Nape ajibu makombora ya Marando

Nape ajibu makombora ya Marando

Nape kwenye masuala ya usafi wa familia hatakiwi kuonge chochote......pamoja na kuwa kiongozi muandamizi..na afisa mwandamizi jeshini na mwishoni akamalizia kama mshauri wa rais siasa.. Mzee wake Moses Nnauye...alikuwa akiishi "mitaani"....hakuwa na nyumba ya kuishi....alikuwa akikaa peke yake kwenye apartments alizokodishiwa na Ikulu...wakati anaugua ..ilibidi ahamie kwa makamba alipougulia hadi mauti.....na hata jukumu la msiba alilibeba makamba........

Nape alipewa kazi CCM kama huruma kwa mzee wake ...kwani kati ya watoto wa mzee Nnauye ...ndie pekee aliyeonekana kusoma kidogo,,,,inabidi awashukuru kina mzee mkapa na malecela waliomshauri aache kugombana na akina Nchimbi ..wakampeleka Kivukoni Akapata Diploma ...wakamsogeza pale ccm makao makuu kitengo cha mambo ya nje ...alipokosana tena na akina Nchimbi ..mkapa na malecela wakamshauri na kumtafutia chuo India akafanya degree ya sanaa.......awashukuru sana!!

Pamoja na hayo yote ndugu zake Nape na mama zake [wake wa mzee wake] ...sijui ni wivu au nini walikuwa ...wanamtuhumu Nape kuwa hakuwa mtoto wa mzee Nnauye...hata hivyo hili ikaja kuonekana ni chuki tu za ndugu yake juu yake hasa kutokana na ndugu zake wengi kuwa majalala na kukataa shule au kutosoma!!

Ni muhimu sana Nape akaacha kuongelea masuala ya uadilifu wa kifamilia ..kwani yeye familia ni zero....apige siasa!!
 
True,ni mvuta bange kama wewe na wafuasi wa chadema!ila yeye hakuwa mzinifu kama padri flan hv

You see!? I said it right, you'd argue to anything as long as it pleases your masters.
ANYWAY, CAN'T ARGUE WITH A BASTARD, PEOPLE MIGHT NOT NOTICE THE DIFFERENCE.
 
Nape amemuumbua Sana na Dr Slaa hasa juu ya suala la Mshahara! Naona kamati kuu ya Chadema haikua makini juu ya uamuzi huu! Slaa kwa upande mwingine amejitia aibu mwenyewe kwa kula alicho tapika!
 
Maneno kama "Chadema walizoea kuionea CCM kwa sababu hakukuwa na mtu makini anayejua kujibu hoja" sizani kama yamelenga kubomoa CHADEMA bali kuzidisha uhasama ndani ya CCM.
Nape anataka tujue kwamba kabla yake wengine wote hawakuwa makini akiwemo MWENYEKITI.

Anafanya kazi nzuri ya kuikomboa nchi kwa kuiangamiza CCM; Goooo Nape wa Mnauye Goooo sisi vijana hatuogopi mafisadi sema! Asipo iua mapema waka mwahi amekwisha teh!
 
pole sana nape kwa kumbia shule ukadandia jeneza la ccm. Unafanya kazi bure . Bisy doing nothing.
 
Jamani,

Huyu bwana mdogo naona amekuja na staili inayoweza kumwingiza kwenye kundi moja la wazee wa taarabu tuliowazoea la mzee Yusufu Makamba na Tambwe Hiza.

Katika siku za hivi karibuni nimeona kasi ya Nnape ya kuropoka na kubwabwaja kama kasuku imeongezeka kiasi cha kutilia shaka uwezo wake katika kukiletea mabadiliko chama chake kilichompatia dhamana ya uongozi.

Sasa ameibuka na kauli yake kwamba Dr. Slaa ni fisadi! Yeye anadhani watanzania ni watoto wanaoweza kudanganywa na kauli nyepesi nyepesi hivyo!!!

Sasa nimeanza kuamini maneno ya watu waliobeza slogan ya kujivua gamba kwamba nyoka akijivua gamba anabaki kuwa nyoka. Na ndivyo ilivyo kwa CCM.

Mwanzoni, nilidhani sasa tutaanza kusikia kauli zenye mashiko kutoka kwa huo uongozi mpya wa ccm ulioingia baada ya kile kilichoitwa kujivua gamba. Nilijua nyimbo za taarabu zitakuwa zimeisha.

Kumbe wapi, kilichobadilika ni wanamuziki tu, hivi ni kweli ccm imeishiwa watu wa maana wanaoweza kuongoza chama professionally?

Mtenda akitendewa ndo huwa hivi. Yaani tumekuwa tukisikia kelele kila mahali. Huku Slaa, kule Zitto, mara Lema, Lissu na wengine wengi lakini hatukusikia malalamiko. Sasa wamekutana na kiboko yao wanaaza kuweweseka. Kaza kamba NAPE mpaka watie akili hao mawakala wa mafisadi wanaojifanya wapiganaji wa ufisadi.
 
Nape ni mpambanaji haswa, CDM mlizoea kumnyanyasa wagosi wa kaya "Makamba na Tambwe hiza" hizi ni zama za kujibu mapigo.

Mapigo ya Nape ni makali kiasi ambacho CDM wameona majibu kutoa Slaa na Mbowe hayatoshi.

Hivyo Komu, Marandu na safari nao wakaingia uwanjani kumjibu Nape. CCM tupo mkao wa kula, upele umepata mkunaji, dawa ya makombora ya CDM imepatikana!!

nape jembe bana asikwambie mtu kitu...walipokuwepo akina makamba ccm ilikuwa inashambuliwa na chadema left, right n centre...sasa ngoma draw...ila nawaonea huruma wananchi ndio wanaoathirika kwa malumbano yasiyokuwa na hoja...maendeleo ni ndoto kwa tanzania...
 
Jamani naomba mwenye kujua kiwango cha elimu ya nape atuwekee humu jamvini maana sidhani kama mtu mwenye at least form four pass anaweza akaongea ujinga kama huo professor safari muongeze kwenye orodha ya mafisadi wa elimu tanzania

- Hivi kweli mkuu tukianza kuuliza elimu za viongozi wetu wote wa pande mbili si itakuwa aibu!, hoja hujibiwa kwa hoja!

FMEs!
 
Nape kwenye masuala ya usafi wa familia hatakiwi kuonge chochote......pamoja na kuwa kiongozi muandamizi..na afisa mwandamizi jeshini na mwishoni akamalizia kama mshauri wa rais siasa.. Mzee wake Moses Nnauye...alikuwa akiishi "mitaani"....hakuwa na nyumba ya kuishi....alikuwa akikaa peke yake kwenye apartments alizokodishiwa na Ikulu...wakati anaugua ..ilibidi ahamie kwa makamba alipougulia hadi mauti.....na hata jukumu la msiba alilibeba makamba........

Nape alipewa kazi CCM kama huruma kwa mzee wake ...kwani kati ya watoto wa mzee Nnauye ...ndie pekee aliyeonekana kusoma kidogo,,,,inabidi awashukuru kina mzee mkapa na malecela waliomshauri aache kugombana na akina Nchimbi ..wakampeleka Kivukoni Akapata Diploma ...wakamsogeza pale ccm makao makuu kitengo cha mambo ya nje ...alipokosana tena na akina Nchimbi ..mkapa na malecela wakamshauri na kumtafutia chuo India akafanya degree ya sanaa.......awashukuru sana!!

Pamoja na hayo yote ndugu zake Nape na mama zake [wake wa mzee wake] ...sijui ni wivu au nini walikuwa ...wanamtuhumu Nape kuwa hakuwa mtoto wa mzee Nnauye...hata hivyo hili ikaja kuonekana ni chuki tu za ndugu yake juu yake hasa kutokana na ndugu zake wengi kuwa majalala na kukataa shule au kutosoma!!

Ni muhimu sana Nape akaacha kuongelea masuala ya uadilifu wa kifamilia ..kwani yeye familia ni zero....apige siasa!!

Mkuu Phil umenigusa na mtiririko makini. Dogo anadai CCM haikua na watu makini...hii ni kumdhalilisha mzee Makamba. Ni muhimu amuheshimu mzee wetu hata kama amekosea. Halafu hizi ELIMU za kuunga unga mbaya sana! Sijui na sidhani kama Nape ni intelligent!, zaidi ya kutumia jina la baba sidhani kama ana mpya. Yaani ni kama Tambwe Hizza.
Safi sana wana JF mshaurini dogo asituharibie chama!
 
FMEs,
Mkuu nakubaliana nawe kua elimu sio kigezo na hata wao na DJ wao wala hatusemi. Ila tukubali dogo Nape anatakiwa apewe CHUJIO! Anafanya kazi nzuri ila anatakiwa kujua ya kusema wapi, muda gani na kwa hadhira gani!! Hilo tu, mengine tupo pamoja
 
Mkuu Phil umenigusa na mtiririko makini. Dogo anadai CCM haikua na watu makini...hii ni kumdhalilisha mzee Makamba. Ni muhimu amuheshimu mzee wetu hata kama amekosea. Halafu hizi ELIMU za kuunga unga mbaya sana! Sijui na sidhani kama Nape ni intelligent!, zaidi ya kutumia jina la baba sidhani kama ana mpya. Yaani ni kama Tambwe Hizza.
Safi sana wana JF mshaurini dogo asituharibie chama!

- Fairplayer Nape is doing a great job, with in a month tayari the game has changed, sasa kuna balance ya pumba za pande zote mbili which is what is politics is all about, katibu mwenezi wa chama ndiye msemaji wa chama! ya elimu hayahusu maana tukianza kuulizia elimu za viongozi wetu wa pande mbili itakua aibuu, let the politics be politics! CCM taifa hawawezi kumchagua Nape kwa sababu ya baba yake bila kuwa na uwezo, ingekuwa kweli mtoto wa Warioba asingeshindwa U-mayor!

- I mean look all over sudden, JF ya Zitto sasa imekua Nape, and Nape and Nape, mti wenye matunda mazuri ndio hurushiwa mawe sana, Nape is doing a great job maana ndio kazi ya msemaji wa chama cha siasa, kama Bob alivyokuwa msemaji wa Saddam!

FMEs!
 
Nape amemuumbua Sana na Dr Slaa hasa juu ya suala la Mshahara! Naona kamati kuu ya Chadema haikua makini juu ya uamuzi huu! Slaa kwa upande mwingine amejitia aibu mwenyewe kwa kula alicho tapika!

Aliyeumbuliwa nani sasa. Kwa akili za kitoto unaweza kusema kaumbuliwa lakini ikiona mbali utajua tu kuna mtu kakurupuka. Hana upeo wa kuchunguza mambo! wakati wa mkutano mkuu Nape alisemaje kuhusu chadema? Kama hujui alichosema basi kaa kimya!
 
- Hivi kweli does one need a PhD kujua aliyeumbuliwa kwenye hiii sagga? Mbona wingi wa Threads za Nape unajisema wenyewe, au?

FMEs!
 
hoja wajibu cdm wakijibu ccm wanaitwa waimba taarab, nape katoa hoja za ufisadi wa slaa cdm wakajibu kupitia marando, nape kujibu anaitwa muimba taarabu kama mzee yusuph, tambwe na makamba, jamani tueni wakweli kila mmoja ajibu hoja za mwenzie na hapa sie kazi ye2 iwe kuchuja hoja hizi zipi nzito na zipi nyepesi, hakuna mtu asiejua kwamba kila chama cha siasa kina ngome yake sehemu na sijui kama hii ni ukabila
 
- Can you imagine Mwenyekiti wa CCM angeiuzia CCM malori yake mabovu? Duh! si ingekwua kiama na maandamano ya Dunia!

FMEs!
 
Back
Top Bottom