi kuwa he's nothing kwa upande wa dataz za" wazee wa sauti za umeme" na usitarajie kitu chochote chenye maana kwa upande wa dataz ni Blah blah blah. Sikuwahi kuwaza kuwaza hata siku moja kuwa FMES anaweza anzisha thread iliyo hewani na ya ki-malaria sugu namna hii.
Nafikiri tunahitaji kuongelea mambo yenye manufaa kwa Taifa badala ya hizi blah blah blah za Ki-Tambwe Hiza. Kawaida unatuhumu mtu, anakupatia facts then unaangalia kama ni za kweli unakubaliana nazo kama hukubaliani nazo peleka mahakamani. Wahasibu kuna kitu wanaita support document kama hizi zipo, basi tungelee hali ngumu ya maisha, uchumi mmbovu, wizi wa mali za umma unaofanywa na waliokabidhiwa kuzitunza, CCM (waliomadarakani).

- Mkuu kama ni dataz sasa hivi ndio kabisaa ninazo kuliko wakati wowote ule wa maisha yangu huko nyuma, HOWEVER nimeishambulia sana CCM hapa, na ni kawaida yangu kutojali vyama huwa ninajalia sana taifa, lakini haina maana niwe na siasa za huruma na Chadema, ninawakubali sana Chadema lakini kwenye hili la Mwenyekiti na malori machakavu wamechemsha na ni lazima kuwaambia kwa maneno wanayoyajua sana, tulimshambulia sana Mwakyembe hapa kuhusu conflict of interest na umeme, sasa kwa nini unaamini Mbowe ni toafuti na conflict of interest?

- Unsema Mwenyekiti wa chama kukiuzia chama anachokiongoza malori machakavu na viapza sauti vichakavu kwa Shillingi Millioni 668, sio ufisadi wala conflict of interest na kwamba nikiuliza basi maneno mengi kama unanijua vile, kubalini tu wandugu kwamba kwenye hili mmechemsha sana na aibu sana kwa chama cha kutetea wanyonge kufanya mambo kama haya ambayo tumezoea kuyasikia toka CCM.

- Mimi sigombei anything na wala sio the subject, wewe jibu hoja achana mimi the messenger! wewe deal na hoja!

FMES
!
 
Parliament of Tanzania <--- gonga hapo

Hajaweka kitu, nafikiri alipomaliza form four baba mkwe wake Edwin Mtei alipokuwa gavana wa bot alimwezesha kufanya kazi bot.

Na baada ya Mkwe kuanzisha CHADEMA alimwachia pia kuwa mwenyekiti.Hata hivyo alijaribu kusoma uk aka disco.
Angalia link ya bunge hapo juu kuna cv yake ya kimaajabu majabu

Nimeona mkuu,duh!Kwa makeke yake nilidhani labda atakuwa na ka Masters flani hivi!Lakini siyo siri ana kipaji cha kupanga hoja
 
Kuna mwanaJF alisema inawezekana leo mtu ameingilia username yako au umemwachia mtoto atumie account yako sasa naanza kuamini maana si yule FMEs tunayemjua kwa kuwa topic unazozileta leo hazina tofauti na kina MS, nevertheless hapo mwanzo ulisema ya Nape na CCM hayatuhusu kwanza taifa nafikiri hata ya malori hayakuhusu au haya malori mawili kwako ndiyo maana ya taifa kwanza, ninawasiwasi unaana kupoteza direction.

- Tatizo ni nia mkuu, hawa wakipewa taifa watatuuzia nini?

Es!
 
- Baba vipi Conflict of interest au Chadema haiwagusi inamgusa Mwakyembe tu na Umeme, unakumbuka ile ishu, kamati za Chadema zilizoamua kununua hayo malori ziko chini ya Uenyekiti wa nani baba? Yaani bado tu mnajaribu kutuuzia mbuzi kwenye gunia kama mnavyofanya huko Chadema? Data zipi tena unazotaka hebu ongea conflict of interest nini maana yake na hii ishu halafu ndio tutaongelea ufisadi wake!

- Wa-Tanzania sio mabwege tena, tumeukataa ufisadi wa CCM na pia wa Chadema hatuutaki, wote ni ufisadi period ingawa unazidiana kwa kiasi tu, lakini nia ni ile ile wizi wa kodi za wananchi wanyonge kwa kutumia kalamu, power, influence na urafiki in the high places!

FMEs!
FMES i respect you and i am expecting the same from you.Tfadhali usiniite chadema na kudai eti "Mnayofanya huko chadema"It is crap!Sina chama.Kama wewe unapriveledge ya kuwa ccm,basi si kila mtu mwenye hiyo priveledge.Issue ya conflict of interest nimeigusia mimi.Simtetei mtu wala chama.Niliomba facts.
 
Back
Top Bottom